Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
04 - ذي القعده - 1441 هـ
25 - 06 - 2020 مـ
12:33 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
_______

Bayana Muhimu Kwa Wale Wana Akili Katika Ulimwengu

Bismillah Arrahman Arrahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Nabi Ambae Sio Msomi Ambae Hasomi Wala Handiki (Muhammad Mtume Wa Allah) Kwa Al'Quran Al3adhim, Ama Baada Ya Hapo..


Na ewe umm Sajaa hakika nimefanya uwamuzi kwa kuto zungumza Ispo kua na wanao toa fatwa katika miji baada nilipo toa nafasi miyaka kumi na tano kwa watu wa kawaida na wanazuoni wao na watowaji khutba katika ma mimbari yao, Na ulinilazimisha kujibu kwakua wewe unadai kua wewe ni katika wanao sadikisha kua mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Lakini wewe ewe umm sajaa wataka kutoa shahada kua Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ni Mtume kutoka kwa Mola Mlezi wa ulimwengu na hakika wewe ni katika warongo, Basi haitakiwi kwa Allah Mola Mlezi wa ulimwengu Awe Atapingana na Nafsi Yake Katika ilio wazi maana yake Kitabu chake! Basi vipi Allah Atupa fatwa katika ilio wazi maana yake kitabu chake kua Muhammad Mtume wa Allah yeye ame khitimisha Ma Nabi, Kwa hivo vipi Atagonga Allah Fatwa Yake Afanye Al'Imam Al'Mahdi ni Mtume Mpya kutoka kwa Mola Mlezi wa ulimwengu?! Bali itikadi yako hi ni kuikufuru kauli ya Allah Ta3ala:
{ Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na Mwisho wa Manabii, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab:40].
{ مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَاۤ أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمۡ وَلَـٰكِن رَّسُولَ ٱللَّهِ وَخَاتَمَ ٱلنَّبِیِّـۧنَۗ وَكَانَ ٱللَّهُ بِكُلِّ شَیۡءٍ عَلِیمًا }
صدق الله العظيم [الأحزاب: 40].
Kwa hivo vipi Atatuma Allah Al'Mahdi Mtume mpya? Subhanahu basi Hatopingana na Maneno Yake katika ilio wazi maana yake kitabu chake, Bali Atamtumiliza Allah Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad; Yani Mnusura wa yale alio kuja nayo khatimu wa Ma Nabi na Mitume Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Alihi wa Usalim Tasiliman, Kwa hayo nasema kua wewe hukuja wataka haki bali na wazuwa kua Muhammad Mtume wa Allah alikua ajua kusoma na kuandika!

Na ewe umm sajaa, Wallahi Ambae Hapana Mola ila Yeye lau kua Muhammad Mtume wa Allah anajua kusoma na kuandika kwahivo wangetia shaka kuhusu jambo lake ma shetani watu wavundaji katika ma yahudi wale ambao wamejua kua yeye ni Nabi kutoka kwa Mola Mlezi Wa ulimwengu kama wanavo juwa watoto wao kisha wakamkanusha wavundaji kumkanusha, Na ama ushuhuda ambao umewafanya wawe na yakini kua Muhammad ni Mtume wa Allah ni kua wao wamempata sio msomi hajuwi kusoma wala kuandika kwajili ya hivo wamejua kua yeye ni Nabi ambae sio msomi yule ambae imeandikwa kwao katika Tawurati na Injili, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Ambao kwamba wanamfuata huyo Mtume, Nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika Taurati na Injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale walio muamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf:157].
{ ٱلَّذِینَ یَتَّبِعُونَ ٱلرَّسُولَ ٱلنَّبِیَّ ٱلۡأُمِّیَّ ٱلَّذِی یَجِدُونَهُۥ مَكۡتُوبًا عِندَهُمۡ فِی ٱلتَّوۡرَىٰةِ وَٱلۡإِنجِیلِ یَأۡمُرُهُم بِٱلۡمَعۡرُوفِ وَیَنۡهَىٰهُمۡ عَنِ ٱلۡمُنكَرِ وَیُحِلُّ لَهُمُ ٱلطَّیِّبَـٰتِ وَیُحَرِّمُ عَلَیۡهِمُ ٱلۡخَبَـٰۤىِٕثَ وَیَضَعُ عَنۡهُمۡ إِصۡرَهُمۡ وَٱلۡأَغۡلَـٰلَ ٱلَّتِی كَانَتۡ عَلَیۡهِمۡۚ فَٱلَّذِینَ ءَامَنُوا۟ بِهِۦ وَعَزَّرُوهُ وَنَصَرُوهُ وَٱتَّبَعُوا۟ ٱلنُّورَ ٱلَّذِیۤ أُنزِلَ مَعَهُۥۤ أُو۟لَـٰۤىِٕكَ هُمُ ٱلۡمُفۡلِحُونَ } صدق الله العظيم [الأعراف: 157].

Na kwavile imeandikwa katika Taurati na Injili kua Mtume wa Allah Muhammad ni Nabi sio msomi hasomi wala handiki kwajili ya hivo hawa kutia shaka uzito wa tembe kua yeye ni Nabi ambae sio msomi na hivo ni kwa sababu yeye sio msomi, Pamoja na hayo ana wasisimulia katika hi Al'Quran ju ya wana wa israili mengi

ambao wanao khitilifiana ndani yake pamoja yakua yeye sio msomi hasomi wala handiki; Kwajili ya hivo wamejua kua yeye kweli ni Mtume Nabi ambae sio msomi ambao ilio andikwa kwao katika Taurati kua yeye ni Nabi sio msomi, Na ama lau wangemkuta Muhammad Mtume - Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam - Anasoma na yuwandika kwahivo wangetia shaka kwa jambo lake kwakua mwisho wa Mitume na Ma Nabi ambao imeandikwa kwao katika Taurati wanajua ma Yahudi kua yeye ni Nabi sio msomi hasomi wala handiki, Na lau wange mpata anasoma na anadika wange shuku kwa jambo lake ma shetani watu wavundifu katika ma Yahudi. Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{ Na wewe hukuwa kabla yake unasoma kitabu chochote, wala hukukiandika kwa mkono wako wa kulia. Ingeli kuwa hivyo wangeli fanya shaka wavunjifu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alankabut:48].
{ وَمَا كُنتَ تَتْلُو مِن قَبْلِهِ مِن كِتَابٍ وَلَا تَخُطُّهُ بِيَمِينِكَ إِذًا لَّارْتَابَ الْمُبْطِلُونَ }
صدق الله العظيم [العنكبوت: ٤٨].
Na kwa sababu kua yeye sio msomi hasomi wala handiki ndio wamejua kwa yakini kua yeye ndio Nabi ambae sio msomi ambao imeandikwa kwao katika Taurti na injili waka mkadhibu wavunjifu miongoni mwao baada walipo jua kwa yakini kua yeye ndio Nabi ambae sio msomi. Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{Wale tulio wapa Kitabu wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao; na kuna kikundi katika wao huificha haki na hali wanajua } Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:146].
:{ ٱلَّذِینَ ءَاتَیۡنَـٰهُمُ ٱلۡكِتَـٰبَ یَعۡرِفُونَهُۥ كَمَا یَعۡرِفُونَ أَبۡنَاۤءَهُمۡۖ وَإِنَّ فَرِیقاً مِّنۡهُمۡ لَیَكۡتُمُونَ ٱلۡحَقَّ وَهُمۡ یَعۡلَمُونَ } صدق الله العظيم
[البقرة: 146].
Na ewe umm sajaa, Kua katika wanao shukuru bora kwako, Na nawapa amri wasmamizi wa idara wasikuweke kuwa wewe ni katika ma ansar walio tangulia walio bora, Basi wewe sio katika ma ansar wa Al'Imam Al'Mahdi kwa sababu ya itikadi yako ya batili kwa kua wewe waitakidi kua Allah Anamtumiliza Al'Imam Al'Mahdi Mtume kutoka kwa Mola Mlezi wa ulimwengu, Basi hi ni itikadi batili inakhalifu ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim, Bali itikadi ya kweli ni kua Allah Anamtumiliza Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad; Yani Mnusura kwa yale alio kuja nayo Muhammaf Mtume wa Allah na kwa hilo inatimia hikma ya "atawatuu" kuafikiana kwa jina la Muhammad na jina la Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad, Kwajili ya hivo haijuzu kwa waislamu katika akida ya kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar ispo kua waitakidi kua Allah Hatomtumiliza Al'Imam Al'Mahdi kua Mtume wala Nabi, Bali itikadi ya haki ni muitakidi kua Allah Atamtumiliza Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad, La Sivo basi mutakua mumekufuru Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na Mwisho wa Manabii, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab:40].
{ مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَاۤ أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمۡ وَلَـٰكِن رَّسُولَ ٱللَّهِ وَخَاتَمَ ٱلنَّبِیِّـۧنَۗ وَكَانَ ٱللَّهُ بِكُلِّ شَیۡءٍ عَلِیمًا } صدق الله العظيم [الأحزاب: 40].

Na haitakiwi kwa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad kua Atamtumiliza Allah ni mfwataji wa matamanio yenu! Basi nenda kwa ma mahdi ambao wana pepo wale ambao wana pulizwa pepo ya ma shetani basi watasadiki itikadi yako batili, Basi miongoni mwao mwenye kusema yeye ni Nabi na kati yao wanao kusema yeye ni Mtume na miongoni mwao mwenye kusema yeye ni Muhammad Mtume wa Allah na kua roho ya Nabi Muhammad imeshuka kwa mwili wake, Bali inampuliza mwiliwake pepo ya shetani rajimu, Na miongoni mwao mwenye kusema kua yeye ni Mtume wa Allah masihi isa mwana wa Maryam na kua roho ya masihi imefinika mwili wake! Bali ufiniko wa kupulizwa pepo ya shetani rajimu, Na hikima ya kishetani kutokana na hayo ili wakatae waislamu kuhusu Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar wa kweli kutoka kwa Miola Mlezi wao basi wamdhanie sio ispo kua kama mfano ya wale walio mtangulia katika zama zake katika wale wanao dai umahdi na haraka wanawashinda wanazuoni wa waislamu wa chini basi wasmamisha hoja ju yao wawa nyamazishe kuwa nyamazisha, Lakini Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani sio mwandazimu ba

li mwenye akili na nasmamisha hoja kwa haki ju ya wenye akili kwa urahisi kwa utawala wa ilimu kutoka kwa ilio wazi Al'Quran kwa Al'Quran ambao anaipata kila mtu mwenye akili kua ni Bayana ya haki kutoka kwa Mola Mlezi Wake haina shaka wala utetanishi; Kwa kua haipofuki macho kutafautisha baina ya haki na batili ikitimu kutumia akili. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Yeye humpa hikima amtakaye; na aliye pewa hikima bila ya shaka amepewa kheri nyingi. Na hawakumbuki ila wenye akili} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:269].
{ یُؤۡتِی ٱلۡحِكۡمَةَ مَن یَشَاۤءُۚ وَمَن یُؤۡتَ ٱلۡحِكۡمَةَ فَقَدۡ أُوتِیَ خَیۡراً كَثِیرًاۗ وَمَا یَذَّكَّرُ إِلَّاۤ أُو۟لُوا۟ ٱلۡأَلۡبَـٰبِ } صدق الله العظيم [البقرة:269].

Na ama wale walio kata kutumia akili yao basi Hato Waongoza Allah katika kila zama na pahali, Bali Ameongoza Allah katika waja Wake peke wale ambao hawakati bali wanasikiza kauli mwanzo kisha wanafwata ilio bora ambao imekubali akili yao. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{Ambao husikiliza maneno, wakafuata lilio bora yao. Hao ndio alio waongoa Mwenyezi Mungu, na hao ndio wenye akili} Sadaqa Allah Al3adhim [Azumut:18].
{ الَّذِينَ يَسْتَمِعُونَ الْقَوْلَ فَيَتَّبِعُونَ أَحْسَنَهُ أُولَٰئِكَ الَّذِينَ هَدَاهُمُ اللَّهُ وَأُولَٰئِكَ هُمْ أُولُو الْأَلْبَابِ }
صدق الله العظيم [الزمر:18].
Bali Bayana za Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani hatimai mutapata akili zenu zinajisalimu kwa Bayana ya haki kujisalimu kwa kua hai pofuki macho ya akili ambazo za tafalari wakati ikiletewa Bayana ya haki kwake, Ama watu wa kufwata ufwato upofu kwa walio wa tangulia kwao pasi na kutumia akili kwa yale walio yakuta nayo kwa walio wa tangulia kwao je ni haki hi ama ni batili haikukubali akili yao wakakata kutumia akili yao basi hawo ni watu hawatumi akili ni katika watu wa motoni kwa sababu kutotumia akili hawakuongoka kwa haki katika maisha ya dunia na wanamkata mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola Mlezi wao ambae ina nyenyekea tamko la ulinganizi wake akili yao wakakata ispo kua wafwate walio tanguliwa kwao ufwato upofu pasi na kutumia akili yao, Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{Watakapo tupwa humo watausikia mngurumo wake na huku inafoka (7) Inakaribia kupasuka kwa hasira. Kila mara likitupwa kundi humo walinzi wake huwauliza: Kwani hakukujieni mwonyaji (8) Watasema: Kwani! Ametujia mwonyaji, lakini tulimkadhibisha, na tukasema: Mwenyezi Mungu hakuteremsha chochote. Nyinyi hamumo ila katika upotovu mkubwa (9) Na watasema: Lau kuwa tungeli sikia, au tungeli kuwa na akili, tusingeli kuwa katika watu wa Motoni (10) Wakakiri dhambi zao. Basi kuangamia ni kwa watu wa Motoni (11)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almulk].
{ إِذَا أُلْقُوا فِيهَا سَمِعُوا لَهَا شَهِيقًا وَهِيَ تَفُورُ ﴿٧﴾ تَكَادُ تَمَيَّزُ مِنَ الْغَيْظِ ۖ كُلَّمَا أُلْقِيَ فِيهَا فَوْجٌ سَأَلَهُمْ خَزَنَتُهَا أَلَمْ يَأْتِكُمْ نَذِيرٌ ﴿٨﴾ قَالُوا بَلَىٰ قَدْ جَاءَنَا نَذِيرٌ فَكَذَّبْنَا وَقُلْنَا مَا نَزَّلَ اللَّهُ مِن شَيْءٍ إِنْ أَنتُمْ إِلَّا فِي ضَلَالٍ كَبِيرٍ ﴿٩﴾ وَقَالُوا لَوْ كُنَّا نَسْمَعُ أَوْ نَعْقِلُ مَا كُنَّا فِي أَصْحَابِ السَّعِيرِ ﴿١٠﴾ فَاعْتَرَفُوا بِذَنبِهِمْ فَسُحْقًا لِّأَصْحَابِ السَّعِيرِ ﴿١١﴾ } صدق الله العظيم [الملك 7-11].

Na miongoni mwao ni wale ambao aliwambia wao Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kua hakika mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad tuka wanyamazisha kwa utawala wa ilimu kunyamaza, Na haikua hoja yao ila wasema kutoka kwa nafsi zao hakika ya Al'Imam Al'Mahdi hasemi kua yeye ni Al'imam Al'Mahdi, Na madamu umesema kua wewe ni Al'imam Al'Mahdi kwahivo wewe sio Al'imam Al'Mahdi! Kisha twasmamisha hoja ju yao ya fedheha kwa wote na tuwambie wao: Enyi ma3ashara ya wanazuoni wa umma je mwaweza kuniletea hadithi moja katika sunna ya Nabawia kutoka kwa Muhammad Mtume wa Allah kua yeye amesema hakika Al'Imam Al'Mahdi hasemi kua yeye ni Al'Imam Al'Mahdi? Na hivo ili tuipitishe hi hadithi ju ya kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim basi tuichunguze ile inao kiri hi hadithi ikiwa ni kutoka kwa Mtume wa Allah ama tuibomoe kuibomoa kutoka kwa ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim ikiwa sio kutoka kwa Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu

Aleyhi wa Alihi wa Salam!
Lakini mimi enyi ma3ashara ya wanazuoni wa umma nimetafuta hio hadithi kutoka kwa Nabi kua Asema: Hakika ya Al'Imam Al'Mahdi hasemi kua yeye ni Al'imam Al'Mahdi basi sikuipata katika neno la kutafuta sach; Yani kua hakuna uwepo kwa hi hadithi baina ya hadithi zote zilio kuja kutoka kwa Nabi iwe sawa hadithi ambazo ni mutafaq ju yake ama ambazo ni mutawatira awu ahaad awu zile dhaifu, Basi eee maajabu basi eee maajabu! Wala sikupata hadithi moja kutoka kwa Nabi baina ya ma hadithi zote zilio kuja kutoka kwa Nabi kua yeye amesema hakika Al'Imam Al'Mahdi hasemi kua yeye ni Al'Imam Al'Mahdi, Na je mwaweza kuniletea hi hadithi ili tuipitishe kwa kitabu cha Allah? Ama kua nyinyi ndio mumeizua hi hadithi kutoka kwa nafsi zenu na mwajadiliana na mimi nayo miyaka kumi na tano nayo haipatikani katika vitabu vote va hadithi kutoka kwa Nabi?! Basi mukisema bali iko hadithi kitoka kwa Nabi Amesema Al'Imam Al'Mahdi Hasemi kua yeye ni Al'Imam Al'Mahdi kisha nawambia Nyinyi: Basi nileteni ikiwa nyinyi ni wa kweli, La sivo basi nani ambae ni dhalimu zaidi kuliko yule amezua ju ya Mtume wa Allah urongo basi ajitayarishe mkalio yake motoni, Lakini hakika mimi sikuipata hata katika ma hadithi za uzishi, Basi haikutokezea kwangu katika maneno ya kutafuta katika intarnet ya ulimwengu, Na kwani je mumeitengeza hi hadithi kutoka kwa nafsi zenu? Bali na mukatafikiana ju yake?!

Nimemtradhilia Allah ama Awahidishe haraka yule Atakae Jua katika Moyo wake kheri miongoni mwenu katika wale ambao lau ikibainika kwao njia ya haki wangeifwata, Ama wale wamefanya kiburi na ikawachukua utukufu kwa dhambi basi nimetaradhila kwa Allah Awapunguze umri yao kwa ile wanao ita virusi ya corona ama virusi yenye adhabu kali na mbinu kutoka kwa Allah pana, Basi nani atawaondoshea Adhabu Yake enyi ma3ashara ya wakanushaji kutokana na kitabu chake Al'Quran Al3adhim ikiwa nyinyi ni wakweli, Basi bado wanazali wanajeshi wa Allah wadogo corona wanashabulia vita vake va ulimwengu ili kuwalazimisha ulimwengu kwa Khalifa wa Allah Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Na inao kuja ni kuu, Mola Mlezi Samehe na Hurumia Ufunguwe baina yetu na baina ya wahalifu katika ulimwengu kwa haki Hakika Wewe Mbora Wa Ukombozi.

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamduliah Rabilalamin..
Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
خليفة الله وعبده الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
________

اقتباس المشاركة 331701 من موضوع بيانٌ هامٌّ إلى الذين يعقلون في العالمين ..


الإمام ناصر محمد اليماني
04 - ذو القعدة - 1441 هـ
25 - 06 - 2020 مـ
12:33 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

[ لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان ]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=331691
____________


بيانٌ هامٌّ إلى الذين يعقلون في العالمين ..

بسم الله الرحمن الرحيم، والصّلاة والسّلام على النبيّ الأميّ الذي لا يقرأ ولا يكتب (محمدٍ رسولِ الله) بالقرآن العظيم، ثم أمّا بعد..

ويا أمّ سجا، لقد اتّخذتُ القرار بعدم الحوار إلا مع مفتي الدّيار بعد أن أعطيتُ فرصة خمسةَ عشرَ عاماً لعامّة الناس وعلمائهم خطباء منابرهم، وأجبرتيني على الردّ كونك تزعمين أنَّكِ من المُصدّقين بأنّي الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني، ولكنّك يا أم سجا تريدين أن تشهدي أنّ الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ رسولٌ من ربّ العالمين، وإنّك لَمِن الكاذبين فلا ينبغي للهِ ربّ العالمين أن يناقض نفسه في مُحكم كتابه! فكيف يفتينا الله في محكم كتابه أنّ محمداً رسول الله هو خاتم النبيّين، إذاً كيف يناقض الله فتواه فيجعل الإمام المهديّ رسولاً جديداً من ربّ العالمين؟! أفلا تعقلين؟ بل معتقدك هذا كفرٌ بقول الله تعالى:
{ مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَاۤ أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمۡ وَلَـٰكِن رَّسُولَ ٱللَّهِ وَخَاتَمَ ٱلنَّبِیِّـۧنَۗ وَكَانَ ٱللَّهُ بِكُلِّ شَیۡءٍ عَلِیمًا } صدق الله العظيم [الأحزاب: 40].

إذاً فكيف يبعث الله المهديّ رسولاً جديداً؟ سبحانه فلن يناقض كلامه في محكم كتابه، بل يبعث الله الإمام المهديّ ناصرَ محمدٍ؛ أي ناصراً لما جاء به خاتم الأنبياء والمُرسَلين محمدٌ رسولُ الله صلى الله عليه وآله وأسلِّمُ تسليماً، وعليه أقول أنّك لم تأتي تريدين الحقّ بل وتفترين أنّ محمداً رسول الله كان يقرأ ويكتب!

ويا أمّ سجا، والله الذي لا إله غيره لو كان محمدٌ رسولُ الله يقرأ ويكتب إذاً لارتاب في شأنه شياطين البشر المُبطلون من اليهود الذين علِموا أنّه نبيٌّ من ربّ العالمين كما يعرفون أبناءهم ثم صدّوا عنه المبطلون صدوداً، وأمّا البرهان الذي جعلهم يوقنون أنّه محمدٌ رسولُ الله هو أنّهم وجدوه أمّيّاً لا يقرأ ولا يكتب ولذلك علِموا أنّه النبيّ الأمّي المكتوب عندهم في التوراة والإنجيل، تصديقاً لقول الله تعالى:
{ الَّذِينَ يَتَّبِعُونَ الرَّسُولَ النَّبِيَّ الْأُمِّيَّ الَّذِي يَجِدُونَهُ مَكْتُوبًا عِندَهُمْ فِي التَّوْرَاةِ وَالْإِنجِيلِ يَأْمُرُهُم بِالْمَعْرُوفِ وَيَنْهَاهُمْ عَنِ الْمُنكَرِ وَيُحِلُّ لَهُمُ الطَّيِّبَاتِ وَيُحَرِّمُ عَلَيْهِمُ الْخَبَائِثَ وَيَضَعُ عَنْهُمْ إِصْرَهُمْ وَالْأَغْلَالَ الَّتِي كَانَتْ عَلَيْهِمْ ۚ فَالَّذِينَ آمَنُوا بِهِ وَعَزَّرُوهُ وَنَصَرُوهُ وَاتَّبَعُوا النُّورَ الَّذِي أُنزِلَ مَعَهُ ۙ أُولَٰئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ } صدق الله العظيم [الأعراف: 157].

وبما أنّه مكتوبٌ في التوراة والإنجيل أنّ رسولَ الله محمداً نبيٌّ أمّيٌّ لا يقرأ ولا يكتب ولذلك لم يشكّوا أنّه النبيّ الأميّ مثقال ذرّة، وذلك بسبب أنّه أمّيٌّ ورغم ذلك يقصّ في هذا القرآن على بني إسرائيل أكثر الذي هم فيه يختلفون برغم أنّه أميٌّ لا يقرأ ولا يكتب؛ ولذلك علِموا أنّه حقّاً الرسول النبيّ الأميّ المكتوب عندهم في التوراة أنّه نبيٌّ أميٌّ، وأمّا لو وجدوا أنّ محمداً رسول - صلى الله عليه وآله وسلّم - يقرأ ويكتب إذاً لشكّوا في أمره كون خاتم الأنبياء والمُرسَلين المكتوب عندهم في التوراة لَيعلمونَ اليهود أنّه نبيٌّ أميٌّ لا يقرأ ولا يكتب، ولو وجدوه أنّه يقرأ ويكتب لارتاب في أمره شياطين البشر المبطلون من اليهود، ولذلك قال الله تعالى:
{ وَمَا كُنتَ تَتْلُو مِن قَبْلِهِ مِن كِتَابٍ وَلَا تَخُطُّهُ بِيَمِينِكَ إِذًا لَّارْتَابَ الْمُبْطِلُونَ } صدق الله العظيم [العنكبوت: ٤٨].


وبسبب أنّه أميٌّ لا يقرأ ولا يكتب علِموا عِلم اليقين أنّه النبيّ الأميّ المكتوب عندهم في التوراة والإنجيل فكذّب به المُبطِلون منهم بعد ما علِموا عِلم اليقين أنّه النبيّ الأميّ، ولذلك قال الله تعالى:
{ ٱلَّذِینَ ءَاتَیۡنَـٰهُمُ ٱلۡكِتَـٰبَ یَعۡرِفُونَهُۥ كَمَا یَعۡرِفُونَ أَبۡنَاۤءَهُمۡۖ وَإِنَّ فَرِیقاً مِّنۡهُمۡ لَیَكۡتُمُونَ ٱلۡحَقَّ وَهُمۡ یَعۡلَمُونَ } صدق الله العظيم [البقرة: 146].

ويا أمّ سجا، كوني من الشاكرين خيراً لكِ، ونأمر أن لا يعتمدوا طاقم الإدارة أنّكِ من الأنصار السابقين الأخيار، فلستِ من أنصار الإمام المهديّ بسبب معتقدكِ بالباطل كونكِ تعتقدين أنّ الله يبعث الإمام المهديّ المنتظر رسولاً من ربّ العالمين، فهذا معتقدٌ باطلٌ مخالفٌ لمُحكم القرآن العظيم، بل
المعتقد الحقّ هو أنّ الله يبعث المهديّ المنتظر ناصرَ محمدٍ؛ أي ناصراً لما جاء به محمدٌ رسول الله وفي ذلك تكمن حكمة التواطؤ للاسم محمد في اسم الإمام المهديّ ناصر محمد، ولذلك لا يجوز للمسلمين في عقيدة بعث الإمام المهديّ المنتظر إلا أن يعتقدوا أنّ الله لن يبعث الإمام المهديّ رسولاً ولا نبيّاً، بل المعتقد الحقّ هو أن تعتقدوا أنّ الله يبعث الإمام المهديّ ناصرَ محمدٍ، ما لم فقد كفرتم بقول الله تعالى: { مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَاۤ أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمۡ وَلَـٰكِن رَّسُولَ ٱللَّهِ وَخَاتَمَ ٱلنَّبِیِّـۧنَۗ وَكَانَ ٱللَّهُ بِكُلِّ شَیۡءٍ عَلِیمًا } صدق الله العظيم [الأحزاب: 40].

وما ينبغي للإمام المهديّ ناصر محمد أن يبعثه الله متّبعاً لأهوائِكم! فاذهبي للمهديّين الممسوسين الذين تتخبّطهم مُسوس الشياطين وسوف يُصدّقوا معتقدكِ الباطل، فمنهم من يقول أنّه نبيٌّ ومنهم من يقول أنّه رسولٌ ومنهم من يقول أنّه محمدٌ رسولُ الله وأنّ روح النبيّ محمد تنزل في جسده، بل يتخبّط جسدَه مسُّ شيطانٍ رجيمٍ، ومنهم من يقول أنّه رسولُ الله المسيح عيسى بن مريم وأنّ روح المسيح غشيَت جسده! بل غشيَه مسّ شيطانٍ رجيم، والحكمة الشيطانيّة من ذلك حتى يُعرض المسلمون عن الإمام المهديّ المنتظر الحقّ من ربّهم فيظنّوه ليس إلا كمثل الذين سبقوه وفي عصره ممّن يَدَّعون المهديّة وسرعان ما يغلبهم أبسط علماء المسلمين فيقيمون عليهم الحجّة فيلجمونهم إلجاماً، ولكنّ الإمام المهديّ ناصر محمدٍ اليمانيّ ليس بمجنون بل عاقلٌ وأقيمُ الحجّة بالحقِّ على العُقلاء بكلّ بساطةٍ بسلطان العلم من مُحكم القرآن بالقرآن الذي يجد كلّ إنسان عاقل أنّه البيان الحقّ من ربّه لا شكّ ولا ريب؛ كونها لا تعمى الأبصار عن التمييز بين الحقّ والباطل إذا تمّ استخدام العقل، تصديقاً لقول الله تعالى:
{ یُؤۡتِی ٱلۡحِكۡمَةَ مَن یَشَاۤءُۚ وَمَن یُؤۡتَ ٱلۡحِكۡمَةَ فَقَدۡ أُوتِیَ خَیۡراً كَثِیرًاۗ وَمَا یَذَّكَّرُ إِلَّاۤ أُو۟لُوا۟ ٱلۡأَلۡبَـٰبِ } صدق الله العظيم [البقرة:269].

وأما الذين رفضوا أن يستخدموا عقولهم فلن يهديهم الله في كلّ زمانٍ ومكانٍ، بل هدى الله من عباده فقط الذين لا يقاطعون بل يستمعون القول أولاً فمن ثم يتّبعون أحسن ما قبِلته عقولهم، تصديقاً لقول الله تعالى:
{ الَّذِينَ يَسْتَمِعُونَ الْقَوْلَ فَيَتَّبِعُونَ أَحْسَنَهُ أُولَٰئِكَ الَّذِينَ هَدَاهُمُ اللَّهُ وَأُولَٰئِكَ هُمْ أُولُو الْأَلْبَابِ } صدق الله العظيم [الزمر:18].

بل بيانات الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ حتماً تجدون عقولكم تُسلّم للبيان الحقّ تسليماً كونها لا تعمى أبصار العقول المتفكّرة إذا تمّ عرض البيان الحق عليها، وأمّا أصحاب الاتّباع الأعمى لأسلافهم دونما يستخدمون عقولهم فيما وجدوا عليه سلَفهم أحقٌّ هو أم باطلٌ لم تقبله عقولهم فأبَوا استخدام عقولهم فأولئك قومٌ لا يعقلون من أصحاب النار بسبب عدم استخدام العقل لم يهتدوا إلى الحقّ في الحياة الدّنيا ويُعرِضون عن داعيَ الحقّ من ربّهم الذي تخضع لمنطق دعوته عقولهم فأبوا إلا أن يتّبعوا أسلافهم اتّباعاً أعمى دونما استخدام العقل، ولذلك قال الله تعالى: { إِذَا أُلْقُوا فِيهَا سَمِعُوا لَهَا شَهِيقًا وَهِيَ تَفُورُ ﴿٧﴾ تَكَادُ تَمَيَّزُ مِنَ الْغَيْظِ ۖ كُلَّمَا أُلْقِيَ فِيهَا فَوْجٌ سَأَلَهُمْ خَزَنَتُهَا أَلَمْ يَأْتِكُمْ نَذِيرٌ ﴿٨﴾ قَالُوا بَلَىٰ قَدْ جَاءَنَا نَذِيرٌ فَكَذَّبْنَا وَقُلْنَا مَا نَزَّلَ اللَّهُ مِن شَيْءٍ إِنْ أَنتُمْ إِلَّا فِي ضَلَالٍ كَبِيرٍ ﴿٩﴾ وَقَالُوا لَوْ كُنَّا نَسْمَعُ أَوْ نَعْقِلُ مَا كُنَّا فِي أَصْحَابِ السَّعِيرِ ﴿١٠﴾ فَاعْتَرَفُوا بِذَنبِهِمْ فَسُحْقًا لِّأَصْحَابِ السَّعِيرِ ﴿١١﴾ } صدق الله العظيم [الملك 7-11].

ومنهم الذين قال لهم الإمام المهديّ ناصرُ محمدٍ اليماني أنّي الإمام المهديّ ناصرُ محمدٍ وألجمناهم بسلطان العلم إلجاماً، وما كان حجّتهم إلا أن قالوا من عند أنفسهم: "إنّ الإمام المهديّ لا يقول أنّه الإمام المهديّ، وما دام قلتَ أنّك الإمام المهديّ إذاً فأنت لست الإمام المهديّ."! فمِن ثمّ نقيم عليهم الحجّة الفاضحة أجمعين ونقول لهم: يا معشر علماء الأمّة هل تستطيعون أن تأتوني بحديثٍ في السُّنّة النبويّة عن محمدٍ رسولِ الله أنّه قال إنّ الإمام المهديّ لا يقول أنّه الإمام المهديّ؟ وذلك حتى نعرض هذا الحديث على كتاب الله القرآن العظيم فنستنبط ما يقرّ هذا الحديث إن كان عن رسول الله أو ننسفه نسفاً من محكم القرآن العظيم إذا لم يكن عن محمدٍ رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم!

ولكنّي يا معشر علماء الأمّة بحثتُ عن حديثٍ عن النبيّ أنّه يقول: "إنّ الإمام المهديّ لا يقول أنّه الإمام المهديّ." فلم أجده في كلمات البحث؛ بمعنى أنّه لا وجود لهذا الحديث بين كافّة الأحاديث الواردة عن النبيّ سواء الأحاديث المُتّفق عليها أو المتواترة أو الآحاد أو الضعيفة، فيا للعجب.. فيا للعجب!! فلم أجد حديثاً عن النبيّ بين كافّة الأحاديث الواردة عن النبيّ أنّه قال إنّ الإمام المهديّ لا يقول أنّه الإمام المهديّ، فهل تستطيعون أن تأتوني بهذا الحديث كي نعرضه على كتاب الله؟ أم أنّكم أنتم من افترى هذا الحديث من عند أنفسكم وتجادلونني به خمسة عشر عاماً وهو لا يوجد في أيٍّ من كتب الحديث عن النّبيّ؟! فإن قلتم: "بل يوجد حديث عن النبيّ قال إنّ الإمام المهديّ لا يقول أنّه الإمام المهديّ!" فمَن ثمّ نقول لكم: فأتوني به إن كنتم صادقين، ما لم فمَن أظلم ممّن افترى على رسول الله كذِباً فليتبوّأ مقعده من النار، ولكنّي لم أجده حتى في الأحاديث المفتراة، فلم يظهر معي في كلمات البحث في الإنترنت العالميّة، فهل اختلقتم هذا الحديث من عند أنفسكم؟ بل واتّفقتم عليه؟!

رجوتُ من الله إمّا أن يهديَكم عاجلاً (مَن عَلِم أنّ في قلبه خيراً منكم من الذين لو تبيّن لهم سبيل الحقّ لاتّبعوه) وأما الذين استكبروا وأخذتهم العزّة بالإثم فرجوتُ من الله أن يقصم أعمارهم بما يسمّونه فيروس كورونا أو فيروس ذا عذابٍ شديدٍ وكيداً من الله متين، فمن يصرف عنكم عذابه يا معشر المعرضين عن كتابه القرآن العظيم إن كنتم صادقين؟
فلا تزال جنود الله الصغرى كورونا تشنّ حربها العالميّة لإخضاع العالمين لخليفة الله المهديّ ناصر محمد اليمانيّ، والقادم أعظم، ربّ اغفر وارحم وافتح بيننا وبين المُجرمين في العالمين بالحقّ وأنت خير الفاتحين.

وسلامٌ على المُرسَلين والحمدُ للهِ ربِّ العالمين..
خليفة الله وعبده الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
______________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..