Al'imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
22 - 09 - 1430 هـ
12 - 09 - 2009 مـ
12:49 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=4131

ـــــــــــــــــــــــــ

ويا معشر المسلمين إني أراكم قد اختلفتم في الصلاة على أمواتكم ..
Na Enyi Ma3ashara Ya Wasislamu Hakika Mimi Nawaona Mumekhitilifiana Kwenye Swala Ya Maiti Zenu ..

Hili Suali limekuja kutoka kwa Moja wa ma Ndugu Katika Moja ya mabayana Za Al'Imam Katika blog ya Al'Imam Kupitia Word Pres:

Ewe Ndugu kabla utake kwetu tufanye jihad chini ya muongozo wako mwanzo tubainishie "haki kwa yale ylio khitilifiana umma ndani yake na kwa yale wamekhitalifiana watu ndani yake na hio Kwako mfano wa Swala Ya wakati ya sasa haina dalili juu yake kutoka kwa mahadithi ambazo zinatoka kwa Al'Nabi (S) Basi yote ambao Yamo ndaniyake ni kwamba Takbira ya kwanza baada yake ni Alfatiha pekeyake basi watu wametoa wapi wanayo'yafanya Kwenye ma Takbira zingine pamoja kukumbuka kwamba Mtume (s) Hajasema kauli Moja ju yake ispokua ni yale wanao'dai watu kwamba maswahaba wamepokezana kitendo'chake na jee ameachilia Al'Nabi (s) Katika kubalighisha - Hasha Lillah - Ama makafiri katika umma zote wamebadilisha Dini Ya Allah?

Chukua mfano wa Swala Ya sikuhizi jee ni tano pekeyake ama zaidi Pamoja ya mulahadha kuna amri nyingi zime'nasibishwa kwa Al'Nabi (s) Kwa Swala zinginezo na zote ziko katika sahihi Mbili

Na jee Swala Zote ni 2 na 4 na 4 na 4 na 3 na 5 kama ilivo katika mahadithi zilizo'enea ama kwamba zote ni raka 4 kama zinavo sema mahadithi zingine katika sahihi zote mbili

Na kwamba Swala hazina idadi malumu kutokana na ma raka kwajili inapatikana hadithi katika sahihi zote mbili inasema kwamba moja wa maswahaba ameswali asbuhi raka kumi katika safar

Hakika kuna mambo mengi sana hutoweza kujibu juu yake kwasababu ya wahyu wa sasa sio ile wahyu kamili kama Alivo Sema Allah Ta3ala:
" ونزلنا عليك الكتاب تبيانا لكل شىء "
"Na tumekiteremsha kitabu kwako kubainisha kil kitu" Na Akasema:
" وتفصيل كل شىء" " Na ufafanuzi wa kilKitu "
Basi Qurani ya sasa na hata ambao inao itwa maHadithi ni uzushi ispokua chache miongoni mwao haina tafsiri ndaniyake ya ufafanuzi wa kila kitu mfano wa nidhamu ya Serekali na ikabu ya uhalifu ambazo hazikutajika ndani ya Alquran kama mfano wa kubaka kijinsi na Kamari .....

Ingekua wewe ni Al'mahdi kweli ungejua pahal pa alkaba pa ukweli sehemu ya "Alawuh Almahfudh" amabo iko hapo ndani yake iko Alquran kamili na tafsiri yake ya kiungu Basi ukiwa wazijuwa basi Mimi hakika nitakua mfwasi wako la sivo basi tubu kwa Allah"

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala na Salam juu ya Aliokhitimisha Ma Nabi Na Mitume Na Ali yake walio wazuri waliojitahirisha na walio fwata haki mpaka siku ya Dini. Amesema Allah Ta3ala:

{هُوَ الَّذِي يُصَلِّي عَلَيْكُمْ وَمَلَائِكَتُهُ لِيُخْرِجَكُم مِّنَ الظُّلُمَاتِ إِلَى النُّورِ ۚ وَكَانَ بِالْمُؤْمِنِينَ رَحِيمًا ﴿٤٣﴾} صدق الله العظيم [الأحزاب].
Allah Ta3ala Asema:
{Yeye na Malaika wake ndio Wanawasalieni ili kukutoeni gizani mwende kwenye nuru. Naye ni Mwenye kuwarehemu Waumini (43)} Sadaqa Allah
Al3adhim [Alahzab].

Na Enyi ma3ashara ya ma Ansar walio Tangulia walio Bora na Enyi ma3ashara ya waislamu, Amesema Allah Ta3ala:
{إِنَّ اللَّـهَ وَمَلَائِكَتَهُ يُصَلُّونَ عَلَى النَّبِيِّ ۚ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا صَلُّوا عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا تَسْلِيمًا ﴿٥٦﴾} صدق الله العظيم [الأحزاب].
Allah Ta3ala Asema:
{Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu (56)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab].

Allahuma Sali wa Salim wa Barik juu ya babu yangu Aliokhitimisha Ma'Nabi Na Mitume Muhammad Mtume Wa Allah na alihi na waliofwta haki mpaka siku ya Dini, Na enyi ma3ashara ya Waislamu hakika Mimi nawaona Mumekhitilifiana Kwenye sala ya Maiti zenu kwajili nyinyi

Hamujuwi nini hio Sala ya waja kwa waja ispokua nayo ni dua na kunyenyekea kwa Mola Mlezi Wa Waja ili awaghufurie waislamu sawa walioko hai ama waliokufa, Ama Sala ya Allah juu ya waja wake nayo ni kujibu dua. Na Akasema Allah Ta3ala:
{هُوَ الَّذِي يُصَلِّي عَلَيْكُمْ وَمَلَائِكَتُهُ لِيُخْرِجَكُم مِّنَ الظُّلُمَاتِ إِلَى النُّورِ ۚ وَكَانَ بِالْمُؤْمِنِينَ رَحِيمًا ﴿٤٣﴾} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:
{Yeye na Malaika wake ndio Wanawasalieni ili kukutoeni gizani mwende kwenye nuru. Naye ni Mwenye kuwarehemu Waumini (43)} Sadaqa Allah Al3adhim.

Basi angalieni swala ya malaika juu yenu kwenye kauli Yake Ta3ala:
{حم ﴿١﴾ عسق ﴿٢﴾ كَذَٰلِكَ يُوحِي إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ اللَّـهُ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ ﴿٣﴾ لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۖ وَهُوَ الْعَلِيُّ الْعَظِيمُ ﴿٤﴾ تَكَادُ السَّمَاوَاتُ يَتَفَطَّرْنَ مِن فَوْقِهِنَّ ۚ وَالْمَلَائِكَةُ يُسَبِّحُونَ بِحَمْدِ رَبِّهِمْ وَيَسْتَغْفِرُونَ لِمَن فِي الْأَرْضِ ۗ أَلَا إِنَّ اللَّـهَ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ ﴿٥﴾ وَالَّذِينَ اتَّخَذُوا مِن دُونِهِ أَوْلِيَاءَ اللَّـهُ حَفِيظٌ عَلَيْهِمْ وَمَا أَنتَ عَلَيْهِم بِوَكِيلٍ ﴿٦﴾} صدق الله العظيم [الشورى].
Allah Ta3ala Asema:
{H'a Mim (1) A'yn Sin Qaf (2) Hivi ndivyo Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu na Mwenye hikima anavyo kuletea Wahyi wewe na walio kabla yako (3) Ni vyake viliomo mbinguni, na viliomo katika ardhi. Na Yeye ndiye Mtukufu, Mkuu (4) Zinakaribia mbingu kupasuka juu huko, na Malaika wakimtakasa Mola wao Mlezi na kumhimidi, na wakiwaombea maghfira waliomo kwenye ardhi. Ama hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu (5) Zinakaribia mbingu kupasuka juu huko, na Malaika wakimtakasa Mola wao Mlezi na kumhimidi, na wakiwaombea maghfira waliomo kwenye ardhi. Ama hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu (6)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Alshura].

Na kadhalika angalieni swala ya malaika ju yenu ni kwa dua na Swala Ya Allah juu yenu ni kujibu dua. Na Akasema Allah Ta3ala:
{الَّذِينَ يَحْمِلُونَ الْعَرْشَ وَمَنْ حَوْلَهُ يُسَبِّحُونَ بِحَمْدِ رَبِّهِمْ وَيُؤْمِنُونَ بِهِ وَيَسْتَغْفِرُونَ لِلَّذِينَ آمَنُوا رَبَّنَا وَسِعْتَ كُلَّ شَيْءٍ رَّحْمَةً وَعِلْمًا فَاغْفِرْ لِلَّذِينَ تَابُوا وَاتَّبَعُوا سَبِيلَكَ وَقِهِمْ عَذَابَ الْجَحِيمِ ﴿٧﴾ رَبَّنَا وَأَدْخِلْهُمْ جَنَّاتِ عَدْنٍ الَّتِي وَعَدتَّهُمْ وَمَن صَلَحَ مِنْ آبَائِهِمْ وَأَزْوَاجِهِمْ وَذُرِّيَّاتِهِمْ ۚ إِنَّكَ أَنتَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ ﴿٨﴾ وَقِهِمُ السَّيِّئَاتِ ۚ وَمَن تَقِ السَّيِّئَاتِ يَوْمَئِذٍ فَقَدْ رَحِمْتَهُ ۚ وَذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ ﴿٩﴾} صدق الله العظيم [غافر].
Allah Ta3ala Asema:
{Wale wanao beba A'rshi, na wanao izunguka, wanamsabihi na kumhimidi Mola wao Mlezi, na wanamuamini, na wanawaombea msamaha walio amini kwa kusema: Mola wetu Mlezi! Umekienea kila kitu kwa rehema na ujuzi. Basi wasamehe walio tubu na wakaifuata Njia yako, na waepushe na adhabu ya Jahannamu (7) Mola wetu Mlezi! Na waingize katika Bustani za Milele ulizo waahidi. Na uwape haya pia wale walio fanya mema miongoni mwa wazee wao na wake zao na dhuriya zao. Hakika Wewe ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima (8) Na waepushe na maovu; kwani umwepushaye maovu siku hiyo, hakika umemrehemu; na huko ndiko kufuzu kukubwa (9)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafir].
Kwahivo Swala juu ya maiti zenu nayo ni musmame kwa khushu kwajili ya Allah kwakuwaombea dua wao kwakustaghfiru basi muna'wastaghfiria wao kama wanavo wastaghfiria kwenu malaika basi museme:
اللهم اغفر له وارحمه وجميع أموات المسلمين ولنا معهم برحمتك يا أرحم الراحمين].
[ Allahuma mghufurie na umrehemu na wote waislamu na juu yetu pamoja na wao kwa rahma yako ewe Arhama Al'Rahimin].
Basi ataomba imamu, Atakavo Allah, Wala musikunje mikono yenu kama ndani ya Swala zenu wala musiachilie bali inuweni mikono yenu kwa yule Ambae munalekeza kwake dua ili amghufurie maiti yenu na wote maiti zenu na nyinyi pamoja na wao, Na vile nawapa fatwa kwamba takibiri ni saba na istighfar mara sabini bada ya kila takbira mara kumi munamstghfiria maiti wenu bada ya kila takbira, Na idadi ya takbiri ni saba basi itakua istighfar yote kwa jumla mara sabini.

Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{اسْتَغْفِرْ لَهُمْ أَوْ لَا تَسْتَغْفِرْ لَهُمْ إِن تَسْتَغْفِرْ لَهُمْ سَبْعِينَ مَرَّةً فَلَن يَغْفِرَ اللَّـهُ لَهُمْ} صدق الله العظيم [التوبة:80].
Allah Ta3ala Asema:
{Ukiwastaghfiria wao ama hukuwastaghfiria hakika hata ukiswastaghfiria mara sabini basi hakika Allah Hatowaghufuria} Sadaqa Allah Al3adhim [Altwuba:80].

Na tunajua kutokana na hayo kwamba hakika tuwastaghfirie maiti zetu mara sabini na hatimai atawaghufuria Allah ikiwa sio wanafik Na hivo ni kwajili ya wanafik Allah Amemkataza Mtume Wake kwamba awaswalie kwa dua. Na Akasema Allah Ta3ala:
:
{وَلَا تُصَلِّ عَلَىٰ أَحَدٍ مِّنْهُم مَّاتَ أَبَدًا وَلَا تَقُمْ عَلَىٰ قَبْرِهِ} صدق الله العظيم [التوبة:84].
Allah Ta3ala Asema:
{Na wala usimswalie yoyote miongoni mwao amekufa kabisa wala usismame kwa kaburi lake} Sadaqa Allah Al3adhim [ Altawuba:84].

Na hivo ni kwajili Allah hato'waghufuria wale ambao wanadhihirisha iman na wanaficha ukafiri ikiwa hawakutubu kwa Allah kutubia kabisa kabla kifochao. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَا تُصَلِّ عَلَىٰ أَحَدٍ مِّنْهُم مَّاتَ أَبَدًا وَلَا تَقُمْ عَلَىٰ قَبْرِهِ ۖ إِنَّهُمْ كَفَرُوا بِاللَّـهِ وَرَسُولِهِ وَمَاتُوا وَهُمْ فَاسِقُونَ ﴿٨٤﴾} صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Asema:
{wala usimswalie yoyote miongoni mwao amekufa kabisa wala usismame kwa kaburi lake hakika wao wamemkufuru Allah na Mtume Wake na wakafa na wao mafasiki (84)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba].

Na Hato'waghufuria Allah wao hata Aka'staghfiru kwao Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Kwenye uhai wao ama baada kufa kwao mara sabini basi hakika hato'waghufuria Allah wao. Na Akasema Allah Ta3ala:
{اسْتَغْفِرْ لَهُمْ أَوْ لَا تَسْتَغْفِرْ لَهُمْ إِن تَسْتَغْفِرْ لَهُمْ سَبْعِينَ مَرَّةً فَلَن يَغْفِرَ اللَّـهُ لَهُمْ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ كَفَرُوا بِاللَّـهِ وَرَسُولِهِ ۗ وَاللَّـهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الْفَاسِقِينَ ﴿٨٠﴾} صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Asema:
{Ukiwastaghfiria wao ama hukuwastaghfiria hakika hata ukiswastaghfiria mara sabini basi hakika Allah Hatowaghufuria na hivo kwajili wao wamemkufuru Allah na Mtume Wake na Allah Haongoi watu mafasiki (80)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba].

Na tunajua kutokana na hayo kwamba hakika takbiri ni saba na istighfar mara sabini, Baada ya kila takbira muta'mtsaghfiria yeye mara kumi,

Na Enyi ma3ashara ya Waislamu hakika sabini ni madhmuni kwamba Afanye Allah nyoyo zenu zinapata khushu na macho yenu itowe machozi basi ndio Aridhike Allah juu yenu na juu ya maiti wenu basi ndio Awaghufurie nyinyi na Anajibu dua yenu basi ndio Anamghufuria maiti wenu na hivo ni ushindi mkuu, Na Antoa imam takbira kwa sauti alafu anasoma Alfatiha alafu anasoma dua na wanao'swali wanasema: "Allahuma Amin Allahuma Amin".

Basi ni ujira mku kwa wanao swali kwa majeneza ya wenye khushu ambao anapo wangalia wao mtu mgeni angedhani kwamba maiti ni ndugu yao mtoto wa mamayao na babayao, Kwajili ya hivo anawaona wanalia kumbe machozi yanateremka kutokana na khushu kwa Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu kwajili ya kunyenyekea mbele ya mikono yake ili Amghufurie ndugu yao na wao ndio amwepushe na moto ndio wamemokoa, Hakika Mola Mlezi wangu Ni Mwenye Kusikia Dua Mwenye Kughufiria Mrahimu.

Kwajili waumini wanaweza hivi sasa katika dunia kwamba wamnyenyeke Allah basi wakawaombea maghfira maiti zao basi wanamhoji Allah kwa Rahma yake ambao ameiandika kwa Nafsi Yake lakini wao hawawezi kwamba wamhoji Allab juh yao siku ya kiyama. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{هَا أَنتُمْ هَـٰؤُلَاءِ جَادَلْتُمْ عَنْهُمْ فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا فَمَن يُجَادِلُ اللَّـهَ عَنْهُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ أَم مَّن يَكُونُ عَلَيْهِمْ وَكِيلًا ﴿١٠٩﴾ وَمَن يَعْمَلْ سُوءًا أَوْ يَظْلِمْ نَفْسَهُ ثُمَّ يَسْتَغْفِرِ اللَّـهَ يَجِدِ اللَّـهَ غَفُورًا رَّحِيمًا ﴿١١٠﴾} صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Asema:
{Hawo hapo nyinyi mulijadili juu yao katika maisha ya dunia basi nani atamjadili Allah juu yao siku ya kiyama ama nani atakae kua wakili wao (109) Na atakae tenda ovu ama adhulhmu nafsi yake alafu amstaghfiru Allah atampata Allah Mwenye Kughufiria Mrahimu (110)} sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].

Mufti wa waislamu kwa bayana ya wazi Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani .

مُفتي المسلمين بالبيان المبين الإمام ناصر محمد اليماني.
_____________________