- 4 -
[ لمتابعة رابط المشاركـــــــــــــة الأصليّة للبيــــــــــــــان ]
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
11 - 09 - 1435 هـ
08 - 07 - 2014 مـ
09:52 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=1065

ــــــــــــــــــــ


الإمام المهديّ يُفتي بالحقّ عن مكان إقامة الصلاة على الميّت ..
Al'Imam Al'Mahdi Anatoa Fatwa Ya Pahali Pa Kumswalia Maiti ..

اقتباس المشاركة :
"Asili wa mchango hu umeandikwa kwa nji ya alawab"
Imamu Wangu Ambae ni ghali mpendwa tumejua kutoka kwako kua swala ju ya maiti ni kumombea dua nayo ni takbira saba na kwa kila takbira istighfar mara kumi kwa jumla zitakua istghfar sabini zitatosha nyoyo kulainika na jicho kutoa machozi ndio Aitikie Allah Mwenye Huruma ndio Amhurumie Na Suali Hapa Ni:Wapi Tusmamishe Swala Ju Ya Maiti ? Je Katika misikiti kama wanavo fanya sasa ? Ama Kwa Kaburi Lake ?

انتهى الاقتباس
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Khatimu Wa Ma Nabi Na Watu Wa Nyumba Yake Walio Twahirika, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..


Wa'alekom Asalam Wa Rahmatullahi Wa Barakatuhu Wapendwa wangu waulizaji na waislamu wote, Na Nawapa fatwa kwa haki kwamba sio sharti muwaswalie maiti zenu katika misikiti wala hatukatazi kuwaswalia misikitini na inajuzu ju yenu mumswalie yeye wakati munapo mweka katika shimo lake na kabla hamujazika mutasmama kwa makaburi yao ndio muwaswalie wao kwa dua na ilhali mumesimama bila kuruku wala kusujudu, Na ushuhuda baini kwa kujuzu kumswalia maiti baada kumweka katika shimo lake mutaipata kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{ Waombee msamaha au usiwaombee. Hata ukiwaombea msamaha mara sabiini, Mwenyezi Mungu hatawasamehe. Hayo ni kwa sababu ya kuwa wao wamemkataa Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wapotofu (80) Walifurahi walio achwa nyuma kwa kule kubakia kwao nyuma na kumuacha Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walichukia kupigana Jihadi kwa mali zao na nafsi zao, na wakasema: Msitoke nje katika joto! Sema: Moto wa Jahannamu una joto zaidi, laiti wangeli fahamu (81) Basi nawacheke kidogo; watalia sana. Hayo ni malipo ya yale waliyo kuwa wakiyachuma (82) Basi Mwenyezi Mungu akikurudisha kwenye kikundi kimoja miongoni mwao - na wakakutaka idhini ya kutoka - sema: Nyinyi hamtatoka pamoja nami kabisa, wala hamtapigana na adui pamoja nami. Nyinyi mliridhia kukaa nyuma mara ya kwanza, basi kaeni pamoja na hao watakao bakia nyuma (83) Wala usimsalie kabisa yeyote katika wao akifa, wala usisimame kaburini kwake. Hakika hao wamemkataa Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na wakafa na hali ni wapotofu (84)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Altawba].
{اسْتَغْفِرْ لَهُمْ أَوْ لَا تَسْتَغْفِرْ لَهُمْ إِن تَسْتَغْفِرْ لَهُمْ سَبْعِينَ مَرَّةً فَلَن يَغْفِرَ اللَّهُ لَهُمْ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ كَفَرُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ ۗ وَاللَّهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الْفَاسِقِينَ (80) فَرِحَ الْمُخَلَّفُونَ بِمَقْعَدِهِمْ خِلَافَ رَسُولِ اللَّهِ وَكَرِهُوا أَن يُجَاهِدُوا بِأَمْوَالِهِمْ وَأَنفُسِهِمْ فِي سَبِيلِ اللَّهِ وَقَالُوا لَا تَنفِرُوا فِي الْحَرِّ ۗ قُلْ نَارُ جَهَنَّمَ أَشَدُّ حَرًّا ۚ لَّوْ كَانُوا يَفْقَهُونَ (81) فَلْيَضْحَكُوا قَلِيلًا وَلْيَبْكُوا كَثِيرًا جَزَاءً بِمَا كَانُوا يَكْسِبُونَ (82) فَإِن رَّجَعَكَ اللَّهُ إِلَىٰ طَائِفَةٍ مِّنْهُمْ فَاسْتَأْذَنُوكَ لِلْخُرُوجِ فَقُل لَّن تَخْرُجُوا مَعِيَ أَبَدًا وَلَن تُقَاتِلُوا مَعِيَ عَدُوًّا ۖ إِنَّكُمْ رَضِيتُم بِالْقُعُودِ أَوَّلَ مَرَّةٍ فَاقْعُدُوا مَعَ الْخَالِفِينَ (83) وَلَا تُصَلِّ عَلَىٰ أَحَدٍ مِّنْهُم مَّاتَ أَبَدًا وَلَا تَقُمْ عَلَىٰ قَبْرِهِۖ إِنَّهُمْ كَفَرُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَمَاتُوا وَهُمْ فَاسِقُونَ (84)} صدق الله العظيم [التوبة].


Na Tunachunguza kutokana na hayo kujuzu kuwaswalia maiti baada kumweka katika shimo lake, Kisha Ndio munamzika baada kutimiza swala ya janaza, Na wala musiwaswalie wanafiki wale ambao mumejua kua wanadhihirisha imani na wanaficha ukafiri na miongoni mwao wachawi wenye uchawi wa kufarakanisha basi musiswali kwa yoyote alio kufa miongoni mwao kabisa wala musismame kwa makaburi yao, Na vipi mutasmama kwa kaburi la anae kanyaga Al'Quran Al3adhim? Pindi hivo ndio sharti ya mashetani kwa wale wanao wafundisha uchawi wa kutenganisha na urogaji kwa jumla na hawo ndio ma aduwi wakubwa, Hata kam


a mutawaona wameshikana na swala katika nyumba za Allah na nyinyi mwajua kua huyu jama anae jifunga na misikiti hakika anafanya uchawi wa kutenganisha ama kama inavosemekana kua anajumuishw na anatenganisha yani anajumuisha baina ya wawili na anatenganisha baina ya wawili basi hawo ndio wenye uchawi wa kutenganisha ni hatari zaidi katika ma adui wa dini na waislamu na wanahisabiwa ni miongoni wa wanafik basi musiswali ju ya yoyote miongoni mwao amekufa kabisa wal musismame kwa kuswali ju yao kwenye makaburi yao kwakua wamekufa ilhali ni katika wanafiki makafiri, Na twajilinda kwa Allah kutokana na uchawi wao na kutokana na mbinu yao yote, Na tunamwacha Allah kwa Mashingo zao Yeye ni Mola Mlezi wetu Neema Almaula wa Neema Anasir.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin.
Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
________