Aliohitimisha Ma Nabi Na Mjuzi Wao Wote; Muhammad Bin Abdallah Bin Abdulmutalib.

Nae Mpenda Katika Viumbe Va Allah Katika Nafsi Yangu Na Mpendwa Zaidi Kuliko Nafsi Yangu Na Kuliko Mamangu Na Babangu Na Kuliko Watu Wote
Aliekhitimisha Ma Nabi Na Mitume Na Rahma Ya Allah Kwa Ulimwengu Muhanmad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam ..
________________


عام الفيل و محاولة هدم الكعبة بيت الله الحرام، وحجارةٌ من سجيل ..
“3Am Al’Fil” Mwaka Wa Ndovu Na Majaribio Ya Kubomoa Al’Kaaba Nyumba Ya Allah Al’Haram..


Na Ewe Ndugu Yangu Mkarimu, Hakika Katika ma hadithi zilio shindiliwa zilio wekwa mojawao ni kubomoa Al’Kaaba na wamesahau kwamba Al’Kaaba inao Mola Mlezi Ailinda na kwamba Yule Alio ilinda kutokana na Abraha Al’Habashi Atailinda kwa youote mwengine, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا وَيَصُدُّونَ عَن سَبِيلِ اللَّهِ وَالْمَسْجِدِ الْحَرَامِ الَّذِي جَعَلْنَاهُ لِلنَّاسِ سَوَاءً الْعَاكِفُ فِيهِ وَالْبَادِ وَمَن يُرِدْ فِيهِ بِإِلْحَادٍ بِظُلْمٍ نُّذِقْهُ مِنْ عَذَابٍ أَلِيمٍ} صدق الله العظيم [الحج:٢٥].
Allah Ta3ala Asema:
{Hakika wale walio kufuru na wakazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu na Msikiti Mtakatifu, ambao tumeufanya kwa ajili ya watu wote sawasawa, kwa wakaao humo na wageni. Na kila atakaye taka kufanya upotofu humo kwa dhulma, basi tutamwonjesha adhabu chungu } Sadaqa Allah Al3adhim [Alhaj:25].

Kama Alivo Fanya kwa Abraha Al’Habashi Yule ambae alikua anataka kubomoa Nyumba Ya Allah Tukufu Al’Kaaba Huko Maka Al’Mukarama, Na Akasema Allah Ta3ala:
{أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِأَصْحَابِ الْفِيلِ ﴿١﴾ أَلَمْ يَجْعَلْ كَيْدَهُمْ فِي تَضْلِيلٍ ﴿٢﴾ وَأَرْسَلَ عَلَيْهِمْ طَيْرًا أَبَابِيلَ ﴿٣﴾ تَرْمِيهِم بِحِجَارَةٍ مِّن سِجِّيلٍ ﴿٤﴾ فَجَعَلَهُمْ كَعَصْفٍ مَّأْكُولٍ ﴿٥﴾} صدق الله العظيم [الفيل].
Allah Ta3ala Asema:
{Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye Ndovu (1) Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika (2) Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi (3) Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni (4) Akawafanya kama majani yaliyo liwa (5)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfil].

Lakini Kwa Maskitiko Hakika ya Waislamu wanasubiri ibomolewe Nyumba ya Allah Ambao ni Kuu, Hivi Hamuwi wachaji? Lau wange’peleleza Kwa muhakam kitabu cha Allah wangali pata haki kwamba kaaba ina Mola Mlezi inamlinda lakini wengi katika waislamu imewapoteza ma riwaya kutokana na haki basi wao kwa kutimu ipatikane hilo jambo la kubomolewa wanasubiri hata kama ni dhidi ya dini na dhidi ya waislamu, Wala Hawataki kumsadiki Al’Mahdi Al’Muntadhar Mpaka ibomolewe Nyumba Ya Allah Ambae Ni Kuu, Hivi hawawi wachaji?

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Wa Waislamu; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.

وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين ..
أخو المُسلمين؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
______________