Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
10 - 08 - 1430 هـ
02 - 08 - 2009 مـ
02:26 صباحاً
ـــــــــــــــــــ


أنا أتبرع بنصف ريال عشان القناة..

Mimi Nitajitolea Nusu Riali Kwajili Ya Kituo..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam ju ya Mitume na Alhamdulillah Rabil3alamin..

Na ewe mwanamume, Lau utatuma nusu riali basi ingekua ni fardhi ju yetu tuipoke basi hatutoidharau kujitolea kwako kujikurubisha kwa Mola Mlezi wako labda huwenda hukupata ispokua juhudi yako basi haijuzu kwetu tuidharau kama wanavo fanya wanafiki labda hukupata ispokua hio basi haijuzu tubeuwe sadaka yako kwa njia ya kuinua neno la Allah, Itakavo kua ni ndogo mno tutaikubali na tutaikusanya pamoja na tungitangaza kwenye sehemu ya kujitolea na wala hatunge kubeuwa kitu, Na Akasema Allah Ta3ala:
{الَّذِينَ يَلْمِزُونَ الْمُطَّوِّعِينَ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ فِي الصَّدَقَاتِ وَالَّذِينَ لَا يَجِدُونَ إِلَّا جُهْدَهُمْ فَيَسْخَرُونَ مِنْهُمْ ۙ سَخِرَ اللَّـهُ مِنْهُمْ وَلَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ ﴿٧٩اسْتَغْفِرْ لَهُمْ أَوْ لَا تَسْتَغْفِرْ لَهُمْ إِن تَسْتَغْفِرْ لَهُمْ سَبْعِينَ مَرَّةً فَلَن يَغْفِرَ اللَّـهُ لَهُمْ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ كَفَرُوا بِاللَّـهِ وَرَسُولِهِ ۗ وَاللَّـهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الْفَاسِقِينَ ﴿٨٠} صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Asema:
{ Wale wanao wabeuwa Waumini wanao toa sadaka nyingi na wasio nacho cha kutoa ila kadri ya juhudi yao, basi huwakejeli. Mwenyezi Mungu atawakejeli wao! Nao watapata adhabu chungu (79) Waombee msamaha au usiwaombee. Hata ukiwaombea msamaha mara sabiini, Mwenyezi Mungu hatawasamehe. Hayo ni kwa sababu ya kuwa wao wamemkataa Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wapotofu (80)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba].


Lakini wewe umesema hivo kufanya istihizai na kujighuri, Kwajili ya hivo nasema ni haki ju yetu kwamba tuweke ile unao stahiki kwa haki bila ya dhulma chini ya jina lako kwajili wewe umechagua jina lako ( Mimi ), Na sisi tumeweka kwako chini ya jina lako unao stahiki kwa haki basi angalia chini ya jina lako utaona unayo stahiki .


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin ..
Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani .
وسلامٌ على المرسَلين، والحمد للهِ ربِّ العالمين ..
الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني .
_________