Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
18 - ذو الحجة - 1435 هـ
13 - 09 - 2014 مـ
11:17 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

ـــــــــــــــــــ


مزيدٌ من بيان الصلوات للسائلين من الأنصار السابقين الأخيار ..
Kuzidisha Zaidi Katika Kubainisha Swala Kwa Waulizaji Katika Ma Anssar Walio Tangulia Walio Bora..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Wote Ma Nabi Wote Na Mitume Na Ahli Zao Walio Wazuri Kutoka Wakwanza Wao Mpaka Alie Wakhitimisha Muhammad Mtume Wa Allah Na Alie Wafwata Mpaka Siku Ya Hisabu, Ama Baada Ya Hapo..




Salam Za Allah Ju Yenu wapendwa wangu ma Anssar walio tangulia walio bora, Na imetangulia awali fatwa yangu kwamba mukiswali pamoja na jamaa katika misikiti kwamba muswali kama wanavo swali ahlu sunna wal jamaa ili musihame Nyumba za Allah kwasababu khitilafu ya swala zenu, Na Atatakabla Allah kwenu na itandikwa kwenu zile raka zaidi katika swala ni nafli kwenu kwa Mola Mlezi wenu kwakua nyinyi munachunga umoja wa umma wenu mpaka watambuwe haki, Na wakati Mukiswali Pekeyenu Basi swalini kama vile nilivo wafundisha kwa haki:


Hakika Ya Swala Ni Rakaa Mbili kwa kila faradhi na swala ya adhuhuri na alasiri ni jam3 taqdim Mukusanyiko wa kutangulia katika swala ya adhuhuri ama jam3 taakhilr mukusanyiko wa kuchelewesha katika swala ya alasiri, Na kuhusu sunna zote za swala basi nazo ni "Tahiaton Li Biyut Allah" Mwamkuzi ya Ma Nyumba Zaa Allah yatekelezwa baina ya adhana na ikama, Na yule hakuhudhuria ila wakati wa kukimu swala basi aswali faradhi kisha aswali sunna baada ya faradhi, Na tu ataswali sunna baada ya faradhi yule hakuswali sunna kabla ya ikama wakati ambao imenadiwa kwajili yake,


Na kuhusu yule ameswali swala ya adhuhuri na alasiri jam3 taqdim mkusanyiko wa kutangulisha basi italipwa kwa zote mbili sunna moja pekeyake, Basi akiswali adhuhuri na alasiri mkusanyiko wa kutangulia jam3 taqdim msikitini basi atekeleze sunna baina ya adhana ya swala ya adhuhuri na ikama ya swala ya adhuhuri, Na wakati akiswali alasiri na adhuhuri mkusanyiko wa kuchelewesha jam3 taakhir basi atekeleze sunna zake baina ya adhana na ikama ya swala ya alasiri kwakua sunna za swala ispokua ni mamkuzi ya nyumba za Allah rakaa mbili wakati unapo hudhuria swala ya faradhi ya wakati wake ile ambao imetimu kuitwa kwajili yake, Kusadikisha kwa hadithi ya Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[ إذا دخل أحدُكم المسجدَ فلا يجلس حتى يصلي ركعتين ] صدق عليه الصلاة والسلام.
[ Akingia Moja Wenu Msikitini Basi Asikae Mpaka Aswali Raka Mbili ].
Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Alsalam.


Na anakusudia wakati wakufika msikitini ili asubiri ikama ya swala basi asikae kungoja ikama ya swala mpaka aswali rakaa mbili na hio ndio sunna katika ma Nyumba za Allah pekyake, Na wala hakuna tashahud ya kati Kwenye sunna bali ni tashahud ya mwisho pekeyake.


Na kama vile niliwafundisha kabla basi kuhusu raka mbili za faradhi Basi baina yao kuna tashahud ya kati baina raka ya kwanza na ya pili kama ifwatavo:
{شَهِدَ اللَّـهُ أَنَّهُ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ وَالْمَلَائِكَةُ وَأُولُو الْعِلْمِ قَائِمًا بِالْقِسْطِ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ (18)} [آل عمران].
{ Shahahida Allah Anahu La Ilaha ila Huwa Walmalaika Wa Ululilmi Qaiman Bilqisti La ilaha ila Huwa Al3azizu Al'Hakim (18)} [Alamran].
{رَبَّنَا لاَ تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْ هَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ (8)} [آل عمران].
{ Rabna La Tuzigh Qulubana Baada idh Hadeitana Wa Hablna Min Ladunka Rahmatan inaka Anta Alwahab (8)} [Alamran].
Kisha asmame kutekeleza raka ya pili, Kisha asome baina ya siri na kutoa sauti katika nafsi yake basi asitowe sauti wala afiche basi aseme atshahud ya mwisho wakati wakuka:
{شَهِدَ اللَّـهُ أَنَّهُ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ وَالْمَلَائِكَةُ وَأُولُو الْعِلْمِ قَائِمًا بِالْقِسْطِ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ (18)}.
{رَبَّنَا لاَ تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْ هَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ (8)}.
Shahahida Allah Anahu La Ilaha ila Huwa W


almalaika Wa Ululilmi Qaiman Bilqisti La ilaha ila Huwa Al3azizu Al'Hakim (18)}.
{ Rabna La Tuzigh Qulubana Baada idh Hadeitana Wa Hablna Min Ladunka Rahmatan inaka Anta Alwahab (8)}
Kisha aseme:
{سُبْحَانَ رَ‌بِّكَ رَ‌بِّ الْعِزَّةِ عَمَّا يَصِفُونَ ﴿180﴾ وَسَلَامٌ عَلَى الْمُرْ‌سَلِينَ ﴿181﴾ وَالْحَمْدُ لِلَّـهِ رَ‌بِّ الْعَالَمِينَ ﴿182﴾} [الصافات].
{ Subhana Rabika Rabi Al3iza 3ama Yasifun (180) Wa Salamon Ala Al'lmurasarin (181) Wa Alhamdulillah Rabil3alamin (182)} [Asaafat].


Kisha alekeze uso wake upande wa kulia basi atowe salamu kwa Malaika Raqib, Alafu Apeleke uso wake upande wa kushoto Amsalimie Malaika Atid Bila kutaja majina yao, Bali peke Asalam Alekom Wa Rahmatullah, Kwakua Malaika wawili wanawarudisha ju yenu na nyinyi hamusiki kurudisha kwao Basi Wasema: Wa alekom Asalam Wa Rahmatu Allahi Wa Barakatuhu, Basi wanaongeza ju ya hivo kwa dua kwa wanao ruku na kusujudu kwa Mola Mlezi Wao.


Na kuhusu raka ya swla ya kasri: Basi mukiogopa kwamba awafitini wale ambao wamekufuru basi hapo raka moja pekeyake kwa kila poti kama nilivu wafundisha kabla, Na tashahud inasomwa kamili wakati wa kuka baada ya raka ya kwanza kwakua poti lakwanza watamaliza swala yao kwa kutoa salamu baada ya raka ya kwanza kwajili ya hivo watasoma atashahud kamili ndio watowe salamu wamke kulinda poti la pili, Kisha wtamaliza pamoja na imamu poti la pili ambalo lilikua likiwalinda ndio watimize pamoja na imamu raka ya pili.


Eeee Hakika swala zenu kwenye ma Nyumba za Allah bora na inapendekeza zaidi kwa Allah kuliko swala zenu ma nyumbani kwenu ispokua wanawake basi swala zao kwa nyumba zao ni bora kwao kuliko swala zao misikitini.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu; Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_______