Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
01 - ربيع الثاني - 1441 هـ
28 - 11 - 2019 مـ
06:52 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=38752

_____________


مزيدٌ من البيان للاحتياط من مصائب الفيضان من آيات عذاب الطوفان في محكم القرآن كل يومٍ هو في شأن ..
Zaidi Katika Bayana Ya Akiba Kutokana Na Misiba Ya Mifuriko Katika Ma Alama Ya Adhabu Ya Tofan Kutoka ilio Wazi Maana Yake Al'Quran Kila Siku Yeye Yuko Kwenye Mabadiliko ..


Salam Za Allah Ju Yenu Na Rahma Yake Na Baraka Zakae Wapendwa Wangu Ma Anssar Walio Tangulia Walio Bora, Basi Kuhusu Kuhifadhi ngano na nafaka kavu za kudumu - Sio za mikebe - Na hivo ni ikitoke mifuriko katika miji yoyote ya inchi basi hatimai yatafunga sehemu za kutengeza mikate na maduka makubwa na maduka madogo, Basi hapo ndio tatizo kwakua watu wa mjini wananunua wengi wao chakula chake na familia yake kila siku kwa siku yake, Lakini yeye na familia yake hawatoweza kuvumilia nja kwa muda ya wiki ama zaidi ya hivo, Lakini katika hali ya kutokea mifuriko na anayo nganu na nafaka kavu za kudumu na zinginezo yani ile inao mtosheleza yeye na watu wa nyumba yake mwezi ama zaidi; Na mpaka ataweza kuwapa jirani wake.


Wala sio kua mifuriko ya maji itabaki kuendelea katika sehemu hio mwezi basi hio itakua ni gharka kikamilifu, ispokua Amtakae Allah Atamzamisha basi haitowafa kuhifadhi kwao wala kukimbia kwao kutokana na mauti kukimbia kwa makasri zilio imara ama ju ya majabali; Bali inawafa ni duaa na kuomba msamaha, Na wakati ikitokea adhabu na wakadhani kua wamezungukwa na kua neema ya Allah imebadilika kua ni bala kwa sababu ya kutoshukuru kwao kwa Mola Mlezi wao basi pindi wakimomba Allah kwa ikhlasi dini ni yake katika duaa peke Yake Hana mshirika nae basi hatimai Atawajibu Allah hata kama ni makafiri, Ndio Atatuliza mafuriko na Vimbunga basi Awaokoe huwenda wakashukuru, Hata kama ni makafiri wako baharini na tukawasukumia upepo mzuri wakafurahia nayo na wala hawaku Himidi Allah na kushukuru fadhila zake kwakua lau atasmamisha upepo kabisa basi zingebaki majahazi yao ya tanga ya kizamani kutulia ju ya mngongo wake yani mngongo wa bahari bila kuendelea na safari, Lakini kwa Rahma Yake Anawapelekea upepo mzuri basi wanafurahika nao kwakua inawapeleka na jahazi yao kwa kasi na kwasalama, Mpaka pindi Allah Hakusikia shukrani kwa Mola Mlezi wao na kusmamisha utajo wake kisha Anainua kiwango cha upepo mzuri wa kati kuinua kua mkali,
{ na wakaona wamesha zongwa, basi hapo humwomba Mwenyezi Mungu kwa kumsafishia niya: Ukituokoa na haya bila ya shaka tutakuwa miongoni mwa wanao shukuru } Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus:22].
{وَظَنُّوا أَنَّهُمْ أُحِيطَ بِهِمْ ۙ دَعَوُا اللَّـهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ لَئِنْ أَنجَيْتَنَا مِنْ هَـٰذِهِ لَنَكُونَنَّ مِنَ الشَّاكِرِينَ} صدق الله العظيم [يونس:22].


Kisha Anatuliza adhabu Yake ya chini ndio Ateremshe kiwango cha upepo kwenda mbio kwa kiwango cha upepo mzuri ili ipeleke ma jahazi yao katika bahari mpaka wafike upande wa bara, Kisha wanarudi kumshieikisha Allah kama kwamba upepo unao bomoa umerudi kua upepo mzuri kwa bahati! Na je wameamini kua Atawabomoa Allah nao upande wa bara ama wameamini kua awafanyie mbinu kwenye safari ya bahari ndio Awatumie kimbunga cha kibahari iwazamishe?
{ Je, wamejiaminisha na mipango ya Mwenyezi Mungu? Kwani hawajiaminishi na mipango ya Mwenyezi Mungu ila watu wenye kukhasiri (99)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].
{أَفَأَمِنُوا مَكْرَ اللَّـهِ ۚ فَلَا يَأْمَنُ مَكْرَ اللَّـهِ إِلَّا الْقَوْمُ الْخَاسِرُونَ ﴿٩٩﴾} صدق الله العظيم [الأعراف]؛
Kama wanavo itakidi washirikina na wahalifu na mulhidina wa leo, Hivi hawajuwi kua Anae endesha upepo na bara na bahari na majabali na mbingu na viliomo ndani yake ni Allah, Ama kua mazingira ni fujo yajipigia bila mpango ile itakao mpata bila dhulma? Na kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{ Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini (36) Au wanazo khazina za Mola wako Mlezi au wao ndio wenye madaraka (37)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altur].
{أَمْ خَلَقُوا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ ۚ بَل لَّا يُوقِنُونَ ﴿٣٦﴾} [الطور].
{أَمْ عِندَهُمْ خَزَائِنُ رَبِّكَ أَمْ هُمُ الْمُصَيْطِرُونَ ﴿٣٧﴾} [الطور].
صـــدق الله العظيــم .


Na kwajili ya hivo nawahadharisha waislamu kuita aina za adhabu za chini aina yoyote ya mangamivy kuita kama wanavo ita ma mulhidina kwa kauli yao ( majanga ya asili ), Haihat Haihat Na Mola Mlezi wa ardhi na mbingu hakika hio imeamirishwa kwa wahyu kutoka kwa Allah kua imefanye inavo fanya kwa waja Wake wanaokanusha, Lakini matatizo yao sana miongoni mwao bado inazali ni matatizo ya washirikina; Wamesahau kua wamemomba Allah peke Akaondosha kwao adhabu huwenda wakashukuru, Lakini wengi wa watu hawashukuru.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani .
أخوكم الامام المهديّ ناصر محمد اليماني .
_________


اقتباس المشاركة 319894 من موضوع مزيدٌ من البيان للاحتياط من مصائب الفيضان من آيات عذاب الطوفان في محكم القرآن كل يوم هو في شأن ..


الإمام ناصر محمد اليماني
01 - ربيع الثاني - 1441 هـ
28 - 11 - 2019 مـ
06:52 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

_________________



مزيدٌ من البيان للاحتياط من مصائب الفيضان من آيات عذاب الطوفان في محكم القرآن؛ كل يومٍ هو في شأن ..


سلام الله عليكم ورحمته وبركاته أحبتي في الله الأنصار السابقين الأخيار، بالنسبة لتخزين القمح وحبوب الإدامات - غير المعلبات - وذلك في حال وقوع فيضان في أيّ مدن الدول فحتماً تُغلق أفران المخابز والسوبرماركتات والبقايل، فهنا مشكلةٌ كون أصحاب المدن يشتري أغلبهم طعامه وآل بيته كلّ يومٍ بيومه، ولكنّه وأهل بيته لن يستطيعوا تحمّل الجوع لمدة أسبوعٍ أو أكثر من ذلك، ففي حالة وقوع الفيضان ولديه قمح وحبيبات الإدامات وغيرها أي ما يكفيه هو وأهل بيته شهراً أو أكثر؛ وحتى يعطي جيرانه.

وليس أن الفيضانات سوف تظلّ متواصلةً على نفس المنطقة أشهراً فهذا يعني غرقٌ تامٌ، إلا من شاء الله أن يغرقهم فلن ينفعهم التخزين ولا الفرار من الموت إلى القصور المشيدة أو الجبال؛ بل ينفعهم الدعاء والاستغفار. وحين وقوع العذاب وظنّوا أنه أُحيط بهم وأن نعمة الله قد تحوّلت إلى نقمة بسبب عدم شكرهم لربهم، فإذا دعوا الله مخلصين له الدين في الدعاء وحده لا شريك له فحتماً يجيبهم الله ولو كانوا كافرين، فيُسكن الفيضان والريح والإعصار فينجّيهم (لعلهم يشكرون) حتى ولو كانوا كافرين في البحر وجرَينَ بهم بريحٍ طيّبةٍ وفرحوا بها ولم يحمدوا الله ويشكروه فضله، كونه لو يُسكن الريح تماماً لظلَلْنَ سفنهم الشراعيّة القديمة رواكدَ على ظهره؛ أي ظهر البحر دون مواصلة السفر، ولكن برحمته يسوقهم بريحٍ طيّبةٍ فيفرحوا بها كونها منطلقةً بهم الفلكُ مسرعةً وبسلام، حتى إذا لم يسمع الله شكرهم لربهم وإقامة ذكره فمن ثم يرفع درجة الريح الطيّبة المتوسطة إلى ريحٍ قاصفٍ،
{وَظَنُّوا أَنَّهُمْ أُحِيطَ بِهِمْ ۙ دَعَوُا اللَّـهَ مُخْلِصِينَ لَهُ الدِّينَ لَئِنْ أَنجَيْتَنَا مِنْ هَـٰذِهِ لَنَكُونَنَّ مِنَ الشَّاكِرِينَ} صدق الله العظيم [يونس:22].

فمن ثم يُهدِئ عذابه الأدنى فيُنزل درجة سرعة الريح إلى ريحٍ طيّبةٍ لتسيير سفنهم في البحر حتى يوصلهم إلى جانب البرّ، ثم يعودون إلى الشرك بالله وكأنّ الريح القاصف عادت إلى ريحٍ طيبةٍ صدفةً! فهل أمِنوا أن يخسِف الله بهم جانب البرّ أم أمِنوا أن يمكر بهم في سفرٍ بحريّ فيُرسل عليهم قاصفاً بحريّاً فيغرقهم؟
{أَفَأَمِنُوا مَكْرَ اللَّـهِ ۚ فَلَا يَأْمَنُ مَكْرَ اللَّـهِ إِلَّا الْقَوْمُ الْخَاسِرُونَ ﴿٩٩} صدق الله العظيم [الأعراف]؛ كما يعتقد المشركون والظالمون الملحدون اليوم، أفلا يعلمون أنّ الذي مسيطرٌ على الريح والبحر والبرّ والجبال والسماء وما فيهما أنه الله، أم أن الطبيعة فوضى (خبطُ عشواءٍ) مَن تصيب مِن غير ظلمٍ؟ ولذلك قال الله تعالى:
{أَمْ خَلَقُوا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ ۚ بَل لَّا يُوقِنُونَ ﴿٣٦أَمْ عِندَهُمْ خَزَائِنُ رَبِّكَ أَمْ هُمُ الْمُصَيْطِرُونَ ﴿٣٧} صـــدق الله العظيــم [الطور].


ولذلك نحذر المسلمين من تسمية أنواع العذاب الأدنى من مختلف الكوارث بتسمية الملحدين بقولهم ( كوارث طبيعية )، هيهات هيهات وربّ الأرض والسموات إنّها مأمورةٌ بوحيٍ من الله أن تفعل ما تفعل بعباده المعرضين، ولكن مشكلتهم كثيراً منهم لا تزال مشكلة المشركين؛ نسوا بأنهم دعوا الله وحده وكشف عنهم عذابه لعلهم يشكرون، ولكن أكثر الناس لا يشكرون!

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين ..

أخوكم الامام المهديّ ناصر محمد اليماني .
_____________

ملاحظة :
البيان منقولٌ عن طريق الأنصاري المكرم عبد الجبار.
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..