Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
27 - رجب - 1441 هـ
22 - 03 - 2020 مـ
02:02 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
[ لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان ]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=324968
_______



مزيدٌ من الفتوى عن الوضوء التام ..
Kuzidisha Katika Fatwa Kuhusu Wudhu Ulio Timia..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin, Asalam Alekom Wa Rahmatullahi Wa Barakatuhu Wapendwa Wangu Ma Anssar Na Waulizaji Watafiti Wa Haki..


Na nawaona munajadiliana kuhusu fatwa katika Bayana kwa neno la wudhu ulio timia; Nayo ni kama vile munavo tawadha, Bali kusafisha pua inaingia katika nidhamu ya upande wa uso na mdomo, Na meno inaingia katika nidhamu ya upande wa uzuri wa uso, Na kupiga msiwaki inaingia upande wa nidhamu na uzuri wa uso na meno wakati wa kutabasamu na kuzungumza basi inakua pumzi za mdomo wake mzuri, Bali meno ni silaha ya kusaga chakula, Basi kiasi gani anajuta ambae aliopuza silaha yake wakati akikosa?! Na Kufuta nywele za kichwa na masikio mawili, Eee Hakika ya kusafisha pua na kusukutua ni katika kutimia wudhu ulio timia wala sio sharti mara tatu bali mpaka ahisi moja wenu kua yeye amesafisha uso wake kutokana na jasho lilio kauka na pua yake kutokana na makamasi na asuguwe meno yake kwa vidole vake wakati wa kutawadha na ku'osha kichwa chake na masikio yake kuanzia nyuma na mikunjiko yake na kwa ndani na usiseme kuhusu kupitisha mara tatu, Wala sio kuingiza maji ndani ya masikio bali kusafisha ili kuondosha najasa.


Na kitu muhimu katika wudhu ni kufikia lengo ya nidhamu wala sio sharti kua isiwe ispokua mara tatu kuosha uso na kusafisha pua na kuskutua na zinginezo, Bali sharti nikufikia lengo la nidhamu kutokana mara tatu ama zaidi, ispokua kidogo yake ni mara tatu, Na tunakumbusha na tunakariri kua kitu muhimu kabisa kufikilia lengo la nidhamu nayo nikua ahisi amefikisha lengo la nidhamu basi hio ndio kutimisha wudhu ulio timia; Basi hio ndio wudhu ulio timia, Wala sijawakataza kabisa kuskutua na kusafisha pua basi hio ni katika upande wa kuosha uso na kilio zunguka nayo, Basi sidhani kua hayo inahitaji fatwa, Ama ingekua naona kuna makosa ndani yake nisinge'nyamaza nayo kwani hajasema Muhammad Mtume wa Allah sala Allahu aleyhi wa alihi walio wazuri na waislamu wote wa salam:
[ Lau sio kuogopea kua nitawapa uzito umma wangu nige wamuru kupiga msiwaki kitika kila ya swala]
Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Asalam?,
[ لولا أخاف أن أشقّ على أمّتي لأمرتُهم بالسّواك عند كل صلاة ]
؟ صدق عليه الصلاة والسلام.


Basi katika kusafisha pua na kuskutua kuna hikma ilio timia kutoka kwa Allah, Na hivo ispokua tumewazidisha ilimu kuhusu wudhu ulio timia kutokana na kuhusu kufuta migu kua Yeye Anakusudia kusugua kwa mikono na kupitisha vidole va mkono kwenye vidole va migu kwakua inapatikana katiyake najasa baina vidole va mgu na haswa vidole vilio ambatana, Na hivo hivo kukata kucha kwa wanaume na wanawake sawa sawa haswa kucha za mikono, Wala hatukatazi rangi ya kucha ya wanawake kwa jili ya pambo sharti iwe rangi ya kucha imepakwa wakati kucha ziko na twahara kutokana na najasa, Wala haitozuwia rangi ya kucha kuondosha ile ilio ka ju ya kucha kutokana na najasa baada ya hapo kwakua rangi ya kucha haswa imepakwa ju ya kucha ilio na twahara na kile kitakao kuja upya kitakua kiko ju ya rangi ya kucha na wudhu itaondosha ilio kuja ju upya, Basi ju yenu kwa wudhu ulio timia.


Ispokua nimewabainishia kwenu kukanusha kufuta mgu kama wanavo dai kufuta kwa mkono ulio na maji pek; Bali kyaosha, Na nimewabainishia kwenu kufuta kwenye maudhui hi ya migu kua Anakusudia kuyasugua kwa mkono kwa kua nayo ndio inaopatikana na najasa zaidi na hivo ili itimie lengo la usafi, Na mujuwe kua usafi ni kutokana na imani kwa yale Alio Wamuru Allah Nayo, Basi Sikizeni na mutii huwenda mukafaulu, Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..


Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_________