Allah Ta3ala Asema:

{ يَا أَيّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنْ تَتَّقُوا اللَّه يَجْعَل لَكُمْ فُرْقَانًا }
صدق الله العظيم

Allah Ta3ala Asema:
{ Enyi Ambae Muliamini Hakika mukiwa

Mutamogopa Allah Atawajalia Kwenu Furqani}
Sadaqa Allah Al3adhim


Al'imam Nasser Muhammad Al'Yamani

الإمام ناصر محمد اليماني
20 - 12 - 1429 هـ
19 - 12 - 2008 مـ
02:13 صباحاً
ــــــــــــــــ

Audhu Billah Min Ashetani Arajim, Bismillah Al’Rahman Al’Rahim

{الرَّحْمَنُ (1) عَلَّمَ الْقُرْآنَ (2) خَلَقَ الْإِنسَانَ (3) عَلَّمَهُ الْبَيَانَ(4)} صدق الله العظيم [الرحمن
{Al’Rahman (1) Amefundisha Al’Quran (2) Amemumba Mtu (3) Akamfundisha Kubaini (4)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Rahman].

Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَاتَّقُواْ اللّهَ وَيُعَلِّمُكُمُ اللّهُ} صدق الله العظيم [البقرة:282].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Mumche Allah Atawafundisha Allah} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:282],
Na Akasema Allah Ta3ala:
{يِا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ إَن تَتَّقُواْ اللّهَ يَجْعَل لَّكُمْ فُرْقَاناً} صدق الله العظيم [الأنفال:29].
Allah Ta3ala Asema/
{ Enyi Ambae Muliamini Hakika mukiwa Mutamogopa Allah Atawajalia Kwenu Furqani}Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Furqan],

Eee Hakika Ya Furkani: Nuru Inateremka Kutoka Kwa Allah Kwenye Moyo Ndio Amoneshe Nayo Mja Wake Ndio Atafautishe Nayo Baina Haki Na Batili, Na Ambae Hakumjalia Allah Nur Basi Hana Pakupata Nuru, Hakika Sio Upofu Wa Macho Lakini Ni Upofu Wa Nyonyo Ziliomo Vifuwani,
Allahuma Waoneshe Haki Wale Ambao Wakijuwa Hi Ni Haki Wataifwata, Hakika Wewe Kwa Waja wako Ni mwenye Kujuwa Mwenye Kuona Na Kwako Yanarudi Mambo Ewe Mwenye Kujuwa ukhaini wa macho Na Vilio Fichika Vifuani..

Al’Imama Nasser Muhamamd Al’Yamani.

{ يَا أَيّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنْ تَتَّقُوا اللَّه يَجْعَل لَكُمْ فُرْقَانًا }
صدق الله العظيم
___________________________

رابط البيان :
Kifurushi Cha Bayana

http://www.mahdi-alumma.com/showthread.php?t=1898