Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
17 - ذو القعدة - 1444 هـ
06 - 06 - 2023 مـ
08:21 صباحًا
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)
____________



Shambulio kubwa kwa amri ya Al-Aziz Al-Hamid.
قَصْفٌ شَديدٌ بأمرِ العَزيز الحَميد ..



Audhu Billahi Asami3u Al’3alim Minal Shetani Arajim, Bismillah Arahman Arahim;
{إِن يَمْسَسْكُمْ قَرْحٌ فَقَدْ مَسَّ الْقَوْمَ قَرْحٌ مِّثْلُهُ ۚ وَتِلْكَ الْأَيَّامُ نُدَاوِلُهَا بَيْنَ النَّاسِ وَلِيَعْلَمَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا وَيَتَّخِذَ مِنكُمْ شُهَدَاءَ ۗ وَاللَّهُ لَا يُحِبُّ الظَّالِمِينَ ‎﴿١٤٠﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-imran].

Nashuhudia kwamba hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu, peke yake hana mshirika, na ninashuhudia kwamba Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na nashuhudia kwamba mimi ni Imam Mahdi Nasser Muhammad, khalifa wa Mwenyezi Mungu duniani kote.

«Ewe Mwenyezi Mungu, Wewe unayajua tunayoyaficha na tunayoyatangaza, na Wewe ni Mjuzi wa ghaibu, Mwenye kusamehe dhambi, Mwenye kusitiri aibu. Ewe Mwenyezi Mungu, Wewe unajua yaliyomo katika nafsi ya mja wako na Khalifa Wako katika walimwengu wote; Ewe Mola wangu nakushuhudia ya kwamba simombei yeyote katika waja wako isipokuwa adui zako kutoka kwa wanadamu na majini na kila kabila. Ewe Mola nakushuhudia kuwa youote atakae kua ni adui yako mimi ndiye ninayepigana baada yako. Ewe Mola wangu, mimi ni mja wako, nakuomba Mola wangu kwa haki ya hapana mungu ila Wewe peke yako, huna mshirika (na wao wanachukia haki) Na nakuomba kwa haki ya rehema yako uliyojiandikia (na wao wamekata tamaa na rehema yako). Na nakuomba kwa haki kubwa ya neema ya radhi Yako ambayo ni kubwa kuliko neema ya Pepo Yako (na wao wanachukia radhi Yako) Kwamba uvunje mgongo wa kila adui jeuri na mwenye kiburi dhalimu kwako na kwa marafiki zako, ee Mungu, siwezi kuwavumilia zaidi kwa sababu wanazuia mlinganizi Wa ukweli kutoka kwako na wao ni wachukiao ukweli. Ee Mungu, nionyeshe kwa adui zako maajabu ya uwezo wako, Ewe mwepesi wa kuhisabu na mkali wa kuadhibu. Ewe Mola wangu nakushuhudisha wewe na wasaidizi wema ma ansari wa mwanzo walio bora kwamba mimi silipizi kisasi, wala chuki, wala siumizi ila kwa wale waja wako waliomchukulia Mwenyezi Mungu kuwa ni adui, na wakamchukulia Shet'ani kuwa ni rafiki wa karibu.
Ee Mwenyezi Mungu, mimi ni mja wako, ninayo haki ya kukuita dhidi yao, na nina haki ya kuomba msaada wako dhidi yao, na nina haki ya kuniunga mkono dhidi yao kwa nguvu na uwezo wako kwa maneno yako makamilifu. ; Hakika Ulisema na Kauli Yako ni Haki:
{وَلَقَدْ أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ رُسُلًا إِلَىٰ قَوْمِهِمْ فَجَاءُوهُم بِالْبَيِّنَاتِ فَانتَقَمْنَا مِنَ الَّذِينَ أَجْرَمُوا ۖ وَكَانَ حَقًّا عَلَيْنَا نَصْرُ الْمُؤْمِنِينَ ‎﴿٤٧﴾}
Sadaqa Allah Al’3adhim:[Sura:Arum].
Ewe Mola wangu, nashuhudia kwamba wewe ni mkweli na ahadi yako ni kweli, basi niandike pamoja na mashahidi. Ee Mungu, unajua kwamba umenifanya Khalifa wako juu ya ufalme wa walimwengu. Ee Mungu, subira yangu imewaishia ju ya maadui wa radhi Yako katika waja wako wote. Ewe Mwenyezi Mungu, nihukumu baina yangu na wao kwa haki, na wewe ndiye mbora wa washindi. Ee Mungu, ninashuhudia kwamba kwa shida kuna raha na ushindi wa uvumilivu, kwa maana hauvunji ahadi:
{رَبَّنَا لَا تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْ هَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً ۚ إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ ‎﴿٨﴾‏ رَبَّنَا إِنَّكَ جَامِعُ النَّاسِ لِيَوْمٍ لَّا رَيْبَ فِيهِ ۚ إِنَّ اللَّهَ لَا يُخْلِفُ الْمِيعَادَ ‎﴿٩﴾‏}
: [Sura: Al-Imran].

{رَبَّنَا وَاجْعَلْنَا مُسْلِمَيْنِ لَكَ وَمِن ذُرِّيَّتِنَا أُمَّةً مُّسْلِمَةً لَّكَ وَأَرِنَا مَنَاسِكَنَا وَتُبْ عَلَيْنَا ۖ إِنَّكَ أَنتَ التَّوَّابُ الرَّحِيمُ ‎﴿١٢٨﴾‏}
[Sura-Albaqara].

{لَا يُكَلِّفُ اللَّهُ نَفْسًا إِلَّا وُسْعَهَا ۚ لَهَا مَا كَسَبَتْ وَعَلَيْهَا مَا اكْتَسَبَتْ ۗ رَبَّنَا لَا تُؤَاخِذْنَا إِن نَّسِينَا أَوْ أَخْطَأْنَا ۚ رَبَّنَا وَلَا تَحْمِلْ عَلَيْنَا إِصْرًا كَمَا حَمَلْتَهُ عَلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِنَا ۚ رَبَّنَا وَلَا تُحَمِّلْنَا مَا لَا طَاقَةَ لَنَا بِهِ ۖ وَاعْفُ عَنَّا وَاغْفِرْ لَنَا وَارْحَمْنَا ۚ أَنتَ مَوْلَانَا فَانصُرْنَا عَلَى الْقَوْمِ الْكَافِرِينَ ‎﴿٢٨٦﴾‏}
[Sura:Al-Baqara].
[سورة البقرة].

Ee Mungu, ninashuhudia kwamba mimi ni mtumwa wako na Khalifa wako kwa walimwengu wote. Ninakuombea kama mtumishi wako Nooh alivyokuita:
{رَّبِّ لَا تَذَرْ عَلَى الْأَرْضِ مِنَ الْكَافِرِينَ دَيَّارًا ‎﴿٢٦﴾‏ إِنَّكَ إِن تَذَرْهُمْ يُضِلُّوا عِبَادَكَ وَلَا يَلِدُوا إِلَّا فَاجِرًا كَفَّارًا ‎﴿٢٧﴾‏ رَّبِّ اغْفِرْ لِي وَلِوَالِدَيَّ وَلِمَن دَخَلَ بَيْتِيَ مُؤْمِنًا وَلِلْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ وَلَا تَزِدِ الظَّالِمِينَ إِلَّا تَبَارًا ‎﴿٢٨﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Nooh].


Allahuma, nashuhudia kwamba sijakuzulia kwamba umenichagua Khalifa wa ulimwengu wote
(ومَن أظلم مِمَّن افترى على الله كذِبًا؟!)،
(nani mhalifu zaidi kuliko anae Mzulia Mungu Uwongo)?
Ee Mungu, Hakika wao Walinikadhibisha, nipe ushindi kati yangu na maadui zako kutoka kwa waja wako, ukombozi na kuniokoa na wafuasi ma ansari wote wazuri wa zamani na Waislamu wote. Ee Mungu, waongoze wale wote ambao, ikiwa wangejua kuwa umenichagua Khalifa wako juu ya walimwengu wote, basi wanafurahiya, Ee Mungu, toa habari njema kwa mtumwa wako kwa kuwaongoza watumishi wako wote kutoka kwa wanadamu na ma jini na kila jinsi, ewe ambao umetosheleza kila kitu kwa rehema na maarifa hakika uliyosema na Kauli Yako ni kweli:
{وَلَوْ شَاءَ رَبُّكَ لَآمَنَ مَن فِي الْأَرْضِ كُلُّهُمْ جَمِيعًا ۚ أَفَأَنتَ تُكْرِهُ النَّاسَ حَتَّىٰ يَكُونُوا مُؤْمِنِينَ ‎﴿٩٩﴾‏ وَمَا كَانَ لِنَفْسٍ أَن تُؤْمِنَ إِلَّا بِإِذْنِ اللَّهِ ۚ وَيَجْعَلُ الرِّجْسَ عَلَى الَّذِينَ لَا يَعْقِلُونَ ‎﴿١٠٠﴾‏ قُلِ انظُرُوا مَاذَا فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۚ وَمَا تُغْنِي الْآيَاتُ وَالنُّذُرُ عَن قَوْمٍ لَّا يُؤْمِنُونَ ‎﴿١٠١﴾‏ فَهَلْ يَنتَظِرُونَ إِلَّا مِثْلَ أَيَّامِ الَّذِينَ خَلَوْا مِن قَبْلِهِمْ ۚ قُلْ فَانتَظِرُوا إِنِّي مَعَكُم مِّنَ الْمُنتَظِرِينَ ‎﴿١٠٢﴾ ثُمَّ نُنَجِّي رُسُلَنَا وَالَّذِينَ آمَنُوا ۚ كَذَٰلِكَ حَقًّا عَلَيْنَا نُنجِ الْمُؤْمِنِينَ ‎﴿١٠٣﴾‏ قُلْ يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِن كُنتُمْ فِي شَكٍّ مِّن دِينِي فَلَا أَعْبُدُ الَّذِينَ تَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّهِ وَلَٰكِنْ أَعْبُدُ اللَّهَ الَّذِي يَتَوَفَّاكُمْ ۖ وَأُمِرْتُ أَنْ أَكُونَ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ ‎﴿١٠٤﴾‏‏} [Sura:Yunus].

Ee Mungu, Allahuma utaka Allahuma Utaka Allahuma Utaka, kama utakavyo, kwa rehema yako na msamaha mkubwa na upole wako, Ee Mungu, ninashuhudia kwamba nimewasamehe watumishi wako kwa ajili yako (ambao ikiwa wangejua ukweli, wangefwata) Allahuma Waafu na uwasamehe na uongoze mioyo yao kwa ajili ya mtumwa wako na wewe ndiye bora wa kusamehe. Ee Mungu, lengo langu ni kwa nafsi yako limenilazimu kukuuliza msamaha kwa watumishi wako ili uwasikizishe wito wa ukweli kutoka kwa Mola wao na wewe ndiye bora Wa Kusamehe, Ee Mungu, nimemchukua Shetani na walezi wake kama adui kwangu; nisiokoke wakiokoka, Ee Mungu, ; Mimi ju yao nawalipiza Ee Mungu, kutoka kwao, kwa hivyo kulipiza kisasi haraka, na niskizishe kwao, habari ambazo zinanifurahisha, na huondoa hasira ya moyo wangu na huponya kifua changu. Ee Mungu, nipe ushindi juu yao kwa mdogo wa askari wako kama tulivyowaahidi kwa idhini yako. Ewe Mola mimi mtumishi wako Sina haraka na uharibifu wa yeyote wa watumishi wako isipokuwa uharibifu wa maadui zako katika Waarabu na Waajemi, na katika ma jini na kwa mwanadamu na katika kila jinsia, Ee Mungu, umewazunguka wahalifu na unajua kile kilicho kwenye vifua vya walimwengu;
Kutoka kwa mtumwa wako ni dua na kulekea kwako, na kutoka kwako ni majibu hakika kwamba hauvunji ahadi. HasbiaAllahu la ilaha ila Huwa Mungu ananitosha, hakuna Mungu ila Yeye , ninamwamini, na Yeye ndiye Bwana wa Kiti cha Enzi kuu, Na Salam Ju Ya Mitume na Alhamdulillah Rabil3alamin.»


Na mtajua, Enyi wale wanaoficha adhabu ya Mungu, kua hamujafitinika isipokuwa wenyewe, na Mungu atazidisha kwenu kuteswa kwa nguvu yake na uwezo wake, na mutalia kwa ukelele itakavo kua kiburi chenu na kujighuri kwenu.


«Mungu awavunje migongo wa maadui wa Mungu kati yenu, akafupisha maisha yao, na akaharakisha mwisho wao.»


Na yuwaondosha kwa adhabu yake ju ya maadui zake kutoka kwa watumishi wake hasira za mioyo ya watu ambao Mungu Anawapenda na wanampenda, na hasira ya mioyo ya watu wanaoamini, Na vipi nitawaskitikia Juu ya watu wahalifu, maadui wa Mungu katika ulimwengu wote?!


«Allahuma gonga saa ya sufuri Kuu kwa adhabu ya covid ambao ni nzito amabo chungu kwa Kutoka kwako kwa haraka kama kufunga jicho, kwa hivyo huwauwa kwa kusimama na kukaa na pande zao, Ee Mungu, waunge mkono askari wako wadogo na uwafanye janga Kuu ushindi kutoka kwako ushindi Wa utukufu unao wezekana hakika wewe kwa kila kitu Ni mweza; Neema Almawula Wa Neema Alnasir.»



Na ushindi wa Mungu Umekuja na ukombozi kama alivo bainisha mja wake na Khalifa wake juu ya ulimwengu wote; Ikiwa Imam Mahdi Nasser Muhammad Al-Yamani hakika ndiye Khalifa mteule wa Mwenyezi Mungu, basi hukumu ni ya Mwenyezi Mungu, Mmoja, Mtiisha.


«Ewe Mola wazidishie kwa mitingisho vya ulimwengu na va kicorona wasizoziweza kupambana nazo, kwa amri kutoka Kwako, hakika Wewe ni Mwenye kusikia, Mjuzi wa yote. Na uniokoe mimi na waja wako wote ambao lau wangeijua haki wangeliifuata, hakika Mwenyezi Mungu havunji ahadi.»

Kwa hivyo ngojeni, nami niko pamoja na nyinyi Nikingoja.

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Khalifa Wa Allah Ju Ya Ufalme Wa Ulimwengu Wote; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
__________



======== اقتباس =========

اقتباس المشاركة 418764 من موضوع سِلسِلة بيانات فَيروس كورونا وسِرّه المَكنون ..

- 60 -
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
17 - ذو القعدة - 1444 هـ
06 - 06 - 2023 مـ
08:21 صباحًا
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)
[لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=418690
____________



قَصْفٌ شَديدٌ بأمرِ العَزيز الحَميد ..


أعوذ بالله السَّميع العَليم مِن الشيطان الرَّجيم، بسم الله الرحمن الرحيم: {إِن يَمْسَسْكُمْ قَرْحٌ فَقَدْ مَسَّ الْقَوْمَ قَرْحٌ مِّثْلُهُ ۚ وَتِلْكَ الْأَيَّامُ نُدَاوِلُهَا بَيْنَ النَّاسِ وَلِيَعْلَمَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا وَيَتَّخِذَ مِنكُمْ شُهَدَاءَ ۗ وَاللَّهُ لَا يُحِبُّ الظَّالِمِينَ ‎﴿١٤٠﴾‏} صدق الله العظيم [سورة آل عمران].

أشهدُ أن لا إله إلَّا الله وَحده لا شَريك لَه وأشهدُ أنَّ مُحَمَّدًا رسول الله وأشهدُ أنّي الإمام المَهديّ ناصِر مُحَمَّد خليفة الله على العالَم بأسرِه.

«اللهم إنَّك تعلَم ما نُخفي وما نُعلِن وإنَّك عَلَّام الغيوب غَفَّار الذنوب سَتَّار العيوب، اللهمَّ إنَّك تعلَم ما في نفس عبدك وخليفتك على العالَمين؛ اللهمَّ إنّي أُشهِدك أنّي لا أدعو على أحَدٍ مِن عبادك إلَّا على أعدائك مِن الإنس والجِنِّ ومِن كُلِّ جِنس اللهم إني أُشهِدك أنَّه مَن كان عدوًّا لك فإنّي له مِن ألدِّ الخِصام مِن بعدك، اللهم إنّي عبدك سألتك ربي بحقّ لا إله إلَّا أنت وحدك لا شَريك لك (وهُم للحقِّ كارِهون) وسألتك بحقّ رحمتك التي كتبت على نفسك (وهم مِن رحمتك يائسون) وسألتك بحقِّ عَظيم نعيم رضوان نفسك الأعظم مِن نعيم جنتك (وهم لرضوان نفسك كارِهون) أن تقصم ظهر كُلِّ مُتَكبِّرٍ جبَّارٍ عَدوٍّ لك ولأوليائك، اللهم إنِّي لا أطيق المزيد مِن الصَّبر عليهم كونهم يصدّون عن داعي الحقّ مِن عندك وهم للحقِّ كارهون، اللهم أرني في أعدائك عجائب قُدرتك يا سريع الحساب وشديد العِقاب، اللهم إنِّي أُشهِدك والأنصار السَّابقين الأخيار أنّي لا أنقم ولا أحقد ولا آلَم إلَّا على مَن اتَّخذ الله عَدوًّا مِن عبادك واتَّخذوا الشيطان وليًّا حميمًا، اللهم إني عبدك لِي الحَقّ أن أدعوك عليهم ولِي الحَقّ أن أستنصرك عليهم ولِي الحقّ عليك أن تنصُرني عليهم بحولك وقوَّتك بكلماتك التَّامات؛ إنك قُلت وقولك الحَقّ: {وَلَقَدْ أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ رُسُلًا إِلَىٰ قَوْمِهِمْ فَجَاءُوهُم بِالْبَيِّنَاتِ فَانتَقَمْنَا مِنَ الَّذِينَ أَجْرَمُوا ۖ وَكَانَ حَقًّا عَلَيْنَا نَصْرُ الْمُؤْمِنِينَ ‎﴿٤٧﴾} [سورة الروم]. اللهمَّ إنِّي أشهَد أنَّك أنت الحَقّ ووعدك الحقّ فاكتبني مع الشاهدين، اللهم إنَّك تعلم أنَّك جعلتني خليفتك على مَلَكوت العالَمين، اللهم إنَّه نَفد صَبري على أعداء رضوان نفسك في عبادك أجمعين، اللهم افتح بيني وبينهم بالحَقِّ وأنت خير الفاتحين، اللهمَّ إنِّي عبدك أشهَد أنَّ مع العُسْر يُسرًا ومع الصَّبر نَصرًا إنَّك لا تُخلِفُ الميعاد: {رَبَّنَا لَا تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْ هَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً ۚ إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ ‎﴿٨﴾‏ رَبَّنَا إِنَّكَ جَامِعُ النَّاسِ لِيَوْمٍ لَّا رَيْبَ فِيهِ ۚ إِنَّ اللَّهَ لَا يُخْلِفُ الْمِيعَادَ ‎﴿٩﴾‏} [سورة آل عمران].
{رَبَّنَا وَاجْعَلْنَا مُسْلِمَيْنِ لَكَ وَمِن ذُرِّيَّتِنَا أُمَّةً مُّسْلِمَةً لَّكَ وَأَرِنَا مَنَاسِكَنَا وَتُبْ عَلَيْنَا ۖ إِنَّكَ أَنتَ التَّوَّابُ الرَّحِيمُ ‎﴿١٢٨﴾‏} [سورة البقرة].
{لَا يُكَلِّفُ اللَّهُ نَفْسًا إِلَّا وُسْعَهَا ۚ لَهَا مَا كَسَبَتْ وَعَلَيْهَا مَا اكْتَسَبَتْ ۗ رَبَّنَا لَا تُؤَاخِذْنَا إِن نَّسِينَا أَوْ أَخْطَأْنَا ۚ رَبَّنَا وَلَا تَحْمِلْ عَلَيْنَا إِصْرًا كَمَا حَمَلْتَهُ عَلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِنَا ۚ رَبَّنَا وَلَا تُحَمِّلْنَا مَا لَا طَاقَةَ لَنَا بِهِ ۖ وَاعْفُ عَنَّا وَاغْفِرْ لَنَا وَارْحَمْنَا ۚ أَنتَ مَوْلَانَا فَانصُرْنَا عَلَى الْقَوْمِ الْكَافِرِينَ ‎﴿٢٨٦﴾‏}
[سورة البقرة].

اللهمَّ إنِّي أشهَد أنّي عبدك وخليفتك على العالَمين أدعوك كما دعاك عبدك نوح: {رَّبِّ لَا تَذَرْ عَلَى الْأَرْضِ مِنَ الْكَافِرِينَ دَيَّارًا ‎﴿٢٦﴾‏ إِنَّكَ إِن تَذَرْهُمْ يُضِلُّوا عِبَادَكَ وَلَا يَلِدُوا إِلَّا فَاجِرًا كَفَّارًا ‎﴿٢٧﴾‏ رَّبِّ اغْفِرْ لِي وَلِوَالِدَيَّ وَلِمَن دَخَلَ بَيْتِيَ مُؤْمِنًا وَلِلْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ وَلَا تَزِدِ الظَّالِمِينَ إِلَّا تَبَارًا ‎﴿٢٨﴾‏} [سورة نوح].

اللهمَّ إنِّي أشهَد أنّي عبدك لَم أفتَرِ عليك أنَّك اصطفيتني خليفةً على العالَم بأسرِه (ومَن أظلم مِمَّن افترى على الله كذِبًا؟!)، اللهم إنَّهم كَذَّبوني فافتَح بيني وبين أعدائك مِن عبادك فتحًا ونَجِّني وجميع الأنصار السَّابقين الأخيار وجميع المُسلِمين، اللهمَّ واهدِ جميع الذين لو علموا أنَّك اصطفيتني خليفتك على العالَمين فإذا هُم يستبشِرون، اللهمّ بشِّر عبدك بِهُدى كافَّة عبادك مِن الإنس والجِن ومِن كُلِّ جِنسٍ يا مَن وسِعْتَ كُلّ شيءٍ رحمةً وعِلمًا إنك قلت وقولك الحق: {وَلَوْ شَاءَ رَبُّكَ لَآمَنَ مَن فِي الْأَرْضِ كُلُّهُمْ جَمِيعًا ۚ أَفَأَنتَ تُكْرِهُ النَّاسَ حَتَّىٰ يَكُونُوا مُؤْمِنِينَ ‎﴿٩٩﴾‏ وَمَا كَانَ لِنَفْسٍ أَن تُؤْمِنَ إِلَّا بِإِذْنِ اللَّهِ ۚ وَيَجْعَلُ الرِّجْسَ عَلَى الَّذِينَ لَا يَعْقِلُونَ ‎﴿١٠٠﴾‏ قُلِ انظُرُوا مَاذَا فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۚ وَمَا تُغْنِي الْآيَاتُ وَالنُّذُرُ عَن قَوْمٍ لَّا يُؤْمِنُونَ ‎﴿١٠١﴾‏ فَهَلْ يَنتَظِرُونَ إِلَّا مِثْلَ أَيَّامِ الَّذِينَ خَلَوْا مِن قَبْلِهِمْ ۚ قُلْ فَانتَظِرُوا إِنِّي مَعَكُم مِّنَ الْمُنتَظِرِينَ ‎﴿١٠٢﴾ ثُمَّ نُنَجِّي رُسُلَنَا وَالَّذِينَ آمَنُوا ۚ كَذَٰلِكَ حَقًّا عَلَيْنَا نُنجِ الْمُؤْمِنِينَ ‎﴿١٠٣﴾‏ قُلْ يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِن كُنتُمْ فِي شَكٍّ مِّن دِينِي فَلَا أَعْبُدُ الَّذِينَ تَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّهِ وَلَٰكِنْ أَعْبُدُ اللَّهَ الَّذِي يَتَوَفَّاكُمْ ۖ وَأُمِرْتُ أَنْ أَكُونَ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ ‎﴿١٠٤﴾‏‏} [سورة يونس].

اللهمَّ شاء اللهمَّ شاء اللهمَّ شاء كَما تشاء بِرحمتك وعَظيم عَفوك وحِلمك، اللهمَّ إنِّي عبدك أُشهِدك أنِّي عفوتُ عَن عبادك مِن أجلك (الذين لو عَلِموا الحَقَّ لاتَّبعوه) اللهمَّ فاعفُ عَنهم واغفِر لَهُم واهدِ قلوبهم مِن أجل عَبدك وأنت خير الغافرين، اللهم إنَّ هَدَفي في نفسِك أجبَرني أن أطلُب مِنك المغفِرة لعبادك لتُسمِعَهم دعوة الحَقَّ مِن ربِّهم وأنت خير الغافِرين، اللهمَّ إنِّي عبدك اتَّخذتُ الشيطان وأوليَاءه عَدوًّا لِي؛ فلا نجَوتُ إنْ نجوا، اللهم إني عليهم أنقم؛ اللهم فمِنهم فانتَقِم عاجِلًا وأسمِعني فيهم أخبارًا تسُرّني وتُذهِبُ غيْظَ قلبي وتشفي صَدري، اللهم فانصُرني عليهم بأصغر جُندك كما وعدناهم بإذنك، اللهمَّ إنِّي عَبدك لا أستعجل بهلاك أحدٍ مِن عبادك إلَّا هلاك أعدائك في العَرَب والأعاجِم وفي الجِنِّ والإنس وفي كل جنسٍ، اللهمّ إنَّك مُحيطٌ بالمُجرمين وأعلَمُ بِما في صُدورِ العالَمين؛ فمِن عبدك الدُّعاء والإنابة ومِنك الاستجابة إنَّك لا تُخلِف المِيعاد، حسبي الله لا إله إلَّا هو عليه توكلت وهو رَبّ العَرش العَظيم، وسلامٌ على المُرسَلين والحَمدُ لله رَبّ العالَمين».


ولسوف تعلَمون يا مَن يُخفُون عَذاب الله أنَّكم لم تفتِنوا إلَّا أنفسكم فيُضاعِف الله لَكُم عذابه بحوله وقوَّته فتصطرِخون مَهما كان كبرياؤكم وغروركم
.

«قصَم الله ظُهور أعداء الله فيكم وقصَّر أعمارهم وعجَّل بأجَلِهم».

ويُذهِبُ بعذابِه لأعدائه مِن عباده غَيظ قلوبِ قومٍ يُحبِّهم الله ويُحِبُّونه، ويُذهِبُ غيظ قلوب قومٍ مُؤمنين، فكيف آسى على القَومِ المُجرِمين أعداء الله في كافَّة العالَمين؟!


«اللهمّ فلتدقّ ساعة الصِّفر الكُبرى بِعذاب كوفيد العَسِر والنُّكر بأمرٍ مِن عندك كلَمْحٍ بالبَصَر فيَقتلونهم قِيامًا وقعودًا وعلى جُنُوبِهِم، اللهمَّ وانصُر جُنودك الصُّغرى واجعلهم قارعةً كُبرى نَصْرًا عَزيزًا مُقتدِرًا إنَّك على كُلِّ شَيءٍ قَدير؛ نِعْمَ المَولى ونِعْمَ النَّصير».

وجاء نَصْر الله والفَتح كَما بَيَّن عبده (خليفته على العالَم بأسرِه)؛ فإن كان حقًّا الإمام المَهديّ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ خَليفة الله المُختار فالحُكمُ لله الواحِد القَهَّار.

«اللهم فزِدهم بقوارعٍ كونيَّة وكورونيَّة لا قِبَلَ لهم بها بأمْرٍ مِن عندك إنَّك أنت السَّميع العَليم، ونَجِّني وجميع الذين لو علِموا الحَقَّ مِن عِبادك لاتَّبعوه، إنَّ الله لا يُخلِف المِيعاد».

فارتَقِبوا إنِّي مَعكم رَقيب.


وسَلامٌ على المُرسَلين، والحمدُ لله رَبّ العالَمين..
أخوكم خليفة الله على مَلَكَوت العالم بأسرِه؛ الإمام المهديّ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ.
__________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..