Hakika Ali'eleza Muhammad Juu Yake Swala Na Salam Ma'Kafiri Kuhusu Bustani Ya Allah Katika Mbingu Na Ardhi
Tuta'Wazidisha Ilimu Kwa Idhni Ya Allah Kutoka Kwa Kitabu Cha Allah.

الإمام ناصر محمد اليماني
10- 06- 1430 هـ
04- 06- 2009 مـ
12:13 صبـاحاً
ــــــــــــــــــــــ
Hakika Ali'eleza Muhammad Juu Yake Swala Na Salam Ma'Kafiri Kuhusu Bustani Ya Allah Katika Mbingu Na Ardhi..
Tuta'Wazidisha Ilimu Kwa Idhni Ya Allah Kutoka Kwa Kitabu Cha Allah.


Bismillah AlrAhman Alrahim, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin

Ndugu Zangu Ma'Answar Na Watafiti Wa Haki, Hakika ali'eleza Muhammad Mtume Wa Allah- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Ma'Kafiri Kuhusu bustani Pepo Janna ya Allah Katika Mbingu Kwenye Sidrat'Almuntaha, Na Kadhalika Aliwa'eleza Kuhusu Bustani (Pepo) (Janna) Ya Allah Chini Ya Utajiri Na Akawaeleza Kwamba Allah Amewahidi Kwa Pepo Zote Mbili Pindi Wakisadiki Haki Kutoka Kwa Mola Mlezi Wao Ndio Atawarithisha Bustani Ya Allah Kutoka Chini Kwenye Utajiri Katika Maisha Ya Dunia Alafu Atawarithisha Ba'Ada Kufa Kwao Bustani Jannat Alma'awa Kwenye Sidratul'Muntaha, Lakini Wao Wali'Kadhibu Kwa Uhakika Wa Neema Kwenye Kitabu Ikawa Kubwa Juu Yake Kukanusha Kwao Na Anataka Kutoka Kwa Allah Kua Ampe Mkono Kwa Aya ili Wam'Sadiki, Na Anadhani Muhammad Mtume Wa Allah- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Kwamba Lau Allah Atampa'Mkono kwa Aya (Ishara) (Alama) Basi Wao Wata'Msadiki! Lakini Allah Ajuwa Kwamba Hawatosadiki Haki Kutoka Kwa Mola Mlezi Wao Kwa Sababu Ya Akida Yao Ndani Ya Nafsi Zao Kwamba Lau Allah Atampa Mkono Kwa Aya Basi Wao Watamsadiki Hamna Shaka Wala Utatanishi, Lakini Allah Alimpa Fatwa Mtume Wake Kwamba Hawato'mwamini Kulingana Wao Hawatafautishi Baina Ya Haki Na Batil Wala Baina Ya Uchawi Na Miujiza Hata Kama Lau Itatimu Kuwainua Kutoka Kwa Ardhi Mpaka Mbinguni Alafu Awafungulie Mlango Katika Mbingu Ndio Wapande Katika Pepo Ya Ma'awa Kuanzia Ya Chini Mpaka Sidrat'Almuntaha ili Kupanda Mpaka Juu Yake Wangesema Hi Ispokua Ila Ni Uchawi! Akasema Allah Ta3ala:
{ وَلَوْ فَتَحْنَا عَلَيْهِم بَابًا مِّنَ السَّمَاءِ فَظَلُّوا فِيهِ يَعْرُجُونَ ﴿١٤﴾ لَقَالُوا إِنَّمَا سُكِّرَتْ أَبْصَارُنَا بَلْ نَحْنُ قَوْمٌ مَّسْحُورون (15) } صدق الله العظيم [الحجر].
Allah Ta3ala Asema:{ Na lau tungeli wafungulia mlango wa mbingu, wakawa wanapanda (14) Basi wangeli sema: Macho yetu yamelevywa, bali sisi wenyewe tumerogwa (15)} Sadaqa Allah Al3adhim[Alhijri].

Lakini Wao bado wanazali kuendela kumsisitiza kwamba Ampe'Mkono Allah Kwa Aya Basi Wana'apa kwake Muhammad Mtume Wa Allah- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Kiapo Kwamba Lau Atampa Mkono Allah Kwa Aya Basi Hakika Wao Wata'mwamini, Akasema Allah Ta3ala:
{ وَأَقْسَمُوا بِاللَّهِ جَهْدَ أَيْمَانِهِمْ لَئِن جَاءَتْهُمْ آيَةٌ لَّيُؤْمِنُنَّ بِهَا قُلْ إِنَّمَا الْآيَاتُ عِندَ اللَّهِ وَمَا يُشْعِرُكُمْ أَنَّهَا إِذَا جَاءَتْ لَا يُؤْمِنون } صدق الله العظيم [الأنعام:109]
Allah Ta3ala Asema:{Na waliapa kwa Mwenyezi Mungu kwa ukomo wa viapo vyao, kuwa ikiwafikia Ishara wataiamini. Sema: Ishara ziko kwa Mwenyezi Mungu. Na nyinyi hamjui kuwa zitapo kuja hawato amini} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanam:109}h

Na Wakamuliza Kua Amjalie Allah Yeye Pepo Katika Ardhi Ya Mazabibu Alafu Ampitishie Mito Kati yake Kumiminika, Allah Ta3ala Akasema:{ Au uwe na kitalu cha mitende na mizabibu, na utupitishie mito kati yake ikimiminika} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:91].

Lakini Allah Akimpa Mkono Kwa Bustani (Janna) (pepo) Katika Ardhi basi wao Wangemwamini, ikamhuzunisha Hivo Muhammad Mtume Wa Allah- Swala Allah Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Akatamani Lau angempa Mkonon Allah Kwa Aya Alama ishara huwenda wakamsadiki kwa uhakika wa ishara za Mola Mlezi Wao Katika Mbingu Na Katika Ardhi, Alafu Allah Akamjibu Nabi Wake Akasema:
{ قَدْ نَعْلَمُ إِنَّهُ لَيَحْزُنُكَ الَّذِي يَقُولُونَ فَإِنَّهُمْ لَا يُكَذِّبُونَكَ وَلَٰكِنَّ الظَّالِمِينَ بِآيَاتِ اللَّهِ يَجْحَدُونَ ﴿٣٣﴾ وَلَقَدْ كُذِّبَتْ رُسُلٌ مِّن قَبْلِكَ فَصَبَرُوا عَلَىٰ مَا كُذِّبُوا وَأُوذُوا حَتَّىٰ أَتَاهُمْ نَصْرُنَا وَلَا مُبَدِّلَ لِكَلِمَاتِ اللَّهِ وَلَقَدْ جَاءَكَ مِن نَّبَإِ الْمُرْسَلِينَ ﴿٣٤﴾ وَإِن كَانَ كَبُرَ عَلَيْكَ إِعْرَاضُهُمْ فَإِنِ اسْتَطَعْتَ أَن تَبْتَغِيَ نَفَقًا فِي الْأَرْضِ أَوْ سُلَّمًا فِي السَّمَاءِ فَتَأْتِيَهُم بِآيَةٍ وَلَوْ شَاءَ اللَّهُ لَجَمَعَهُمْ عَلَى الْهُدَىٰ فَلَا تَكُونَنَّ مِنَ الْجَاهِلِينَ ﴿٣٥﴾ إِنَّمَا يَسْتَجِيبُ الَّذِينَ يَسْمَعُونَ وَالْمَوْتَىٰ يَبْعَثُهُمُ اللَّهُ ثُمَّ إِلَيْهِ يُرْجَعُون (36) } صدق الله العظيم [الأنعام]
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Tunajua Kwamba Inakuhuzunisha Ambao Wanayo'yasema Lakini Wao Hakika Hawaku'kadhibu Wewe Lakini Ma'dhalimu Kwa Aya Za Allah Wanakanusha (33) Na Walikadhibishwa Mitume Kabla Yako Wakasubiri Kwa Yale Waliokadhibishwa Nayo Wakaudhiwa Mpaka Ikawajia Usaidizi Wetu Na Hakuna Wa Kubadilisha Maneno Ya Allah Na Hakika Imekujia Habari Za Mitume (34) Na Kama Imekua Kubwa Kwako Kukanusha Kwao Basi Ukiweza Utafute Nafaka Katika Ardhi Ama Ngazi Kwa Mbingu Ili Uwalete Alama Na Angetaka Allah Angewakusanya Kwenye Uongofu Basi Usiwe Katika Majahili (35) Lakini Wanao Itikia Wale Ambao Wanasikia Na Walio Kufa Atawafufua Allah Alafu Kwake Watarudi (36)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alan3am].

Na enyi kaumu, Lakini nani Hadithi yake ni kweli kuliko Allah na nani kauli yake ni kweli zaidi ya Allah, Lakini Anakusudia Aya "ishara" "Alama" Ya Allah Ambao inapatikana katika nafaka ya Ardhi Kwenye Bustani ya Allah Chini Kwenye utajiri kwenye nafaka katika Ardhi ilionyoka kuanzia Mwanzo Wa pembezoni Mwa Ardhi Kusini mpaka mwisho Mwa Ardhi Kaskazini, Kwajili ya hivo Alimwambia Nabi wake ikiwa ataweza kwenda kutafuta nafaka kwenye Ardhi basi atapata huko Aya za Mola Mlezi Wake Na Matunda Hawajawahi Kuona Mwanzo Ndio Awalete Kwa Alama kutoka kwa Bustani La Allah kutoka chini ya utajiri kwenye nafaka ya ki'Ardhi Ama Achukuwe Ngazi Mpaka Jannat Alma'awa Katika Mbingu Ndio Awalete Aya, Na hivo ni kwajili ashampa fatwa kwamba hawato'mwamini kwa ule uhakika Kutoka kwa Mola Wao hata kama atapanda na wao mpaka mbinguni Akawafungulia Mlango Ndani yake wapande Kwenye Bustani la ma'awa hawangemsadiki kwa Alama za Mola Mlezi Wao Kuu, Akasema Allah Ta3ala:
{ وَلَوْ فَتَحْنَا عَلَيْهِم بَابًا مِّنَ السَّمَاءِ فَظَلُّوا فِيهِ يَعْرُجُونَ ﴿١٤﴾ لَقَالُوا إِنَّمَا سُكِّرَتْ أَبْصَارُنَا بَلْ نَحْنُ قَوْمٌ مَّسْحُورُون (15) } صدق الله العظيم [الحجر]
Allah Ta3ala Asema:{Na lau tungeli wafungulia mlango wa mbingu, wakawa wanapanda (14) Basi wangeli sema: Macho yetu yamelevywa, bali sisi wenyewe tumerogwa (15)} Sadaqa Allah Al3adhim[Alhijri].

Kama kwa ma'aya ambazo ni za nafaka ya Ardhi Nazo ni Bustani ya Allah Katika chini Utajiri kwenye Ardhi Ambao Amiweka Allah kwajili ya viumbe na rehani ndani yake Ma'Aya Za Allah ambazo hawajaona kutoka mwanzo katika nafaka ya Ardhi, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ فَإِنِ اسْتَطَعْتَ أَن تَبْتَغِيَ نَفَقًا فِي الْأَرْضِ } صدق الله العظيم [الأنعام:35]
Allah Ta3ala Asema:{ Basi Ukiweza Utafute Nafaka Katika Ardhi } Sadaqa Allah Al3adhim [Alan3am:35].

Na Hivo ni kwajili kunapatikana Huko Ma'Aya (Ishara) (Alama) Hawajaona kutoka kabla, Basi Ma'zabibu yao sio kama Zabimu Zenu, Lakini nazo zinakhitalifiana kwa ukubwa wake na kwa ladha yake na mitende yao yenye mafumba na nafaka yenye makapi na rehani, na yapatikana yote hayo kwenye nafaka katika Ardhi kwenye Janna ya Allah chini kwenye utajiri katika Ardhi imesawishwa ameinyosha Allah kuistawi, Basi hio Ndio Ardhi ambao ameiweka kwajili ya viumbe, na Rehani Bustani Pepo Janna ya Allah chini kwenye utajiri na inatafautiana matunda yake na matunda yenu hapa, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{ وَالْأَرْضَ وَضَعَهَا لِلْأَنَامِ ﴿١٠٠﴾ فِيهَا فَاكِهَةٌ وَالنَّخْلُ ذَاتُ الْأَكْمَامِ ﴿١١﴾ وَالْحَبُّ ذُو الْعَصْفِ وَالرَّيْحَانُ ﴿١٢٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكذِبانِ (13) } صدق الله العظيم [الرحمن]
Allah Ta3ala Asema:{ Na ardhi ameiweka kwa ajili ya viumbe (10) Humo yamo matunda na mitende yenye mafumba (11) Na nafaka zenye makapi, na rehani (12) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (13)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Rahman].


Na Hi Neema Aya Alama ishara nayo iko katika Nafaka Ya Ardhi Na Hakuwambia Allah urongo ispokua ni haki, Na kwajili ya hivo alimwambia Nabi wake akiwa anataka kuwaletea Aya ili wamsadiki basi akamweleza wapi ataipata hio Aya Katika Ardhi Ambao hawana ilimu nayo, Kwajili ya hivo Alisema:


{ فَإِنِ اسْتَطَعْتَ أَن تَبْتَغِيَ نَفَقًا فِي الْأَرض } صدق الله العظيم [الأنعام:35]
Allah Ta3ala Asema:{ Basi Ukiweza Utafute Nafaka Katika Ardhi } Sadaqa Allah Al3adhim [Alan3am:35].

Na Hi Nafaki mutaipata ni haki kweli kwenye waki uhakika ndani yake ma'Aya Za Allah Huenda Mukawa Na Yakini:
Na Hi Ndio Ardhi Ya Viumbe Na Rehani kwajili ya Watu Na Ma'Jini, Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha enyi ma3ashara ya watu na ma'jini? Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَالْأَرْضَ وَضَعَهَا لِلْأَنَامِ (10) فِيهَا فَاكِهَةٌ وَالنَّخْلُ ذَاتُ الْأَكْمَامِ (111) وَالْحَبُّ ذُو الْعَصْفِ وَالرَّيْحَانُ (12) فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبان (13) } صدق الله العظيم [الرحمن]
Allah Ta3ala Asema:{ Na ardhi ameiweka kwa ajili ya viumbe (10) Humo yamo matunda na mitende yenye mafumba (11) Na nafaka zenye makapi, na rehani (12) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (13)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Rahman].


Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Ndugu Yenu Alimam Nasser Muhammad Al'Yamani.


Kifurushi Cha Bayana