اقتباس المشاركة :
(Nukulu asili ya kushiriki imeandikwa kwa njia Ya Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani)
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Babu Yangu Muhammad Khatimu Wa Ma Nabi Na Mitume, Na Ewe Mpendwa Wangu kwajili ya Allah Hakika haki Ya Allah Ni Kubwa Kuliko Haki Yoyote, Na nini baada ya haki ispokua ni upotevu, Basi Hakuna atakae kushufaia, Wala usiombe kwa haki ya mja yoyote atakae kua katika uweko basi yeye ni mja wa Allah kama vile wewe ni mja wa Allah na una haki kwa Allah kama yoyote katika waja wake, Basi Kua Katika Wa Kushukuru ewe burudisho la macho, Na umombe Mola Mlezi wako Ametukuka kwa Majina Yake Mazuri Matakatifu Na Sifa Zake Za Ju, Na Tosha Allah Kua Wakili Basi Usiombe pamoja na Allah Yoyote wala usitawasuli kwa yoyote basi Yeye Ana Huruma kwako kuliko Babako Na Mamako na kuliko waja wake wote, Na Nakupenda Kwajili Ya Allah, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin.
Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
________
*(Nukulu Asili Ya Kushiriki imeandikwa Kwa Njia Ya Abdallah)*
Nakushkuru kwa jibu Azizi katika Allah Nasser Muhammad, Hakika mimi najilazimu katika Swala zangu kwamba niswali ju ya Mchanga ya Ardhi, Na nikisujudu kwenye mchanga katika michanga ya Karbalaa Basi hakika mimi nafanya hivo kujilazimu kuweka kichwa changu kwenye ardhi ama kile kinacho mea kutoka kwa Ardhi kama mfano wa mkeka wala sisujudu katika miswala wa kuswalia kutegemea kwa ma hadithi zilio kubaliwa mutawatira kutoka kwa Muhammad na Ali yake; Basi nini hukmu ya kusujudu kwenye Msawla wa kuswali? Naju kwamba wewe umeweka Sharti fulani katika masharti Katika Ma Suali Ya Swala, Na ispokua mimi ni mja katika waja Wa Allah na ni mkaribu kwako kwa kizazi na hakika mimi naskia kwako harufu ya manukato mazuri mema na uwongofu kwenye Maelezo ya khutba zako, Na sitaki nikupe beyaa ispokua baada kumaliza kusoma Bayana zako ili niwe katika uwazi baini na yakini wakati nishamaliza kwa usaidizi Wa Allah kusoma zote ambao yaliokuja katika Bayana Ya Swala na zinginezo.
Hakika Sera ya Nabi ( Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi ) ilikua kusujudu katika Ardhi - Mchanga- Ama kinacho mea ndani yake kama mkeka, Na alikua ( Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi ) Anahimiza wengine ju ya hayo, Na kama vile ilivo kua sera ya waislamu katika ahdi ya Mtume ( Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi ) ilikua sijda kwenye Ardhi ya msikiti ilio tandazwa na viji kokoto, Na ilikua waislamu wanajilazimu kusujudu ju ya vijikokoto katika msikiti pamoja ya uharara wake ndio inathibitisha dharura ya kusujudu ju ya Ardhi.
Amesema Al'Imam Albaqer ( Ju Yake Salam ) Katika kujibu alio muliza kuhusu sijda ju ya lami:" Hapana na hapana ju ya nguo ya karsaf, wala ju ya sufi, Wala ju ya kitu kutokana na wanyama, wala ju ya chakula, wala ju ya kitu katika mbengu za Ardhi, Wala ju ya kitu kutokana na mbawa.
Na akaulizwa Al'Imam Alsadik ( Ju yake salam) Kuhusu Swala Ju Ya mkeka ama nywele ama tanafis, Akasema:" Usisujudu ju yake, Na ikiwa unsimama ju yake na ukasujudu ju ya Ardhi basi hakuna neno, Na ikiwa umetandika ju yake mkeka na ukasujudu ju ya mkeka basi haina neno.
Mulizaji ni mshia: 592/3
Alikua moja katika ma swahaba anasujudu ju ya kilemba chake akaondosha Nabi ( Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi ) Kwa mkono wake kilemba chake kwa bapa lake. Sunan Albiheqi: 106/2
Namomba Allah Anawirishe Nyoyo zetu na Afanye faraja imesmama kwa Al Muhammad na amlinde na mbinu za ma adui
___________
*(imeisha Barua ya mtafiti na sasa Bayana Ya Haki na jibu la Al'Imam Al'Mahdi Ju Yake Salam)*