Hi Bayana kutoka kwa Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Ameiandika kwa tarehe 01-Muharam-1439,H Kulingana na kalenda rasmi ya Maka Almukarama*

الإمام ناصر محمد اليماني
01 - محرم - 1439 هـ
20 – 09 – 2017 مـ
11:54 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
___________________

Amerudisha Jibu Al'Imama Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Ma'Fadhilat Alsheikhen Ma Shekhe wawili Swadik Al'beydhani Na Mwenzake Ibrahim Al'Wahabi


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim Rabi ..

" Kusajili ufwataji"... Na kwa vile imetimu kukopi Bayana ambao ni msingi ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani hio kwenu ni jibu letu Kwa Fadhilat Al'Sheikh Muhishimiwa Suleman Al'Ajlan ambae ametangaza vita katika utangazaji kwanjia ya Chanel ya Swafaa, Na alikua ataka kutimiza Kipindi cha " Alitijah Almuakis" Mwelekeo kinyume Na kukatiza na haitotimul lengo lake; Bali tuliagiza kufunguliwe Sehemu hususi yake ajili ya mazungumzo kwenye uso wa tovuti yetu Tovuti ya Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Muntadayat Al'Bushra Al'islamia, Na hivo mpaka afwate mazungumzo wote Waislamu Kutoka Kwa Wakubwa Wa Wanazuoni Wa Umma walio ma'ustadhi kutoka pembe zote ulimwenguni, Alishindwa Fadhilat Al'Shekh Suleman kutokana na Uwazi zaidi Wa Bayana ya haki kwa Al'Quran Na Kwa Sunna ya Bayana na hakuweza kujibu kwenye sehemu yake ambao tulio mwekea hususi kwa jina lake kumkirimu yeye ikiwa anataka kutetea anae chafua Dini ikiwa ni katika wakweli kwamba yeye yuko katika haki na Nasser Muhammad yuko katika upotevu ulio wazi, Akawa Suleman Alajlan amenyamazishwa Ulimi wake kwa panga la Al'imam Al'mahdi Kwa muhakam ilio Wazi mana yake Al'Quran Na Sunna Ya Bayana Ya Haki ambao ni kutoka kwa Al'Rahman Ndio Lakini haikhitalifiani Sunna Ya Bayana Alnabawia Za haki Na muhkam Al'Quran, Na Hakutujibu Suleman kwasababu nguvu Ya hoja na utawala, kutoka kwa muhkam ilio wazi maana yake Al'Quran na kutoka kwa ma hadithi ya sunna ya bayana ya kweli kutoka kwa Al'Rahman, Na Huwenda Allah Akamongoza Suleman Al'ajlan Lakini ismchukuwe utukufu kwa dhambi afwate Shetani ba'ada kusmamisha hoja juu yake kutoka kwa muhakam ilio wazi Al'Quran na Sunna ya Bayani.

Na kadhalika nachalenge Ma Shekhe Wawili Fadhilat Alshekh Al'daktor Swadik Muhammad Al'baydhani Ama Fadhilat Al'Shekh Ibrahim Alwahabi Kwamba Wafanye Sawa Moja Wao Ama Wote Wawili pahala pa Fadhilat Alshekh Suleman Alajlan alafu watete dini Anae chafua alafu wajibu badala ya Fadhilt Alshekh Suleman Alajlan, Na naapa Qasam kwa Allah Al'Rahman hamuwezi nyote wawili ila muwe mtatetea kuchafuke Dini ya Shetani, Lakini Hyu Hapa Farasi Na Hu Hapa Uwanja, Na Washuhudie Thukuli zote mbili kwamba nyinyi hamutoweza hata lau kama badhi yenu juu ya badhi wenye kusaidiana na kuinuana migongo, Lakini mimi sijapigwa na pepo za shetani; Bali Allah Anamfanya Shetani Ndio rafiki kwa yule atakae kupa mngongo kuhusu kuhukumiwa kwa muhakam ilio wazi Hukumu ya Al'quran. Kusadikisha Kauli ya Al'Rahman Katika muhakam Al'Quran kwenye kauli yake Ta3ala:

{وَمَن يَعْشُ عَن ذِكْرِ الرَّحْمَٰنِ نُقَيِّضْ لَهُ شَيْطَانًا فَهُوَ لَهُ قَرِينٌ (36) وَإِنَّهُمْ لَيَصُدُّونَهُمْ عَنِ السَّبِيلِ وَيَحْسَبُونَ أَنَّهُم مُّهْتَدُونَ (37) حَتَّىٰ إِذَا جَاءَنَا قَالَ يَا لَيْتَ بَيْنِي وَبَيْنَكَ بُعْدَ الْمَشْرِقَيْنِ فَبِئْسَ الْقَرِينُ (38) وَلَن يَنفَعَكُمُ الْيَوْمَ إِذ ظَّلَمْتُمْ أَنَّكُمْ فِي الْعَذَابِ مُشْتَرِكُونَ (39) أَفَأَنتَ تُسْمِعُ الصُّمَّ أَوْ تَهْدِي الْعُمْيَ وَمَن كَانَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ (40) فَإِمَّا نَذْهَبَنَّ بِكَ فَإِنَّا مِنْهُم مُّنتَقِمُونَ (41) أَوْ نُرِيَنَّكَ الَّذِي وَعَدْنَاهُمْ فَإِنَّا عَلَيْهِم مُّقْتَدِرُونَ (42) فَاسْتَمْسِكْ بِالَّذِي أُوحِيَ إِلَيْكَ ۖ إِنَّكَ عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ (43) وَإِنَّهُ لَذِكْرٌ لَّكَ وَلِقَوْمِكَ ۖ وَسَوْفَ تُسْأَلُونَ (44)}

صدق الله العظيم [الزخرف].
Allah Ta3ala Asema:
{ Anaye yafanyia upofu maneno ya Rahmani tunamwekea Shet'ani kuwa ndiye rafiki yake (36) Na hakika wao wanawazuilia Njia na wenyewe wanadhani kuwa wameongoka (37) Hata atakapo tujia atasema: Laiti ungeli kuwako baina yangu na wewe kama umbali baina ya mashariki na magharibi. Rafiki mwovu mno wewe (38) Na kwa kuwa mlidhulumu, haitakufaeni kitu leo kwamba nyinyi mnashirikiana katika adhabu (39) Je! Unaweza kuwasikilizisha viziwi, au unaweza kuwaongoa vipofu na waliomo katika upotofu ulio wazi (40) Na hata tukikuondoa, Sisi tutalipiza kisasi chetu kwao (41) Au tutakuonyesha tulio waahidi. Nasi bila ya shaka tuna uweza juu yao (42) Basi wewe yashike yaliyo funuliwa kwako. Hakika wewe uko kwenye Njia Iliyo Nyooka (43) Na hakika haya ni ukumbusho kwako na kwa kaumu yako. Na mtakuja ulizwa (44)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzukhruf].

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Abdullah Na Khalifa Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.

____________________________________

Kifurushi Cha Bayana
http://www.mahdi-alumma.com/showthread.php?t=32603
http://www.mahdi-alumma.com/showthread.php?t=32603