Hadithi Zote Al'Nabawia Kuhusu Al'Mahdi Al'Muntadhar Kutoka Kwa Moja Katika Ma Anssar Katika Ma Bayana Tafauti Na Ambazo Ziko Pekeyake Za Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Haki Nasser Muhammad Al'Yamani Sala Za Mola Mlezi Wangu Na Salamu Zake Ju Yake Na Ju Ya Babu Yake Aliokhitimisha Ma Nabi Na Mitume Na Watu Wa Nyumba Zao Wote Na Anssar Wa Haki Mpaka Siku Ya Malipo.

جمع الأحاديث النبوية في بعث المهدي المنتظر من طرف أحد الأنصار
من بيانات مختلفة ومتفرقة للإمام المهدى المنتظر الحق ناصر محمد اليماني صلوات ربى وسلامه عليه وعلى جده خاتم الأنبياء وآل بيوتهم جميعاً وأنصار الحق إلى يوم الدين.

Amesema Muhammad Mtume Wa Allah:

[لا تذهب الدنيا حتى يبعث الله تعالى رجلا من أهل بيتي يواطيء اسمه اسمي].
صدق عليه الصلاة والسلام.
[ Haiondoki Dunia mpaka Amtumilize Allah Ta3ala Mwanamume Kutoka Watu Wa Nyumba Yangu]

Asema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
قال محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم:
[لتملأن الأرض جورا وظلما فإذا ملئت جورا وظلما يبعث الله عز وجل رجلاً من أهل بيتي يوطئ اسمه اسمي باسم أبيه فيملؤها عدلا كما ملئت جورا وظلما].
[Hakika mutaeneza Kwenye Ardhi Maonevu na udhalimu na pindi ikija maonevu na dhulma Anamtumiliza Allah Mwanamume Kutoka Kwa Ahli wa nyumba yangu linawafikiana Jina lake na jina langu kwa jina la babake Basi ataeneza uwadilifu kama vile kulienea maonevu na udhalimu ].

Alafu Akaakidisha kwenu uhakika wa kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi Kutoka kwa Mola Mlezi wake,
Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[لو لم يبقَ من الدنيا إلا يوم لطول الله ذلك اليوم حتى يبعث فيه رجل من أفضل بيتى يواطئ اسمه اسمى باسم أبيه يملأ الأرض قسطا وعدلا كما ملئت ظلما وجورا].
[Lau haikubaki katika Dunia ispokua Siku Moja Ange Refusha Allah Siku Hio mpaka Amtumilize Allah Ndani yake Mwanamume Katika Wabora Kwenye Nyumba Yangu Linawafikiana Jina Lake Jina Langu Kwa Jina La Babake Anaijaza Ardhi Usawa Na Uwadilifu Kama ilivo jawa na maonevu na dhulma].

Alafu Amewajulisha Muhammad Mtume Wa Allah Kwa Jambo la Al'Mahdi Na Akawapa Fatwa kwamba Allah Amemfanya Yeye ni imamu wa Al'Masi7h Isa ibnu Maryam Ju Yake Sala Na Salam.
Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[منا الذي يصلي عيسى ابن مريم خلفه].
صدق عليه الصلاة والسلام.
[Kutoka Kwetu Yule Ambae Ataswali Isa Ibnu Marya Nyuma Yake].
Sadaqa Aleyhi Al'Salat Wa Al'Salam.

Alafu Akawapa Fatwa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam kwamba Hakika Allah Amemfanya Al'Imam Al'Mahdi Imamu Wenu na wa Al'Masi7h Isa Ibnu Maryam Ju Yake Sala Na Salam Akasema:
[كَيْفَ أَنْتُمْ إِذَا نَزَلَ ‏ ‏ابْنُ مَرْيَمَ ‏ ‏فِيكُمْ وَإِمَامُكُمْ مِنْكُمْ].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Mutkaua vipi wakati akishuka Ibnu Maryam kwenu Na Imamu Wenu kutoka kwenu].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Alafu Akawapa Fatwa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam kwamba Al'Mahdi Sio Maasum Ndio Basi Atam'Mongoa Allah Kwa Usiku Moja Kusadikisha Hadithi ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[المهدي من آل البيت يصلحه الله في ليلة]
صدق رسول الله.
[Al'Mahdi ni katika watu wa nyumba yangu Anamongoa Allah katika usiku moja ].
Sadaqa Rasul Allah.

Amesema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
قال محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم:
[المهدي منا أهل البيت يصلحه الله في ليلة].
صدق مُحمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Al'Mahdi Ni kutoka Kwetu Ahlu Albeyt Anamongoa Allah Kwa Usiku Moja].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Alafu Akawajulisha Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kwamba Al'Imam Al'Mahdi Anamdhihirisha Allah Na Umri Wake Miyaka Arbaini Kusadikisha Kwa Hadithi Ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[إن الإمام المهدي يظهر وعمره أربعون سنة].
صدق مُحمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Hakika Al'Imam Al'Mahdi Anadhihiri Na Umri Wake Miyaka Arbaini].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Hakuhadid Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam

wakati na zama za Al'Mahdi Al'Muntadhar Bali Amesema Ju Yake Sala Na Salam hakika Allah Atamtumiliza kabla ya kusmama Saa, Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[لتملأن الأرض جورا وظلما فإذا ملئت جورا وظلما يبعث الله عز وجل رجلا من آل بيتي يواطئ إسمه إسمي فيملؤها عدلا وقسطا كما ملئت جورا وظُلماً].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Hakika mutaeneza Katika Ardhi Maonevu na dhulma na pindi ikienea maonevu na dhulma Atamtumilza Allah Aza Wa Jal Mwanamume Kutoka Ahlu Wa Nyumba Yangu Linawafikiana Jina lake na jina langu basi ndio ataeneza uwadilifu na usawa kama kilivo enea maonevu na dhulma].
Sadaqa Mummad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Aa Salam.

Akasema Ju Yake Sala Na Salam:
وقال عليه الصلاة والسلام:
[لو لم يبق من الدهر إلا يوم لبعث الله تعالى رجلا من أهل بيتي يملؤها عدلا كما ملئت جورا وظُلما].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Lau haikubaki Katika Milele ispokua siku moja Hakika Angemtumiliza Allah Ta3ala Mwanamume Kutoka Kwa Ahlu Wa Nyumba Yangu Anaieneza Uwadilifu kama Kulivo enea Maonevo na dhulma].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Akwambashiri Binadamu Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kwa Kutokezea Al'Mahdi Al'Muntadhar Khalifa Wa Allah Ju Ya Binadamu Akasema:
[اُبشركم بالمهدي يبعث في أمتي على اختلاف من الناس وزلازل فيملأ الأرض قسطا وعدلا كما ملئت جورا وظلما]
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Nawabashiri Kwa Al'Mahdi Anatumilizaa Katika umma wangu ju ya ikhitilafu baina ya watu na zilzala ndio ataeneza Ardhi usawa na uwadilifu kama kulivo jawa maonevu na dhulma].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi Wa Salam:
[لو لم يبق من الدنيا إلا يوم لطول الله ذلك اليوم حتى يبعث رجلا من أهل بيتي يواطئ اسمه اسمي يملأ الأرض قسطا وعدلا ، كما ملئت جورا ظلما] صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Lau hata haikubaki katika Dunia ila siku moja Angeirefusha Allah siku hio mpaka Atumilize Mwanamume Kutoka Ahlu baiti linawafikina jina lake jina langu anajaza Dunia usawa na uwadilifu, Kama kulivo jawa na maonevu na dhulma].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi Wa Salam:
[لو لم يبق من الدهر إلا يوم لبعث الله رجل من أهل بيتي يملؤها عدلا" کما ملئت جوراً].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[ Lau haitobaki katika milele ila siku moja Angemtumiliza Allah Mwanamume kutoka Ahlu beyti anaijaza uwadilifu" Kams kulivo jawa na maonevu].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Amisema Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[ليبعثن الله من أهل بيتي رجلا ، يملأ الأرض عدلا كما مُلئت جورا وظُلماً].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[ Hakika Atatumiliza Allah Kutoka Kwa Ahlu Beyti Mwanamume, Atajaza Ardhi uwadilifu kama kulivo jawa na maonevu na dhulma].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Amisema Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[منا الذي يصلي عيسى ابن مريم خلفه].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[ Ni katika sisi ambae ataswali isa ibnu Maryam nyuma yake].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Akasema Ju Yake Sala Na Salam:
[كيف بكم إذا نزل فيكم المسيح ابن مريم وإمامكم منكم].
صدق عليه الصلاة والسلام.
[ Vipi mutakua nyinyi pindi akishuka Al'Masi7h Isa Ibnu Maryam na imamu wenu kutoka kwenu].
Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Asalam.

Alafu Akawapa Fatwa kuwafahamisha Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam hakika Allah Amemfanya Al'Imam Al'Mahdi Imamu wenu na wa Al'Masi7h Isa Ibnu Maryam Ju Yake Sala Na Salam Akasema:
[كَيْفَ أَنْتُمْ إِذَا نَزَلَ ‏ ‏ابْنُ مَرْيَمَ ‏ ‏فِيكُمْ وَإِمَامُكُمْ مِنْكُمْ].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[ Vipi mutakua nyinyi pindi akishuka Al'Masi7h Isa Ibnu Maryam na imamu wenu kutoka kwenu].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Alafu Akawapa Fatwa Muhammad Mtume Wa Allah Sa

la Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kwamba Al'Mahdi sio maasum ndio anamongoa Allah Katika usiku moja Kusadikisha Hadithi Ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[المهدي من آل البيت يصلحه الله في ليلة]
صدق رسول الله.
[ Al'Mahdi Ni Kutoka Ahlu beyti Anamongoa Allah katika usiku moja]
Sadaqa Mtume Wa Allah.

Amisema Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[المهدي منا أهل البيت يصلحه الله في ليلة].
صدق مُحمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Al'Mahdi kutoka kwetu Ahlu albeyt Amongoa Allah katika usiko moja]
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Alafu Akawajulisha Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam kwamba Al'Imam Al'Mahdi Anamdhihirisha Allah Na Umri Wake Miaka Arbaini Kusadikisha kwa Hadithi Ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[إن الإمام المهدي يظهر وعمره أربعون سنة].
صدق مُحمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[ Hakika Al'Imam Al'Mahdi Andhihiri Na Umri Wake Miyaka Arbaini ].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Haku'hadid Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Wakati Na Zama Za Al'Mahdi Al'Muntadhar Bali Amesema Ju Yake Sala Na Salam hakika Ya Allah Atamtumiliza kabla ya kusmama Saa,
Na Aksema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[ Hakika mutaeneza katika Ardhi Maonevu na dhulma na pindi ikienea maonevu na dhulma Atamtumiliza Allah Aza Wa Jal Mwanamume Kutoka Ahli beyti Linawafikiana Jina Lake Jina Langu Basi Ataeneza Uwadilifu Na Usawa Kama Vile Kumenea Maonevu Na Dhulma].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Akasema Ju Yake Sala Na Salam:
[لو لم يبق من الدهر إلا يوم لبعث الله تعالى رجلا من أهل بيتي يملؤها عدلا كما ملئت جورا وظُلما].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Lau hata kama haikubaki katika milele ispokua siku moja Hakika Atamtumiliza Allah Mwanamume Kutoka kwa Ahli beyti anaijaza uwadilifu kama kulivo ja maonevu na dhulma].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Akawabasiria Binadamu Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Khalifa Wa Allah Ju Ya Binadamu Akasema:
[اُبشركم بالمهدي يبعث في أمتي على اختلاف من الناس وزلازل فيملأ الأرض قسطا وعدلا كما ملئت جورا وظلما]
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Nawabashiria Na Al'Mahdi Atatumilizwa Katika Umma Wangu Katika ikhitilafu Baina Ya Watu Na Zilzala Basi Ataijaza Ardhi Usawa Na Uwadilifu Kama kulivo Jawa Na Maonevu Na Dhulma].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[لو لم يبق من الدنيا إلا يوم لطول الله ذلك اليوم حتى يبعث رجلا من أهل بيتي يواطئ اسمه اسمي يملأ الأرض قسطا وعدلا ، كما ملئت جورا ظلما] صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Lau haitobaki katika Dunia ispokua Siku Moja Hakika Angeirefusha Allah Siku Hio Mpaka Amtumilize Mwanamume Kutoka Ahlu Beyti Linawafikiana Jina Lake Jina Langu Anajaza Ardhi Usawa Na Uwadilifu, Kama Kulivo Jawa Na Maonevu Na Dhulma].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[لو لم يبق من الدنيا إلا يوم لطول الله ذلك اليوم حتى يبعث رجلا من أهل بيتي يواطئ اسمه اسمي يملأ الأرض قسطا وعدلا ، كما ملئت جورا ظلما] صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[ Lau haikubaki Katika Dunia ispokua Siku Moja Angeirefusha Allah Siku Hio Mpaka Amtumilize Mwanamume Kutoka Ahlu Bayti Linawafikiana Jina Lake Kwa Jina Langu Anajaza Ardhi Usawa Na Uwadilifu, Kama Kulivo Jawa Na Maonevu Na Dhulma].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[لو لم يبق من الدهر إلا يوم لبعث الله رجل من أهل بيتي يملؤها عدلا" کما ملئت جوراً].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[ Lau Haikubaki Katika Milele Ispokua Siku Moja Hakika Atamtumiliza Allah Mwanamume Kutoka Ahlu Beyti Anaeneza Uwadilifu" Kama Kulivo Jawa Na Maonevu].
Sa daqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Amesema Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Salam
[ليبعثن الله من أهل بيتي رجلا ، يملأ الأرض عدلا كما مُلئت جورا وظُلماً].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[ Hakika Atamtumiliza Allah Kutoka Ahli Beyti Mwanamume, Ataeneza Ardhi Uwadilifu Kama Kulivo Jawa Na Maonevu Na Dhulma].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Asema Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Salam:
[منا الذي يصلي عيسى ابن مريم خلفه].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Kutoka Kwetu Ambae Ataswali Isa Ibnu Maryam Nyuma Yake].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Akasema Ju Yake Sala Na Salam:
[كيف بكم إذا نزل فيكم المسيح ابن مريم وإمامكم منكم].
صدق عليه الصلاة والسلام.
[ Vipi Mutakua Pindi Akishuka Kwenu Al'Masi7 Ibnu Maryam Na Imamu Wenu Kutoka Kwenu].
Sadaqa Aleyhi Alsalat Wa Asalam.

Asema Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[إن الإمام المهدي يظهر وعمره أربعون سنة].
صدق مُحمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[ Hakika Ya Al'Imam Al'Mahdi Anadhihiri na Umri Wake Miyaka Arbaini].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Asema Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[الإيمان يمان والحكمة يمانية].
صدق رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Al'Iman Yamani Wal Hikma Yamania].
Sadaqa Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Katika Kauli Yake Ju Yake Sala Na Salam:
[إني أرى نفس الله يأتي من اليمن].
صدق رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Hakika Mimi Naona Nafsi Ya Allah Itakuja Kutoka Yaman].
Sadaqa Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Asema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[ابشركم بالمهدي].
وذلك لأنه يهدي إلى حقيقة اسم الله الأعظم ((النعيم الأعظم)).
[ Nawabasiria Kwa Al'Mahdi].
Na Hivo ni kwajili yeye anaongoa Kwenye uhakika Wa Jina La Allah Kuu)))).

Asema Ju Yake Sala Na Salam:
[ يواطئ إسمه إسمي].
صدق عليه الصلاة والسلام.
[ Linawafikiana Jona Lake Jina Langu ].
Sadaqa Ju Yake Sala Na Salam.

Akasema Ju Yake Sala Na Salam:
[من سماه فقد كفر].
صدق عليه الصلاة والسلام.
[ Atakae Mpa Jina Amekufuru ] .

Na Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleuhi Wa Alihi Wa Salam:
[والله ليتمنّ الله هذا الأمر حتى يسير الراكب من صنعاء إلى حضرموت لا يخشى إلا الله والذئب على غنمه، ولكنكم تستعجلون].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Wallahi Hakika Ataitimiza Allah Jambo hili Mpaka atembe mwenye kipandio kutoka Sanaa Mpaka Hadhramot haogopi ila Allah Na Umbwa Mwitu Kwa Mbuzi zake, Lakini Nyinyi Munaharaka].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Asema Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alhi Wa Sala
[لا تنقضي الأيام ولا يذهب الدهر حتى يملك العرب رجل من أهل بيتي يواطئ اسمه اسمي]
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه و آله وسلم
[ Haitomalizika Ma Siku Wala Haiendi milele mpaka Wamiliki Warabu Mwanamume Kutola Ahli beyti Linawafikiana Jina Lake Jina Langu].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aliyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Akasena Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[لا تذهب الدنيا حتى يبعث الله رجلاً من أهل بيتي يواطئ اسمه اسمي يملأ الأرض عدلاً كما ملئت جوراً وظُلماً].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه و آله وسلم.
[Haiendi Dunia Mpaka Amtumilize Allah Mwanamume Kutoka Ahli Beyti Linawafikiana Jima Lake Jina Langu Anajaza Ardhi Uwadilifu Kama Kulivo Jawa Na Maonevu na dhulma].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aliyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Akasena Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[لَو لَم يَبقَ من الدنيا إلاّ يوم، لَبعثَ اللهُ فيه رجُلاً من أهل بيتي يواطئ اسمه اسمي]
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Lau haikubaki Katika Dunia Ispokua Siku Moja, Atatumiliza Allah Ndani yake Mwanamume Kutoks Kwa Ahli Beyti Linawafikiana Jina Lake Jina Langu].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aliyhi Wa Alihi Wa Salam.

Katika Ma Alama Ya Kudhihirika Al'Mahdi Al'Muntadhar Kusadikisha Hadithi Ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[وَالْلَّه لَيُتِمَّن هَذَا الْأَمْر حَتَّى يَسِيْر الْرَّاكِب مِن صَنْعَاء إِلَى حَضْرَمَوْت لَا يَخَاف إِلَّا الْلَّه أَو الْذِّئْب عَلَى غَنَمِه وَلَكِنَّكُم تَسْتَعْجِلُوْن]
[ Wallahi Hakika Ataitimiza Allah Jambo hili Mpaka atembe mwenye kipandio kutoka Sanaa Mpaka Hadhramot haogopi ila Allah Na Umbwa Mwitu Kwa Mbuzi zake, Lakini Nyinyi Munaharaka].
Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Asalam Na hi ndio Ukombozi wa Al'Yamani Katika Wakati Wa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nayo ni katika Alama Za Kudhihirika.

Akasema:
[لا تقوم الساعة حتى تظهر رايتان راية اليماني وراية الخراساني]
[ Hakismami Kiama Mpaka Idhihirike Bendera Mbili Bendera Ya Al'Yamani Na Bendera Ya Al'Kharasani].

Alafu Akahukumu Baina Yao Muhammad Mtume Wa Allah Kwa Haki:
[وأهدى الرايات راية اليماني]
[ Na Bendera inao owongofu Bendera Ya Al'Yamani].

Na Kadhalika Ameita Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Bendera Ya Al'Mahdi Na Hivo Ni kwajili atamkabidhi Kumpa Al'Yamani Al'Muntadhar Al'Imam Al'Thani Ashar Min Ahl Al'Beyt Al'Muntahar Nasser Muhammad Al'Yamami Na Mutaenda Kujua Nilio Wambia Nyinyi baada kidogo in sha Allah Mola Mlezi Wa Ulwengu..

Na Najua Kutoka Kwa Allah Yale Hamuyajuwi Na Salam Ju yetu na ju ya wote waja Wa Allah wema Katika Wa Mwanzo Na Wa Mwisho Na Walioko Ju Mpaka Siku Ya Malipo.
Na Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[أبشّركم بالمهدي يُبعث في أمّتي على اختلاف من الناس، وزلازل، فيملأ الأرض قسطاً وعدلاً كما ملئت جوراً وظلماً، يرضى عنه ساكن السماء وساكن الأرض، يقسم المال صفاحا]
[Nawabashiria Na Al'Mahdi Anatumilizwa katika umma wangu ju ya ikhitilafu ya watu , Na zilzala, Basi atajaza Ardhi usawa na uwadilifu kama kulivo jawa na maonevu na dhulma, Anaridhika Ju Yake Mkazi wa mbinguni na mkazi wa Ardhi, Anagawanya Mali safahan Kujaza Mikono].
Wala Sio Sihahan kama munavo dai Bali ni safahan yani anateka ma paundi ya dhahabu kuwapa watu kwa mikono yake miwili kama anavo teka moja wenu nganu kuteka kwa mikono yake miwili Na Sadaka Aleyhi Asalat wa Asalam Na inafanyika hivo baada kunipa Allah ufalme kwa idhini ya Allah Malik Almulk Yule Ambae Anampa Ufalme Wake Anae Mtaka Na Anamruzuku Anae Mtaka Bila Hisabu.

Na Akasema Ju Yake Sala Na Salam:
[ إنها لن تقوم حتى ترون قبلها عشر آيات" . فذكر الدخان، والدجال، والدابة، وطلوع الشمس من مغربها، ونزول عيسى ابن مريم صلى الله عليه وسلم ، ويأجوج ومأجوج].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه و آله وسلم.
[ Hakika kwamba hakitosmama mpaka muone kabla yake Alama Kumi", Akataja Moshi, Adajal, Na Adaba, Na Kutokezea Jua Kutoka magharibi yake, Na kuteremka isa ibnu maryam sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Na Yajuj na Majuj].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Ikawa Hadithi Ya Haki Ambao Ametamka Nayo Muhamnad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[إن من أشراط الساعة أن يقل العلم ويظهر الجهل والزنا وشرب الخمر وتقل الرجال وتكثر النساء].
صدق محمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[ Hakika katika Ma Sharti Ya Saa Kwamba ipongue ilimu na idhihirike ujahili na zina na kunwa tembo na kupungua wanaume na kuwa wengi wanawake].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na kadhalika Asema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kuhusu Waislamu Wa Leo na wanazuoni wao:
[يأتي على الناس زمان بطونهم آلهتهم ونساؤهم قبلتهم ، ودنانيرهم دينهم، وشرفهم متاعهم، لا يبقى من الايمان إلا اسمه، ومن الاسلام إلا رسمه ، ولا من القرآن إلا درسه ، مساجدهم معمورة ، وقلوبهم خراب من الهدى، علماؤهم أشر خلق الله على وجه الأرض. حينئذ ابتلاهم الله بأربع خصال: جور من السلطان، وقحط من الزمان، وظلم من الولاة والحكام، فتعجب الصحابة وقالوا: يا رسول الله أيعبدون الأصنام؟ قال: نعم، كل درهم عندهم صنم]
صدق مُحمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[itakuja wakati kwa watu Matumbo yao ndio miungu yao na wake zao ndio kibla yao, Na Ma dinari zao ndio Dini yao, Na Sharafa Yao ndio Pubao lau, Haibaki katika imani ispokua jina lake, Na katika uwislamu ila mandishi yake, Wala Katika Al'Quran Ispokua Kuifunza kwake, Misikiti yao yamejengwa, Na nyoyo zao zimeharibika kutokana na uwongofu, Wanazuoni wao ni watu wenye shari zaidi kwenye uso wa Ardhi, Hapo Allah Anawapa ibtila kwa mambo ma inne: Maonevu kutoka kwa mtawala, Na ukame katika wakati huo, Na dhulma kutoka kwa viongozi na wanao hukumu, Wakastajabu Masahaba wakasema: Ewe Mtume Wa Allah Je wanaabudu masanamu? Akasema: Ndio, Kila Derham Kwao Ni Sanamu].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kuhusu Umma Wa Leo na wanazuoni wao:
[يأتي على الناس زمان وجوههم وجوه الآدميين ، وقلوبهم قلوب الشياطين، كأمثال الذئاب الضواري، سفّاكون للدماء، لا يتناهون عن منكر فعلوه، إن تابعتهم إرتابوك، وإن حدثتهم كذّبوك، وإِن تواريت عنهم اغتابوك، السُّنة فيهم بدعة، والبدعة فيهم سُنة، والحليم بينهم غادر، والغادر بينهم حليم، والمؤمن فيما بينهم مستضعف، والفاسق فيما بينهم مشرّف، صبيانهم عارم، ونساؤهم شاطر، وشيخهم لا يأمربالمعروف ولا ينهى عن المنكر، الالتجاء إليهم خزي، والاعتزاز بهم ذل، وطلب ما في أيديهم فقر، فعند ذلك يحرمهم الله قطر السماء في أوانه، وينزّله في غير أوانه، يسلط عليهم شرارهم فيسومونهم سوء العذاب]
صدق مُحمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[Itakuja kwa watu zama uso zao uso za binadamu na moyo wao moyo wa mashetani, Kama mfano wa mbwa mwitu wanao dhuru, Wamwagaji Damu, Hawakatazani Maovu walio yafanya, Ukiwafata watakutia kwenye shaka, Na ukiwazungumzia Wanakukadhibu, Na ukiwaondokea Wanakusengenya, Sunna kwao ni bidaa, Na bidaa kwao ni sunna, Na alie mpole baina yao kwao ni mchonganishi, Na mchonganishi kwao ni mpole, Na mumini baina yao ni mnyonge, Na Fasiki baina yao anapendeza, Wavalana wao arem, Wanawake wao shater, Na mze wao hamrishi mema wala hakatazi maovu, Kulekea kwao ni kheze, Na kujigamba na wao ni udhalilifu, Na kuomba walio nayo kwa mikono yao ni ufukara, Na pindi ikiwa hivo Ana'waharimisha Allah tone kutoka mbinguni kwenye wakati wake, Na Ana'wateremshia kwenye sio wakati wake, Anawasaliti Ju yao wenye shari zaidi kwao ndio Wawadhibu adhabu mbaya].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahi Aleyhi Wa Alihi Wa Salam kuhusu fitna ya alahlas Akasema Msemaji: Ewe Mtume Wa Allah Na nini fitna ya alahlas? Akasema:
[هي هرب وحرب، ثم فتنة السراء، دخنها من تحت قدمي رجل من أهل بيتي يزعم أنه مني وليس مني وإنما أوليائي المتقون، ثم يصطلح الناس على رجل كورك على ضلع، ثم فتنة الدهيماء لا تدع أحدا من هذه الأمة إلا لطمته لطمة فإذا قيل انقضت تمادت يصبح الرجل فيها مؤمنا ويمسي كافرا حتى يصير الناس إلى فسطاطين فسطاط إيمان لا نفاق فيه وفسطاط نفاق لا إيمان فيه فإذا كان ذاكم فانتظروا الدجال من يومه أو من غده] .
[ Hio Ni Uharibifu na vita, Alafu fitna ya alsaraa, Moshi wake kutoka chini ya mgu kutoka ahli beyti anadai yeye ni kutokana na mimi wala sio kutokana na mimi ispolua ni ma wali wangu wacha mungu, Alafu wanapatana watu ju ya mwanamume korak ju ya Ubavu, Alafu fitna ya dehemaa, Haimwachi yoyote katika hu umma ila inampiga kofi pindi ikisemekana imeisha inarefuka anapambauka mtu akiwa mumin na jioni anakua kafiri mpaka watu wawe mapoti mawili poti la iman haina unafik ndani yake na poti la unafik halina iman ndani yake basi ikifika hivo subirini adajal katika siku yake ama jioni yake.].

Na hi hadithi nyingi yake ni kweli na iko ndani yake kuongeza basi kumbukeni kauli ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
[رجل من أهل بيتي يزعم أنه مني وليس مني وإنما أوليائي المتقون].
صدق مُحمد رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم.
[ Mwanamume kutoka Ahli beyti anadai yeye ni kutokana na mimi na sio kutokana na mimi ispokua mawali wangu wacha'Mungu].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.

Na ama suali lako kuhusu hadithi ingine Amesema Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi wa Salam:
[لاتقوم الساعة حتى لايقال فى الأرض الله الله].
[ Hakitosmama Kiama Mpaka isisemwe katika Ardhi Allah Allah].
Sadaqa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam kwajili kiyama kitasmama ju ya watu wa shari wale ambao wamebadilisha Haki Kwa Batil.

Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin Mulizaji Na Anae Jibu Kwa Haki, Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامُ على المُرسلين والحمدُ لله رب العالمين
___________________