Jibu la Alimam kwa masuali ya Omar Faruq

الإمام ناصر محمد اليماني
04 - 06 - 1430 هـ
29 - 05 - 2009 مـ
02:39 صباحاً
_____________________


www.mahdialumma.com/showthread.php?p=5294

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Ndugu Mkarimu, Hakika Ba'adhi ya masuali yako ni yakustajabisha, Kama Mfano wa kauli yako: Na Jee ! Ameteremka jibril juu ya Muhammad Mtume Wa Allah Swallah Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam?!

Sidhani kwamba kuna majadiliano kuhusu hili kwa wanazuoni wa umma, Kwajili ya hivo nimestajabu kwa suali lako, Na Ala kuli hali nitakujibu kwa maswali yako kwa ufupi ili usitusifu kuwa na kiburi bila ya haki.

lakwanza: Jee Kuna mwanachuoni yoyote wa kisalmu amekutambu kando na khitilafu zao za kimadhehebu?

Jibu: Lakini mwanachuoni ni yule anae tafautisha baina ya haki na batil wala hakanushi kwa kuhusu muhakam iliowazi Kitabu Cha Allah Ambao Nawahoji nayo, Na Yule Ambae anafwatilia bayana zetu na akazitwalii akazifahamu na akatia akili nazo na akazijua na akayakinisha nazo Wallahi atakua ni katika wanazuoni wakislamu wakuu na atakua ni maregeo ya haki kwa waumini, Na jee wajua kama atanisadiki moja katika wanazuoni wa kislamu jee wewe utasadiki, Na Jee Huyo mwanachuoni ndio ushuhuda kwako? na tuseme huyo mwanachuoni yuko kwa upotevu na Nasser Muhammad Al'Yamani yuko katika upotevu bila shaka watakupoteza kutokana na haki, Basi ewe ndugu yangu tumia akili yako ambao ametafautisha Allah nayo kwa mtu na mnyama nayo ni kutafakari na kupeleleza, Na Usiwepo pahala huna ilimu nako hata kama wengi katika watu wamemsadiki Nasser Muhammad Al'Yamani, Na tuseme wengi katika watu wako katika upotevu na wakamsadiki Nasser Muhammad Al'Yamani na yeye yuko katika upotevu basi ukiwafwata watakupoteza ikiwa wako katika upotevu ulio wazi, Hivi hajasema Allah Ta3ala:

{
وَإِن تُطِعْ أكثر مَن فِي الأرض يُضِلُّوكَ عَن سَبِيلِ اللّهِ إِن يَتَّبِعُونَ إِلاَّ الظنّ وَإِنْ هُمْ إِلاَّ يَخْرُصُونَ } صدق الله العظيم [الأنعام:116].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na ukiwat'ii wengi katika hawa waliomo duniani watakupoteza na Njia ya Mwenyezi Mungu. Hawa hawafuati ila dhana tu, na hawakuwa ila ni wenye kusema uwongo tu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam:116].


Kwahivo Ndugu Makrimu: Naswaha Yangu Kwako Kwa Haki Kwamba usimsadiki Nasser Muhammad Al'Yamani kwajili wewe umiona watu wengi wamemsadiki, Na hivo hivo usimsadiki Nasser Muhammad Al'Yamani kwajili wamemfwata mabwana na wakubwa huwenda mabwana na wakubwa wako katika upotevu, Lakini usiwe mjinga pindi wakifanya zuri wafanya na wakifanya ovu wafwata athari zao, Hapana bali tumia akili yako kabla hujafwata na ujuwe kwamba akili yako ndio hoja ya Allah juu yako, Na pindi ikiondoshwa akili yako inainuliwa kalamu juu yako mpaka urudishiwe akili yako ambayo unafikiria nayo, Na naswaha yangu kwako usiwepo pahla huna ilimu napo hata kama umiona watu wengi wamefwata Nasser Muhammad Al'Yamani ispokua pindi ukapata Nasser Muhammad Al'Yamani amejihami na silaha kutoka kwa Mola Mlezi Wake kwa ilimu na utawala unaokinaisha kutoka kwa Kitabu Cha Allah Hoja ya Allah juu Ya Ulimwengu, Wala Hakufanya Allah Hoja Juu Yenu Ni Ma Bwana Zenu Na Wakubwa Wenu pindi wakisadiki mutasadiki na pindi wakikadhibu mutakadhibu lakini mumiona mwisho ya wale walio fwata mabwana na wakubwa, Na hivo hivo Wanazuoni hakuwafanya Allah ndio hoja yako wakati hukusadiki kwa haki, Na ikiwa wewe ni mtafutaji ilimu basi usifwate wanazuoni wala usifwate Nasser Muhammad Al'Yamani bila kujuwa, Na ujuwe kwamba Allah Atakuliza kuhusu Akili yako kwa wale ulio wafwata bila kutadabar kupeleleza Na kutafakari kwa utawala wa ilimu yao jee inaikubali akili yako ikiwa wewe ni mtafuta wa ilimu, Na Akasema Allah Ta3ala:

{ وَلاَ تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ إِنَّ ٱلسَّمْعَ وَٱلْبَصَرَ وَٱلْفُؤَادَ كُلُّ أُولـٰئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْؤُولاً }صدق الله العظيم [الإسراء:36].
Allah Ta3ala Asema:
{ Wala usiyafuate usiyo na ujuzi nayo. Hakika masikio, na macho, na moyo - hivyo vyote vitasailiwa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:36}


Na Kua Katika Wale Ambao Allah Amesema Juu Yao

{ إِنَّ الَّذِينَ هُم مِّنْ خَشْيَةِ رَبِّهِم مُّشْفِقُونَ ﴿٥٧﴾ وَالَّذِينَ هُم بِآيَاتِ رَبِّهِمْ يُؤْمِنُونَ ﴿٥٨﴾ وَالَّذِينَ هُم بِرَبِّهِمْ لَا يُشْرِكُونَ ﴿٥٩﴾ وَالَّذِينَ يُؤْتُونَ مَا آتَوا وَّقُلُوبُهُمْ وَجِلَةٌ أَنَّهُمْ إِلَىٰ رَبِّهِمْ رَاجِعُونَ ﴿٦٠﴾ أُولَـٰئِكَ يُسَارِعُونَ فِي الْخَيْرَاتِ وَهُمْ لَهَا سَابِقُونَ ﴿٦١﴾ } صدق الله العظيم [المؤمنون].
Allah Ta3ala Asema:
{ Kwa hakika hao ambao kwa kumwogopa Mola wao Mlezi wananyenyekea (57) Na wale ambao Ishara za Mola wao Mlezi wanaziamini (58) Na wale ambao Mola wao Mlezi hawamshirikishi 59) Na wale ambao wanatoa walicho pewa, na hali nyoyo zao zinagopa kwa kuwa watarejea kwa Mola wao Mlezi (60) Basi wote hao ndio wanao kimbilia katika mambo ya kheri, na ndio watakao tangulia kuyafikia (61)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almuminun].


Na Ama Kuhusu Nasser Muhammad Al'Yamani Lakini Yeye afwata Baswira Ya Babuyake; Al'Quran Al3adhim, Na Wala Sifwati Matamanio Ya Wale Ambao Hawajuwi, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:

{ وَكَذَلِكَ أَنزَلْنَاهُ حُكْمًا عَرَبِيًّا وَلَئِنِ اتبعت أَهْوَاءهُم بَعْدَ مَا جَاءكَ مِنَ الْعِلْمِ مَا لَكَ مِنَ اللهِ مِن وَلِيٍّ وَلاَ وَاقٍ }صدق الله العظيم [الرعد:37].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na ndio kama hivi tumeiteremsha Qur'ani kuwa ni hukumu kwa lugha ya Kiarabu. Na ukifuata matamanio yao baada ya kukujia ilimu hii, hutakuwa na rafiki wala mlinzi mbele ya Mwenyezi Mungu } Sadaqa Allah Al3adhim [Alraad:37].

Na Akasema Allah Ta3ala:

{ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَى وَلَئِنِ اتبعت أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلا نَصِيرٍ }صدق الله العظيم [البقرة:120].
Allah Ta3ala Asema:
{ Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu } Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:120].


Na Suali Lako La Pilli linasema: Lapili: Jee unayo dalili kutoka kwa kitabu cha Allah ama kutoka kwa Sunna Ya Mtume kuhusu madai yako nakusudia athari kutoka kwa hadithi ama kitabu?
Na Jibu: Ikiwa nitawazidi juu ya wote wanazuoni wa kislamu na wakristo na wakiyahudi kwa utawala wa ilimu ya haki inao nyamazisha kwa haki lakini kwa kila ulinganizi kuna usuhuda, Na wa'mbie wanazuoni wa kislamu njoni kwa Tuvoti ya Nasser Muhammad Al'Yamani aidha musmamishe hoja juu yake kwa utawala wa ilimu ama asmamishe hoja juu yenu kwa ilimu ina uongofu na njia ilio bora mpaka musalimu kwa haki kusalimu, Basi hi ndio ushuhuda wa Al'Mahdi Al'Muntadhar wa haki hata kama lapatikana katika Al'Quran kwa Lafdhi ilio wazi (Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani) Lakini hio sio Hoja, Na Lakini labda Nasser Muhammad Al'Yamani ni mtu mwengine na Nasser Muhammad Al'Yamani huyu anadhani kwamba ni yeye, Kwahivo ndugu mkarimu hakika ya hoja ya haki ni utawala wa ilimu ulio kusanya yote na hukmu ya haki na kauli ilio na uwamuzi kufafanua kwa wote wanao khitilifiana ndio afanye safu yao moja na akusanye mtawanyiko wao lakini wakitikia na sikufanya basi mimi sio Al'Mahdi Al'Muntadhar wa haki kutoka Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Lakini kila Ulinganizi kuna ushuhuda na jee tunagoja Nabi mpya ama Imamu Anamzidisha Allah juu yenu ziada katika ilimu Ndio ahukumu baina yenu kwa yale munao khitilifiana ndio afanye safu yenu moja Ndio akusanye Allah Kwa njia yake Mtawanyiko wenu ndio itapata nguvu mngongo wenu ba'ada kutengana kwenu na kufeli kwenu?

Na Suali lako latatu linasema:
Latatu: Ishapita mda Gani kwa Dunia?
Na Jibu: Kuanzia ilipo anza mzunguko wa ulimwengu mpaka wakati la jibu langu hili kwa suali lako basi hi ndio mda ulopita katika Dunia mpaka wakati wakutoa jibu kwako.

Na Lainne: Na jee wewe ume’owa na kama ndio basi una watoto wangapi?
Na Jibu: Hili swala lanihusu mimi na wala hakufanya Allah ushuhuda kwenu kwa wakezangu wala watoto wangu bali ni katika utawala wa ilimu ya haki.

Latano: Jee jibril anashuka kwa Muhammad?
Na Jibu: Amesema Allah Ta3ala:

{ قُلْ نَزَّلَهُ رُوحُ الْقُدُسِ مِن رَّبِّكَ بالحقّ لِيُثَبِّتَ الَّذِينَ آمَنُواْ وَهُدًى وَبُشْرَى لِلْمسلمين } صدق الله العظيم [النحل:102].
Allah Ta3ala Asema:
{ Sema: Ameiteremsha hii Roho takatifu kutokana na Mola wako Mlezi kwa haki, ili awathibitishe wale walio amini, na kuwa ni uwongofu, na ni bishara kwa Waislamu } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl:102].

Yani kwamba Allah Amemtuma Kwa Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam: Akasema Allah Ta3ala:

بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
{
إِذَا الشَّمْسُ كُوِّرَتْ ﴿١﴾ وَإِذَا النُّجُومُ انكَدَرَتْ ﴿٢﴾ وَإِذَا الْجِبَالُ سُيِّرَتْ ﴿٣﴾ وَإِذَا الْعِشَارُ عُطِّلَتْ ﴿٤﴾ وَإِذَا الْوُحُوشُ حُشِرَتْ ﴿٥﴾ وَإِذَا الْبِحَارُ سُجِّرَتْ ﴿٦﴾ وَإِذَا النُّفُوسُ زُوِّجَتْ ﴿٧﴾ وَإِذَا الْمَوْءُودَةُ سُئِلَتْ ﴿٨﴾ بِأَيِّ ذَنبٍ قُتِلَتْ ﴿٩﴾ وَإِذَا الصُّحُفُ نُشِرَتْ ﴿١٠﴾ وَإِذَا السَّمَاءُ كُشِطَتْ ﴿١١﴾ وَإِذَا الْجَحِيمُ سُعِّرَتْ ﴿١٢﴾ وَإِذَا الْجَنَّةُ أُزْلِفَتْ ﴿١٣﴾ عَلِمَتْ نَفْسٌ مَّا أَحْضَرَتْ ﴿١٤﴾ فَلَا أُقْسِمُ بِالْخُنَّسِ ﴿١٥﴾ الْجَوَارِ الْكُنَّسِ ﴿١٦﴾ وَاللَّيْلِ إِذَا عَسْعَسَ ﴿١٧﴾ وَالصُّبْحِ إِذَا تَنَفَّسَ ﴿١٨﴾ إِنَّهُ لَقَوْلُ رَسُولٍ كَرِيمٍ ﴿١٩﴾ ذِي قُوَّةٍ عِندَ ذِي الْعَرْشِ مَكِينٍ ﴿٢٠﴾ مُّطَاعٍ ثَمَّ أَمِينٍ ﴿٢١﴾ وَمَا صَاحِبُكُم بِمَجْنُونٍ ﴿٢٢﴾ وَلَقَدْ رَآهُ بِالْأُفُقِ الْمُبِينِ ﴿٢٣﴾ وَمَا هُوَ عَلَى الْغَيْبِ بِضَنِينٍ ﴿٢٤﴾ وَمَا هُوَ بِقَوْلِ شَيْطَانٍ رَّجِيمٍ ﴿٢٥﴾ فَأَيْنَ تَذْهَبُونَ ﴿٢٦﴾ إِنْ هُوَ إِلَّا ذِكْرٌ لِّلْعَالَمِينَ ﴿٢٧﴾ لِمَن شَاءَ مِنكُمْ أَن يَسْتَقِيمَ ﴿٢٨﴾ وَمَا تَشَاءُونَ إِلَّا أَن يَشَاءَ اللَّـهُ ربّ العالمين ﴿٢٩﴾ } صدق الله العظيم [التكوير].
Allah Ta3ala Asema:

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim( Jua litakapo kunjwa (1) Na nyota zikazimwa (2) Na milima ikaondolewa (3) Na ngamia wenye mimba pevu watakapo achwa wasishughulikiwe (4) Na wanyama wa mwituni wakakusanywa (5) Na bahari zikawaka moto (6) Na nafsi zikaunganishwa (7) Na msichana aliye zikwa hai atapo ulizwa (8) Kwa kosa gani aliuliwa (9) Na madaftari yatakapo enezwa (10) Na mbingu itapo tanduliwa (11) Na Jahannamu itapo chochewa (12) Na Pepo ikasogezwa (13) Kila nafsi itajua ilicho kihudhurisha (14) Naapa kwa nyota zinapo rejea nyuma (15) Zinazo kwenda, kisha zikajificha (16) Na kwa usiku unapo pungua (17) Na kwa asubuhi inapo pambazuka (18) Kwamba hakika bila ya shaka hii ni kauli ya Mjumbe mtukufu (19) Mwenye nguvu na mwenye cheo kwa huyo Mwenye Kiti cha Enzi (20) Anaye t'iiwa, tena muaminifu (21) Na wala huyu mwenzenu hana wazimu (22) Na hakika yeye alimwona kwenye upeo wa macho ulio safi (23) Wala yeye si mwenye kudhani kwa mambo ya ghaibu (24) Wala hii si kauli ya Shetani maluuni (25) Basi mnakwenda wapi (26) Haikuwa hii ila ni ukumbusho kwa walimwengu wote (27) Kwa yule miongoni mwenu anaye taka kwenda sawa (28) Wala nyinyi hamtataka isipo kuwa atake Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu wote (29)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Altakwir].


Sita: Mara Ngapi Umemona Mtume Wa Allah Kwenye Usingizi wako? Na Ni Mara Ngapi Umemona Mtume Wa Allah Katika Hali Kua Macho kwako?
Na La Ajabu kwenye Suali lako hili (Na Ni Mara Ngapi Umemona Mtume Wa Allah Katika Hali kua Macho kwako)!
Na jibu juyake: Nimiliona Kaburi lake- Juu Yake Swala Na Salam- Katika Al'Madina Al'Munawara siku nilipo hiji Nyumba ya Mwenyezi Mungu Nikamzuru Babu Yangu Madina Juu Yake Swala Na Salam, Lakini Kuona Fatwa yake yanihusu mimi na wala sikuwahoji nazo mpaka muniamini na niwambie lazma muniamini kua mimi nimimona babu yangu basi yatakiwa juu yenu muniamini ! Kwahivo ingefisidika Ardhi kwajili ya wingi wa ndoto za urongo na uzushi, Na awali nimetangulia kuwapa Fatwa kwamba Muhammad Mtume Wa Allah- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Ameniambia Mimi Kwenye Moja Za Mandoto Za Haki:

[ وما جادلك عالم من القرآن إلا غلبته ].
[Na Hatokujadili Mwanachuoni Kwa Al'Quran ila utamshinda].


Na Lakini Ewe Ndugu Mkarimu ikiwa mimi kweli ni Al'imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Haki Kutoka Kwa Mola Mlezi Wenu Basi Natoa Kiapo Qasam Billah Al3adhim Lau watakusanyika wote wanazuoni wa kislamu na wa kikristo na wa kiyahudi walio hai miongoni mwao na walio kufa wote kwa pamoja ili wamhoji Nasser Muhammad Al'Yamani kutoka kwa Al'Quran Al3adhim angefanya Allah Al'Mahdi Al'Muntadhar yeye ndio mwenye kuwazidi juu yao wote kwa utawala wa ilimu kusadikisha kuona ndoto ya haki ambayo amenipa Fatwa Babu yangu Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Na Akiwa Allah Hatonisadikisha Kuona Ndoto kwenye waki ya uhakika basi itakuwa ndoto ya urongo, Na baina yangu na baina ya wanazuoni wa umma ni kuhukumiana kwa Al'Quran Tuangalie jee atanisadikisha Allah kwa haki kwenye waki ya uhakika basi lakini hawatonihoji kwa Al'Quran ispokua nitawaletea haki na tafsiri bora, Lakini kila ulinganizi una ushuhuda na ilimu ambao ni muhakam ilio wazi mana yake kutoka kwa Al'Quran Al3adhim ndio hukmu wala sio wingi wa kumona babu yangu Muhammad Mtume Wa Allah Hata kama nimewambi kwamba nimemona mara milioni hangifanya Allah kuona ndoto ndio hoja juu yenu na kwajili hamuamini atawadhibu! Hasha kwa Allah! Bali hoja juu yenu ni wahoji kwa utawala wa ilimu kutoka kwa Al'Quran Al3adhim mpaka musalimu kwa haki kusalimu.


Saba: Yuko wapi Allah kwa kuona kwao?
Na Jibu: Hakika Allah Yuko Mbinguni Amestawi Kwa Arshi Yake, Anajua kiliomo kwenye Nafsi Yangu na Nafsi yako Na Anajua Ukhaini wa Macho Na Kinacho fichikia kwenye Moyo, Na Anajua Kinacho ingia kwenye Ardhi Na Kinacho toka na kinacho panda mbinguni na kinacho teremka, Na Yeye Yuko Na Nyinyi Popote Mulipo Wala Sio Kwa Dhati Yake Subhanahu Ametukuka Bali kwa ilimu yake haighibu kwake kitu wala kufichika la katika mbingu wala katika Ardhi, Huyo Ndio Allah Al'Rahman Juu Ya Arshi Amestawi, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

بسم الله الرحمن الرحيم .. { سَبَّحَ لِلَّـهِ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَهُوَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ ﴿١﴾ لَهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ يُحْيِي وَيُمِيتُ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ ﴿٢﴾ هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ ﴿٣﴾هُوَ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَىٰ عَلَى الْعَرْشِ يَعْلَمُ مَا يَلِجُ فِي الْأَرْضِ وَمَا يَخْرُجُ مِنْهَا وَمَا يَنزِلُ مِنَ السَّمَاءِ وَمَا يَعْرُجُ فِيهَا وَهُوَ مَعَكُمْ أَيْنَ مَا كُنتُمْ وَاللَّـهُ بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ ﴿٤﴾ لَّهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَإِلَى اللَّـهِ تُرْجَعُ الْأُمُورُ ﴿٥﴾ يُولِجُ اللَّيْلَ فِي النّهار وَيُولِجُ النّهار فِي اللَّيْلِ وَهُوَ عَلِيمٌ بِذَاتِ الصُّدُورِ ﴿٦﴾ } صدق الله العلي العظيم [الحديد].
Allah Ta3ala Asema: Bismillah Al'Rahman Al'Rahim..
{ Kinamsabihi kumtakasa Mwenyezi Mungu kila kiliomo ndani ya mbingu na ardhi. Na Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima (1) Yeye ndiye Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Anahuisha na anafisha. Na Yeye ni Mwenye uweza wa kila kitu (2) Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu (3) Yeye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha akakaa vyema juu ya enzi. Anayajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni, na yanayo panda humo. Naye yu pamoja nanyi popote mlipo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona mnayo yatenda (4) Ufalme wa mbingu na ardhi ni wake. Na mambo yote yanarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu (5) Anaingiza usiku katika mchana, na anaingiza mchana katika usiku. Na Yeye ni Mwenye kuyajua yaliomo vifuani (6)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhadid].

بسم الله الرحمن الرحيم .. { لَوْ أَنزَلْنَا هَـٰذَا الْقرآن عَلَىٰ جَبَلٍ لَّرَأَيْتَهُ خَاشِعًا مُّتَصَدِّعًا مِّنْ خَشْيَةِ اللَّـهِ وَتِلْكَ الْأَمْثَالُ نَضْرِبُهَا لِلنَّاسِ لَعَلَّهُمْ يَتَفَكَّرُونَ ﴿٢١﴾ هُوَ اللَّـهُ الَّذِي لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ عَالِمُ الْغَيْبِ وَالشَّهَادَةِ هُوَ الرَّحْمَـٰنُ الرَّحِيمُ ﴿٢٢﴾ هُوَ اللَّـهُ الَّذِي لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الْمَلِكُ الْقُدُّوسُ السَّلَامُ الْمُؤْمِنُ الْمُهَيْمِنُ الْعَزِيزُ الْجَبَّارُ الْمُتَكَبِّرُ سُبْحَانَ اللَّـهِ عَمَّا يُشْرِكُونَ ﴿٢٣﴾ هُوَ اللَّـهُ الْخَالِقُ الْبَارِئُ الْمُصَوِّرُ لَهُ الْأَسْمَاءُ الْحُسْنَىٰ يُسَبِّحُ لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَهُوَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ ﴿٢٤﴾ } صدق الله العلي العظيم [الحشر].
Allah Ta3ala Asema: Bismillah Al’Rahman Al’Rahim..
{ Lau kuwa tumeiteremsha hii Qur'ani juu ya mlima, basi bila ya shaka ungeli uona ukinyenyekea, ukipasuka kwa khofu ya Mwenyezi Mungu. Na hiyo mifano tunawapigia watu ili wafikiri (21) Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mwenye kuyajua yaliyo fichikana na yanayo onekana. Yeye ndiye Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu (22) Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo (23) Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, Muumbaji, Mtengenezaji, Mtia sura, Mwenye majina mazuri kabisa. Kila kilioko katika mbingu na ardhi kinamtakasa, naye ni Mwenye kushinda, Mwenye hikima (24)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhashr].


Nane: Wakati Gani unamjua Allah?
Na Jibu: Na Eee Subhana Allah Na nani aliosema kwamba mimi wakati mwengine namtambua Allah na wakati mwengine namkanusha? Na najua kwamba hio ni kitabdawili kutoka kwako na mimi sikuhoji na vitandawili lakini liwe suali lako liko wazi laonekana ili likujie jibu limefafanuliwa ufafanuzi ndio wafahamu wengine na wafaidike, Ama ma vitanawili basi hazina pahala kwetu hata kama najua jibu kwa vitandawili vako nisingejibu juu yake, Awu nazipuza kusudi kutoka kwangu, Na lau ungeniambia mimi wakati gani unajua kwamba Allah Yuko Radhi na Wewe? Nigekwambia ikiwa nimemridhisha Mola Mlezi wangu na nikajikurubisha inanifinika Rahma Yake na inateremka kwa moyo wangu Sakina na utulivu, Alafu ndio najua hapo wakati huo Allah Yuko Radhi juu yangu bila shaka wala utetanishi, Ama ikiwa Mtu Anaona Moyo wake mgumu kwa kumtaja Allah na akitajwa Allah kwake hauogopi moyo wake na pindi zikisomwa Aya Zake Hazimzidishi imani basi ajuwe kwamba Allah Ana Ghadhabu juu yake, Lakini olewao wale ambao moyo zao ni ngumu kwa utajo wa Allah.

Tisa: Jee Mola Mlezi wa Wakristo Ndio Yeye Mola Mlezi Wa Mayahudi Na Yeye Ndio Mola Mlezi Wa Waislamu?
Na Jibu: Subhana Allah Mola Mlezi Wa Kila Kilioko Na Kitakao Kuweko Mpaka Siku Ya Dini Mola Mlezi Wa Waislamu na Wakristo na Mayahudi na Watu Wote, Lakini wengi wao kwa haki ni wenye kuchukia na kwa haki ni wenye kuwa na shirki, Na Wakati Akitajwa Allah Pekeyake Zinachafukwa Nyoyo zao Wale Ambao Hawamjuwi Mola Mlezi Wao Na Pindi wakitajwa Wale Ambao Ni Duni Yake lakini wao wanafurahia, Na Akasema Allah Ta3ala:

{ وَإِذَا ذُكِرَ اللَّهُ وَحْدَهُ اشمأزت قُلُوبُ الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِالْآخِرَةِ وَإِذَا ذُكِرَ الَّذِينَ مِن دُونِهِ إِذَا هُمْ يَسْتَبْشِرُونَ } صدق الله العظيم [الزمر:45].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na anapo tajwa Mwenyezi Mungu peke yake nyoyo za wasio iamini Akhera huchafuka. Na wanapo tajwa wenginewe asiye kuwa Yeye basi wao hufurahi} Sadaqa Allahu Al3adhim [Alzumur:45].


Na Nayo taraji kwako na kutoka kwa wote wale Ambao wanataka Kwa Mola Mlezi wao kwamba Azidishe Nyoyo Zao Nuru Ni Awe Atadabar kupeleza Surat Al’Zumur Kutadabar ya wanaotafakari ili anawirishe Allah Nayo Nyoyo Zao Na Awazidishie Allah Nayo Khushu Na Atulize Na Kupanua Vifua venu Awaoneshe Allah Nayo haki na Ajalie Allah Kwenu Furqanan huwenda mukayakinisha.

Surat Alzumur
سورة الزمر
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

{ تَنزِيلُ الْكِتَابِ مِنَ اللَّـهِ الْعَزِيزِ الْحَكِيمِ ﴿١﴾ إِنَّا أَنزَلْنَا إِلَيْكَ الْكِتَابَ بالحقّ فَاعْبُدِ اللَّـهَ مُخْلِصًا لَّهُ الدِّينَ ﴿٢﴾ أَلَا لِلَّـهِ الدِّينُ الْخَالِصُ وَالَّذِينَ اتَّخَذُوا مِن دُونِهِ أَوْلِيَاءَ مَا نَعْبُدُهُمْ إِلَّا لِيُقَرِّبُونَا إِلَى اللَّـهِ زُلْفَىٰ إِنَّ اللَّـهَ يَحْكُمُ بَيْنَهُمْ فِي مَا هُمْ فِيهِ يَخْتَلِفُونَ إِنَّ اللَّـهَ لَا يَهْدِي مَنْ هُوَ كَاذِبٌ كَفَّارٌ ﴿٣﴾ لَّوْ أَرَادَ اللَّـهُ أَن يَتَّخِذَ وَلَدًا لَّاصْطَفَىٰ مِمَّا يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ سُبْحَانَهُ هُوَ اللَّـهُ الْوَاحِدُ الْقَهَّارُ ﴿٤﴾ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ بالحقّ يُكَوِّرُ اللَّيْلَ عَلَى النّهار وَيُكَوِّرُ النّهار عَلَى اللَّيْلِ وَسَخَّرَ الشَّمْسَ وَالْقَمَرَ كُلٌّ يَجْرِي لِأَجَلٍ مُّسَمًّى أَلَا هُوَ الْعَزِيزُ الْغَفَّارُ ﴿٥﴾خَلَقَكُم مِّن نَّفْسٍ وَاحِدَةٍ ثُمَّ جَعَلَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَأَنزَلَ لَكُم مِّنَ الْأَنْعَامِ ثَمَانِيَةَ أَزْوَاجٍ يَخْلُقُكُمْ فِي بُطُونِ أُمَّهَاتِكُمْ خَلْقًا مِّن بَعْدِ خَلْقٍ فِي ظُلُمَاتٍ ثَلَاثٍ ذَٰلِكُمُ اللَّـهُ رَبُّكُمْ لَهُ الْمُلْكُ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ فَأَنَّىٰ تُصْرَفُونَ ﴿٦﴾ إِن تَكْفُرُوا فَإِنَّ اللَّـهَ غَنِيٌّ عَنكُمْ وَلَا يَرْضَىٰ لِعِبَادِهِ الْكُفْرَ وَإِن تَشْكُرُوا يَرْضَهُ لَكُمْ وَلَا تَزِرُ وَازِرَةٌ وِزْرَ أُخْرَىٰ ثُمَّ إِلَىٰ رَبِّكُم مَّرْجِعُكُمْ فَيُنَبِّئُكُم بِمَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ إِنَّهُ عَلِيمٌ بِذَاتِ الصُّدُورِ ﴿٧﴾ وَإِذَا مَسَّ الْإِنسَانَ ضُرٌّ دَعَا رَبَّهُ مُنِيبًا إِلَيْهِ ثُمَّ إِذَا خَوَّلَهُ نِعْمَةً مِّنْهُ نَسِيَ مَا كَانَ يَدْعُو إِلَيْهِ مِن قَبْلُ وَجَعَلَ لِلَّـهِ أَندَادًا لِّيُضِلَّ عَن سَبِيلِهِ قُلْ تَمَتَّعْ بِكُفْرِكَ قَلِيلًا إِنَّكَ مِنْ أَصْحَابِ النَّارِ ﴿٨﴾ أَمَّنْ هُوَ قَانِتٌ آنَاءَ اللَّيْلِ سَاجِدًا وَقَائِمًا يَحْذَرُ الْآخِرَةَ وَيَرْجُو رَحْمَةَ رَبِّهِ قُلْ هَلْ يَسْتَوِي الَّذِينَ يَعْلَمُونَ وَالَّذِينَ لَا يَعْلَمُونَ إِنَّمَا يَتَذَكَّرُ أُولُو الْأَلْبَابِ ﴿٩﴾ قُلْ يَا عِبَادِ الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا رَبَّكُمْ لِلَّذِينَ أَحْسَنُوا فِي هَـٰذِهِ الدُّنْيَا حَسَنَةٌ وَأَرْضُ اللَّـهِ وَاسِعَةٌ إِنَّمَا يُوَفَّى الصَّابِرُونَ أَجْرَهُم بِغَيْرِ حِسَابٍ ﴿١٠﴾قُلْ إِنِّي أُمِرْتُ أَنْ أَعْبُدَ اللَّـهَ مُخْلِصًا لَّهُ الدِّينَ ﴿١١﴾ وَأُمِرْتُ لِأَنْ أَكُونَ أَوَّلَ الْمسلمين ﴿١٢﴾ قُلْ إِنِّي أَخَافُ إِنْ عَصَيْتُ رَبِّي عَذَابَ يَوْمٍ عَظِيمٍ ﴿١٣﴾ قُلِ اللَّـهَ أَعْبُدُ مُخْلِصًا لَّهُ دِينِي ﴿١٤﴾ فَاعْبُدُوا مَا شِئْتُم مِّن دُونِهِ قُلْ إِنَّ الْخَاسِرِينَ الَّذِينَ خَسِرُوا أَنفُسَهُمْ وَأَهْلِيهِمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ أَلَا ذَٰلِكَ هُوَ الْخُسْرَانُ الْمُبِينُ ﴿١٥﴾ لَهُم مِّن فَوْقِهِمْ ظُلَلٌ مِّنَ النَّارِ وَمِن تَحْتِهِمْ ظُلَلٌ ذَٰلِكَ يُخَوِّفُ اللَّـهُ بِهِ عِبَادَهُ يَا عِبَادِ فَاتَّقُونِ ﴿١٦﴾ وَالَّذِينَ اجْتَنَبُوا الطَّاغُوتَ أَن يَعْبُدُوهَا وَأَنَابُوا إِلَى اللَّـهِ لَهُمُ الْبُشْرَىٰ فَبَشِّرْ عِبَادِ ﴿١٧﴾ الَّذِينَ يَسْتَمِعُونَ الْقَوْلَ فَيَتَّبِعُونَ أَحْسَنَهُ أُولَـٰئِكَ الَّذِينَ هَدَاهُمُ اللَّـهُ وَأُولَـٰئِكَ هُمْ أُولُو الْأَلْبَابِ ﴿١٨﴾ أَفَمَنْ حَقَّ عَلَيْهِ كَلِمَةُ الْعَذَابِ أَفَأَنتَ تُنقِذُ مَن فِي النَّارِ ﴿١٩﴾ لَـٰكِنِ الَّذِينَ اتَّقَوْا رَبَّهُمْ لَهُمْ غُرَفٌ مِّن فَوْقِهَا غُرَفٌ مَّبْنِيَّةٌ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ وَعْدَ اللَّـهِ لَا يُخْلِفُ اللَّـهُ الْمِيعَادَ ﴿٢٠﴾ أَلَمْ تَرَ أَنَّ اللَّـهَ أَنزَلَ مِنَ السَّمَاءِ مَاءً فَسَلَكَهُ يَنَابِيعَ فِي الْأَرْضِ ثُمَّ يُخْرِجُ بِهِ زَرْعًا مختلفا أَلْوَانُهُ ثُمَّ يَهِيجُ فَتَرَاهُ مُصْفَرًّا ثُمَّ يَجْعَلُهُ حُطَامًا إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَذِكْرَىٰ لِأُولِي الْأَلْبَابِ ﴿٢١﴾أَفَمَن شَرَحَ اللَّـهُ صَدْرَهُ لِلْإِسْلَامِ فَهُوَ عَلَىٰ نُورٍ مِّن رَّبِّهِ فَوَيْلٌ لِّلْقَاسِيَةِ قُلُوبُهُم مِّن ذِكْرِ اللَّـهِ أُولَـٰئِكَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ ﴿٢٢﴾ اللَّـهُ نَزَّلَ أَحْسَنَ الْحَدِيثِ كِتَابًا مُّتَشَابِهًا مَّثَانِيَ تَقْشَعِرُّ مِنْهُ جُلُودُ الَّذِينَ يَخْشَوْنَ رَبَّهُمْ ثُمَّ تَلِينُ جُلُودُهُمْ وَقُلُوبُهُمْ إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّـهِ ذَٰلِكَ هُدَى اللَّـهِ يَهْدِي بِهِ مَن يَشَاءُ وَمَن يُضْلِلِ اللَّـهُ فَمَا لَهُ مِنْ هَادٍ ﴿٢٣﴾ أَفَمَن يَتَّقِي بِوَجْهِهِ سُوءَ الْعَذَابِ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَقِيلَ لِلظَّالِمِينَ ذُوقُوا مَا كُنتُمْ تَكْسِبُونَ ﴿٢٤﴾ كَذَّبَ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ فَأَتَاهُمُ الْعَذَابُ مِنْ حَيْثُ لَا يَشْعُرُونَ ﴿٢٥﴾ فَأَذَاقَهُمُ اللَّـهُ الْخِزْيَ فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَلَعَذَابُ الْآخِرَةِ أَكْبَرُ لَوْ كَانُوا يَعْلَمُونَ ﴿٢٦﴾ وَلَقَدْ ضَرَبْنَا لِلنَّاسِ فِي هَـٰذَا الْقرآن مِن كُلِّ مَثَلٍ لَّعَلَّهُمْ يَتَذَكَّرُونَ ﴿٢٧﴾ قُرْآنًا عَرَبِيًّا غَيْرَ ذِي عِوَجٍ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ ﴿٢٨﴾ ضَرَبَ اللَّـهُ مَثَلًا رَّجُلًا فِيهِ شُرَكَاءُ مُتَشَاكِسُونَ وَرَجُلًا سَلَمًا لِّرَجُلٍ هَلْ يَسْتَوِيَانِ مَثَلًا الحمد لِلَّـهِ بَلْ أَكْثَرُهُمْ لَا يَعْلَمُونَ ﴿٢٩﴾ إِنَّكَ مَيِّتٌ وَإِنَّهُم مَّيِّتُونَ ﴿٣٠﴾ ثُمَّ إِنَّكُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ عِندَ رَبِّكُمْ تَخْتَصِمُونَ ﴿٣١﴾ فَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّن كَذَبَ عَلَى اللَّـهِ وَكَذَّبَ بِالصِّدْقِ إِذْ جَاءَهُ أَلَيْسَ فِي جَهَنَّمَ مَثْوًى لِّلْكَافِرِينَ ﴿٣٢﴾ وَالَّذِي جَاءَ بِالصِّدْقِ وَصَدَّقَ بِهِ أُولَـٰئِكَ هُمُ الْمُتَّقُونَ ﴿٣٣﴾ لَهُم مَّا يَشَاءُونَ عِندَ رَبِّهِمْ ذَٰلِكَ جَزَاءُ الْمُحْسِنِينَ ﴿٣٤﴾ لِيُكَفِّرَ اللَّـهُ عَنْهُمْ أَسْوَأَ الَّذِي عَمِلُوا وَيَجْزِيَهُمْ أَجْرَهُم بِأَحْسَنِ الَّذِي كَانُوا يَعْمَلُونَ ﴿٣٥﴾ أَلَيْسَ اللَّـهُ بِكَافٍ عَبْدَهُ وَيُخَوِّفُونَكَ بِالَّذِينَ مِن دُونِهِ وَمَن يُضْلِلِ اللَّـهُ فَمَا لَهُ مِنْ هَادٍ ﴿٣٦﴾ وَمَن يَهْدِ اللَّـهُ فَمَا لَهُ مِن مُّضِلٍّ أَلَيْسَ اللَّـهُ بِعَزِيزٍ ذِي انتِقَامٍ ﴿٣٧﴾ وَلَئِن سَأَلْتَهُم مَّنْ خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ لَيَقُولُنَّ اللَّـهُ قُلْ أَفَرَأَيْتُم مَّا تَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّـهِ إِنْ أَرَادَنِيَ اللَّـهُ بِضُرٍّ هَلْ هُنَّ كَاشِفَاتُ ضُرِّهِ أَوْ أَرَادَنِي بِرَحْمَةٍ هَلْ هُنَّ مُمْسِكَاتُ رَحْمَتِهِ قُلْ حَسْبِيَ اللَّـهُ عَلَيْهِ يَتَوَكَّلُ الْمُتَوَكِّلُونَ ﴿٣٨﴾ قُلْ يَا قَوْمِ اعْمَلُوا عَلَىٰ مَكَانَتِكُمْ إِنِّي عَامِلٌ فَسَوْفَ تَعْلَمُونَ ﴿٣٩﴾ مَن يَأْتِيهِ عَذَابٌ يُخْزِيهِ وَيَحِلُّ عَلَيْهِ عَذَابٌ مُّقِيمٌ ﴿٤٠﴾إِنَّا أَنزَلْنَا عَلَيْكَ الْكِتَابَ لِلنَّاسِ بالحقّ فَمَنِ اهْتَدَىٰ فَلِنَفْسِهِ وَمَن ضَلَّ فَإِنَّمَا يَضِلُّ عَلَيْهَا وَمَا أَنتَ عَلَيْهِم بِوَكِيلٍ ﴿٤١﴾ اللَّـهُ يَتَوَفَّى الْأَنفُسَ حِينَ مَوْتِهَا وَالَّتِي لَمْ تَمُتْ فِي مَنَامِهَا فَيُمْسِكُ الَّتِي قَضَىٰ عَلَيْهَا الْمَوْتَ وَيُرْسِلُ الْأُخْرَىٰ إِلَىٰ أَجَلٍ مُّسَمًّى إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَاتٍ لِّقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ ﴿٤٢﴾ أَمِ اتَّخَذُوا مِن دُونِ اللَّـهِ شُفَعَاءَ قُلْ أَوَلَوْ كَانُوا لَا يَمْلِكُونَ شَيْئًا وَلَا يَعْقِلُونَ ﴿٤٣﴾ قُل لِّلَّـهِ الشَّفَاعَةُ جَمِيعًا لَّهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُونَ ﴿٤٤﴾ وَإِذَا ذُكِرَ اللَّـهُ وَحْدَهُ اشْمَأَزَّتْ قُلُوبُ الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِالْآخِرَةِ وَإِذَا ذُكِرَ الَّذِينَ مِن دُونِهِ إِذَا هُمْ يَسْتَبْشِرُونَ ﴿٤٥﴾ قُلِ اللَّـهُمَّ فَاطِرَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ عَالِمَ الْغَيْبِ وَالشَّهَادَةِ أَنتَ تَحْكُمُ بَيْنَ عِبَادِكَ فِي مَا كَانُوا فِيهِ يَخْتَلِفُونَ ﴿٤٦﴾ وَلَوْ أَنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا مَا فِي الْأَرْضِ جَمِيعًا وَمِثْلَهُ مَعَهُ لَافْتَدَوْا بِهِ مِن سُوءِ الْعَذَابِ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَبَدَا لَهُم مِّنَ اللَّـهِ مَا لَمْ يَكُونُوا يَحْتَسِبُونَ ﴿٤٧﴾ وَبَدَا لَهُمْ سَيِّئَاتُ مَا كَسَبُوا وَحَاقَ بِهِم مَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ ﴿٤٨﴾ فَإِذَا مَسَّ الْإِنسَانَ ضُرٌّ دَعَانَا ثُمَّ إِذَا خَوَّلْنَاهُ نِعْمَةً مِّنَّا قَالَ إِنَّمَا أُوتِيتُهُ عَلَىٰ عِلْمٍ بَلْ هِيَ فِتْنَةٌ وَلَـٰكِنَّ أَكْثَرَهُمْ لَا يَعْلَمُونَ ﴿٤٩﴾ قَدْ قَالَهَا الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ فَمَا أَغْنَىٰ عَنْهُم مَّا كَانُوا يَكْسِبُونَ ﴿٥٠﴾ فَأَصَابَهُمْ سَيِّئَاتُ مَا كَسَبُوا وَالَّذِينَ ظَلَمُوا مِنْ هَـٰؤُلَاءِ سَيُصِيبُهُمْ سَيِّئَاتُ مَا كَسَبُوا وَمَا هُم بِمُعْجِزِينَ ﴿٥١﴾ أَوَلَمْ يَعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ يَبْسُطُ الرِّزْقَ لِمَن يَشَاءُ وَيَقْدِرُ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَاتٍ لِّقَوْمٍ يُؤْمِنُونَ ﴿٥٢﴾ قُلْ يَا عِبَادِيَ الَّذِينَ أَسْرَفُوا عَلَىٰ أَنفُسِهِمْ لَا تَقْنَطُوا مِن رَّحْمَةِ اللَّـهِ إِنَّ اللَّـهَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ جَمِيعًا إِنَّهُ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ ﴿٥٣﴾ وَأَنِيبُوا إِلَىٰ رَبِّكُمْ وَأَسْلِمُوا لَهُ مِن قَبْلِ أَن يَأْتِيَكُمُ الْعَذَابُ ثُمَّ لَا تُنصَرُونَ ﴿٥٤﴾ وَاتَّبِعُوا أَحْسَنَ مَا أُنزِلَ إِلَيْكُم مِّن رَّبِّكُم مِّن قَبْلِ أَن يَأْتِيَكُمُ الْعَذَابُ بَغْتَةً وَأَنتُمْ لَا تَشْعُرُونَ ﴿٥٥﴾ أَن تَقُولَ نَفْسٌ يَا حَسْرَتَىٰ عَلَىٰ مَا فَرَّطتُ فِي جَنبِ اللَّـهِ وَإِن كُنتُ لَمِنَ السَّاخِرِينَ ﴿٥٦﴾ أَوْ تَقُولَ لَوْ أَنَّ اللَّـهَ هَدَانِي لَكُنتُ مِنَ الْمُتَّقِينَ ﴿٥٧﴾ أَوْ تَقُولَ حِينَ تَرَى الْعَذَابَ لَوْ أَنَّ لِي كَرَّةً فَأَكُونَ مِنَ الْمُحْسِنِينَ ﴿٥٨﴾ بَلَىٰ قَدْ جَاءَتْكَ آيَاتِي فَكَذَّبْتَ بِهَا وَاسْتَكْبَرْتَ وَكُنتَ مِنَ الْكَافِرِينَ ﴿٥٩﴾ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ تَرَى الَّذِينَ كَذَبُوا عَلَى اللَّـهِ وُجُوهُهُم مُّسْوَدَّةٌ أَلَيْسَ فِي جَهَنَّمَ مَثْوًى لِّلْمُتَكَبِّرِينَ ﴿٦٠﴾ وَيُنَجِّي اللَّـهُ الَّذِينَ اتَّقَوْا بِمَفَازَتِهِمْ لَا يَمَسُّهُمُ السُّوءُ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ ﴿٦١﴾ اللَّـهُ خَالِقُ كُلِّ شَيْءٍ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ وَكِيلٌ ﴿٦٢﴾ لَّهُ مَقَالِيدُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَالَّذِينَ كَفَرُوا بِآيَاتِ اللَّـهِ أُولَـٰئِكَ هُمُ الْخَاسِرُونَ ﴿٦٣﴾ قُلْ أَفَغَيْرَ اللَّـهِ تَأْمُرُونِّي أَعْبُدُ أَيُّهَا الْجَاهِلُونَ ﴿٦٤﴾ وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ ﴿٦٥﴾ بَلِ اللَّـهَ فَاعْبُدْ وَكُن مِّنَ الشَّاكِرِينَ ﴿٦٦﴾ وَمَا قَدَرُوا اللَّـهَ حَقَّ قَدْرِهِ وَالْأَرْضُ جَمِيعًا قَبْضَتُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَالسَّمَاوَاتُ مَطْوِيَّاتٌ بِيَمِينِهِ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَىٰ عَمَّا يُشْرِكُونَ ﴿٦٧﴾ وَنُفِخَ فِي الصُّورِ فَصَعِقَ مَن فِي السَّمَاوَاتِ وَمَن فِي الْأَرْضِ إِلَّا مَن شَاءَ اللَّـهُ ثُمَّ نُفِخَ فِيهِ أُخْرَىٰ فَإِذَا هُمْ قِيَامٌ يَنظُرُونَ ﴿٦٨﴾ وَأَشْرَقَتِ الْأَرْضُ بِنُورِ رَبِّهَا وَوُضِعَ الْكِتَابُ وَجِيءَ بِالنَّبِيِّينَ وَالشُّهَدَاءِ وَقُضِيَ بَيْنَهُم بالحقّ وَهُمْ لَا يُظْلَمُونَ ﴿٦٩﴾ وَوُفِّيَتْ كُلُّ نَفْسٍ مَّا عَمِلَتْ وَهُوَ أَعْلَمُ بِمَا يَفْعَلُونَ ﴿٧٠﴾ وَسِيقَ الَّذِينَ كَفَرُوا إِلَىٰ جَهَنَّمَ زُمَرًا حَتَّىٰ إِذَا جَاءُوهَا فُتِحَتْ أَبْوَابُهَا وَقَالَ لَهُمْ خَزَنَتُهَا أَلَمْ يَأْتِكُمْ رُسُلٌ مِّنكُمْ يَتْلُونَ عَلَيْكُمْ آيَاتِ رَبِّكُمْ وَيُنذِرُونَكُمْ لِقَاءَ يَوْمِكُمْ هَـٰذَا قَالُوا بَلَىٰ وَلَـٰكِنْ حَقَّتْ كَلِمَةُ الْعَذَابِ عَلَى الْكَافِرِينَ ﴿٧١﴾ قِيلَ ادْخُلُوا أَبْوَابَ جَهَنَّمَ خَالِدِينَ فِيهَا فَبِئْسَ مَثْوَى الْمُتَكَبِّرِينَ ﴿٧٢﴾ وَسِيقَ الَّذِينَ اتَّقَوْا رَبَّهُمْ إِلَى الْجَنَّةِ زُمَرًا حَتَّىٰ إِذَا جَاءُوهَا وَفُتِحَتْ أَبْوَابُهَا وَقَالَ لَهُمْ خَزَنَتُهَا سَلَامٌ عَلَيْكُمْ طِبْتُمْ فَادْخُلُوهَا خَالِدِينَ ﴿٧٣﴾ وَقَالُوا الحمد لِلَّـهِ الَّذِي صَدَقَنَا وَعْدَهُ وَأَوْرَثَنَا الْأَرْضَ نَتَبَوَّأُ مِنَ الْجَنَّةِ حَيْثُ نَشَاءُ فَنِعْمَ أَجْرُ الْعَامِلِينَ ﴿٧٤﴾ وَتَرَى الْمَلَائِكَةَ حَافِّينَ مِنْ حَوْلِ الْعَرْشِ يُسَبِّحُونَ بِحَمْدِ رَبِّهِمْ وَقُضِيَ بَيْنَهُم بالحقّ وَقِيلَ الحمد لِلَّـهِ ربّ العالمين ﴿٧٥﴾ } صدق الله العظيم .


Kumi: Jee Muhammad Mtume Wa Allah Khalifa Wa Allah Sasa Ama Ni Wewe?
Na Jibu: Alikua Khalifa Wa Allah mfano wake kama mfano wa Daud- Juu Yake Swala Na Salam- Akasema Allah Ta3ala

{ يَا دَاوُودُ إِنَّا جَعَلْنَاكَ خَلِيفَةً فِي الْأرض فَاحْكُم بَيْنَ النّاس بالحقّ وَلَا تَتَّبِعِ الْهَوَى فَيُضِلَّكَ عَن سَبِيلِ اللَّهِ } صدق الله العظيم [ص:26].
Allah Ta3ala Asema:
{ Ewe Daud Sisi Tumekufanya Ni Khalifa Katika Ardhi Lakini hukumu baina Ya Watu kwa haki na wala usifwate matamanio lakini itakupoteza kwa njia ya Allah } Sadaqa Allah Al3adhim [Swad:26].

Alafu akafa- Juu Yake Swala Na Salam- Akasema Allah Ta3ala:

{
إِنَّكَ مَيِّتٌ وَإِنَّهُم مَّيِّتُونَ ﴿٣٠﴾ ثُمَّ إِنَّكُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ عِندَ رَبِّكُمْ تَخْتَصِمُونَ ﴿٣١﴾ }صدق الله العظيم [الزمر].
Allah Ta3ala Asema
:{ Hakika Wewe Utakufa Na Wao Watakufa (30) Na Alafu nyinyi siku ya kiyama kwa Mola Mlezi Wenu mutagombana (31)} Sadaqa Allah Al’3adhim [Alzumur].

Na Nakuona Unasema Kwamba Muhammad Mtume Wa Allah- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi wa Salam- Ni Khalifa Wa Allah kwenye Dunia hivi Sasa! Lakini Nasema: Hapana Yeye Ashaondoka Duniani kwajili hana haja nayo, Kwanini basi unataka kumbakisha ndani yake na ilikua dunia kwake ni mrefu mpaka alipo lekea kwa Mola Mlezi wake- Juu yake Swala Na Salam Na Ali Yake- Na kiyasi gani mimi niko na haraka ya kumfwata yeye lau sio kazi yangu kwa haki na lau sio hayo nisingetamani kubaki nukta moja katika haya maisha ya Dunia lakini hatuna haja nayo kwa kitu lau sio Allah Kwajili yake tunahuyika ndani yake na haijatimu lengo Lake bado, Na Lakini litatimu lengo Kwa idhni ya Allah Hakika Allah hakhalifu Miadi Yake, Na Jee Nataka Animakinishe Allah Katika Ardhi ispokua kwajili niamrishe Mema Na nikataze maovu ndio niondoshe Dhulma ya Waja juu ya waja niliganie wote waja kutoka kwa kuabudu waja kwenda kuabudu Mola Mlezi Wa Waja? Na Atanitimizia Mola Mlezi Wangu kwa Yale Alio Ni Ahidi Mimi na mfano wangu katika watu wema niongoze watu wote kwa njia ilio nyoka na atakae kukufuru ba’ada ya hapo akamfwata Al’Masi7h Al’Dajal basi hawo ndio mafasiki Wapotevu, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:

{ وَعَدَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا مِنكُمْ وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ لَيَسْتَخْلِفَنَّهُم فِي الْأرض كَمَا اسْتَخْلَفَ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ وَلَيُمَكِّنَنَّ لَهُمْ دِينَهُمُ الَّذِي ارْتَضَى لَهُمْ وَلَيُبَدِّلَنَّهُم مِّن بَعْدِ خَوْفِهِمْ أَمْناً يَعْبُدُونَنِي لَا يُشْرِكُونَ بِي شيئاً وَمَن كَفَرَ بَعْدَ ذَلِكَ فَأُوْلَئِكَ هُمُ الفاسقون } صدق الله العظيم [النور:55].
Allah Ta3ala Asema:
{ Mwenyezi Mungu amewaahidi wale walio amini miongoni mwenu na wakatenda mema, ya kwamba atawafanya makhalifa katika ardhi kama alivyo wafanya makhalifa wa kabla yao, na kwa yakini atawasimamishia Dini yao aliyo wapendelea, na atawabadilishia amani baada ya khofu yao. Wawe wananiabudu Mimi, wala wasinishirikishe na chochote. Na watao kufuru baada ya hayo, basi hao ndio wapotovu } Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Nur:55].

Na hivo ni kwajili ya fitna ya Al’Masi7h Al’Dajal inakuja ba’ada Allah akiwahidisha kwa Al’Mahdi Al’Muntadhar Watu na ba’ada ya kuamini kwa haki katika watu wote kwa Al’Mahdi Al’Muntadhar alafu ndio inakuja fitna kufanya majaribio kwa wacha mungu. Akasema Allah Ta3ala:

{ الم ﴿١﴾ أَحَسِبَ النَّاسُ أَن يُتْرَكُوا أَن يَقُولُوا آمَنَّا وَهُمْ لَا يُفْتَنُونَ ﴿٢﴾ وَلَقَدْ فَتَنَّا الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ فَلَيَعْلَمَنَّ اللَّـهُ الَّذِينَ صَدَقُوا وَلَيَعْلَمَنَّ الْكَاذِبِينَ ﴿٣﴾ } صدق الله العظيم [العنكبوت].
Allah Ta3ala Asema:
{ Alf lam Mimi (1) Je! Wanadhani watu wataachwa kwa kuwa wanasema: Tumeamini. Nao wasijaribiwe (2) Hakika tuliwajaribu walio kuwa kabla yao, na kwa yakini Mwenyezi Mungu atawatambulisha walio wa kweli na atawatambulisha walio waongo (3)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alankabut].

Na Ewe Ndugu Yangu Mkarimu hakika mimi sijaona moyo wako ni msafi upande wetu lakini usiwe kwa haki ni katika wenye kuchukia, Na Nataraji kwa Allah akusamehe na akuafu ndio atakase moyo wako kutakasa hakika Mola Mlezi Wangu Ni mwenye Kusamehe Mwenye Huruma, Lakini utake kumlekea Mola Mlezi Wako kwa kulia baina ya Mikono yako kwamba akuoneshe haki ni haki akuruzuku kuifwata hakika Mola Mlezi wangu Ni Mwenye Kusikia Mwenye Kujuwa.

Na Salam Juu Ya Mitume Na Al’Hamdulillah Rabilalamin..
Nduguyako Al’Imam Al’mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.