Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
Jibu la Alimam Almahdi kwa sa'ad..
الإمام ناصر محمد اليماني
19 - محرم - 1433 هـ
04 - 11 - 2012 مـ
09:31 صباحاً
ردّ الإمام المهدي إلى سعد..
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=9422

Sio hivo hutolewa ngamia ewe sa'ad,na je umifanya mwenye ilmu ya kitabu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani kama mfano wa Imam mrungo Ahma Alhasan Alyamani?!! Hebu mogope mungu ewe mwanamume,na kwani wewe ni wale Ambao hawatafautiani baina ya punda na gamia?!hivi hujuwi kua Ahmad Alhasan Alyamani Al'iraqi analingania mwaliko wake kumshirikisha Allah na kutaka tawasul kwa manabi wake na mawali? Lakin mimi ni Almahdi Almuntadhar Nasser Muhammad Alyamani utapata ulinganizi wangu tafauti kabisa na ulinganizi wa Ahamd Alhasan Al'iraqi kwakuwa mimi nalingania Abudiwe Allah kwa haki pekeyake hana mshirika na yeye, na hapana kutawasuli kwa manabi na mawali,na ni nini mbaya kwako ewe mwanamume hutafautishi baina ya haki na batil ama umitujia kutuzuwia kwa haki na unaitaka kumbo?na ewe mwanamume,ungetaka kufitinisha ma Alanssaar Alsabiqina Alakhyar katika zama za(hiwar)mazungumzo kabla ya kutokezea (Aldhuhur)kudhihirika ili wasifwate Nasser Muhammad ALYAMANI basi hakika hutoweza kabisa mpaka ulete bayana ya Ayat katika Alquran Al3adhim iwe ni bora zaidi na ufafanuzi,

Ama fatwa yako hakika kutoka nafsi yako na unavo sema:"ikiwa Nasser Muhammad Alyamani anajadili kwa Alquran basi hata Ahmad Alhasan Alyamani anajadili kwa Alquran na anatowa ushuhuda kwa ma'aya",na kutoka hapo anamjibu Alimam Almahdi Almuntadhar Nasser Muhammad Alyamani na nasema:hukumu yako dhalimu kiyasi gani kati ya wanaume wewe !Na wewe wajuwa vizuri tafauti kuu ya batili ya Ahmad Alhasan Alyamani Aliraki Na Nasser Muhammad Alyamani,na ewe mwanamume,ikiwa unaona Nasser Muhammad Alyamani yuko katika batil anafasiri Alquran kutoka na nafsi yake basi tulete bayana ya haki zaidi ewe Sa'ad,na uifafanuwe kutokana na Alquran Al3adhim ufafanuzi ulio mkubwa ikiwa wewe ni katika wakweli,na hawi sa'ad katika wao kwa kitu chochote hata kidogo,na lawu angeiona haki sa'ad hangeifwata,na huwenda moja kati ya wanaotafuta haki akasema:"na utajuwaje ikiwa sa'ad akiona haki hatoifwata!?",alfu namjibu kwa haki bila kumdhlumu na nasema:hakika wale ambao mtawaona watafuta vipengeo pekeyake ili labda watapata hoja wasmamishe ju ya Nasser Muhammad Alyamani hata kama nukta moja-Na hawatoewwza-wale ni watu hawawezi kuongoka kwakuwa hawatafuti haki,na lau wangeona haki hawangeifwata wangeipa mgongo,

Na Ewe sa'ad hakika nitahukumu baina yako na ma Alanassar kwa haki na tunasema: lete bayana ina uongofu zaidi kuliko bayana ya Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani,: ukifanya hivo basi itabainika kwa ma Alanssar kuwa Nasser Muhammad Alyamani yuko katika upotevu na utaingia katika historia kwa milango mipana yake ndipo u'okowa waislamu na upotevu ikiwa yuko katika upotevu walio potea,na ikiwa hutweza wala hutosubutu kuweza basi mche mola wako na usizuwie haki upate ghadabu ju ya ghadhabu kutoka mola mlezi wa Ulimwengu, na naona mjadala wako ni mjadala hauna mleko Kwa'kua wajadili bila utawala wa ilimu na unaitaka kombo, Na kariri na nasema: lete bayana ina hidaya katika yoyote katika ma aya Katika kitabu ambao ameifafanua wazi wazi Al'imam Nasser Muhammad Al'Yamani ikiwa wewe ni katika wakweli, Na Salam ju ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Alalamin.

Na kwa mfano (Burhan) ushuhuda ulio baini wazi kwa fitna ya shetani iliowazi katika muhakam Al'Quraan Al3dhim, Amesema Allah Ta3ala:
{وَاسْتَفْزِزْ مَنِ اسْتَطَعْتَ مِنْهُمْ بِصَوْتِكَ وَأَجْلِبْ عَلَيْهِمْ بِخَيْلِكَ وَرَجِلِكَ وَشَارِكْهُمْ فِي الْأَمْوَالِ وَالْأَوْلَادِ وَعِدْهُمْ ۚ وَمَا يَعِدُهُمُ الشَّيْطَانُ إِلَّا غُرُورًا}

صدق الله العظيم [الإسراء:64]

Allah Ta3ala Asema:{na wachochee uwawezao katika wao kwa sauti yako, na wakusanyie jeshi lako la wapandao farasi na waendao kwa miguu. Na shirikiana nao katika mali na wana, na waahidi. Na Shet'ani hawapi ahadi ila ya udanganyifu} Sadaqa Allah Al3adhim

Na hio ndio fitna ya shetani ya wazi anawazungumzisha na Munamona, Na Lakini uchochezi; ni kua atowe watu kutoka kwenye mwangaza kwenda kwa giza ba'ada kuongoka watu wote na ba'ada kua amewafanya Allah umma moja juu ya njia ilionyoka na alafu anfika Almasi7h Alkadhab ili kufitini watu kutomwamini Al'Rahman kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:

الم (1) أَحَسِبَ النّاس أَنْ يُتْرَكُوا أَنْ يَقُولُوا آمَنَّا وَهُمْ لَا يُفْتَنُونَ (2) }
صدق الله العظيم [العنكبوت]
Allah Ta3ala Asema:{Alf lam mim(1) Wana'hisabu watu kua watawachwa kusema tumiamini na wao hawafitiniwi(2)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alankabut].


Na Kwa vile Almasi7h Alkadhab Alsheitan Alrajim atatokezea ili kufitini watu ba'ada uongofu kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
وَاسْتَفْزِزْ مَنِ اسْتَطَعْتَ مِنْهُمْ بِصَوْتِكَ
{na wachochee uwawezao katika wao kwa sauti yako}


yani towa yule utakao weza katika wao kutoka kwa mwangaza kwenda kwa giza kwa sauti yako yani kwenye fitna ya kutangaza, Na uwavute juyao kwa farasi yako na hizo ni farasi kwenye waki ya hakika, Na ndio hakika farasi wake ni farasi wa kutoka kwa Ardhi Almafrusha hamuna ilmu nayo, Na amewaeleza Allah akatika muhakam ya kitabu chake, Na inaingia kwa upande wa bayana Kauli Ya Allah Ta3ala:

وَالْخَيْلَ وَالْبِغَالَ وَالْحَمِيرَ لِتَرْكَبُوهَا وَزِينَةً وَيَخْلُقُ مَا لاَ تَعْلَمُونَ (8) وَعَلَى اللّهِ قَصْدُ السَّبِيلِ وَمِنْهَا جَآئِرٌ }
صدق الله العظيم [النحل:8-9]
Allah Ta3ala Asema:{Na farasi, na nyumbu, na punda ili muwapande, na kuwa ni pambo. Na anaumba msivyo vijua (8) Na ni juu ya Mwenyezi Mungu kuelekeza Njia. Na zipo njia"(Jair)"(9)}
Sadaqa Allah Al3adhim[Alnahl].

Basi Ma'ana Ya Jair: Basi Nayo ni Vilivo undwa Na Waja Wa Allah Na awali tumetowa bayana ya jair, Nayo Ni Meli Za leo ns ndege na magari na treni na ma trela, na kadhalika farasi wa dajal hamona ilmu nayo nawo ni katika viumbe va Allah katika Ardhi ya mashariki mbili hamuna ilmu nayo, nayo kadhalika inaingia katika kauli ya Allah Ta3ala:

{وَالْخَيْلَ وَالْبِغَالَ وَالْحَمِيرَ لِتَرْكَبُوهَا وَزِينَةً وَيَخْلُقُ مَا لاَ تَعْلَمُونَ (8) }
صدق الله العظيم

Allah Ta3ala Asema:{Na farasi, na nyumbu, na punda ili muwapande, na kuwa ni pambo. Na anumba msivyo vijua (8)}
Sadaqa Allah Al3adhim

Na Sisi Juu Yao Wenye Kuwalazimisha, Na Wala Hatokimbia Al'Imam Al'Mahdi Na Al'Masi7h Issa Ibnu Maryam Kwenda Juu Ya Vichwa Va Ma'Jabali Na Jeshi Lao Kukimbia Al'Masi7h Alkadhab Kama Wanao Tuzulia Juu Yetu Wazuwaji, Na hio riwaya ametowa Alshetan Kwa Ma Wali Wake ili Awapoteze, Na hikma ya kikhabithi kutokana na hio ni mpaka pindi akitokezea Al'Masi7h Al'Kadhab Na Jeshi Lake kutokana Na Yajuj na Majuj na Alafu wakimbie waumini Kwa Kutopigana Na Wao Kwenda Kwa Vichwa Va Majabali ili kusadikisha Riwaya ya uzushi, Alafu Asipate Al'Masi7h Al'Kadhab Na Yajuj Na Majuj Mapambano Yoyote Kutoka Kwa Waumini Kwakua Jeshi La Al'Imam Al'Mahdi Na Waziri Wake Al'Masi7h Issa Mwana Wa Maryam Wamishindwa Wako majabalini, Na Hai hat hai Hat Na Mola Mlezi Wa Ardhi Na Mbingu wakitokezea kwetu basi hakika sisi tutapigana Na Al'Masi7h Al'Kadhab Na Jeshi Lake Pamoja Na Jeshi lote la Allah, Na Watajuwa Nani Kati yetu mwenye Nguvu na uwezo Kwa idhini Ya Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu,

Na Enyi Watu, Hakika Shetani Alrajim hatosema kwenu kua yeye ni Al'Shetan Al'Rajim Almalak Harut, Na Wala Hatosema Kwenu Kua Yeye ni Al'Masi7h Al'Kadhab, Bali Atawambia Nyinyi Kua Yeye Ni Al'Masi7h Issa Mwana Wa Marya, Kwajili Ya Hivo Anaitwa Al'Masi7h Al'Kadhab Kwa'Kua Yeye Sio Al'Masi7h Issa Mwana Wa Maryam Na Haikua Kwa Mwana Wa Maryam Kusema Yale Yasio Kuwa Haki kwake, Kwajili Ya Hivo Hapana budi Kwa Kurudi Kwake Al'Masi7h Issa Mwana Wa Maryam Wa Kweli-Sala Allahu Juu Yake Na Mamake Na Usalim Tasliman- Kwa'Kua Allah Anajuwa Kua Al'Masi7h Al'Kadhab Anataka Kuiba shakhsia ya Al'Masi7h Issa Ibnu Maryam Adai U'Ungu.

Na Enyi Ma3ashara Ya Ma Al'Anssar, Asiwashughulishe Sa'Ad Na Mfano Wake Kuhusu Ulinganizi kwa Allah Kwa (Basira) Kujuwa Kutoka Kwa Mola Mlezi Wenu Kwa Kubalighisha Bayana Al'Quran Kwa Ulimwengu, Ispokua Anataka Sa'Ad Kuwashugulisha Kutokana Na Ulinganizi Kwa Allah Kwa Basira Kutoka Kwa Mola Mlezi Wenu Basi Musifanye uzani yeye Ni katika wale Hawato'ongoka, Na imibainika kwetu jambo lake kutokana na mazungumzo yake pamoja na Ma Alanssar, Na Hakika Mumimjadili Na Ma'Bayana Za Al'Imam Akazikanusha Zote Kama Kwamba Hajziskia Wala Hajaziona, Bali Amizisoma Harufu Moja Moja Wala Hakuelewa Wala Nukta kati Yake Ndio Alete Bayan Ina tafsiri Bora, Na Mumismamisha Juu Yake Hoja Na Tosha, Na Tunawacha Hukumu Kwa Watafiti Wa Haki Na sasa Tutafanya Kufunga Hi maudhui Ili Asipoteze Wakati Wenu Zaidi, Basi Wapeni Mgongo Majahili, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..

Ndugu Yenu Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.

أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــــ