Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
لإمام ناصر محمد اليماني
09 - ربيع الثاني - 1441 هـ
06 - 12 - 2019 مـ
06:11 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=38802

_____________



إعلان هام وعام عن الحل لتوقف كوارث المناخ الغير طبيعية ..
Tangazo Muhimu Na Kwa Jumla Kuhusu Suluhisho La Kuzuwia Maafa Ya Hali Ya Hewa Ambao Sio Ya Kawaida ..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Ma Nabi Wa Allah Wote Kutoka Wakwanza Wao Mpaka Khatimu Wao Nabi Ambae Sio Msomi Muhammad Mtume Wa Allah Na Ju Ya Alio Fwata Njia Ya Ma Nabi Wa Allah Na Mitume Wake Katika Kila Zama Na Mahali Mpaka Siku Watu Watakapo Simama Kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Ama Baada Ya Hapo ..


Enye ma3ashara ya watowaji uwamuzi katika pembe tafauti na ma mufti wa miji na wote mataifa ya watu, Hakika mumekua muko kwenye hatari kubwa, Na imekurubia kwenu shari ilio pangiliwa na milipuko kutoka kubwa kwenda kwa kubwa zaidi; iwe sawa mishutuko ya ma zilzala ambazo zinatingisha misingi ya ma nyumba kwa yule Anae Taka Allah Miongoni mwenu katika pembe tafauti basi ndio iyanguke ju yao sakafu ilio inuliwa katika manyumba zenu na makasri zenu na magorofa zenu yatakavo kua yako imara itawajieni mauti kwa ile Atakavo Allah kutokana na adhabu yake basi hakuna chakupita, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Na lau ungeli ona watapo babaika, basi hapana pa kukimbilia! Na itawajia kutokana mahala pa karibu (51) Na watasema: Tunaiamini! Lakini wataipata wapi na ilikua kutoka huko mahala mbali (52) Na hapo kabla yake waliikataa, na wakiyatupilia mbali maneno ya ghaibu na ilikia iko kutoka mahali mbali (53) Na watatiliwa kizuizi baina yao na hayo wanayo yatamani, kama walivyo fanyiwa wenzao zamani. Hakika hao walikuwa na shaka ya kutia wasiwasi (54)} Sadaqa Allah Al3adhim [Sabaa].
{وَلَوْ تَرَىٰ إِذْ فَزِعُوا فَلَا فَوْتَ وَأُخِذُوا مِن مَّكَانٍ قَرِيبٍ ﴿٥١﴾ وَقَالُوا آمَنَّا بِهِ وَأَنَّىٰ لَهُمُ التَّنَاوُشُ مِن مَّكَانٍ بَعِيدٍ ﴿٥٢﴾ وَقَدْ كَفَرُوا بِهِ مِن قَبْلُ ۖ وَيَقْذِفُونَ بِالْغَيْبِ مِن مَّكَانٍ بَعِيدٍ ﴿٥٣﴾ وَحِيلَ بَيْنَهُمْ وَبَيْنَ مَا يَشْتَهُونَ كَمَا فُعِلَ بِأَشْيَاعِهِم مِّن قَبْلُ ۚ إِنَّهُمْ كَانُوا فِي شَكٍّ مُّرِيبٍ ﴿٥٤﴾} صدق الله العظيم [سبأ].


Na je kunae anaezingatia? Hakika Allah Ameyasirisha Al'Quran kuifanya nyepesi yenye Ukumbusho, Na je yuko mwenye kukumbuka na mwenye kuzingatia dharuba ya mzunguko wa kimbunga cha mfuriko wa miminiko wa maji yanao miminika kwa mpigo moja na kuengia kwenye vichochoro na ukali wa mito ya kumiminika na mito ya majabalini kwa kimbunga cha maji kimo chake kimeinuka kwa sababu ya kukurubia sayari ya adhabu kutoka upande wa kusini katika kivuli cha vita na uoneaji na uhalifu na ufisadi katika ardhi na dulma ya waja ju ya waja? Na ikajawa ardhi uowonevu na udhalimu Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Ufisadi umedhihiri bara na baharini kwa iliyo yafanya mikono ya watu, ili Mwenyezi Mungu awaonyeshe baadhi ya waliyo yatenda. Huenda wakarejea kwa kutubu (41)} Sadaqa Allah Al3adhim ].

{ظَهَرَ الْفَسَادُ فِي الْبَرِّ وَالْبَحْرِ بِمَا كَسَبَتْ أَيْدِي النَّاسِ لِيُذِيقَهُم بَعْضَ الَّذِي عَمِلُوا لَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ ﴿٤١﴾} صدق الله العظيم [الروم].


Na sijapata ispokua suluhisho moja halina lengine nalo ni murudi kwa Allah ndio mukimbie kwa Allah Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Basi kimbilieni kwa Mwenyezi Mungu, hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae kwake (50) Wala msifanye kuwa kuna mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu. Hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae kwake (51)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aldhariat].
{فَفِرُّوا إِلَى اللَّـهِ ۖ إِنِّي لَكُم مِّنْهُ نَذِيرٌ مُّبِينٌ ﴿٥٠﴾ وَلَا تَجْعَلُوا مَعَ اللَّـهِ إِلَـٰهًا آخَرَ ۖ إِنِّي لَكُم مِّنْهُ نَذِيرٌ مُّبِينٌ ﴿٥١﴾} صدق الله العظيم [الذاريات]،
Basi Mpwekesheni Na Mumwabudu Pekeyake Hana Mshirika Nae Basi Hapana Mola Ispokua Yeye Wala Mwenye Kuabudiwa Pasi Nae.


Basi ni kiwango gani Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ju yenu ni mwenye kuwataka na kuwakurubisha! Na kiasi gani nimeawahadhirisha na nimewaonya kutoka muda wa miyak


a, Na nimewahadharisha adhabu ya Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu kutoka ilipo anza mvutano wa sayari ya adhabu kutoka ilikua iko pahala pambali kabla haijakurubia, Na nikawaeleza kua kila ikikurubia sayari ya saqar inao zungukia watu kua itapanda idadi ya kiwango cha adhabu ya chini kua kubwa kwenda kubwa kwenda kubwa zaidi enye ma3ashara ya wakanushaji kutokana na ukumbusho.


Basi munazali bado muko mwaka wa 2005 Ya kijua na bado mwazali katika mwaka wa kimwezi nayo ni dhati yake mwaka wa 1426 na mwaka 1427 Bado Muko ndani yake mpaka kutoa Bayana Yangu Hi bado mwazali ndani ya mwaka wa kimwezi, Hakik ya kiwanga cha mwaka wa kimwezi ni siku 360 kimwezi, Na imekurubia kumalizika nuzu mwaka ya kimwezi katika miyaka ya kimwezi kulingana na hisabu ya siku ya mwezi wenyewe, Ama kua hamutambuwi kua jua na mwezi iko na mahisabu yake katika ilio wazi maana yake Al'Quran? Wala Sihadididishi miadi ya Adhabu kali; Bali Tunakumbusha kwa Al'Quran yule mwenye kuogopa Maagano, Na Wala adhabu ya Allah ambao ni kali kwa wakanushaji ukumbusho iko mbali nao, Na kabla yake ma alama za adhabu nyingi za kufwatana kutoka ndogo kuwenda kua kubwa huwenda nayo ikaleta kwenu kukumbuka, Na wala haikua kwa Mola Mlezi Wangu Angamize vijiji kwa dhulma tu ama akiadhibu na watu wake ni wema, Subhanahu Ametukuka Basi Hakika Wala Hadhulumu Mola Mlezi wako Yoyote! Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Na wala hatukua ni wenye kuangamiza Vijiji ispokua watu wake madhalimu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasas:59].
{وَمَا كُنَّا مُهْلِكِي الْقُرَىٰ إِلَّا وَأَهْلُهَا ظَالِمُونَ} صدق الله العظيم [القصص:59].


Na kumbukeni Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Na ndio kama hivyo ndivyo inavyo kuwa Mola wako Mlezi anapo ikamata miji inapo kuwa imedhulumu. Hakika mkamato wake ni mchungu na mkali (102)} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud].
{وَكَذَٰلِكَ أَخْذُ رَبِّكَ إِذَا أَخَذَ الْقُرَىٰ وَهِيَ ظَالِمَةٌ ۚ إِنَّ أَخْذَهُ أَلِيمٌ شَدِيدٌ ﴿١٠٢﴾} صدق الله العظيم [هود].


Na bado tunazali twakumbusha kwa Al'Quran anae ogopa miadi, Na hakika nimewahadhirisha kutoka muda mrfu na je mwataka yale tulio yandika kabla haijazidi matokeo kua turudi kuandika upya? Kwani sikuwambia nyinyi kutoka kabla kutoka zama za Bosh Mdogo kua syari ya adhabu kali kila ikikurubia zaidi basi ndio kila inazidi ishara yale munao ita maafa ya kiasili? Pamoja ya kwamba mwajua kua ni maafa ya adhabu sio ya kawaida kwa sababu ya mageuzi ya hali ya hewa ikawa sio ya kawaida na nyinyi mwajua, Na mukasema urongo kwa kauli yenu kua sababu ya kubadilika hali ya hewa ni kwa sababu ya uwingi wa joto duniani! Bali ni kwasababu ya kukurubia sayari ya moto kutoka pembe upande wa kaskazini na pembe ya upande wa kusini, Na laana ya Allah ju ya warongo na wao wajua kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi Wao.


Na ala kuli hali, Nawakubusha katika moja za Ma Bayana katika zile tulizo ziandika katika zama za Bosh Mdogo kutoka miyaka katika Dahri, Na miongoni mwake kama ifwatavo na kulingana na tarehe ya kutoka kwake kwenye tuvoti yetu katika internet ya ulimwengu, Na wala sijawambia hivi sasa kitu kipya bada ya kusadikisha Bayana ya haki ya Al'Quran Ya Allah Al3aziz Al'Hamid, Basi Awaonesha Aya zake na mutazijua kwenye waki ya uhakika alafu munakita kwa kiburi kama kwamba hamujuwi; Bali nawakumbusha kwa yale tulioyandika kwenu kutoka kabla huwenda mukaongoka enye ma3ashara ya waislamu, Basi imekuja kusadikisha mutaenda wapi enye ma3ashara ya waumini kwa Al'Quran Al3adhim na nyinyi munaikufuru nayo munaisikiza na kufwata ilio wazi maana yake munafanya kiburi?


Na ewe Bosh mdogo kua shahidi ju ya nafsi yako na ju ya pembe ya shetani Donald Tramp mwenye shari katika kinacho tembea, Na enye ma3ashara ya warabu ole wenu kutokana na shari ilio kurubia na tofani ya milima ya michanga ilio haribika na miminiko wa maji ya kutembea .... Na kwa Hali zote nawakubusha kwa Bayana Inao Fwata Kutoka zama ya zamani kama ifwatavo:


Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
08 - 08 - 1428 هـ
22 - 08 - 2007 مـ
03:15 صباحاً
ـــــــــــــــ




المهدي المنتظر يعلن استمرار حرب التناوش ..
Al'Mahdi Al'Muntadhar Anatangaza Kuendelea Vita Va Mvutan


o ...
https://wwhttps://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=46620w.mahdialumma.com/showthread.php?p=46620