Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
14 - 11 - 1436 هـ
29 - 08 - 2015 مـ
07:12 مساءً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=23946

ــــــــــــــــــــــ


بيان السّياسة الدعويّة للإمام المهديّ ناصر محمد اليماني وأنصاره في العالمين ..
Bayana Ya Siyasa Ya Ulinganizi Ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Ma Ansar Wake Katika Ulimwengu ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Wote Ma Nabi Na Mitume Na Watu Wao Walio Wazuri Walio Tahirika Kutoka Wakwanza Wao Mpaka Aliokhitimisha Kwao Muhammad Mtume Wa Allah, Hatutafautishi Baina Ya Yoyote Katika Mitume Wake Na Sisi Kwake Waislamu, Ama Baada Ya Hapo..


Na enye ma3ashara Ya Ma Ansar walio tangulia walio bora, Ju yenu kua muchunge kufwata siyasa za zama za sasa! Basi chungeni kufwata tena inchungeni kwakua nayo ni urongo chini ya jina la siyasa! Lkini siyasa ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ni siyasa ya ukweli na tunazungumza ukweli kwenye maongezi yetu na kwenye ulinganizi wetu katika ukweli sahihi kabisa, Na kwa siyasa ya ukweli hatimai watu watakua na sisi ndio watatufwata, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na kuweni pamoja na wakweli } Sadaqa Allah Al3adhim [ Altawuba:119].
{{{{{{{ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَكُونُوا مَعَ الصَّادِقِين }}}}}}}
صدق الله العظيم [التوبة:119].


Kwa hayo basi sisi tuna'haramisha ju yenu urongo chini ya jina la siyasa, Haihat Haihat! Basi yule ambae ni katika ansar wangu atakiwa afanye siyasa yake ya ulinganizi kwa ukweli, Na hio ndio siyasa ya kukinaisha kwa haki.


Na nawapenda kwajili ya Allah, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_______