RIDHWAN ALLAH


ردّ المهديّ المنتظَر على شيطانٍ من شياطين البشر الذين كرهوا رضوان الله النّعيم الأكبر ..
Amirudisha jibu Almahdi Almuntadhar kwa shetani katika mashetani binadamu wale ambao wamichukia ridhwan ya Allah "Alna3im Alakbar" NEEMA KUU..


بسم الله الواحد القهّار خالق الجانّ من مارج من نار وخالق الإنسان من صلصالٍ كالفخار، والصلاة والسلام على جدّي محمد رسول الله وآله الأطهار وجميع أنصار الله إلى اليوم الآخر، وبعد..

Kwa jina la Allah mmoja mwenye nguvu muuba wa majini kutokana na ulimi wa moto na muumba wa Binadamu kwa udongo kalfajar, Na rehma na amani zimshukie babu yangu Muhammad Mtumi wa Allah na Alihi waliotwahiriwa na wote ma ansar wa Allah kutoka mwazo mpaka siku ya mwisho,
Ama ba3d..




Na ewe ambae tunamona kuwa ni kati ya mashetani watu
Wale ambao wanadhihirisha iman na wanaficha ukafiri na hila kwajili ya kuzuwia ukumbusho,hakika nyinyi munakanusha Alna3im Alakbar ridhwan Allah kwa waja wake namunasema hakika Nasser Muhammad Alyamani ni mrongo mweny shari kwasababu anatowa fatwa kuwa "Ridhwan Allah" radhi YA Allah kwa waja wake ni Na3im kuu NEEMA KUU kuliko Neema ya pepo yake,
Na njoni tuhukumiane kwa hukmu ilio wazi ya utajo je Ridhwan Allah kwa waja wake ni kweli Na3im kuu kuliko na3im ya pepo yake? Na Kutoka hapo tunapata huk'mu ya Allah kwa haki amifanya kwa kadara ilio kadiriwa katika kitabu kilio andikwa katika muhakama ya ukumbusho ilio wazi maana yake anawapa fatwa Allah mmoja mwenye nguvu kuwa Ridhwan Allah kwa waja wake ni Na3im kuu kuliko na3im ya pepo yake, Na tuna istinbat Kuchunguza kwa undani hukmu hio kwa haki ni ya Mola Mlezi wa Ulimwengu kutokana muhakama ya kitabu kwa kauli yake Allah Ta3ala:
{وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالدّين فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِنْ اللَّهِ أَكْبَرُ ذَلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ} صدق الله العظيم [التوبة:72].
Allah Ta3ala asema:{amiwapa ahdi waumini wanaume na waumini wanawake pepo inapita chini yake mito milele ndani yake na manyumba mazuri katika pepo ya Aden na ridhwan kutoka kwa Allah ni kuu hio ndio ushindi mkuu}sadaqa Allahu Al3adhim[Altawuba:72



Lakini huyu alsheitan ambae anakufurisha kuwa Ridhwan yake Allah ni Na3im kuu kuliko na3im ya pepo yake hatotambua hivo kabisa, na je mwajuwa kwa nini? Na vile ni kwajili yeye ni kati ya wale alisema Allah ju yao:
{إِنَّ الَّذِينَ ارْ‌تَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِ‌هِم مِّن بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمُ الْهُدَى الشَّيْطَانُ سَوَّلَ لَهُمْ وَأَمْلَىٰ لَهُمْ ﴿٢٥﴾ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَالُوا لِلَّذِينَ كَرِ‌هُوا مَا نَزَّلَ اللَّـهُ سَنُطِيعُكُمْ فِي بَعْضِ الْأَمْرِ‌ وَاللَّـهُ يَعْلَمُ إِسْرَ‌ارَ‌هُمْ ﴿٢٦﴾ فَكَيْفَ إِذَا تَوَفَّتْهُمُ الْمَلَائِكَةُ يَضْرِ‌بُونَ وُجُوهَهُمْ وَأَدْبَارَ‌هُمْ ﴿٢٧﴾ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمُ اتّبعوا مَا أَسْخَطَ اللَّـهَ وَكَرِ‌هُوا رِ‌ضْوَانَهُ فَأَحْبَطَ أَعْمَالَهُمْ﴿٢٨﴾} صدق الله العظيم [محمد].
Allah Ta3ala asema:{hakik wale waliortadi wakagauka kwa migongo bada kubainika kwao uongofu,shetan sawala na kuwapa matumaini ju yao(25)hivo kwakuwa waliwambia wale walio chukia yale yalio teremshwa na Allah
Tutawati katika badhi ya amri na Allah anajuwa walio amulia(26)basi vipi wakiwafisha malaika wanawapiga uso zao na nyuma (27)kwajili walifwata kinacho mghadhibisha Allah wakachukia Ridhwan zake ndipo Amishusha vitendo vao(28)[sadaqa Allah Al3adhim:Muhammad




Na tulimjuwa kwa nyimbo anao imba katika mzungumzo yake yale anayo taka kufikisha ndipo amibainika kwenu kuwa yeye ni katika ya wale alio sema Allah Ta3ala ju yao:
{ذَلِكَ بِأَنَّهُمُ اتّبعوا مَا أَسْخَطَ اللَّهَ وَكَرِهُوا رِضْوَانَهُ فَأَحْبَطَ أَعْمَالَهُمْ}صدق الله العظيم، وكذلك تجدونه يدعو إلى الشرك بالله ويريد أن يعتقد المسلمين بشفاعة العبيد بين يدي الربّ المعبود كونه يريد أن يخالف أمر الله في الكفر بشفاعة الأنبياء والأولياء بين يدي ربّهم. تصديقاً لقول الله تعالى: {وَأَنذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أن يُحْشَرُوا إِلَى ربّهم لَيْسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِىٌّ وَلاَ شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ}صدق الله العظيم [الأنعام:51].
Amesema Allah Ta3ala:{Na uwaonye kwa hi wale wanao ogopa kufufuliwa kwa mola wao hawana duni yake wali wala shafii hao huwenda wao ni wachaji}[sadaqa Allah Al3adhim[51:Alan3am]





Na enyI ma3ashara Almuslimin
Nisiwajulishe vipi mutafautishe kati ya haki na batil? Na Agalieni ulinganizi wa mashetani wa kijini na watu mutawakuta wanalingania kwa kumshirikisha Allah na kuitakidi kwa shafa3a ya waja mbele ya mikono ya mumba mwenye kuabudiwa, Lakini anae lingania kwa haki mutamkuta anawalingania kuwatowa katika kuabudu waja na kukulekeza kwa kuabudu Mola Mlezi Mwenye kuabudiwa peke yake hana mshirika, Na bado wanaendelea kujaribu kuwarudisha na dini yenu ya haki ikiwa wataweza na wanajaribu kuwafitini na haki, Amesema Allah Ta3ala:
{يَبْغُونَكُمُ الْفِتْنَةَ وَفِيكُمْ سَمَّاعُونَ لَهُمْ} صدق الله العظيم [التوبة:47].
Amesema Allah Ta3ala:{wanawatakia fitna na kati yenu wako wanao wasikiza wao}sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba:47]




Na mutaona ajabu ya ma'ajabu kutoka kwao kwa njia za unakiri na ukhabithi na ujanja wa batil kwa kila njia na hila,na kati ya wale wanao shaka wale walio na ukosefu ju yao mashteani na wanawazuwia kwa njia na wanaona wao wamiongoka,Na Akasema Allah Ya3ala:

{وَمَن يَعْشُ عَن ذِكْرِ‌ الرَّ‌حْمَـٰنِ نُقَيِّضْ له شَيْطَانًا فَهُوَ له قَرِ‌ينٌ ﴿٣٦﴾ وَإِنَّهُمْ لَيَصُدُّونَهُمْ عَنِ السَّبِيلِ وَيَحْسَبُونَ أَنَّهُم مُّهْتَدُونَ ﴿٣٧﴾ حَتَّىٰ إِذَا جَاءَنَا قَالَ يَا لَيْتَ بَيْنِي وَبَيْنَكَ بُعْدَ الْمَشْرِ‌قَيْنِ فَبِئْسَ الْقَرِ‌ينُ ﴿٣٨﴾}

صدق الله العظيم [الزخرف].
Allah Ta3ala Asema;{na mwenye kua mbali na utajo wa Alrahman tunamfunga na yeye shetani basi anakuwa ndio kwake marafiki(36)Na hakika wao wanawazuwia kwa njia na wanadhani wao ni waongofu(37)Mpaka alipo tujia amesema yaleti ingekuwa beina yangu na baina yako umbali wa mashariki mawili rafiki muovu umno(38)}sadaqa Allahi Al3adhim[Alzukhruf].



Na ewe Aduwi wa Allah na aduwi wa khalifa wake,hakuwa Alimam Almahdi anakanusha shafa3a ya waja mbele ya mikono ya mumba mwenye kuabudiwa,Na alafu aseme yeye ndio mwenye kuwashufa3ia siku ya din,ila tu nimiwapa fatwa kwa kupewa idhni kutoka kwa Allah ipatikane shafa3a,sasa wale walio pewa idhni na Allah hawatosema ewe Allah tushufa3ie kwa waja wako alafu awajibu,bureyenu bureyenu,Na amitakasika Allah urefu mno na ukubwa!bali wale ambao wamipewa idhni ya kuzungumza wakatamka neno la kupata neno la sawab wakamomba mola wao kuwa aridhike ndani ya nafsi yake suhbahanahu,hio ndio Alna3im Ala3dham Na3im kuu kwao wao,Na nivipi Allah atakuwa radhi ndani ya nafsi yake?basi hapana budi mpaka awaingieze waja wake kwenye rehma yake.






Na sikiza ewe nani kwa nayo yasema: Natowa qasam kwa Alio teremsha kitabu na anae skuma mawingu na mwenye kuwashinda mahizbu Allah Al3aziz Alwahab hakika anao Allah waja katika hi ulimwengu haitowaridhisha kwa tirilion na tirilion na tirilion ya pepo upana wake mbingu na ardhi mpaka aridhike!Na je wajuwa kwanini?kwajili ya hivo kuwa wao wanaona sasa na zamani kuwa wao hawana haja ya jannah pepo na ma7hur Al3in na mpenzi wao ana majuto na huzuni ndani ya nafsi yake kwa sababu waja wake wamijidhulumu nafsi zao katika wale walio potea katika maisha ya dunia,wala hawi na majuto ju ya alio ghadhibika ju yao mfanowako kwakuwa nyinyi enye mashetani wa kijini na watu sio katika walio potea,hakika walio potea ni wale walipotea kwa njia ya uongofu wakadhani wamiongoka,




Na ama mashetani wa kijini na watu hakika wao kwa haki wanachukia,na wanafwata yale yanao mtia hasira Allah na wakachukia ridhwan za Allah awe radhi akawashusha vitendo vao akawalani katika dunia na akhera na wana'adhibiwa mara tatu,kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:


{وَمِمَّنْ حَوْلَكُمْ مِّنَ ٱلأَعْرَابِ مُنَافِقُونَ وَمِنْ أَهْلِ ٱلْمَدِينَةِ مَرَدُواْ عَلَى ٱلنِّفَاقِ لاَ تَعْلَمُهُمْ نَحْنُ نَعْلَمُهُمْ سَنُعَذِّبُهُم مَّرَّتَيْنِ ثُمَّ يُرَدُّونَ إِلَىٰ عَذَابٍ عَظِيمٍ}

صدق الله العظيم [التوبة:101]
Allah Ta3ala asema:{Na kati walio wazunguka katika "Ala'3rab" mabeduwi wanafiki na katika watu wa "Almadina"mjini wanauzowefu wa unafiki na wala huwajuwi sisi tunawajuwa tutawadhibu mara mbili alafu watarudishwa kwa adhabu 3adhim kuu}sadaqa Allah Al3adhim[Altawuba:101]





Na huwenda anataka kunikata moja kati ya waulizaji na kusema:"Lakini Allah Ta3ala Anasema:
{سَنُعَذِّبُهُم مَّرَّتَيْنِ} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala anasema:{Tutawa'adhibu mara mbili}sadaqa Allah Al3adhim,Na mbona ewe Nasser Muhammad wasema mara tatu?",Na Alafu anamjubu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Na nasema:hakika mara mbili ni katika maisha ya dunia Na alafu wanarudishwa kwenye adhabu 3adhim kuu siku ya kiyama,kusadikisha kauli ya Allah Ta3allah:
{سَنُعَذِّبُهُم مَّرَّتَيْنِ ثُمَّ يُرَدُّونَ إِلَىٰ عَذَابٍ عَظِيمٍ} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala asema:{Tutawa'adhibu mara mbili alafu watarudishwa kwa adhabu "3adhim"adhabu kuu}sadaqa Allah Al3adhim.




Hawo wanafiki katika mashetani watu mfano alio kufuru kwa Na3im ridhwan ya Allah basi kuweni na hadhari na wao,Na musipo jichuknga nao watawarudisha kwa ibada ya waja kuabudo waja ata watosheleze na kumwabudu mola wenu mlezi Alafu hamutopata pasi na Allah wali wala mwenye kuwanusuri,amiwalani Allah kwa kufuru yao na amiwa ghadhibia ju yao na akahalilisha lana ya Allah na malaika wake na watu wote.akasema Allah Ta3ala:

{قُلْ آمَنَّا بِاللَّـهِ وَمَا أُنزِلَ عَلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ عَلَىٰ إِبْرَ‌اهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَالنَّبِيُّونَ مِن ربّهم لَا نُفَرِّ‌قُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ له مسلمونَ ﴿٨٤﴾ وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ‌ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ منه وَهُوَ فِي الْآخِرَ‌ةِ مِنَ الْخَاسِرِ‌ينَ ﴿٨٥﴾ كَيْفَ يَهْدِي اللَّـهُ قَوْمًا كَفَرُ‌وا بَعْدَ إِيمَانِهِمْ وَشَهِدُوا أن الرَّ‌سُولَ حقّ وَجَاءَهُمُ الْبَيِّنَاتُ وَاللَّـهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ ﴿٨٦﴾ أُولَـٰئِكَ جَزَاؤُهُمْ أن عَلَيْهِمْ لَعْنَةَ اللَّـهِ وَالْمَلَائِكَةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ ﴿٨٧﴾ خَالدّين فِيهَا لَا يُخَفَّفُ عَنْهُمُ الْعَذَابُ وَلَا هُمْ يُنظَرُ‌ونَ ﴿٨٨﴾ إِلَّا الَّذِينَ تَابُوا مِن بَعْدِ ذَٰلِكَ وَأَصْلَحُوا فَإِنَّ اللَّـهَ غَفُورٌ‌ رَّ‌حِيمٌ ﴿٨٩﴾ أن الَّذِينَ كَفَرُ‌وا بَعْدَ إِيمَانِهِمْ ثُمَّ ازْدَادُوا كُفْرً‌ا لَّن تُقْبَلَ تَوْبَتُهُمْ وَأُولَـٰئِكَ هُمُ الضَّالُّونَ ﴿٩٠﴾ أن الَّذِينَ كَفَرُ‌وا وَمَاتُوا وَهُمْ كُفَّارٌ‌ فَلَن يُقْبَلَ مِنْ أَحَدِهِم مِّلْءُ الأرض ذَهَبًا وَلَوِ افْتَدَىٰ بِهِ أُولَـٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ وَمَا لَهُم مِّن نَّاصِرِ‌ينَ ﴿٩١﴾} صدق الله العظيم [آل عمران].
Allah Ta3ala Asema:{Sema tumimwamini Allah na yale alio teremsha kwetu na yale yalio teremshwa kwa Ibrahim na Isma3il wa Is7haq wa ya3qub walasbat na yale walio pewa Musa Na 3isaa na manabi kutoka kwa mola wao hakika hatutafautishi katika moja wao na sisi kwake tumisilimu(84)Na mwenye kutaka mbali na uwislamu dini nasi hatokubaliwa kwake na yeye akhera ni katika walio pata hasara(85)Vipi atawaongoza Allah qaum wamikufuru bada ya kuamini kwao na wakasuhudia kuwa mtumi ni haki na ikwajia iliobainika na hakika Allah haongozi qaumu madhalimu(86)Hawo jaza yao kuwa lana ya Allah ju yao na malaika na watu wote(87)milele ndani yake wala haitopunguzwa adhabu wala wao ni wenye kuangaliwa(88)ispokuwa kwa wale walio tubu bada ya hapo wakawa wema hakika Allah mwenye msamaha mwenye huruma(89)hakika wale walio kufuru bada kuamini alafu wakazidisha ukafiri hawutokubalika tauba yao na hao ndio waliopotea(90)hakika wale walio kufuru na wakafa na wao ni makafiri haitokubaliwa hata akijaza dunia dhahabu kama atatowa hawo ndio wanao adhabu inao uma wala hawatopata mwnye kuwanusuri(91)}[sadaqa Allah Al3adhim:Al3amran]





Na mashetani wa kijini na mashetani watu wao ni ma'aduwi wakubwa wa Almahdi Almuntadhar Nasser Muhammad Alyamani kwakuwa wanakufuru kwa ulinganizi wa Alimam Nasser Muhammad Alyamani ambae anawalingania watu kwa kumwabudu Allah pekeyake na kuwa wasiombe na Allah yoyote na hawatopata mbali na Allah mwenye kuwashika,Na anawahadhirisha na shirki kwa Allah na anawapa nasaha ya kuwa na ikhlas ju ya Allah pekeyake,Na yuwalingania majini na watu wachukuwe ridhwan ya Allah ni lengo katika maisha ya dunia na Akhera,Lakini wale wanao mkasirisha Allah na wana chukia ridhwan zake hawato pendezwa na wala hawatopenda mwaliko na ulinganizi wa Alimam Nasser Muhammad Alyamani na wataenda mbio kwa kila njia na hila ili wazime nuru ya Allah na Anakata Allah ila atimize nuru yake hata kama watachukia wadhalimu kudhihirika kwake.


Na salam ju yetu na waja wa Allah wema,
Na salam ju ya mitume,Na Alhamdulillah rabi Al3alamin..


Aduwi wa mashetani watu:Almahdi Almuntadhar Alimam Nasser Muhammad Alyamani.

والسلام علينا وعلى عباد الله الصالحين، وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
عدو شياطين البشر؛ المهديّ المنتظَر الإمام ناصر محمد اليماني.
_____________


Read more: https://nasser-alyamani.org/showthread.php?14250-











ردّ المهديّ المنتظَر على شيطانٍ من شياطين البشر الذين كرهوا رضوان الله النّعيم الأكبر ..


بسم الله الواحد القهّار خالق الجانّ من مارج من نار وخالق الإنسان من صلصالٍ كالفخار، والصلاة والسلام على جدّي محمد رسول الله وآله الأطهار وجميع أنصار الله إلى اليوم الآخر، وبعد..


ويا من نراه من شياطين البشر من الذين يُظهرون الإيمان ويُبطنون الكفر والمكر للصدّ عن الذكر، إنّكم تُنكرون النّعيم الأكبر رضوان الله على عباده فتقولون إنّ ناصر محمد اليماني كذّابٌ أشِر بسبب أنّه يفتي أنّ رضوان الله على عباده نعيمٌ أكبر من نعيم جنته، فتعالوا لنحتكم إلى محكم الذكر هل رضوان الله على عباده هو حقاً نعيمٌ أكبر من نعيم جنته؟ ومن ثم نجد حكم الله بالحقّ قد جعله بقدرٍ مقدورٍ في الكتاب المسطور في محكم الذكر يفتيكم الله الواحد القهار أنّ رضوان الله على عباده نعيمٌ أكبر من نعيم جنته، ونستنبط ذلك الحكم الحقّ لربّ العالمين من محكم كتابه في قول الله تعالى: {وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالدّين فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِنْ اللَّهِ أَكْبَرُ ذَلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ} صدق الله العظيم [التوبة:72].


ولكن هذا الشيطان الذي يكفر بأنّ رضوان الله نعيمٌ أكبر من نعيم جنته لن يدرك ذلك أبداً، وهل تدرون لماذا؟ وذلك لأنّه من الذين قال الله عنهم:
{إِنَّ الَّذِينَ ارْ‌تَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِ‌هِم مِّن بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمُ الْهُدَى الشَّيْطَانُ سَوَّلَ لَهُمْ وَأَمْلَىٰ لَهُمْ ﴿٢٥﴾ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَالُوا لِلَّذِينَ كَرِ‌هُوا مَا نَزَّلَ اللَّـهُ سَنُطِيعُكُمْ فِي بَعْضِ الْأَمْرِ‌ وَاللَّـهُ يَعْلَمُ إِسْرَ‌ارَ‌هُمْ ﴿٢٦﴾ فَكَيْفَ إِذَا تَوَفَّتْهُمُ الْمَلَائِكَةُ يَضْرِ‌بُونَ وُجُوهَهُمْ وَأَدْبَارَ‌هُمْ ﴿٢٧﴾ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمُ اتّبعوا مَا أَسْخَطَ اللَّـهَ وَكَرِ‌هُوا رِ‌ضْوَانَهُ فَأَحْبَطَ أَعْمَالَهُمْ﴿٢٨﴾} صدق الله العظيم [محمد].


وقد عرفناه من لحن قوله ما يرمي إليه فتبيّن لكم أنّه من الذين قال الله تعالى عنهم: {ذَلِكَ بِأَنَّهُمُ اتّبعوا مَا أَسْخَطَ اللَّهَ وَكَرِهُوا رِضْوَانَهُ فَأَحْبَطَ أَعْمَالَهُمْ}صدق الله العظيم، وكذلك تجدونه يدعو إلى الشرك بالله ويريد أن يعتقد المسلمين بشفاعة العبيد بين يدي الربّ المعبود كونه يريد أن يخالف أمر الله في الكفر بشفاعة الأنبياء والأولياء بين يدي ربّهم. تصديقاً لقول الله تعالى: {وَأَنذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أن يُحْشَرُوا إِلَى ربّهم لَيْسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِىٌّ وَلاَ شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ}صدق الله العظيم [الأنعام:51].


ويا معشر المسلمين أفلا أدلّكم كيف تميّزون بين الحقّ والباطل؟ فانظروا لدعوة شياطين الجنّ والإنس تجدونهم يدعون إلى الشرك بالله والاعتقاد بشفاعة العبيد بين يدي الربّ المعبود، ولكن الدَّاعي إلى الحقّ تجدونه يخرجكم من عبادة العبيد إلى عباده الربّ المعبود وحده لا شريك له. ولا يزالون يحاولون ردّكم عن دينكم الحقّ إن استطاعوا ويحاولون فتنتكم عن الحقّ. قال الله تعالى: {يَبْغُونَكُمُ الْفِتْنَةَ وَفِيكُمْ سَمَّاعُونَ لَهُمْ} صدق الله العظيم [التوبة:47].


ولسوف تجدون منهم العجب العُجاب من طرق المكر والخبث والدهاء بالباطل بكل حيلةٍ ووسيلةٍ، ومن الممترين من استحوذت عليهم الشياطين ويصدّونهم عن السبيل ويحسبون أنّهم مهتدون. وقال الله تعالى: {وَمَن يَعْشُ عَن ذِكْرِ‌ الرَّ‌حْمَـٰنِ نُقَيِّضْ له شَيْطَانًا فَهُوَ له قَرِ‌ينٌ ﴿٣٦﴾ وَإِنَّهُمْ لَيَصُدُّونَهُمْ عَنِ السَّبِيلِ وَيَحْسَبُونَ أَنَّهُم مُّهْتَدُونَ ﴿٣٧﴾ حَتَّىٰ إِذَا جَاءَنَا قَالَ يَا لَيْتَ بَيْنِي وَبَيْنَكَ بُعْدَ الْمَشْرِ‌قَيْنِ فَبِئْسَ الْقَرِ‌ينُ ﴿٣٨﴾} صدق الله العظيم [الزخرف].


ويا عدو الله وعدو خليفته، ما كان الإمام المهديّ لينفي شفاعة العبيد بين يدي الربّ المعبود، ومن ثم يقول لكم أنا شفيعكم يوم الدّين، وإنّما أفتيتُ بالإذن من الله لتحقيق الشفاعة، فالذين يأذن الله لهم لن يقولوا شفّعنا يا رب في عبادك فيجيبهم، هيهات هيهات. وسبحان الله العظيم وتعالى علواً كبيراً! بل الذين أَذِنَ لهم بالخطاب فنطقوا بالقول الصواب وطلبوا من ربّهم أن ترضى نفسه سبحانه، فذلك هو النّعيم الأعظم بالنسبة لهم، وكيف يكون الله راضياً في نفسه؟ وحتى يتحقق ذلك فلا بدّ أن يدخل عباده في رحمته فيرضى.


واسمع يا هذا إلى ما أقول: أقسم بمن أنزل الكتاب ومُجري السحاب وهازم الأحزاب الله العزيز الوهاب إنّ لله عباداً في هذا العالم لن يرضيهم ربّهم بتريليون تريليون تريليون جنّةٍ عرضها السماوات والأرض حتى يرضى! وهل تدري لماذا؟ وذلك لأنهم يرون والآن والزمان أن لا حاجة لهم بجنّة النّعيم والحور العين وحبيبهم متحسر وحزين في نفسه بسبب ظلم عباده لأنفسهم من الذين ضلّوا في الحياة الدنيا، ولا يتحسر على المغضوب عليهم أمثالك كونكم يا شياطين الجنّ والإنس لستُم من الضالّين، وإنما الضالّون هم الذين ضلّوا عن سبيل الهدى ويحسبون أنهم مهتدون.


وأما شياطين الجنّ والإنس فإنّهم للحقّ كارهون، واتّبعوا ما يسخط الله وكرهوا رضوان الله فأحبط أعمالهم ولعنهم في الدنيا والآخرة ويُعذّبون ثلاث مرات. تصديقاً لقول الله تعالى: {وَمِمَّنْ حَوْلَكُمْ مِّنَ ٱلأَعْرَابِ مُنَافِقُونَ وَمِنْ أَهْلِ ٱلْمَدِينَةِ مَرَدُواْ عَلَى ٱلنِّفَاقِ لاَ تَعْلَمُهُمْ نَحْنُ نَعْلَمُهُمْ سَنُعَذِّبُهُم مَّرَّتَيْنِ ثُمَّ يُرَدُّونَ إِلَىٰ عَذَابٍ عَظِيمٍ} صدق الله العظيم [التوبة:101]

ولربّما يودّ أن يُقاطعني أحد السائلين فيقول: "ولكن الله تعالى يقول:{سَنُعَذِّبُهُم مَّرَّتَيْنِ} صدق الله العظيم، فلماذا يا ناصر محمد تقول سيعذبهم الله ثلاث مرات؟". ومن ثم يردّ عليه الإمام المهديّ ناصر محمد وأقول: إنّما المرّتان في خلال عمر الحياة الدنيا ومن ثمّ يردون إلى عذابٍ عظيمٍ يوم القيامة. تصديقاً لقول الله تعالى: {سَنُعَذِّبُهُم مَّرَّتَيْنِ ثُمَّ يُرَدُّونَ إِلَىٰ عَذَابٍ عَظِيمٍ} صدق الله العظيم.


أولئك المنافقون من شياطين البشر أمثال الكافر بنعيم رضوان الله فاحذروهم، وإن لم تحذروهم فسوف يردّوكم إلى عبادة العبيد والاستغناء بهم عن الربّ المعبود ثم لا تجدون لكم من دون الله ولياً ولا نصيراً. لعنهم الله بكفرهم وغضب عليهم وأحلّ عليهم لعنة الله وملائكته والناس أجمعين. وقال الله تعالى: {قُلْ آمَنَّا بِاللَّـهِ وَمَا أُنزِلَ عَلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ عَلَىٰ إِبْرَ‌اهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَالنَّبِيُّونَ مِن ربّهم لَا نُفَرِّ‌قُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ له مسلمونَ ﴿٨٤﴾ وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ‌ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ منه وَهُوَ فِي الْآخِرَ‌ةِ مِنَ الْخَاسِرِ‌ينَ ﴿٨٥﴾ كَيْفَ يَهْدِي اللَّـهُ قَوْمًا كَفَرُ‌وا بَعْدَ إِيمَانِهِمْ وَشَهِدُوا أن الرَّ‌سُولَ حقّ وَجَاءَهُمُ الْبَيِّنَاتُ وَاللَّـهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ ﴿٨٦﴾ أُولَـٰئِكَ جَزَاؤُهُمْ أن عَلَيْهِمْ لَعْنَةَ اللَّـهِ وَالْمَلَائِكَةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ ﴿٨٧﴾ خَالدّين فِيهَا لَا يُخَفَّفُ عَنْهُمُ الْعَذَابُ وَلَا هُمْ يُنظَرُ‌ونَ ﴿٨٨﴾ إِلَّا الَّذِينَ تَابُوا مِن بَعْدِ ذَٰلِكَ وَأَصْلَحُوا فَإِنَّ اللَّـهَ غَفُورٌ‌ رَّ‌حِيمٌ ﴿٨٩﴾ أن الَّذِينَ كَفَرُ‌وا بَعْدَ إِيمَانِهِمْ ثُمَّ ازْدَادُوا كُفْرً‌ا لَّن تُقْبَلَ تَوْبَتُهُمْ وَأُولَـٰئِكَ هُمُ الضَّالُّونَ ﴿٩٠﴾ أن الَّذِينَ كَفَرُ‌وا وَمَاتُوا وَهُمْ كُفَّارٌ‌ فَلَن يُقْبَلَ مِنْ أَحَدِهِم مِّلْءُ الأرض ذَهَبًا وَلَوِ افْتَدَىٰ بِهِ أُولَـٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ وَمَا لَهُم مِّن نَّاصِرِ‌ينَ ﴿٩١﴾} صدق الله العظيم [آل عمران].


وإنّ شياطين الجنّ والبشر لهم ألدّ أعداء المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني كونهم يكفرون بدعوة الإمام ناصر محمد اليماني الذي يدعو النّاس إلى عبادة الله وحده وأن لا يدعوا مع الله أحداً ولن يجدوا من دونه ملتحدا، ويحذّرهم من الشرك بالله ويأمرهم بالإخلاص لله وحده، ويدعو الجنّ والإنس إلى أن يتّخذوا رضوان الله غاية في الحياة الدنيا وفي الآخرة، ولكنَّ الذين يتّبعون ما يسخط الله وكرهوا رضوانه لا ولن تعجبهم دعوة الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني ولسوف يسعون بكل حيلةٍ ووسيلةٍ ليطفئوا نور الله ويأبى الله إلا أن يُتمَّ نوره ولو كره المجرمون ظهوره.


والسلام علينا وعلى عباد الله الصالحين، وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
عدو شياطين البشر؛ المهديّ المنتظَر الإمام ناصر محمد اليماني.
_____________


Read more: https://nasser-alyamani.org/showthread.php?14250-