LEILATU'ALQADR


[لمتابعة رابط المشـاركـــــــــة الأصليَّة للبيــــــــــــــان]
الإمام ناصرمحمد اليماني
05 - 09 - 1433 هـ
24 - 07 - 2012 مـ
06:33 صباحاً
ـــــــــــــــــــــ





Na Siku Ya Kadri Ambayo Ana'Mdhiri Allah Al'Mahdi Al'Muntadhar, Nayo Ni Bora Kuliko Siku Alfu Ya Siku za Kadara Lakini Wengi Wa Watu Hawajuwi...


{ أَفَنَجْعَلُ الْمُسْلِمِينَ كَالْمُجْرِمِينَ ﴿35﴾ مَا لَكُمْ كَيْفَ تَحْكُمُونَ ﴿36﴾ }

صدق الله العظيم [القلم]

Allah Ta3ala Asema:{Kwani tutawafanya Waislamu kama wakosefu(35)Mna nini Mnahukumu vipi(36)} Sadaqa Allah Al3adhim[Alqalam].




Bismillah Alrahman Alrahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Na Alihi Alat'har Na Wote Ma Al'Anssar Allah Mpaka Siku Ya Mwisho,Ama Bada Ya Hapo..

Amesema Allah Ta3ala

{فَأَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ رِيحًا صَرْصَرًا فِي أَيَّامٍ نَّحِسَاتٍ لِّنُذِيقَهُمْ عَذَابَ الْخِزْيِ فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَلَعَذَابُ الْآخِرَةِ أَخْزَى وَهُمْ لَا يُنصَرُونَ}

صدق الله العظيم [فصلت:116].
Allah Ta3ala Asema:{Basi tuliwapelekea upepo wa kimbunga katika siku za ukorofi, ili tuwaonjeshe adhabu ya kuwahizi katika uhai wa duniani, na bila ya shaka adhabu ya Akhera ina hizaya zaidi, na wala wao hawatanusuriwa}Sadaqa Allah Al3adhim[Fusilat:16]





Na Ngapi Idadi Ya Hizi Siku Za Ukorofi Ju Ya Kaum Wa Nabi Wa Allah Hud Ju Yake Sala Na Salam Na Alihi Yake? Na Jawabu Katika Muhkam Ya Kitabu, Amesema Allah Ta3ala:

{سَخَّرَهَا عَلَيْهِمْ سَبْعَ لَيَالٍ وَثَمَانِيَةَ أَيَّامٍ حُسُومًا فَتَرَى الْقَوْمَ فِيهَا صَرْعَى كَأَنَّهُمْ أَعْجَازُ نَخْلٍ خَاوِيَةٍ}
صدق الله العظيم [الحاقه:7].
Allah Ta3ala Asema:{Alio wapelekea masiku saba, na siku nane, mfululizo bila ya kusita. Utaona watu wamepinduka kama kwamba ni magongo ya mitende yalio wazi ndani}Sadaqa Allah Al3adhim[Al'Haaqa:7].




Kwahivo Hizi Siku Imitimiza Siku Za Wiki Akazitaja Allah Kuwa Siku Za Ukorofi, Na Suali Ambalo Lajitokeza Lenyewe Kwa Akili Na Mantik: Na Je Hizo Ni siku Korofi Kwa Nabi Wa Allah Hud Na Wale Ambao Wamiamini Na Yeye? Na Jawabu Bali Hizo Ni siku Za Ushindi Na Amani Kwao Kutoka Mola Wao Mlezi Lakini Ni Masiku Za Ukorofi Kwa Ma'Aduwi Zao, Na Ama Nabii Wa Allah Hud Na Wale Walio Amini Na Yeye Nayo Ni siku Ya Ushindi Na Amani Kutoka Kwa Allah Ame Wapa Allah Ju Yao Na Wale Aliyo Amini Na Yeye.
Akasema Allah Ta3ala:

{ذَلِكَ جَزَيْنَاهُمْ بِمَا كَفَرُوا وَهَلْ نُجَازِي إِلَّا الْكَفُور}
صدق الله العظيم [سبأ:17].

Allah Ta3ala Assma:{Hayo tuliwalipa kwa sababu ya walivyo kufuru. Nasi kwani tunamuadhibu isipo kuwa anaye kufuru}



Na Akasema Allah Ta3ala:

{قِيلَ يَا نُوحُ اهْبِطْ بِسَلامٍ مِّنَّا وَبَرَكَاتٍ عَلَيْكَ وَعَلَى أُمَمٍ مِّمَّن مَّعَكَ وَأُمَمٌ سَنُمَتِّعُهُمْ ثُمَّ يَمَسُّهُم مِّنَّا عَذَابٌ أَلِيمٌ (48) تِلْكَ مِنْ أَنبَاء الْغَيْبِ نُوحِيهَا إِلَيْكَ مَا كُنتَ تَعْلَمُهَا أَنتَ وَلاَ قَوْمُكَ مِن قَبْلِ هَذَا فَاصْبِرْ إِنَّ الْعَاقِبَةَ لِلْمُتَّقِينَ (49)}
صدق الله العظيم [هود].
Allah Ta3ala Asema:{Ikasemwa: Ewe Nuhu! Shuka kwa salama itokayo kwetu, na baraka nyingi juu yako na juu ya watu walio pamoja nawe. Na zitakuwapo kaumu tutakazo zistarehesha, na kisha zitashikwa na adhabu chungu itokayo kwetu(48)Hizi ni katika khabari za ghaibu tunazo kufunulia. Hukuwa ukizijua wewe, wala watu wako, kabla ya hii. Basi subiri! Hakika Mwisho ni wa wachamngu(49)}Sadaqa Allah Al3adhim[Hud]




Na Hivo Hivo Siku Ya Kadar Ambayo Atamnusuru Allah Ndani Yake Al'Mahdi Al'Muntadhar Nayo Ni Usiku Wa Ushindi Na Kudhihiri, Ana'Amrisha Allah Kwa Salam Amani Ju Ya Kaumu Na Ni Siku Ya Ukorofi Na Kushindwa Kwa Kaumu Wingine, Akasema Allah Ta3ala:
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ
{حم (1) وَالْكِتَابِ الْمُبِينِ (2) إِنَّا أَنْزَلْنَاهُ فِي لَيْلَةٍ مُبَارَكَةٍ إِنَّا كُنَّا مُنْذِرِينَ (3) فِيهَا يُفْرَقُ كُلُّ أَمْرٍ حَكِيمٍ (4) أَمْرًا مِنْ عِنْدِنَا إِنَّا كُنَّا مُرْسِلِينَ (5) رَحْمَةً مِنْ رَبِّكَ إِنَّهُ هُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ (6) رَبِّ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا إِنْ كُنْتُمْ مُوقِنِينَ (7) لَا إِلَهَ إِلَّا هُوَ يُحْيِي وَيُمِيتُ رَبُّكُمْ وَرَبُّ آبَائِكُمُ الْأَوَّلِينَ (8) بَلْ هُمْ فِي شَكٍّ يَلْعَبُونَ (9) فَارْتَقِبْ يَوْمَ تَأْتِي السَّمَاءُ بِدُخَانٍ مُبِينٍ (10) يَغْشَى النَّاسَ هَذَا عَذَابٌ أَلِيمٌ (11) رَبَّنَا اكْشِفْ عَنَّا الْعَذَابَ إِنَّا مُؤْمِنُونَ (12) أَنَّى لَهُمُ الذِّكْرَى وَقَدْ جَاءَهُمْ رَسُولٌ مُبِينٌ (13) ثُمَّ تَوَلَّوْا عَنْهُ وَقَالُوا مُعَلَّمٌ مَجْنُونٌ (14) إِنَّا كَاشِفُوا الْعَذَابِ قَلِيلًا إِنَّكُمْ عَائِدُونَ (15) يَوْمَ نَبْطِشُ الْبَطْشَةَ الْكُبْرَى إِنَّا مُنْتَقِمُونَ (16)} صدق الله العظيم [الدخان].

Allah Ta3ala Asema:{H'a Mim(1)
Naapa kwa Kitabu kinacho bainisha(2)Hakika tumekiteremsha katika usiku ulio barikiwa. Hakika Sisi ni Waonyaji(3)Katika usiku huu hubainishwa kila jambo la hikima(4)Jambo litokalo kwetu. Hakika Sisi ndio wenye kutuma(5)Ni rehema itokayo kwa Mola wako Mlezi. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia Mwenye kujua(6)Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilio baina yao, ikiwa nyinyi mna yakini(7)Hakuna mungu ila Yeye; anahuisha na anafisha- Mola Mlezi wenu na Mola Mlezi wa baba zenu wa mwanzo(8)Lakini wao wanacheza katika shaka(9)Basi ingoje siku ambayo mbingu zitakapo leta moshi ulio dhaahiri(10)Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu(11)Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini(12)Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha(13)Na wao wakamgeuzia uso, na wakasema: Huyu amefunzwa, naye ni mwendawazimu(14)Hakika sisi tutaiondoa adhabu kidogo, lakini nyinyi kwa yakini mtarejea vile vile!(15)Siku tutayo yashambulia mashambulio makubwa, bila ya shaka Sisi ni wenye kutesa(16)}Sadaqa Allah Al3adhim[Aldukhan].

Na Nini Kinacho Kusudiwa katika Kauli Ya Allah Ta3ala:

{فِيهَا يُفْرَقُ كُلُّ أَمْرٍ حَكِيمٍ (4) أَمْرًا مِنْ عِنْدِنَا إِنَّا كُنَّا مُرْسِلِينَ (5)}

صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:{Katika usiku huu hubainishwa kila jambo la hikima(4)Jambo litokalo kwetu. Hakika Sisi ndio wenye kutuma(5)}Sadaqa Allah Al3adhim?
Angalia Kauli Ya Allah Ta3ala(فِيهَا)(Ndaniyake)Na Hio Ni Tokeo Linalo'Subiriwa Litatokea katika usiku wa Kadar Moja,Na Alafu Akasema Allah Ta3ala:
{أَمْرًا مِنْ عِنْدِنَا إِنَّا كُنَّا مُرْسِلِينَ}

{Jambo Litatoka Kwentu Hakika Sisi Ndio Wenye Kutuma},

Na Nini Anacho Kusudia Allah Kwa Kauli Yake Ta3ala:{أَمْرًا مِنْ عِنْدِنَا إِنَّا كُنَّا مُرْسِلِينَ}
{Jambo Litatoka Kwentu Hakika Sisi Ndio Wenye Kutuma}?

Na Jawabu Kutoka Muhkam Al'Kitab,Amesema Allah Ta3ala:

{وَمَا كُنَّا مُعَذِّبِينَ حَتَّى نَبْعَثَ رَسُولًا} صدق الله العظيم [الإسراء:15].
Allah Ta3ala Asema:{Na Hatukuwa Ni Wenye Kuadhibu Mpaka Tuwatumie Mtumwa}Sadaqa Allah Al'3adhim[Al'Israa:15].




Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:




{فَارْتَقِبْ يَوْمَ تَأْتِي السَّمَاءُ بِدُخَانٍ مُبِينٍ (10) يَغْشَى النَّاسَ هَذَا عَذَابٌ أَلِيمٌ (11) رَبَّنَا اكْشِفْ عَنَّا الْعَذَابَ إِنَّا مُؤْمِنُونَ (12) أَنَّى لَهُمُ الذِّكْرَى وَقَدْ جَاءَهُمْ رَسُولٌ مُبِينٌ (13) ثُمَّ تَوَلَّوْا عَنْهُ وَقَالُوا مُعَلَّمٌ مَجْنُونٌ (14) إِنَّا كَاشِفُوا الْعَذَابِ قَلِيلًا إِنَّكُمْ عَائِدُونَ (15) يَوْمَ نَبْطِشُ الْبَطْشَةَ الْكُبْرَى إِنَّا مُنْتَقِمُونَ (16)}
صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:{Basi ingoje siku ambayo mbingu zitakapo leta moshi ulio dhaahiri(10)Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu(11)Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini(12)Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha(13)Na wao wakamgeuzia uso, na wakasema: Huyu amefunzwa, naye ni mwendawazimu(14)Hakika sisi tutaiondoa adhabu kidogo, lakini nyinyi kwa yakini mtarejea vile vile!(15)Siku tutayo yashambulia mashambulio makubwa, bila ya shaka Sisi ni wenye kutesa(16)}Sadaqa Allah Al3adhim[Aldukhan].




Basi Muna Nini Nyie Munaifanya Ni Usiku Wa Amani Ilio Barikiwa sawa Kwa Waislamu Na Wahalifu Na Baina Yao Tafauti Kubwa? Na Tayari Amesema Allah Ta3ala:
{أَفَنَجْعَلُ الْمُسْلِمِينَ كَالْمُجْرِمِينَ ﴿35﴾ مَا لَكُمْ كَيْفَ تَحْكُمُونَ ﴿36﴾} صدق الله العظيم [القلم].
Allah Ta3ala Asema:{Kwani tutawafanya Waislamu kama wakosefu(35)Mna nini Mnahukumu vipi(36)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alqalam].



Na Usiku Wa Kadri Ambayo Atamdhirisha Ndani Yake Al'Mahdi Al'Muntadhar Nayo Ni bora Kuliko Usiku Alfu Wa Siku Za Kadri, Na Lakini Wengi Katika Watu Hawajuwi.


Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabi Al3alamin..


Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
ـــــــــــــــــــــــ




Read more: [COLOR=#0000ff]https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=7885]