Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
18 – جمادى الأولى - 1438 هـ
15 – 02 – 2017 مـ
10:04 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
(kulingana Na Kalenda Rasmi Ya Mama WA Vijiji)
__________________


تحذيرٌ من مكرٍ خطيرٍ إلى كافة الأقطار العربيّة خاصةً والمُسلمين عامةً ..


Tahadharisho Kutokana Na Njama Hatari Kwa Inchi Zote Za Kiarabu Hasa Na Za WA Islamu Kwa Jumla ..Bismi Allah Al'Rahman Al'Rahim Al'Malik Al'Jabar Ambae Alio Sema Katik Muhakam Ya Ukumbusho:

{وَرَبُّكَ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ وَيَخْتَارُ ۗ مَا كَانَ لَهُمُ الْخِيَرَةُ ۚ سُبْحَانَ اللَّهِ وَتَعَالَىٰ عَمَّا يُشْرِكُونَ (68) وَرَبُّكَ يَعْلَمُ مَا تُكِنُّ صُدُورُهُمْ وَمَا يُعْلِنُونَ (69) وَهُوَ اللَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ۖ لَهُ الْحَمْدُ فِي الْأُولَىٰ وَالْآخِرَةِ ۖ وَلَهُ الْحُكْمُ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ (70)}
صدق الله العظيم [القصص].
Allah Ta3ala Asema:{Na Mola Wako Mlezi huumba na huteuwa atakavyo. Viumbe hawana khiari. Mwenyezi Mungu ametukuka na ametakasika na hao wanao washirikisha naye(68) Na Mola wako Mlezi anayajua yaliyo ficha vifua vyao, na wanayo yatangaza(69) Naye ni Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye. Sifa zote njema ni zake Yeye, mwanzo na mwisho. Na hukumu ni yake Yeye. Na kwake Yeye mtarejeshwa(70)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Qasas}.Na Sala Na Salam Juu Ya Wote Mitume Wa Ukumbusho Kutoka Wakwanza Wao Mpaka Khatim Wao Muhammad Mtume Wa Allah Na Juu Ya Waumini Wote Wale Ambao Walio itika Mwito Wa Mola Wao Mlezi Kwa Yale Yana'Wahuisha Nyoyo Zao Katika Kila Zama Na Mahali Mpaka Siku Ya Dini, Ama Ba'Ada Ya Hapo..Na Enye Ma3shara Ya Viongozi WA Waislamu Na HaswA Inchi Za Kiarabu Mimi Kwenu Ni Mwenye Kuwapa Nasaha Mwaminifu Na Nawamuru Kwa Yale ALio Wamuru Nayo Allah Katika Muhakam Al'Quran Al3adim Katika Kauli Yake Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا خُذُوا حِذْرَكُمْ فَانفِرُوا ثُبَاتٍ أَوِ انفِرُوا جَمِيعًا (71)} صدق الله العظيم [النساء] } Allah Ta3ala Asema: {Enyi mlio amini! Chukueni hadhari yenu! Na mtoke kwa vikosi au tokeni nyote pamoja}
sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa[.


Basi Bado Nazali Nakashifu Miradi Yao Ya Kisa'Hyuni Ya Kilimwengu ili Niwababaishe; Ama Niwalazmishe Kurudi Kutotekelez Makr Yao Kuu Kwa Waislamu, Basi Sikizeni Na Mufahamu Na Mutie Akili Hi Habari:


Basi Wamepata Kujua Ma Yahudi Kua ikiwa Itapita Muda WA Myahudi Donald Tramp Na Wao Hawakuweza Kufikia Ndoto Yao ili Kufikia Taifa La Kiyahudi Kuu Basi Hawatoweza Ba'Ada Ya Hapo Kufikia Ndoto Ya Kisa'Hyuni Ya Kilimwengu, Na Vile Muda Wa Tramp Sio ila Miyaka Mi'inne Basi Wanaona Kuwa Hapana Budi Kuharakisha Kwa Hatuwa Ya Kufikia Taifa La Kisa'Hyuni la Ulimwengu Kuanzia Kazi Ya Kuteka Mashariki Ya Kati Yote Na Alafu Watapanuka Kutokana Na Hapo Mashariki Na Magharibi, Na Imeanza Kuonekana Bughdha Kutoka Midomo Yao Kama Mfano WA Shetani Donald Tramp Basi Hakuweza Mwanzo WA Jambo Kuficha Ghadhabu Yake Na Chuki, Hivi Hakuonesha Mwanzo WA Jambo Chuki Na Bughdha Juu Ya Uwislamu Na Waislamu Na Aka'Wahidi Ma'Yahudi Kuwa Atafanya Al'Quds Ni Mjii Mkuu Wa Kiyahudi La Milele? Basi Musiseme Ni Utagazaji WA Uchaguzi ! Basi Nawambia Nyinyi: Mtangulizi Wake Kabla Yake Wanatumia Utangazaji Wa Vita Dhidi Ya Ugaidi Wala Sio Utangazaji Wa Vita Dhidi Ya Uwislamu, Wala Hawakuahidi Kuwafukuza Waislamu Kutoka Amerika; Bali hi Wadi WA Bulfor Mwingine Kwa Ulimi Wa Donald Tramp, Basi Jee Munadhani Kwamba Donald Tramp Ni Katika Warongo Kwa Wadi Wake Kwa Ma'Yahudi ili Kumaliza Uwislamu Na Waislamu Na Kupora Mulki Yao Na Kheyrati Zao Na Kunyonya Uchumi WA Waislamu Kama Jizia Ya Kulinda Waislamu? Bali Mlindaji Wake Ndio Mporaji Ewe Aduwi WA Allah Donald Tramp, Bali Amewa'Ahidi Ma'Yahudi Kwamba Atafanya Al'Quds Al'Sharif Mjii Mkuu WA Ma'Yahudi Wa Milele, Jee Munadhni Ni Katika Warongo Hatowa Kidhi Ma'Yahudi Kwa Alio Wa'ahidi? Ama Mwadhani Amerudi Nyuma Na Wala Hatorudi Kutafuta Kufikia Hilo Jambo Vile Atakavo Weza?
Lakini Mimi Ni Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Nashuhudia Kuwa Donald Tramp Ni Katika Wakweli Wenye ikhlas Kwa Alshetan Al'Rajim iblis Na Jeshi Lake Katika Ma'Shetani Watu, Na Kwamba Kiwango Ya Msisitizo Wake Kuzima Nuur Ya Allah Kama Kiwango Cha Msisitizo WA Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Kutimu Nuur Ya Allah Kwa Ulimwengu; Bali Tramp Ni Aduwi Mkubwa Kwa Watu WA America Asili ila Alio Kuwa Myahudi Asili, Na Anataka Kufanya Ma'Yahudi Ndani Ya America Katika Cheo Cha Kwanza Na Wenye Kuwazidi Juu Ya Watu WA America Na Kuwa Wanao Vipao Mbele Katika Viyeo Na Ajira Katika Serekali Ya Tramp, Na Tarajia Kuwa Anapanga Tramp Milipuko Ya Mabomu Ya Kigaidi Katika Muungano wa nchi wa Marekani Alafu Awatupie Huo uhalifu Na Ugaidi Juu Ya Jumuia Ya Waislamu Katika America Na Wataalam Ndani Yake Katika Waislamu; Ndio Watupie Kwa Zur Na Urongo Kuwa Wao Ndio Wako Nyuma Ya Milipuko Mapya Katika Amerika; Urongo Na Buhtan.


Na Kadhalika Anataka Kuwabebesha Majaji WA Marekani Wale Ambao Wamesmama Dhidi Ya Uwamuzi Wake Waka'Asi Amri Yake Katika KuZuwia Uhamaji Ya Waislamu Kwenda America; Bali Tunamona Anasema Kuwa Yeye Anawa'Wabebesha Majaji Wapinzani Wajibu Yatakao Tokea Katika America, Basi Tunasema: Kwahivo Wewe Ewe Tramp Ndio Mwnye Kupanga Kulipua Kwa'Kua Unathibitisha Kupatikana Hilo Jambo, Na Alafu Nasema: Kuwa Pindi ipatikane Mlipuko Katika Amerika Basi Wazi Watajuwa Wote ispokuwa Mangombe Ambao Hawatafakari Kuwa Yule Ambae Yuko Nyuma Ya Hio Ni Donald Tramp, Basi Tutatowa Fatwa Kutaguliza ikiwa Itafanyika Milipuko Basi Tramp Ndio Atakae Kuifanya Nyuma Ya Pazia Alafu Atasema Kwa Watu Wa America;" Hivi Hamuoni Walio Yafanya Ma'Gaidi Wa'Kislamu? Hivi Hamuoni Yakwamba Donald Tramp Yeye Ndio Anae'Taka ifikie Kupatikana Usalama Wenu Na Hawa Ma'Jaji Sio nia Juu Ya Usalama Ya Watu Wa America?", Na Alfu Atafanya Majibu Ya Kitendo Chake Kufukuza Jumia Ya Waislamu Katika America Na Kukataza Waislamu Wote Kutoka Nchi Zote Za Ulimwengu Kuhama America, Na Hili Jambo Si Weki Mbali Kua Atalifanya Tramp Raisi Wa Shirika La Kisa'Hyuni Ya Ulimwengu Kwajili ifaulishe Kufukuzwa Jumia Ya Waislamu Kutoka America Na Kukataza Waislamu Kuhama Kwenda America, Ama Kulipua Ndani Ya Israil Ma'Kanisa Ya Kiyahudi Ama Ya Kinasara Ama Ya Kiyahudi Na Kinassara Pamoja Ama Ingine Alafu Awabebeshe Waislamu Katika Falastin Kitendo Hiko Dhulma Na Urongo ili Avamie Ardhi Yao Nzima, Na Hio Utabiri Kulingana Na Navo Juwa Njama Ya Mashetani Watu Ya Kikhabithi Katika Usihyuni Ya Ulimwengu.


Na Kwa Hali Yoyote, Basi Je Munajua Kwanini Kusisitiza Kwa Uwamuzi Wa Donald Tramp Wasihame Waislamu Kwenda America? Na Hivo Kwa'Kua Yeye Amenuwia Shari Na Kuwatoa Na Udanganyifu Wa mshangao Kwa Ma'Inchi Ya Waislamu Na Hasa Udanganyifu Wa Mshangao Kwa Inchi Za Kiarabu Na Katika Al'Quds Al'Sharif Na Kilio Baki Katika Ardhi Ya Falastin.
Na Nacho Taka Kusema Enyi Ma3ashara Ya Viongozi WA Warabu: Nyinyi Munajua Kwamba Binyamin Natanyahu Ataenda Kulekea Asbuhi Ya Siku Yetu Ya Leo Hi Kwenda Mungano WA Umoja WA Marekani Kuonana Hasa Na Raisi WA America Donald Tramp Na Watatu Wao iblisi Al'Shetan Al'Rajim Na Mashetani Wengine kwajii Ya Kupanga Kuharakisha Katika ifaulu Ramani Ya Njia Ya Kuteka Mashariki Ya Kati Kwa Haraka Iwezekanavo, Na Nacho Taka Kusema Kuwa Muchukuwe Matamshi Ya Tramp Ya Kwanza Kwa Ulimi Wake Kabla Muchukulie Ukweli, Na Wapa Fatwa Kwa Haki Kwamba Donald Tramp Sio Kama Walio Mpita Katika Ma'Raisi WA Marekani Kwa'Kua Yeye Ni Katika Ma'Aduwi Wakubwa Wa Allah Katika Ma'Shetani Watu Na ikhlas Yake Kwa Kuzima Nuur Ya Allah Kwa Ulimwengu Kama Ikhlas Ya Al'Shetan Al'Rajim iblis Anaenda Mbio Kuzima Nuur Ya Allah Kwa Kila Hila Na Njia.


Na Nacho Taka Kusema Hasa Kwa Viongozi WA Warabu Wawe Na Hadhari, Na Wamuru Kujitarisha Kikamilifu Hali Ya Juu ili Kuwa Tayari Kutoka ili Kujihami Nafsi Zao Na Sehemu Zenu Takatifu Na Ardhi Yenu Na Familia Zenu Na Mali Yenu.

Na Kariri Habari Na Nasema:
Kuweni Na Hadhari Kutokana Na Kuvamiwa Kwa Vituwo Va Ndege Zenu Za Kivita Na Mifumo Ya Rocket Ya kujilinda Na Za Kuvamia Kwa Aina Zake Zote, Basi Yatakiwa Mubadilishe Sehemu Zake Haraka Na Kuziweka Tayari Kurusha kuhami Nafsi Zenu Na Sehemu Zenu Takatifu ili isitimu Kubomolewa Gafla Na Nyinyi Muko Katika Mughafala Ya Kuwa Na Salama Na Amani Kwa Kumsadiki Kuwa Tramp Amebadilsha Katika Siyasa Yake Kwenda Kufikiaha Amani Baina Ya Ma'Yahudi Na Wa'Falastini.


Basi Alafu NAsem: Na Mola Mlezi WA Ardhi Na Mbingu Lakini Anataka Kuwadangaya Alafu Bila Kutarajia Ba'Ada Mume'Amini Hila Zake Ndio Bila Kutarajia Avamie Vituo Vinu Va Ndege Za Kivita Katika Inchi Za Kiyarabu Na Kadhalika Bila Kutarajia Avamie Ma Meli Zenu Kuu Baharini Na Kuzipiga Pamoja ili Wabomowe Silaha Zenu Za Anga Na Baharini Na Bara, Basi Tahadharini Tahadharini ili Musi'Pambazukiwe Hamumiliki Silaha Ya Anga Wala Ya Bahari ili Kujihami Ardhi Zenu Na Sehemu Zenu Takatifu, Na Sikizeni Nasaha Ya Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamni Bora Kwenu Basi Amkeni Muzi'Gawanye Ndege Zenu Za Kivita Kuzigwanya Katika Vituo Va Ndege Za Wasafiri Za Hizo Inchi Na Wala Wasihamishe Inchi Za Kiyarabu Wala Za Kislamu Ndege Zao Zote Kwenye Kituwo Kimoja Cha Ndege;Hapana; Bali Wahamishe Ndege Za Kivita Zao Kwenye Vituo Va Ndege Va Usafiri Katika Mikowa Tafauti Za Inchi , Za Hapo Inakuwa Tabu Kwa Aduwi Kuzibomowa Kwa Wakati Moja, Na Akibomoa Kati Hizo Kitu Basi Haraka Zinaruka Ma'Ndege Za Kivita Kuwenda Kuzuwia Kupigwa Hizo Inchi, Ama Zinaruka Kupiga Jeshi Ya Israil Katika Hali Wakiwa Waja, Kwa Kubomoa Msikiti WA Al'Aqsa ili Li'ishe Fujo La Waislamu, Kwa Kudhania Kwao Wakibomoa Msikiti Al'Aqsa Basi itaisha wivu Kwa Waislamu Juu Ya Wa'Falastini kwa Sababu Hakuna tena Msikiti WA Al'Aqsa, Na Haihat Haihat ewe Aduwi WA Allah Tramp, Basi Sisi Hatuabudu Mawe Ya Nyumba Ya Mwenyezi Mungu Bali Tuna'Abudu Mola Mlezi WA Nyumba, Na Pindi ikitimu Kubomoa Msikiti WA Al'Aqsa Jee Wadhani itaisha Kadhia Ya Msikiti WA Al'Aqsa Katika Nyoyo Ya Waislamu? Bali Tutaijenga Tena Kwa Ukubwa Zaidi Na Upana Zaidi Kwa idhini Ya Allah, Basi Haitiwasaidia Kuibomoa Kitu.


Na Enyi Ma3ashara Ya Warabu Na Waislamu Wenye Minara Na Ma'Meli Za Kivita Baharini, Basi Ziwe roketi Zake Zimilekea Minara Za Kibahari Za Amerika Na Kudhibiti Kuziangalia Kwa Mbali, Na Kwenye Hali imitimu Kurusha Roketi( Bahari Bahari) Kulekea Kwa Moja Katika Minara Zenu Na Ma'Meli Zenu Basi Roketi Haina Mbio Za Mwangaza Basi Haraka Kutimu Kurusha Roketi Zenu Kwa Minara Ya Kiamerika Na Ya Kiyahudi.

Na Kuhusu Yaman Basi Haikubaki Kwake Silaha Ya Anga Wala Ya Bahari Basi Nae Yuko Katika Hali Ya Uchumi Mbaya Basi Tayari Mumeibomoa Enyi Ma3ashara Ya Alliance Ya Kiyarabu, Na Kwa Maskitiko imekuwa upepo Wenu Upepo WA Kubomowa Wala Sio Upepo WA Kuharirisha, Basi Hatuna Ma'Meli Ya Minara Wala Mandege Tupigane Na America Na Ma'Alliance Wake Katika Ma'Yahudi Lakini Ako Na Sisi Allah Ambae Hapana Mola ispokua Yeye Wala Habudiwi Ispokua Yeye, Basi Hatutaki Chuki Juu Yenu Basi Subra Mzuri Na Allah Ndio Mwnye Kutegemewa Juu Yale Munayo Yafanya,
Basi Hataki Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani kulipiza Kitu Kwa Inchi Yoyote Ya Jirani Wala Yoyote Katika Mungano WA Warabu Na Allah Shahidi Kwa Yaliomo Ndani Ya Moyo WA Mja Wake Basi Ba'Ada Kupokea Uwongozi Tutaenda Mbio Kufikia Amani Baina Ya Waislamu Kwa Ujumia, Na Lakini ikiwa Itatimu Kupokea Uongozi WA Yaman Kabla Kupita Sayari Ya Adhabu Basi Nitawa'Lazimisha Mungano WA Warabu Juu Ya Kurekibisha muundo wa Yaman miundombinu Za Serekali Na Kimadani Zote Pamoja, Na Juu Yao Kuokowa Uchumi WA Yaman Kutokana Na Kuanguka Haraka Wala Sio Kuajilisha.


Na Kuhusu Roho Zilio Potezwa Sawa iwe Ni Kutokana Na Uwaduwi WA Inchi Zilio Ungana Ama Kutokana Na Mavyama Va Ki'Yemeni Ndani Yake Baina Yao Wanao Pigana Kwajili Ya Utawala Basi Haikua Nafsi Kufa ila Kwa idhini Ya Allah Kitabu Kilio Ajilishwa, Na Hamuwezi kufidia Roho, Lakini Nawalazimu Mulipe Mishahara Kila Familia Ambae Alio Kosa mwenye Kuwaletea, Na Tunasema ina lilah WA Ina ileyhi Rajiun Asa Allah Awafinike Roho Za Waislamu Rahma Maiti Zao Na Walio Hai Kati Yao Wapambaukiwe Kwa Neema Ya Allah Wawe Ndugu, Lakini Wengi Kati Walioko Hayi Wayemeni Ambao Hawana Dhambi Wanakufa Kifo Cha Taratibu Kwa Nja, Hivi Hamumchi Allah Juu Ya Mafakiri Na Wanyonge Na Maskini? Bali 90% Katika Raiya WA Yaman Ma'Fukara Hawana Njia Wala Nguvu Kutokana Na Ma'Vyama Tafauti Ndani Ya Yaman Wanao Enda Mbio Kwajili Ya Kutawala Kwajina La Dini Na Dini Imejitenga Na Wao, Wakazidisha Wa'Yameni Dhulma Basi Akawa Tajiri Kati Yao Fakiri Na Fakiri Kati Yao Maskini Ns Maskini Amevunjika Moyo Na Alio Vunjika Moyo Amekua Anakula Katika Mapipa Ya Taka, Lahawula Wala Kuwata Ila Bilah Alaloyu Aladhim,
Na Kiyasi Gani Moyo WA Al'imam Unaumia Juu Ya Walio Dhulumiwa Katika Raiya WA Yaman Na Kwingineko Kwa Sababu Ya Fitna Za Mavyama Ambao Wanagombana Kwajili Ya Utawala, Basi Wakadhulumu Ma'Barii Wasikuwa Na Kosa Atia Raiya Wao Na Wala Haikuwaongezea Inchi Za Karibu ispokua Dhulma Juu Ya Dhulma Yao Kama Mfano WA Jirani WA Raiya WA Yaman Hawakuw'Wzidishia Raiya WA Yaman Ispokua fukara Na Kuvunjika Moyo, Na Samahani Niwacheni Ni'ipe Jina Kwa Haki Ni'ite Upepo WA Kubomoa Yaman Wala Sio Upepo WA Kuha'Ririsha ! Na Wala Haitakiwe Kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Kuwa Atapendekeza Mtu.


Na Ama Iran, Basi Hakuna Kheri Kwa Iran:
كَمَثَلِ الشَّيْطَانِ إِذْ قَالَ لِلْإِنسَانِ اكْفُرْ فَلَمَّا كَفَرَ قَالَ إِنِّي بَرِيءٌ مِّنكَ} [الحشر:16]! Allah Ta3ala Asema:{Kama Mfano WA Shetani Pindi Alipo Mwambia Mtu Kufuru Basi Alipo Kufuru Akasema Mimi Sina Haita Kwako} [Alhashr:16]
Basi haiko iran Ndani Ya Yaman Na Baina Sanaa Na Tahran Inchi Za Jirani Na Hatutaki Tukakuza Majaraha Bali Kupoza Jaraha Ambazo Ya Kina Baina Ya Waislamu Na Naenda Mbio Kuwafanya Safu Moja Na Kukusanya Mgawanyiko Wao ili ipate Nguvu Mgongo Wao Mbele Ya Ma'Aduwi Wao Ili Kuhifadhi Walio Bakia Katika Waislamu Ba'Ada Ya Fitna ya Viyama Va Waislamu Kwa Yale Baina Yao Kutokana Na Hila Ya Shetani Watu Kutokana Na Mipango Ya Alshetan Alrajim iblisi Kwa Kuchora Ramani Ya Njiya Kwa Njia Ya MaShetani Watu Kama Mfano WA ibnu Omar Wald Alshik ili Wauwane Waislamu Badhi Yao Juu Ya Ba'Adhi Ma'Sunni Na Ma'Shia Ili Kudhu'Ufisha Waislamu Na Kuanguka Uchumi Wao ili Iwe Sahali Kuwamaliza Basi Tosha Ma'Vita Na Uharibifu Enyi Ma3ashara Ya Ma'Vyama Katika Yaman Na Irak Na Suria Na Libya, Mume'Jiangamiza Nafsi Zenu Na Ku'Ua Badhi Yenu Juu Ya Ba'Adhi Na Mumikheze Manyumba Zenu Kwa Mikono Yenu Na Kwa Mikono Ya Ma'Aduwi Zenu America Na Urusi Na Wale Kama Wao Na Mumibomoa Uchumi Wenu Na imezidi Ma'Fitna Na Kwanza Itakao Kuzima Ni Yaman.


Na Enye Ma3ashara Ya Raiya WA Yaman Kuweni Mashahidi Juu Ya Yale Ntakao Sema Kwenu:
Ikiwa Mutampata Nasser Muhammad Al'Yamani Siku Moja Ni Mtafiti Ama Ni Mwenye Kufwata Madhehebu Ama Ni Mbaguzi WA Utawala Basi Ikiwa itakuwa Kitu Katika Hayo Ba'Ada Ya Kupokea Uongozi Basi Tayari imeteremka Juu Ya Nasser Muhammad Al'Yamani Lana Ya Allah Na Malaika Na Watu Wote, Na Najilinda Kwa Allah Kwa Ghadhabu Ya Allah Na Najilinda Kwa Allah Nisiwe Katika Ma'Dhalimu.

Na Wala Musidhani Kuwa Nasser Muhammad Al'Yamani Anafurahaia Utawala, Na Natowa Qasam Billah Al3adhim Mwenye Kuhuisha Mifupa ikiwa imeisha Mola Mlezi WA Mbingu Na Ardhi Na Kiliomo Ndani Yake Na Mola Mlezi WA Arshi Kuu Hakika Mimi Kwa kupata Cheo Na Utawala Ni Katika Wenye Kuchukia Na Lakini Nime'Lazimishwa Juu Ya Kukubali Ili Kufikisha Lengo Khalisi Kwajili Ya Uso WA Mola Mlezi Wangu Kwa'Kua Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Khalifa WA Allah Katika Ardhi, Basi Hamna Tafauti Kwetu Baina Myamani Na Mchina.


Na Ewe Ali Abdallah Saleh Mche Allah Na Wala Usidhani Kwetu Bila Ya Haki Kwa'Kua Wewe Una'Hofu Awe Nasser Muhammad Al'Yamani Ni Mtafiti Mbaguzi WA Utawala, Na Najilinda Kwa Allah Kutokana Ghadhabu Ya Allah Basi Haitakiwe Kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Awe Atafwata Mbinu Ya Viongozi WA Ma'Hizbu Ma'Dhalimu Kwa Nafsi Zao Na Kwa Sababu Ya Dhulma Yao Kwa Umma Wao, Na Wala Hataki Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Utukufu Katika Ardhi Wala Ufisadi Na Mwisho Ni Ya Wacha'Mungu, Na Salam Juu Ya Mitume. Na Al'Hamdulillah Rabi'Al3alamin.

Ndugu Yenu Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
_________________
https://www.mahdi-alumma.com/showthread.php?t=29955
https://www.mahdi-alumma.com/showthread.php?p=250213