النتائج 1 إلى 1 من 1

الموضوع: Tangazo ya Hali Ya kueneza Uvumi Ya habari Ya Kuliwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh..

هذا أحد المواقع الثانوية الخاصة بتبليغ دعوة الإمام المهدي المنتظر ناصر محمد اليماني والتي لا تتضمن أية أقسام خاصة ولا رسائل ولا عضويات وبالتالي لا يمكن المشاركة فيها ولا استرجاع الحسابات المفقودة عبرها، يوجد هنا فقط موسوعة البيانات مع الترجمة لبعضها إلى مختلف اللغات، ولا يتواجد الإمام المهدي إلا في الموقع الرسمي الوحيد منتديات البشرى الإسلامية والنبإ العظيم، وهناك يمكنكم التسجيل والمشاركة والمراسلة الخاصة وأهلاً وسهلاً بكم.

مصدر الموضوع
 1. Tangazo ya Hali Ya kueneza Uvumi Ya habari Ya Kuliwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh..

  مصدر المشاركة
  Hivi punde..... Tangazo ya Hali Ya kueneza Uvumi Ya habari Ya Kuliwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh..


  Hi Bayana Ameiandika
  Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani

  Tarehe Rabi Alawal - 1439 hijria-26
  14 - 12 - 2017
  Asubuhi 10:07
  - 3 -
  Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
  الإمام ناصر محمد اليماني
  26 - ربيع الأول - 1439 هـ
  14 - 12 - 2017 مـ
  10:07 صباحاً
  ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
  [ لمتابعة رابط المشاركـة الأصليّة للبيان ]
  https://www.mahdi-alumma.com/forum/showthread.php?p=276561
  ____________

  Tangazo ya Hali Ya kueneza Uvumi Ya habari Ya Kuliwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh

  (( Nukulu kutoka kwa Bayana Ameiandika Al’Imam Mkarimu kabla ya myaka miwili na bada yake ni bayana ilio toka hivi punde ))
  Nukulu yenyewe:*

  الخميس 23 - 08 - 1436 هـ
  10 - 06 - 2015 مـ
  03:55 صباحاً
  الإمام ناصر محمد اليماني
  ______________________


  Nukulu Ya Kushiriki:191908 Kutoka kwa Maudhui: Haitakiwi Kwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh Kwamba Auliwe Kabla Hajamkabidhi uongozi Wa Yemen Kwa Al’Imam Al’Mahdi
  Nasser Muhammad Al’Yamani..

  Haitakiwi Kwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh Kwamba Auliwe Kabla Hajamkabidhi uongozi Wa Yemen Kwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani ..
  Bismillah Al’Rahman Al’Rahim
  بسم الله الرحمن الرحيم {إِنَّ اللَّهَ بَالِغُ أَمْرِهِ قَدْ جَعَلَ اللَّهُ لِكُلِّ شَيْءٍ قَدْراً} [الطلاق:3].
  {Hakika Allah Atalifikisha Jabo Lake Hakika Amefanya Kila Kitu na Kadara} [Atalaq:3]

  Na Akasema Allah Ta3ala{
  {وَاللَّهُ غَالِبٌ عَلَى أَمْرِهِ وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لا يَعْلَمُونَ} [يوسف:21] صدق الله العظيم.
  Allah Ta3ala Asema:{Na Hakika Allah Atashinda Kwa Jambo Lake Lakini Wengi Wa Watu Hawajuwi} Sadaqa Allah Al3adhim[ Yusuf:21].
  Hivi Hawaoni Haya Kutokana Na Urongo! Na tutajua Na Watajua Wote Yupi Kati Yetu Kauli Yake ni Ya Kweli, Fa Wallah Ambae Hapana Mola Ila Yeye Wala Habudiwi Ispokua Yeye Lau Watakusanyika Mbele Yangu Ulimwengu Mzima Na Wakasema Kwa Ulimi Moja:” Hakika Ameuliwa Ali Abdallah Swaleh” Nigewajibu Hapo Hapo Na Niseme: Hakika Nyinyi Ni Warongo, Na Jee Mwajua Kwa Nini Nitakadhibisha Habari Yao Wote? Na Hivo Ni Kwajili Mimi Najua Kwa kujuwa Kwa Yakini kwamba Mimi Sijasema Urongo Juu Ya Mola Mlezi Wangu Allah Subhanahu Yeye Ndio Amenipa Fatwa Kwenye Ndoto Saba Kwamba Yule Atakae Mkabidhi Uongozi Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Ni Ali Abdallah Swaleh, Na Alikua Anionesha Mola Mlezi Wangu Sura Zake N Yeye Yuko Hai Anaruzukiwa, Na Vipi Atauliwa Na Yeye Bado Hajamkabidhi Uongozi Kwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani? Na Ya Subhana Allah Al3adhim! Hakika Allah Atalifikisha Jambo Lake Lakini Wengi Wa Watu Hawajuwi.

  Na Kwa Hayo Tutaifanya Upya Fatwa kwa Haki:
  Lau Watakusanyika Wote Waja Wa Allah katika Ufalme Wa Mbingu Na Ardhi Wanataka Kumuwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh Hawangeweza Hata Lau Wtakua Badhi Yao Juu Ya Badhi Wenye Kusaidiana Na Kuinuwana Mngongo Mpaka Akabidhi Uongozi Kwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani, Na Jee Mwajua Wapendwa Wangu Kwa Allah Kwanini Hi Yakini Kamili?
  Na Hivo Ni Kua Mimi Najua Sijamzulia Ju Ya Mola Mlezi Wangu Kwamba Yule Atakae Kumkabidhi Uongozi Wa Yemen Kwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Yeye Ni Raisi Ali Abdallah Swaleh, Lakini Kuweni Kwa Hayo Ni Katika Mashahidi Na Siku Zitabainisha Mkweli Na Mrongo.

  Na Salam Juu Ya Mitume Na Al’Hamdulillah Rabilalamin..
  Ndugu Yenu; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
  ______________
  imeisha nukulu


  Tangazo Ya Hali Ya Kueneza Uvumi Ya Habari Ya Kuliwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh..
  Na Hi Bayana Tumeiandika Kwa Kutangulia Kwa Muda, Kabla Kutangazwa Habari Ya Kuliwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh Kulingana Na Tarehe Ya Kutolewa Bayana kabla Hawaja Mzulia Yeye Uvumi Chanel Za Habari Za Kiarabu Na Za Kimataifa Ambao Ni Wajinga; Wakasema Kwa Ulimi Moja;” Hakika Ameuliwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh”. Lakini Al’Imam Al’Mahdi Hivo Hivo Ameandika Jibu Kutangulia Kabla Ya Zaidi Ya Miyaka Miwili Kurudisha Jibu Juu Ya Ma Chanael Za Binadamu Kabla Ya Habari Na Baada Ya Habari, Wala Hawakumuwa Answar Allah, Wala Hawajamuwa Sanhan, Wala Hakumua Twariq Mtoto Wa Ndugu Yake Kama Wanavo Dai Baadhi yenu.

  Na Ama Kuhusu Mwili Wake Basi Nasema: Ewe Bwana Abdul’Malik Al’Hawuthi Mlete Ali Abdallah Swaleh Mbele Ya Macho Ya Watu Huwenda Wakaona kwa Yakini Kuliwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh, Na Najua Allah Kwa Kumfufua Anaweza Ikiwa Kweli Mumemuwa.

  Na Hatimai Itadhihirika Kisa Cha Kuliwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh ispokua Ni kipindi kama Kipindi cha (Ramiz jala) Mwenye Uoso Tafauti Ambao Kama Kwamba Ni Kweli Ili ipatikani Kutimu Kamera Iliofichwa,
  Basi Hukumu Ni Ya Allah Na Yeye Ni Mwepesi Wa Kufanya Hisabu Kuliko Wote.

  Na Enyi Ma3ashara Ya Ansar Allah Mcheni Allah ikiwa kweli nyinyi ni ansar Allah basi musiende mbio ili muzime Nur Ya Allah kwa kuthibitisha Kutosadiki Aya Ya Kumsadiki Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani, Lakini Allah Atafikisha Jambo Lake, Lakini Wengi Wa Watu Hawajuwi, Na Jee Kwakua Muna Hamu Ya Kumua Kiongozi Ali Abdallah Swaleh ili muthibitishe kwa ulimwengu Kwamba Nasser Muhammad Al’Yamani Ni Mrongo Wala Sio Al’Mahdi Al’Muntadhar Mwenye ilimu ya Kitabu Al’Quran Al3adhim? Na Eee Ya Ajabu! Bali Hoja Juu Yenu Limesimama kwakua Mashia Zaidi Katika Watu Kumjua Al’Imam Al’Yamani, Na Wanajua Bendera Ya Al’Yamani Ndio ina Uongofu Zaidi kuliko zote, Na Wanajua Kwamba Atakae M’asi ataenda Motoni Na Mwisho Muovu Kwakua Atakae M’asi Al’Yamani Al’Muntadhar Khalifa Wa Allah Ambae Analingani Kwa Haki Na Kwa Njia ilio nyoka Kwa Bayana Ya Haki Ya Al’Quran Al3adhim, Lakini Atakae Kata Na Akawa Na kiburi basi hatimai atalaniwa na Allah Kama Alivo Mlani iblisi alio fanya kiburi kwa kutomtii Khalifa Wa Allah Adam kwa Sababu ya Fitna Ya Kiti Cha Khilafa, Basi Mcheni Allah. Wapendwa Wangu Kwa Allah Ma ShiaAlithnaashar Basi Musiwe Wakwanza Walio Mkadhibisha Al’Mahdi Al’Muntadhar Al’Imam Al’Thani Ashar kutoka kwa Al Albeyt, Basi Musiende Mbio Kumkadhibisha Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani Awaadhibu Allah Adhabu Chungu.

  Na Ama Ahlu Alsunna Lakini wao Hawajuwi Kitu Kuhusu Al’Yamani Wala Hawajuwi Kwamba Bendera Yake Ndio ina Uongofu zaidi kuliko bendera Zote Za Binadamu Katika Ulimwengu kwenye zama za fitna, Wala hawajuwi kwamba Yeye analingania Haki na kwa njia ilio nyoka, Na Wala hawajuwi kwamba atakae M’asi ataenda motoni na mwisho muovu; Bali Ma Shia Ndio Wanae Jua Kuhusu Al’Yamani Nasser Muhammad, Na Miongoni Mwao Ni Shekhe Ali Alkurani.

  Na Mujuwe Kwa Kujuwa Kwa Yakini Nyinyi Ewe Fadhilat Al’Shekh Ali Alkurani kwamba Al’Yamani Al’Muntadhar Yeye Dhati Yake Ndio Al’Mahdi Al’Muntadhar Na Lana Ya Allah Juu Ya Warongo Ama Wale Ambao Itawachukuwa Utukufu Kwa Dhambi Ba’ada ilipo Bainika Kwao Uongofu, Basi Mcheni Allah Na Musikize Na Mutii Huwenda Mukarehemewa, Basi Hakuna Kheri Kwa Wale Walio Teka Mji Mkuu Wa Yemen Sanaa Ma Hwuthi Ansar Allah Wala Hakuna Kheri kwa Wale Wanao Kuja Kulekea Sanaa Ma Islahiyin Wafisidifu Kama Wao Mpka Muitikie Ulinganizi Wa Kuhukumiwa Kwa Kitabu Cha Allah Al’Quran Al3adhim Na Sunna Za Mtume Wake Za Haki Alafu Hamutona Kwenye Vifua Venu Haya Kwa Yale Tulio Ya Kidhi Baina Yenu Kw Haki Musalimi Kusalimu Kwa Hukmu Ya Allah Baina Yenu Kwa Yale Mulikua Ndani Yake Munakhitilifiana Ikiwa Kwa Aya Za Allah Muna Ziamini Kwa Yakini.
  Wala Hakufanya Allah Kiongozi Ali Abdallah Swaleh Ni Utawala Wa Ilimu Yangu Juu Yenu Mpaka Musadiki Mufwate Haki; Bali Utawala Wa Ilimu Na Hoja Juu Yenu Naismamisha Kutoka Kwa Muhakam Ilio Wazi Mana Yake Al’Quran Al3adhim Lakini Hamotonijadili Katika Al’Quran Al3adhim ispokokua Nitawazidi Juu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Kwa Utawla Wa Ilimu Inao Nyamazisha Kutoka Kwa Muhakam Al’Quran Al3adhim Na Hayo Baina Yangu Na Baina Yenu.


  Na ewe Ali Abdallah Swaleh ulio jibadilisha Mche Allah Al’Wahid Al’Qahar Hakika Wamekua Raia Wa Yemen baina ya moto mbili Moto Wa Ma Islahiyin Wanao Kuja kutaka Kuingia Sana Na Moto wa Mahwuthiyin Walio iteka Kuitawala Mji Mku Sanaa: Lakini nyote wawili ma dhalimu kwa Raia Wa Yemen; Bali Raia wa Yemen kwa kuhukumiwa na mapoti yote mawili ni wenye kuchukia, Ama munataka kulazimisha watu kwa kukubali hukumu yenu enyi ma3ashara ya ma hawuthiyin na ma islahiyin? Bali kuweni Answar Allah Kwa dhati inje ndani ikiwa nyinyi ni wa kweli lakini simamisheni yale yalio teremshwa juu yenu kwenye Al’Quran Al3adhim, Na Nawaona Kama Mfano Wa Ma Yahudi Na Wakristo Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
  {وَقَالَتِ الْيَهُودُ لَيْسَتِ النَّصَارَىٰ عَلَىٰ شَيْءٍ وَقَالَتِ النَّصَارَىٰ لَيْسَتِ الْيَهُودُ عَلَىٰ شَيْءٍ وَهُمْ يَتْلُونَ الْكِتَابَ ۗ كَذَٰلِكَ قَالَ الَّذِينَ لَا يَعْلَمُونَ مِثْلَ قَوْلِهِمْ ۚ فَاللَّهُ يَحْكُمُ بَيْنَهُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ فِيمَا كَانُوا فِيهِ يَخْتَلِفُونَ (113) وَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّن مَّنَعَ مَسَاجِدَ اللَّهِ أَن يُذْكَرَ فِيهَا اسْمُهُ وَسَعَىٰ فِي خَرَابِهَا ۚ أُولَٰئِكَ مَا كَانَ لَهُمْ أَن يَدْخُلُوهَا إِلَّا خَائِفِينَ ۚ لَهُمْ فِي الدُّنْيَا خِزْيٌ وَلَهُمْ فِي الْآخِرَةِ عَذَابٌ عَظِيمٌ (114) } صدق الله العظيم [البقرة].
  Allah Ta3ala Asema:
  {Na Mayahudi husema: Wakristo hawana lao jambo. Na Wakristo husema: Mayahudi hawana lao jambo. Na ilhali wote wanasoma Kitabu hicho hicho (Biblia). Na kadhaalika walisema wale wasio jua kitu mfano wa kauli yao hii. Basi Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika yale waliyo kuwa wakikhitilafiana (13) Na ni nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anaye zuia misikiti ya Mwenyezi Mungu kutajwa ndani yake jina lake na akajitahidi kuiharibu? Watu hao haitawafalia kuingia humo ila nao wanaogopa. Duniani watapata hizaya na Akhera watapata adhabu kubwa (14)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].

  Na Hivo hivo wanasema ma shia hawana lao jambo ma Sunni, Na ma sunni wasema hawana lao jambo ma shia. Kusadikisha Kauli Ya Allah:

  {كَذَٰلِكَ قَالَ الَّذِينَ لَا يَعْلَمُونَ مِثْلَ قَوْلِهِمْ} صدق الله العظيم البقرة:113]
  Allah Ta3ala Asema:{Na kadhaalika walisema wale wasio jua kitu mfano wa kauli yao hii} Sadaqa Allah Al3adhim[ Albaqara :113], Yani Wale Ambao Hawajuwi Haki Kutoka Kwa Mola Mlezi Wao Na Wao Ni Ma Sunni Na Ma Shia, Lakini hamuna lenu jambo sio ma shia wala ma sunni mpaka musmamishe yale yalio teremshwa juu yenu kutoka kwa Mola Mlezi Wenu Al’Quran Al3adhim basi itikieni ulinganizi wa kuhukumiwa kwa kitabu cha Allah ili nihukumu juu yenu kutoka kwa muhakam ilio wazi mana yake Al’Quran Al3adhim, Na ikiwa mutakata basi nyinyi hamuna lenu jambo bali muko kwa mila ya shetani Rajim, Na Nawabashiria adhabu ya moshi enyi mulio kata kumwitikia Khalifa Wa Allah anae lingania Kwenye Njia ilio Nyoka Al’Imama Al’Mahdi Nasser Muhamad Al’Yamani.

  Na Kuhusu mwenye cheo Kiongozi Ramez Ali Abdallah Swaleh basi namwambia Yeye, Hivi sijakupa fatwa kutoka mwanzo kwa haki kwamba ikiwa hutokabidhi uwongozi kwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Basi Watakuzunguka Ma Viyama na zitakatika kwao ma sababu mpaka isbaki mbele yako ispokua mlango wa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani? Na sio kukabidhi uwongozi ni kwamba bado iko mikononi mwako uongozi na Nguvu Basi Lau ingekua hivo hangeni nionesha Allah kwenye ndoto ya haki kua wewe unaniambia mimi;” Nimekukabidhi uongozi na mimi na mkewangu tuko kwa dhima yako” Nikakwambia: Usiogope Wallahi nitakua kwako kheri kwako kuliko Mtoto wako, Na Hi Inamanisha kwamba wewe umepeana uongozi kwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Na Wewe Huna Uwezo Hata Kujilinda Nafsi Yako Na Watu Wa Nyumba Yako.


  Na ama kuhusu kupeana kwko uongozi kwa Alimam Almahdi Nasser Muhammad Al’Yamani nayo ni maadili kwakua wewe umekua kiongozi kwa nyoyo za raia wa yemen pasi na ma vyama lakini wote raia wako na wewe pamoja ya dhulma yako katika uowongozi wako muda wa miyaka 33, lakini kulinganisha na dhulma ya ma islahiyin na ma hawuthiyin basi imekua dhulma ya Ali Abdallah Swaleh sio ispokua kitone kwenye bahari, lakini kiyasi gani iliwahuzunisha Habari ya kuliwa kwako kwenye chanel za habari lakini mimi Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’yamani najua kwa yakini kwamba mimi sijamzulia Mola Mlezi Wangu Ndoto ya Kuona Kwangu Kukabidhiwa Uwongozi na Ali Abdallah Swaleh hata ingekua wameku’Uwa ange kufufua Allah! Na Ama Kama Watakutafuta Sasa Ba’ada Ya Bayana hi wanataka kuku’uwa basi Allah atawalani na akuokowe na mbinu zao na wala sidhani wao watafanya, Na Hatukanushi Kwamba Wako Katika Ma Ansar Allah wanaume wakweli na wengi wao ni kaumu wahalifu inahisabiwa ju yao, Basi ugopeni fitna hitompata wale walio dhulumu kati yenu peke, Na mujuwe kwamba Allah Adhabu yake ni chungu.

  Eee Wallahi Hakika kuliwa yoyote katika ma ansar Allah na islahiyin na wote ma viyama va kislamu ni hasara kwa Al’imam Al’mahdi Nasser Muhammad Al’yamani na mimi niko na huzuni juu yao wote, Ina lillah wa ina ileyhi rajiun.. Lakini mche Allah ewe mwenye cheo Ya ufalme Suleiman Ibnu Abdulaziz, Na Mcheni Allah enyi ma3ashara ya Mataifa zilio ungana ya fedha ya warabu mumebomoa Yemen yetu Na Mukangamiza wa yemeni wengi, Basi Ugopeni adhabu siku ya moshi nyote na mumwitikie Mlinganizi Wa Allah Kwenye njia ilio nyoka kwa Bayana ya haki ya Al’Quran Al3adhim lakini ameghadhibika Allah kwajili ya Kitabu Chake basi nani atawaokoa na adhabu yake na makafiri wote? Na Hakika Atam’dhihirisha Allah Khalifa Wake Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani juu Ya Binadamu Wote Katika usiku kwa adhabu yenye mbinu, Allahuma Nimebalighisha Allahuma Shuhudia Hakika Wewe Umesema Na Kauli Yako Ya Haki
  {فَإِن تَوَلَّوْا فَقُلْ حَسْبِيَ اللَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ۖ عَلَيْهِ تَوَكَّلْتُ ۖ وَهُوَ رَبُّ الْعَرْشِ الْعَظِيمِ (129)} صدق الله العظيم [التوبة].
  Allah Ta3ala Asema:{Basi wakigeuka, wewe sema: Mwenyezi Mungu ananitosheleza. Hapana mungu isipokuwa Yeye tu. Mimi namtegemea Yeye, na Yeye ndiye Mola Mlezi wa Kiti Kikuu cha Enzi (129)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba].

  Na ama ma3ashara ya wale wana’akhirisha bey3a yao kwa Khalifa Wa Allah wa Kweli Kutoka Mola Mlezi Wao mpaka wangalie jee atamkabidhi uongozi Ali Abdallah Swaleh Lakini Nasema: Wallahi Thuma Wallahi Thuma Wallahi Hakika Mumedhulumu Nafsi Zenu Lakini Ali Abdallah Swaleh Sio Mukubwa Kuliko Allah Na Aya Zake. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
  {تِلْكَ آيَاتُ اللَّهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بِالْحَقِّ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَ اللَّهِ وَآيَاتِهِ يُؤْمِنُونَ (6) وَيْلٌ لِّكُلِّ أَفَّاكٍ أَثِيمٍ (7) يَسْمَعُ آيَاتِ اللَّهِ تُتْلَىٰ عَلَيْهِ ثُمَّ يُصِرُّ مُسْتَكْبِرًا كَأَن لَّمْ يَسْمَعْهَا ۖ فَبَشِّرْهُ بِعَذَابٍ أَلِيمٍ (8)} صدق الله العظيم [الجاثية].
  Allah Ta3ala Asema:{Hizi Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki; basi hadithi gani watakayo iamini baada ya Mwenyezi Mungu na Aya zake (6) Ole wake kila mzushi mwenye dhambi (7) Anaye sikia Aya za Mwenyezi Mungu akisomewa, kisha anashikilia yale yale aliyo katazwa, na anajivuna, kama kwamba hakuzisikia. Basi mbashirie adhabu chungu (8)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aljathia].

  Na lakini kwa maskitiko huowenda ba’adhi za nyoyo zilio finikika wanasema:” Bali Tutasubiri mpaka ibainike kwetu jee Ali Abdallah swaleh yuko hai anaruzukiwa basi hatimai ataenda Kumkabidhi uowongozi kwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani”. Na Alafu Nasmamisha Juu Yenu Hoja kwa Haki na Nawambie Nyinyi: vipi mutajenga akida zenu juu ya kuona ndoto! Lakini musibadilishe Maneno Ya Allah Bora Kwenu, Na Jee Munamwabudu Allah Ama Ali Abdallah Swaleh? Muna Nini mwahukumu vipi! Bali pelelezeni utawala wa ilimu ya bayana ya haki ya Al’Quran kwnye Mkusanyiko wa Ma Bayana na mulinganishe baina ya Ma Tafsiri ya Wanazuoni wenu na baina ya Bayana ya Alimam Almahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Ya Al’Quran kwa Al’Quran Na Kwa Ma Hadithi ya Sunna Za Kinabawi za kweli amabzo hazikhalifu muhakam ilio wazi mana yake Al’Quran Al’3adhim, Na Natoa Qasam Bi Rabi Al3alamin Qasam Amabyo Mashahidi Juu Yake Wengi Katika Waislamu Kwenye Ulimwengu Hakika Nitawafanya Enyi Ma3ashara Ya Wanazuoni Na Wafwasi Wao baina khiyari Mbili Aidha Mufwate Kitabu Cha Allah Na Sunna Za Mtume Wake Za Kweli Ama Muzikanushe Mufwate Ma Hadithi Za Shetani rajim ambazo zinakhalifu kitabu cha Allah Na Sunna za Mtume Wake Za Kweli alafu ndio Awalani Allah kama Alivo Mlani iblisi lana kuu, Lakini tahadharini wale ambao imebainika kwao ukweli haki kutoka kwa Mola Mlezi Wao na hawakuichukua ni Njia, Na yule itamchukua utukufu kwa dhambi basi jahanam ni makazi hawo ni nasibu sehemu ya shetani katika waja Wa Allah. Na Akasema Allah Ta3ala:


  {لَّعَنَهُ اللَّهُ ۘ وَقَالَ لَأَتَّخِذَنَّ مِنْ عِبَادِكَ نَصِيبًا مَّفْرُوضًا (118)} صدق الله العظيم [النساء].
  Allah Ta3ala Asema:
  {Mwenyezi Mungu amemlaani. Naye Shet'ani alisema: Kwa yakini nitawachukua sehemu maalumu katika waja wako (118)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].

  Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
  Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.

  وسلامٌ على المرسلين والحمد لله ربّ العالمين ..
  خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
  _____________
  Kifurushi Cha Bayan
  https://www.mahdi-alumma.com/forum/showthread.php?p=276573
المواضيع المتشابهه

 1. Tangazo La Bishara Kwa Amri Kutoka Kwa Allah ..
  بواسطة Admin في المنتدى Kiswahili
  مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 10-10-2019, 06:54 PM
 2. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 05-05-2018, 07:56 PM
 3. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 24-04-2018, 12:14 AM
 4. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 22-03-2018, 07:18 PM
 5. مشاركات: 0
  آخر مشاركة: 06-03-2018, 04:15 PM

ضوابط المشاركة

 • لا تستطيع إضافة مواضيع جديدة
 • لا تستطيع الرد على المواضيع
 • لا تستطيع إرفاق ملفات
 • لا تستطيع تعديل مشاركاتك
 •