Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
21 - 04 - 1431 هـ
06 - 04 - 2010 مـ
05:08 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=1225

____


المهديّ سبقَ له الوعد من ربّه كما لرُسله أن يعصمَهم من الناس ..
Al'Mahdi ilitangulie Kwake Waadi Kutoka Kwa Mola Mlezi Wake Kama Vile Mitume Wake Anawakinga Kutokana Na Watu ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Na Salamu Ju Yenu Wapendwa Wangu Kwa Allah; ispokua nakusudia Mumjulishe Al'Imam Al'Mahdi majina yenu kwenye hususi wala sio kwa umma, Na ama kwa umma basi hakuna ubaya ju yenu muyaweke majina yenu ya kuazima mpaka wakati malum ili wasiwaudhi majahili wale ambao imepotea mbio zao za duni na wao wanadhani wanafanya mazuri, ispokua Al'Imam Al'Mahdi peke haitakiwi kwake iwe jina lake la kuazima wala jina la babake; Bali latakiwa jina lake la kweli kutoka alipo kua mchanga analelewa (Nasser Muhammad), Basi hakika Amelifanya Allah jina langu ndio habari yangu na bendera ya jambo langu, Na Wala Hawatoweza Kuniuwa majini wote na watu mpaka Amtimizie mja Wake Nur Yake hata kama watachukia wahalifu kutokezea kwake na wakiweza kuniuwa basi mimi si Al'Mahdi Al'Muntadhar, Na Allah Akiwageuza manguruwe basi watajua kua Allah kwa kila kitu ana uwezo na ni haki ju ya Allah Amtete Khalifa Wake mpaka Amdhihirishe Allah katika usiku ju ya binadamu wote na wao ni katika wanyonge, Na vile mimi najua kua mimi ni Al'Imam Al'Mahdi wa kweli kutoka kwa Mola Mlezi Wa ulimwengu nasema kwa ma aduwi wa Allah washirikina kama walivo sema Mitume Wa Aallah kwenue muhakam ilio wazi maana yake kitabu:
{قَالَ إِنِّي أُشْهِدُ اللَّـهَ وَاشْهَدُوا أَنِّي بَرِيءٌ مِّمَّا تُشْرِكُونَ ﴿٥٤﴾ مِن دُونِهِ ۖ فَكِيدُونِي جَمِيعًا ثُمَّ لَا تُنظِرُونِ ﴿٥٥﴾ إِنِّي تَوَكَّلْتُ عَلَى اللَّـهِ رَبِّي وَرَبِّكُم ۚ مَّا مِن دَابَّةٍ إِلَّا هُوَ آخِذٌ بِنَاصِيَتِهَا ۚ إِنَّ رَبِّي عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ ﴿٥٦﴾} صدق الله العظيم [هود].
Allah Ta3ala Asema: { Akasema: Hakika mimi namshuhudisha Mwenyezi Mungu, na nyinyi shuhudieni, ya kwamba mimi najitenga mbali na hao mnao wafanya washirika (54) Mkamwacha Yeye. Basi nyote nyinyi nipangieni vitimbi, na kisha msinipe muhula (55) Hakika mimi nimemtegemea Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wangu na Mola Mlezi wenu. Hapana kiumbe yeyote ila Yeye anamwendesha atakavyo. Hakika Mola wangu Mlezi yuko juu ya Njia Iliyo Nyooka (56)} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud].


وَأَرَادُوا بِهِ كَيْدًا فَجَعَلْنَاهُمُ الْأَخْسَرِينَ ﴿٧٠﴾} صدق الله العظيم [الأنبياء]
{ Wao walimkusudia maovu, lakini Sisi tukawafanya wao ndio walio khasiri (70)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbiya],
Na hivo ni kwajili Al'Imam Al'Mahdi imetangulia waadi kutoka kwa Mola Mlezi Wake kama vile Mitume Wake kua Anawakinga kutokana na watu.


Na huwenda kutaka kunikatiza wale hawajuwi, Aseme Amesema Allah Ta3ala:
{وَيَقْتُلُونَ الْأَنبِيَاءَ بِغَيْرِ حَقٍّ ۚ ذَٰلِكَ بِمَا عَصَوا وَّكَانُوا يَعْتَدُونَ} صدق الله العظيم [آل عمران:112]،
{ na wakiwauwa Manabii pasina haki; hayo ni kwa sababu waliasi na walikuwa wakiruka mipaka } Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:112],
Na Alafu anarudisha jibu ju yake Al'Imam Al'Mahdi Na Asema:


Ispokua Amenipa Allah kinga ya Mitume wale ambao inateremka kwao kitabu wala sio ma Nabi wale ambao Anawapa hikma na wala haiteremki kwao kitabu kama mfano wa Nabi wa Allah Yahya haikuteremka kwake kitabu lakini Allah Amempa hikma na yeye ni kijana na wakamuwa Bani israil uwaduwi na udhalimu, Na yeye ilikua anataka Shahada katika njia ya Allah Akandika Allah kwake hivo.


Na ama Mitume basi wao wamekalifishwa na ujumbe kwa umma, Na Mitume wao ndio inateremka ju yao kitabu; Hawo hawakuweza ma umma kabisa ku'uwa yoyote katika Mitume Wake na wakawa na hamu kwa yale hawakuyapata.


Akasema Allah Ta3ala:
{كَذَّبَتْ قَبْلَهُمْ قَوْمُ نُوحٍ وَالْأَحْزَابُ مِن بَعْدِهِمْ ۖ وَهَمَّتْ كُلُّ أُمَّةٍ بِرَسُولِهِمْ لِيَأْخُذُوهُ ۖ وَجَادَلُوا بِالْبَاطِلِ لِيُدْحِضُوا بِهِ الْحَقَّ فَأَخَذْتُهُمْ ۖ فَكَيْفَ كَانَ عِقَابِ ﴿٥﴾}
صدق الله العظيم [غافر].
Allah Ta3ala Asema: { Kabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na makundi mengine baada yao. Na kila taifa lilikuwa na hamu juu ya Mtume wao wamkamate. Na walibishana kwa upotovu ili kuipindua haki. Kwa hivyo niliwakamata. Basi ilikuwaje adhabu yangu (5)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafir].


Na Akasema Allah Ta3ala:
{حَتَّىٰ إِذَا رَأَوْا مَا يُوعَدُونَ فَسَيَعْلَمُونَ مَنْ أَضْعَفُ نَاصِرًا وَأَقَلُّ عَدَدًا ﴿٢٤﴾ قُلْ إِنْ أَدْرِي أَقَرِيبٌ مَّا تُوعَدُونَ أَمْ يَجْعَلُ لَهُ رَبِّي أَمَدًا ﴿٢٥﴾ عَالِمُ الْغَيْبِ فَلَا يُظْهِرُ عَلَىٰ غَيْبِهِ أَحَدًا ﴿٢٦﴾ إِلَّا مَنِ ارْتَضَىٰ مِن رَّسُولٍ فَإِنَّهُ يَسْلُكُ مِن بَيْنِ يَدَيْهِ وَمِنْ خَلْفِهِ رَصَدًا ﴿٢٧﴾ لِّيَعْلَمَ أَن قَدْ أَبْلَغُوا رِسَالَاتِ رَبِّهِمْ وَأَحَاطَ بِمَا لَدَيْهِمْ وَأَحْصَىٰ كُلَّ شَيْءٍ عَدَدًا ﴿٢٨﴾} صدق الله العظيم [الجن].
Allah Ta3ala: { Hata watakapo yaona wanayo ahidiwa, ndipo watakapo jua ni nani mwenye msaidizi dhaifu, na mchache wa idadi (24) Sema: Sijui kama yapo karibu hayo mnayo ahidiwa, au Mola wangu Mlezi atayawekea muda mrefu (25) Yeye ndiye Mwenye kujua ya siri, wala hamdhihirishii yeyote siri yake (26) Isipo kuwa Mtume wake aliye mridhia. Naye huyo humwekea walinzi mbele yake na nyuma yake (27) Ili Yeye ajue kwamba wao wamefikisha ujumbe wa Mola wao Mlezi, na Yeye anayajua vyema yote walio nayo, na amedhibiti idadi ya kila kitu (28)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aljin].


Na Anakusudia Mitume ma Nabi wale ambao inateremka kwao kitabu wala hakusudi ma Nabi wale ambao anawapa hikma kwa ilimu, Na ama Al'Imam Al'Mahdi basi yeye si Mtume wala Nabi lakini amempa Allah kinga ya mitume na hikma ya ma Nabi basi yeye yuko kwa macho ya Mola Mlezi wake usiku na mchana kama alivo kua babu yake Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وَإِنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا عَذَابًا دُونَ ذَٰلِكَ وَلَـٰكِنَّ أَكْثَرَهُمْ لَا يَعْلَمُونَ ﴿٤٧﴾ وَاصْبِرْ لِحُكْمِ رَبِّكَ فَإِنَّكَ بِأَعْيُنِنَا ۖ وَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ حِينَ تَقُومُ ﴿٤٨﴾ وَمِنَ اللَّيْلِ فَسَبِّحْهُ وَإِدْبَارَ النُّجُومِ ﴿٤٩﴾} صدق الله العظيم [الطور].
Allah Ta3ala Asema: { Na hakika walio dhulumu watapata adhabu nyengine isiyo kuwa hii, lakini wengi wao hawajui (47) Na ingojee hukumu ya Mola wako Mlezi. Kwani wewe hakika uko mbele ya macho yetu, na mtakase kwa kumsifu Mola wako Mlezi unapo simama (48) Na usiku pia mtakase, na zinapo kuchwa nyota (49)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altur].


Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَتَوَكَّلْ عَلَى الْعَزِيزِ الرَّحِيمِ ﴿٢١٧﴾ الَّذِي يَرَاكَ حِينَ تَقُومُ ﴿٢١٨﴾ وَتَقَلُّبَكَ فِي السَّاجِدِينَ ﴿٢١٩﴾ إِنَّهُ هُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ ﴿٢٢٠﴾} صدق الله العظيم [الشعراء].
Allah Ta3ala Asema: { Na umtegemee Mtukufu Mwenye nguvu Mwenye kurehemu (217) Ambaye anakuona unapo simama (218) Na mageuko yako kati ya wanao sujudu (219) Hakika Yeye ndiye Mwenye kusikia Mwenye kujua (220)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alshuaraa].


Wallahi Yule Ambae Hapana Mola ispokua Yeye Hakika Ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani yuwatembea katika masoko ya binadamu bila kujifinika wala haogopi kwa Allah mwenye kulaumu, Na ndio mimi nabeba silaha yangu na hivo hivo wanao nifwata wamebeba silaha zao ispokua hio ni kutekeleza amri ya Allah katika muhakam ilio wazi maana yake kitabu chake:
{وَخُذُوا حِذْرَكُمْ ۗ إِنَّ اللَّـهَ أَعَدَّ لِلْكَافِرِينَ عَذَابًا مُّهِينًا} صدق الله العظيم [النساء:102].
Allah Ta3ala Asema: { Na chukueni hadhari yenu. Hakika Mwenyezi Mungu amewaandalia makafiri adhabu ya kudhalilisha } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:102].


Lakini mimi najua kua lau Allah Atamuru walio wema wote katika jeshi Lake kwenye mbingu Yake na ardhi Yake kumlinda Al'Mahdi Al'Muntadhar hakika wao hawatonisaidi kitu ikiwa Hakuninusuru pamoja na wao Mola Mlezi wangu Yeye ni Mola Wetu Mlezi Neema Ya Mola Mlezi na Neema ya kunusuriwa, Akasema Allah Ta3ala:
{إِذْ تَسْتَغِيثُونَ رَبَّكُمْ فَاسْتَجَابَ لَكُمْ أَنِّي مُمِدُّكُم بِأَلْفٍ مِّنَ الْمَلَائِكَةِ مُرْدِفِينَ ﴿٩﴾ وَمَا جَعَلَهُ اللَّـهُ إِلَّا بُشْرَىٰ وَلِتَطْمَئِنَّ بِهِ قُلُوبُكُمْ ۚ وَمَا النَّصْرُ إِلَّا مِنْ عِندِ اللَّـهِ ۚ إِنَّ اللَّـهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ ﴿١٠﴾} صدق الله العظيم [الأنفال].
Allah Ta3ala Asema: { Mlipo kuwa mkimuomba msaada Mola wenu Mlezi, naye akakujibuni kuwa: Kwa yakini Mimi nitakusaidieni kwa Malaika elfu wa nao fuatana mfululizo (9) Na Mwenyezi Mungu hakufanya haya ila kuwa ni bishara na ili nyoyo zenu zituwe. Na haupatikani ushindi ila kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, na Mwenye hikima (10)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal:].


{قُل لَّن يُصِيبَنَا إِلَّا مَا كَتَبَ اللَّـهُ لَنَا هُوَ مَوْلَانَا ۚ وَعَلَى اللَّـهِ فَلْيَتَوَكَّلِ الْمُؤْمِنُونَ ﴿٥١﴾} صدق الله العظيم [التوبة].
{ Sema: Halitusibu ila alilo tuandikia Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye Mola wetu Mlinzi. Na Waumini wamtegemee Mwenyezi Mungu tu (51)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altwuba].


Na ama Anssari; Wapendwa wa moyo wangu basi hakuna ubaya ju yao kua wataje majina yao kwenye Screen kuu katika tuvoti basi wachukuwe hadhari yao wala sikuwamuru kutaja majina yao ya kweli katika ukurasa muku wa tuvoti wala pia katika mashauriyano hususi kwasababu wanangalia katika mashauriyano kwenye hususi wanachama kikao cha uongozi. Na majina ya ma Anssar wangu ni amana kwenye shingo yangu, Kwajili ya hivo nawamuru watume majina yao katika hususi na nawalaumu wao wakati hawaniambi wengi wao kwa jina lake na jina la babake na mlango wake basi ni amana hio ju yetu mpaka wakati malum wakati Atakapo mdhihirisha Allah Khalifa Wake basi atawaita kwa majina yao baada ya kusadikisha katika nyumba ya zamani katika maskizi na maoni ya ulimwengu Akitaka Allah, Na kwa Allah yanarudi mambo.


Na hivo hivo nawajulisha ma Anssari wangu kua yamienda majina ya baadhi yao kwa sababu ingine na sikua tena nazijua majina miongoni mwao ispokua kidogo katika wale Ameinua Allah mngongo wangu kwao na nawashirikisha katika jambo langu, Kwahivo mimi nawamuru ma Anssari wangu kwa amri kua watume majina yao kwangu kwenye hususi yani kwenye barua hususi wala sio email; Bali katika barua hususi nayo ni abonyeze kwenye jina langu itatokezea kwake uchaguzi tafauti miongoni mwao ni tuma ujumbe hususi kwa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Na hivo ili nizihifadhi upya, Na hivo ili kuhakikisha na kufanya upya.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المرسَلين، والحمدُ لله ربِّ العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_____________

اقتباس المشاركة 4312 من موضوع المهديّ سبقَ له الوعد من ربّه كما لرُسله أن يعصمَهم من الناس ..



الإمام ناصر محمد اليماني
21 - 04 - 1431 هـ
06 - 04 - 2010 مـ
05:08 صباحاً
________



المهديّ سبقَ له الوعد من ربّه كما لرُسله أن يعصمَهم من الناس ..

بسم الله الرحمن الرحيم، وسلامٌ على المرسَلين، والحمدُ لله ربِّ العالمين..
سلام الله عليكم أحبتي في الله؛ إنّما أقصد أن تُعلِموا الإمام المهديّ بأسمائِكم على الخاص وليس على العام، فأمّا على العام فلا تثريب عليكم أن تجعلوها مستعارةً إلى أجل مسمى حتى لا يُؤذيَكم الجاهلون الذين ضلّ سعيهم في الحياة الدُّنيا وهم يحسبون أنّهم يحسنون صنعاً، ما عدا الإمام المهديّ فلا ينبغي له أن يكون اسمه مستعاراً ولا اسم أبيه؛ بل اسمه الحقّ منذ أن كان في المهدِ صبيّاً (ناصر محمد)، فقد جعل الله في اسمي خبري وراية أمري، ولن يستطيع قتلي كافة الجنّ والإنس حتى يُتمَّ بعبده نوره ولو كره المجرمون ظهوره فإن استطاعوا قتلي فلستُ المهديّ المنتظر، وإن مسخهم الله إلى خنازير فيعلمون أنّ الله على كلّ شيءٍ قديرٍ وكان حقّاً على الله أن يدافع عن خليفته حتى يُظهره الله في ليلةٍ على كافة البشر وهم صاغرون، وبما أنّي أعلم أنّي المهديّ المنتظَر الحقّ من ربّ العالمين أقول لأعداء الله المشركين كما قال رسل الله في محكم الكتاب: {قَالَ إِنِّي أُشْهِدُ اللَّـهَ وَاشْهَدُوا أَنِّي بَرِيءٌ مِّمَّا تُشْرِكُونَ ﴿٥٤﴾ مِن دُونِهِ ۖ فَكِيدُونِي جَمِيعًا ثُمَّ لَا تُنظِرُونِ ﴿٥٥﴾ إِنِّي تَوَكَّلْتُ عَلَى اللَّـهِ رَبِّي وَرَبِّكُم ۚ مَّا مِن دَابَّةٍ إِلَّا هُوَ آخِذٌ بِنَاصِيَتِهَا ۚ إِنَّ رَبِّي عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ ﴿٥٦﴾} صدق الله العظيم [هود].

{وَأَرَادُوا بِهِ كَيْدًا فَجَعَلْنَاهُمُ الْأَخْسَرِينَ ﴿٧٠﴾} صدق الله العظيم [الأنبياء]، وذلك لأنّ الإمام المهديّ سبق له الوعد من ربّه كما لرُسله أن يعصمَهم من الناس.

ولربّما يودّ أن يقاطعني الذين لا يعلمون، ويقول قال الله تعالى: {وَيَقْتُلُونَ الْأَنبِيَاءَ بِغَيْرِ حَقٍّ ۚ ذَٰلِكَ بِمَا عَصَوا وَّكَانُوا يَعْتَدُونَ} صدق الله العظيم [آل عمران:112]، ومن ثمّ يردّ عليه الإمام المهديّ ويقول:

إنّما آتاني الله عصمة الرسل الذين يتنزّل عليهم الكتاب وليس الأنبياء الذين يأتيهم الحكم ولم يتنزّل عليهم الكتاب كمثل نبيّ الله يحيى لم يتنزّل عليه الكتاب ولكنّ الله آتاه الحكم صبياً وقتله بنو إسرائيل عدواناً وظلماً، وهو كان يريد الشهادة في سبيل الله فكتب الله له ذلك.

وأما الرّسل فهم مكلّفون برسالةٍ للأمّة، والرّسل هم الذين يتنزّل عليهم الكتاب؛ أولئك لم تستطِع الأمم أبداً أن يقتلوا أحداً من رُسله وهمّوا بما لم ينالوا.

وقال الله تعالى: {كَذَّبَتْ قَبْلَهُمْ قَوْمُ نُوحٍ وَالْأَحْزَابُ مِن بَعْدِهِمْ ۖ وَهَمَّتْ كُلُّ أُمَّةٍ بِرَسُولِهِمْ لِيَأْخُذُوهُ ۖ وَجَادَلُوا بِالْبَاطِلِ لِيُدْحِضُوا بِهِ الْحَقَّ فَأَخَذْتُهُمْ ۖ فَكَيْفَ كَانَ عِقَابِ ﴿٥﴾} صدق الله العظيم [غافر].

وقال الله تعالى:
{حَتَّىٰ إِذَا رَأَوْا مَا يُوعَدُونَ فَسَيَعْلَمُونَ مَنْ أَضْعَفُ نَاصِرًا وَأَقَلُّ عَدَدًا ﴿٢٤﴾ قُلْ إِنْ أَدْرِي أَقَرِيبٌ مَّا تُوعَدُونَ أَمْ يَجْعَلُ لَهُ رَبِّي أَمَدًا ﴿٢٥﴾ عَالِمُ الْغَيْبِ فَلَا يُظْهِرُ عَلَىٰ غَيْبِهِ أَحَدًا ﴿٢٦﴾ إِلَّا مَنِ ارْتَضَىٰ مِن رَّسُولٍ فَإِنَّهُ يَسْلُكُ مِن بَيْنِ يَدَيْهِ وَمِنْ خَلْفِهِ رَصَدًا ﴿٢٧﴾ لِّيَعْلَمَ أَن قَدْ أَبْلَغُوا رِسَالَاتِ رَبِّهِمْ وَأَحَاطَ بِمَا لَدَيْهِمْ وَأَحْصَىٰ كُلَّ شَيْءٍ عَدَدًا ﴿٢٨﴾} صدق الله العظيم [الجن].

ويقصد الرّسل الأنبياء الذين تنزّل عليهم الكتاب ولم يقصد الأنبياء الذي يأتيهم الحكم بالعلم، وأمّا الإمام المهديّ فهو ليس رسولاً ولا نبيّاً ولكن الله آتاه عصمة الرسل وحُكم الأنبياء فهو بأعين ربّه الليل والنهار كما كان جدّه محمد رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلّم تصديقاً لقول الله تعالى: {وَإِنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا عَذَابًا دُونَ ذَٰلِكَ وَلَـٰكِنَّ أَكْثَرَهُمْ لَا يَعْلَمُونَ ﴿٤٧﴾ وَاصْبِرْ لِحُكْمِ رَبِّكَ فَإِنَّكَ بِأَعْيُنِنَا ۖ وَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ حِينَ تَقُومُ ﴿٤٨﴾ وَمِنَ اللَّيْلِ فَسَبِّحْهُ وَإِدْبَارَ النُّجُومِ ﴿٤٩﴾} صدق الله العظيم [الطور].

وقال الله تعالى: {وَتَوَكَّلْ عَلَى الْعَزِيزِ الرَّحِيمِ ﴿٢١٧﴾ الَّذِي يَرَاكَ حِينَ تَقُومُ ﴿٢١٨﴾ وَتَقَلُّبَكَ فِي السَّاجِدِينَ ﴿٢١٩﴾ إِنَّهُ هُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ ﴿٢٢٠﴾} صدق الله العظيم [الشعراء].

ألا والله الذي لا إله غيره إنّ المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني لَيمشي في أسواق البشر غير مُتلثِّمٍ ولا يخاف في الله لومة لائمٍ، ونعم أنّي أحمل معي سلاحي وكذلك المرافقين معي بأسلحتهم وإنّما ذلك تنفيذاً لأمر الله في مُحكم كتابه: {وَخُذُوا حِذْرَكُمْ ۗ إِنَّ اللَّـهَ أَعَدَّ لِلْكَافِرِينَ عَذَابًا مُّهِينًا} صدق الله العظيم [النساء:102].

ولكنّي أعلم أن لو يأمر الله كافة الصالحين من جنده في سمواته وأرضه بحراسة المهديّ المنتظَر أنّهم لن يغنوا عنّي ما لم ينصرني وإياهم ربّي هو مولانا نعم المولى ونعم النصير، وقال الله تعالى: {إِذْ تَسْتَغِيثُونَ رَبَّكُمْ فَاسْتَجَابَ لَكُمْ أَنِّي مُمِدُّكُم بِأَلْفٍ مِّنَ الْمَلَائِكَةِ مُرْدِفِينَ ﴿٩﴾ وَمَا جَعَلَهُ اللَّـهُ إِلَّا بُشْرَىٰ وَلِتَطْمَئِنَّ بِهِ قُلُوبُكُمْ ۚ وَمَا النَّصْرُ إِلَّا مِنْ عِندِ اللَّـهِ ۚ إِنَّ اللَّـهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ ﴿١٠﴾} صدق الله العظيم [الأنفال].

{قُل لَّن يُصِيبَنَا إِلَّا مَا كَتَبَ اللَّـهُ لَنَا هُوَ مَوْلَانَا ۚ وَعَلَى اللَّـهِ فَلْيَتَوَكَّلِ الْمُؤْمِنُونَ ﴿٥١﴾} صدق الله العظيم [التوبة].

وأما أنصاري؛ أحباب قلبي فلا تثريب عليهم أن يذكروا أسماءهم في الشاشة العامة للموقع فليأخذوا حذرهم ولم نأمرهم بذكر أسمائِهم الحقّ في الصفحة العامة للموقع ولا حتى في الاستشارات الخاصة لأنّه يطَّلع على الاستشارات الخاصة أعضاء مجلس الإدارة، وأسماء أنصاريَّ أمانةٌ في عنقي، ولذلك آمرهم أن يرسلوا بأسمائهم على الخاص وألوم عليهم حين لا يخبرني كثير منهم عن اسمه واسم أبيه ولقبه فهو أمانة لدينا إلى أجله المسمّى حين يظهر الله خليفته فيناديهم بأسمائهم من بعد التصديق عند البيت العتيق على مسمعٍ ومشهدٍ من العالمين إن يشاء الله، وإلى الله ترجع الأمور.

وكذلك أحيط أنصاري أنّها ذهبت مني أسماءٌ لبعضٍ منهم بسببٍ ما ولم أعد أحفظ منهم إلا قليلاً من الذين أشدّ الله بهم أزري وأشركهم في أمري، وعليه فإنّي آمر أنصاري بالأمر أن يبعثوا إلينا أسماءهم على الخاص أي على الرسائل الخاصة وليس البريد الإلكتروني؛ بل على الرسائل الخاصة وهو أن يضغط على اسمي فيظهر له عدّة خيارات منها ابعث رسالة خاصة للإمام ناصر محمد اليماني، وذلك حتى أحتفظ بها من جديد، وكذلك للتأكيد والتجديد.

وسلامٌ على المرسَلين، والحمدُ لله ربِّ العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_________________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..