بل السُّبحة مُستحبةٌ وطيبةٌ وليست بدعةً كما يزعم الذين لا يعلمون..

Bali Tasbihi inapendekeza Na Ni Mzuri Wala Sio Bidaa Kama Wanavo Dai Wale Ambao Hawajuwi..
رابط البيان
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=2300


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Salamu Allah Aleykum Wa Rahmatuhu Wa Barakatuhu, Bali Tasbihi inapendekeza na ni mzuri wala sio bidaa kama wanavo dai wale ambao hawajuwi, Na hivo ili musiwe na uchofu kwa kusabeh, Na wala hakuna haram ila Alio Haramisha Allah, Na Wala Hakuna Tafauti Kusema Subhana Allah Al3adhim kwa kwenda na vidole vako kama vile hakuna tafauti kusems Subhana Allah Al3adhim kwa idadi ya shanga za tasbihi; Bali tasbihi iko kutoka ahdi ya ANabi Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam na hivo imekuja katika bayana ya sunna kwenye kutaja sharti za saa ku kwamba zinafwatana kama zinavo fwatana shnga za tasbihi pindi ikikatika na anakusudia tasbihi, Na tunajua kutokana na hayo kuwepo tasbihi katika ahdi ya ANabi Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na kusabeh kwa vidole haraka inamjia uchofu mtu lakini tasbihi mtu hawi mchofu haraka anapo msabeh kwa Himdi Ya Mola Mlezi wake, Wala Sio hio bidaa ispokua bidaa nayo ni kwenye dini kwamba museme yale Hajayasema Allah wala Mtume Wake, Wala Sipati kwamba Tasbihi inabadilisha kusabeh kitu, Basi olewao wale wanao sema ju ya Allah yale hawajuwi, Na olewao wale wajinga wanao fanya dini mzito bila ya haki wale ambao hawatafautishi baina ya haki na batili.

Na SalamJu Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــــ