Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
*الإمام ناصر محمد اليماني*
30 - ربيع الأول - 1439 هـ
18 - 12 - 2017 مـ
08:30 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
______________

*Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Anatangaza Al’Quds Ni Mji Mkuu Wa Waislamu Wa Milele..*

Bismillah Al’Wahid Al’Qahar Al’Nasser Li Khalifatihi Wa Abdihi Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhaamad Al’Yamani Na Swala Na Salam Juu Ya Muhammad Abdallah Na Mtume Wake Na Swala Na Salam Juu Ya Al’Masi7h isa Ibnu Maryam Mja Wa Allah Na Mtume Wake Na Swala Na Salam Juu Ya Wote Ma Nabi Wa Allah Na Mitume Wake Kabla Yao Wote Na Waislamu Wote Hatutafautishi Baina Ya Moja Katika Mitume Wake Na Sisi Kwake Waislamu Na Alhamdulillah Rabil3alamin, Ama Bada Ya Hapo..


Kutoka Kwa Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al’Mahdi Nasser Muhammad A’Yamani Kwa Wote Wafalme Na Ma Raisi Na Ma Amiri Wa Taifa Zote Za Kislamu Na Za Kiarabu Na Za Kiajemi, Hakika Mimi Namshuhudisha Allah Juu Yenu Na Tosha Allah Kua Shahidi Hakika Mimi Ni Khalifa Wa Alah Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani “Al’Mahdi Al’Muntadhar”Mongozi Anaengojewa Amabae Nyinyi Munamngoja Ameniteua Allah Khalifa Wake Katika Ardhi Juu Ya Walimwengu Wote, Na Amenipa Mkono Kwa Ushuhuda Hio Kwenu Bayana Ya Haki Ya Al’Quran Ujumbe Wa Allah Kwa Walimwengu Wote Kwa Atakae Kati Yenu Kuwa Na Istikama, Na Wala Hakuniagiza Allah Kwamba Niwalazimishe Mpaka Muwe Waumini Lakini Hakuna Kulazimisha Katika Dini Ili nisiwafanye Wanafik Munadhihirisha iman Na Munaficha Ukafiri Kumogopa Khalifa Wa Allah Na Maja Wake Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani, Na Namshuhudisha Allah Hakika Mimi Nasema Haki Kutoka Kwa Mola Wenu Mlezi Lakini Atakae Atamini Na Atakae Kati Yenu Akufuru, Lakini Mimi Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Namwabudu Allah Kwa ikhlasi Ni Yake Dini Basi Nikimshirikisha Nae Ambao Hajateremsha Allah Nayo Utawala Basi Sitopata Kwangu Pasi Na Allah Rafiki Wala Mwenye Kuninusuru, Lakini Mcheni Allah Mola Mlezi Wangu Na Mola Mlezi Wenu Na Mumabudu Kwa Ikhlasi Ni Yake Dini Hunafa Na Wala Musiwe Ni Katika Wa Shirikina; Bali Mombeni Allah Kwa ikhlasi Ni Yake Dini Wala Musiombe Pamoja Na Allah Yoyote Katika Waja Wake Kutekeleza Agizo La Alah Juu Yenu Kwenye Muhakam ilio Wazi Mana Yake Al’Quran Al3adhim Katika Kauli Yake Allah Ta3ala:
{فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّهِ أَحَدًا (18)} صدق الله العظيم [الجن]؛
Allah Ta3ala Asema:{basi msimombe yeyote pamoja na Mwenyezi Mungu (18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aljin],
La katika waja wake waliokaribishwa wala katika ma aduwi wa Allah ma shetani.




Na Lakini wale ambao wana’abudu shetani basi wataendeshwa kwa moto wa jahanam wote. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{احْشُرُوا الَّذِينَ ظَلَمُوا وَأَزْوَاجَهُمْ وَمَا كَانُوا يَعْبُدُونَ (22) مِن دُونِ اللَّهِ فَاهْدُوهُمْ إِلَىٰ صِرَاطِ الْجَحِيمِ (23)} صدق الله العظيم [الصافات].
Allah Ta3ala Asema:{Wakusanyeni walio dhulumu, na wake zao, na hao walio kuwa wakiwaabudu (22) Badala ya Mwenyezi Mungu. Waongozeni njia ya Jahannamu (23} Sadaqa Allah Al3adhim [Alsafat].


Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَوَرَبِّكَ لَنَحْشُرَنَّهُمْ وَالشَّيَاطِينَ ثُمَّ لَنُحْضِرَنَّهُمْ حَوْلَ جَهَنَّمَ جِثِيًّا (68) ثُمَّ لَنَنزِعَنَّ مِن كُلِّ شِيعَةٍ أَيُّهُمْ أَشَدُّ عَلَى الرَّحْمَٰنِ عِتِيًّا (69) ثُمَّ لَنَحْنُ أَعْلَمُ بِالَّذِينَ هُمْ أَوْلَىٰ بِهَا صِلِيًّا (70)} صدق الله العظيم [مريم]
Allah Ta3ala Asema:{Basi naapa kwa Mola wako Mlezi! Kwa yakini tutawakusanya wao pamoja na mashet'ani; kisha tutawahudhurisha kuizunguka Jahannamu, nao wamepiga magoti (68) Kisha kwa yakini tutawatoa katika kila kundi wale miongoni mwao walio zidi kumuasi Arrahmani, Mwingi wa Rahema (69) Tena hakika Sisi tunawajua vyema zaidi wanao stahiki kuunguzwa humo (7)} Sadaqa Allah Al3adhim[Maryam],
Hawo ni mashetani ma jini na binadamu ambao waliobilisiwa kutokana na Rahma Ya Mola Mlezi wao kwa dhulma kutoka kwa nafsi zao, Hivi hawajuwi kwamba wadi wa Allah ni haki na Yeye Ni Arhama Arahimin? Lakini walio ibilisika kutokana na Rahma Yake hawakumkadiria Mola Mlezi wao haki ya kadara yake, Na atakae kukufuru kwa Rahma yake na kukita kwa kufuru yake na akasisitiza na ukaidi kwa haki kutoka kwa Mola Mlezi wake basi amefuzu na ghadhabu ya Allah na Adhabu yake.


Na Enyi ma3ashara ya waislamu sikizeni na fahamuni na tieni akili yale ntakao kuwapa fatwa nayo kwa haki :
Natoa Qasam Billah Al3adhim Rabi Asamawati walardhi na yale baina yao Wa Rabilarshi Al3adhim anae huisha mifupa nayo ni ramim, Hakika ya Allah Yeye ni mwenye Huruma Kuliko Wenye Huruma Wote Lakini Niaminini Huwwnda Mukaongoka.


Na labda huwenda wote waislamu kutaka kusema kwa pamoja kwa ulimi moja:” ajabu jambo lako ewe Nasser Muhaamad Al’Yamani na jee ina haja gani hi fatwa kwa kutukuza kwa kiapo kwa Allah Al3adhim kwamba Yeye Ni Arhama Arahimin? Lakini hutopata yoyote moja katika waislamu katika ulimwengu ispokua anamini kwamba Allah ni kweli Arhama Arahimin”. Na Alafu anarudisha jibu Kwenu Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Na Nasema: Hio Baina yangu na baina yenu na waja wa Allah katika ufalme wote katika majini na binadamu na katika kila jinsia kwamba musikate tama na Rahma Ya Allah itakavo kua madhambi zenu, lakini musisitize kwa yale munayo yafanya yatakao mkasirisha Allah, Na tubieni kwa Allah kutubu Mutampata Allah Ni Mwenye Kuafu Na Kusamehe Mwenye Huruma, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{{ قُلْ يَا عِبَادِيَ الَّذِينَ أَسْرَفُوا عَلَىٰ أَنفُسِهِمْ لَا تَقْنَطُوا مِن رَّحْمَةِ اللَّهِ ۚ إِنَّ اللَّهَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ جَمِيعًا ۚ إِنَّهُ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ (53) وَأَنِيبُوا إِلَىٰ رَبِّكُمْ وَأَسْلِمُوا لَهُ مِن قَبْلِ أَن يَأْتِيَكُمُ الْعَذَابُ ثُمَّ لَا تُنصَرُونَ (54) وَاتَّبِعُوا أَحْسَنَ مَا أُنزِلَ إِلَيْكُم مِّن رَّبِّكُم مِّن قَبْلِ أَن يَأْتِيَكُمُ الْعَذَابُ بَغْتَةً وَأَنتُمْ لَا تَشْعُرُونَ (55) أَن تَقُولَ نَفْسٌ يَا حَسْرَتَا عَلَىٰ مَا فَرَّطتُ فِي جَنبِ اللَّهِ وَإِن كُنتُ لَمِنَ السَّاخِرِينَ (56)أَوْ تَقُولَ لَوْ أَنَّ اللَّهَ هَدَانِي لَكُنتُ مِنَ الْمُتَّقِينَ (57) أَوْ تَقُولَ حِينَ تَرَى الْعَذَابَ لَوْ أَنَّ لِي كَرَّةً فَأَكُونَ مِنَ الْمُحْسِنِينَ (58) بَلَىٰ قَدْ جَاءَتْكَ آيَاتِي فَكَذَّبْتَ بِهَا وَاسْتَكْبَرْتَ وَكُنتَ مِنَ الْكَافِرِينَ (59) وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ تَرَى الَّذِينَ كَذَبُوا عَلَى اللَّهِ وُجُوهُهُم مُّسْوَدَّةٌ ۚ أَلَيْسَ فِي جَهَنَّمَ مَثْوًى لِّلْمُتَكَبِّرِينَ (60) وَيُنَجِّي اللَّهُ الَّذِينَ اتَّقَوْا بِمَفَازَتِهِمْ لَا يَمَسُّهُمُ السُّوءُ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ (61) اللَّهُ خَالِقُ كُلِّ شَيْءٍ ۖ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ وَكِيلٌ (62) لَّهُ مَقَالِيدُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۗ وَالَّذِينَ كَفَرُوا بِآيَاتِ اللَّهِ أُولَٰئِكَ هُمُ الْخَاسِرُونَ (63) قُلْ أَفَغَيْرَ اللَّهِ تَأْمُرُونِّي أَعْبُدُ أَيُّهَا الْجَاهِلُونَ (64) وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ (65) بَلِ اللَّهَ فَاعْبُدْ وَكُن مِّنَ الشَّاكِرِينَ (66) وَمَا قَدَرُوا اللَّهَ حَقَّ قَدْرِهِ وَالْأَرْضُ جَمِيعًا قَبْضَتُهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَالسَّمَاوَاتُ مَطْوِيَّاتٌ بِيَمِينِهِ ۚ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَىٰ عَمَّا يُشْرِكُونَ (67)}} صدق الله العظيم [الزمر].


Allah Ta3ala Asema{Sema: Enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu (53) Na rejeeni kwa Mola wenu Mlezi, na silimuni kwake, kabla ya kukujieni adhabu. Kisha hapo hamtanusuriwa (54) Na fuateni yaliyo bora kabisa katika yale yaliyo teremshwa kwenu kutoka kwa Mola wenu Mlezi, kabla haijakujieni adhabu kwa ghafla, na hali hamtambui (55) Isije ikasema nafsi: Ee majuto yangu kwa yale niliyo poteza upande wa Mwenyezi Mungu, na hakika nilikuwa miongoni mwa wanao fanya maskhara (56) Au ikasema: Ingeli kuwa Mwenyezi Mungu ameniongoa, bila ya shaka ningeli kuwa miongoni mwa wenye kumchamngu (57) Au ikasema inapo ona adhabu: Lau kuwa ningeli pata fursa nyengine, ningeli kuwa miongoni mwa wafanya mema (58) Wapi! Bila ya shaka zilikujia Ishara zangu, nawe ukazikadhibisha, na ukajivuna, na ukawa miongoni mwa makafiri (59) Na Siku ya Kiyama utawaona walio msingizia uwongo Mwenyezi Mungu nyuso zao zimesawijika. Je! Si katika Jahannamu makaazi ya wanao takabari (60) Na Mwenyezi Mungu atawaokoa wenye kujikinga kwa ajili ya kufuzu kwao. Hapana uovu utao wagusa, wala hawatahuzunika (61) Mwenyezi Mungu ndiye Muumba wa kila kitu, na Yeye ndiye Mlinzi juu ya kila kitu (62) Yeye anazo funguo za mbingu na ardhi. Na wale walio zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, hao ndio wenye kukhasiri (63) Sema: Je! Mnaniamrisha nimuabudu asiye kuwa Mwenyezi Mungu, enyi majaahili (64) Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri (65) Bali muabudu Mwenyezi Mungu tu, na uwe miongoni mwa wenye kushukuru (66) Na wala hawakumhishimu Mwenyezi Mungu kama anavyo stahiki kadiri yake. Na Siku ya Kiyama ardhi yote itakuwa mkononi mwake, na mbingu zitakunjwa katika mkono wake wa kuume. Subhanahu wa Taa'la Ametakasika na Ametukuka na hayo wanayo mshirikisha nayo (67)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur].


Na Labda Wanataka Waulizaji Wote Katika Waislamu Kutaka Kusema: “Na Jee Unatuona Tumemshirikisha Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu?” Na Alfu Anasmamisha Al’IMam Al’Mahdi Juu Yenu Hoja Na Nasema: Allahuma Ndio Mumemshirikisha Allah Nyote Ila Wale Ambao Hawaombi Pamoja Na Allah Yoyote Katika Waja Wake Walio Karibu Sio Katika Dunia Wala Katika Akhera Kutekeleza Agizo La Allah Kwenye Muhakama ilio Wazi Kitabu Chake katika Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّهِ أَحَدًا (18)} صدق الله العظيم [الجن]
Allaha Ta3ala Asema:{basi msimombe yeyote pamoja na Mwenyezi Mungu (18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aljin],
Basi Wallahi Thuma Wallahi Thuma Wallahi Watakufuru Wote Kwa Ibada Yenu Kwao Pasi Na Allah Na Watawambia Nyinyi Tosha Kua Allah Shahidi Baina Yenu Na Baina Yetu Hakika Sisi Hatujuwi Hio ibada yenu. Kusadikisha Kauli Ya Anae Jua Ghib Kwenye Kauli Yake Allah Ta3ala:
{وَاتَّخَذُوا مِن دُونِ اللَّهِ آلِهَةً لِّيَكُونُوا لَهُمْ عِزًّا (81) كَلَّا ۚ سَيَكْفُرُونَ بِعِبَادَتِهِمْ وَيَكُونُونَ عَلَيْهِمْ ضِدًّا (82)} صدق الله العظيم [مريم].
Alalh Ta3ala Asema:{Na wamechukua miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu ili ati iwape nguvu (81) Sivyo kabisa! Wataikataa hiyo ibada yao, na watakuwa ndio dhidi yao (82)}Sadaqa Allah Al3adhim [Maryam],


Na Labda Wanataka Waislamu Wote Kutaka Kusema;” Sisi Hakika hatukufanya Miungu Basi Tuwaombe Pasi Na Allah”, Na Alfu Anasmamisha Juu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Hoja Na Nasema: Bali Munamwabudu Muhamamd Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kwakua Nyinyi Munataraji Maombelezi Yake Kwenu Baina Mikono Ya Allah Siku Ya Kiyama Na Mukabadilisha Kauli sio Ambayo ile ilio simwa kwenu, Lakini Jee Amemtumiliza Allah Muhammad Mtume Wa Allah Na Al’Masi7h Isa ibnu Maryam Na Wote Mitume Kutoka Mola Mlezi Wao ispokua Waonye Waja Wa Allah Kutokana Na Akida Ya Maombelezi Ya Waja Mbele Ya Mola Mlezi Anae Abudiwa Na Kwmaba Wamabudu Allah Pekeyake Hana Mshirika Na Yeye Muwe Na Ikhlas Ni Yake Dini Katika Dua Kwenye Dunia Na Akhera Na Kukufuru Maombelezi Ya Waja Baina Mikono Ya Mola Mlezi Mwenye Kuabudiwa Allah Pekeyake Hana Mshirika Nae? Na Nasema Enyi Ma3ashara Ya Waislamu Hakika Mumebadilisha Kauli Sio ile Ambao Mulio Ambiwa Nyinyi. Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَأَنذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَن يُحْشَرُوا إِلَىٰ رَبِّهِمْ ۙ لَيْسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِيٌّ وَلَا شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ} صدق الله العظيم [الأنعام:51].
Allah Ta3ala Asema:{Na uonye nayo wale ambao wanaogopa watakusanywa kwa Mola Mlezi wao hawana wao pasi na Yeye rafiki wala muombelezo huwenda wakawa wacha’Mungu} Sadaqa Allh Al3adhim [Alanaam:51]


Basi vipi mutafwata wazushi juu ya Allah na Mtume Wake kuwa yeye amisema: Mimi ni yake Mimi Ni Mobelezi wenu siku ya dini !! Jee Hivi hi riwaya ya maombelezi si ni kinyume na mulicho ambiwa katika kauli ya Allah Ta3ala:
{وَأَنذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَن يُحْشَرُوا إِلَىٰ رَبِّهِمْ ۙ لَيْسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِيٌّ وَلَا شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema{Na uwaonye nayo wale ambao wanaogopa watakusanywa kwa Mola Mlezi wao hawana wao pasi na Yeye rafiki wala muombelezo huwenda wakawa wacha’Mungu} Sadaqa Allh Al3adhim ?
Basi haitakiwi kwa Nabi ama wali katika walio karurubishwa walio wema kwamba asubutu kwa kutaka kuombeleza kwa waja baina mikono ya Mola Mlezi Anae abudiwa Allah Arhama Arahimin, Basi lakini haiatkiwi kwa Mja Awe Ana Huruma Kuliko Allah Kwa Waja Wake, Na wale wanataraji maombelezi kwa wale ambao rahma yao duni kuliko Allah basi mfano wao kama mfano wa wale walio kata tama na Rahma Ya Allah Mwenye Huruma Zaidi kuliko wenye huruma na wanataka Rahma kutoka kwa Waja wake waliokurubishwa: Na jee mwajua nini siri ya ibada ya ma sanamu, Hakika kwamba wanae jua siri ya ibada ya ma sanamu ma umma walio karibu katika zama bada ya kutumilizwa Nabi wa Allah kwao? Basi baada kufa Nabi wao alio tumilizwa kwao na wale walio amini na yeye na hawakuvisha imani yao kwa dhulma ya shirki bada alipo wahidisha Allah; Lakini baada kufa Nabi na waumini wa kwanza alafu wanawatukuza wale baada yao ndio wanafanya masanamu ya waja wa Allah walio Kurubishwa kwakua wao wanawajua Alafu wanawaomba pasi na Allah Kwajili ya Hivo Aesema Allah Ta3ala:
{أَلَا لِلَّهِ الدِّينُ الْخَالِصُ ۚ وَالَّذِينَ اتَّخَذُوا مِن دُونِهِ أَوْلِيَاءَ مَا نَعْبُدُهُمْ إِلَّا لِيُقَرِّبُونَا إِلَى اللَّهِ زُلْفَىٰ إِنَّ اللَّهَ يَحْكُمُ بَيْنَهُمْ فِي مَا هُمْ فِيهِ يَخْتَلِفُونَ ۗ إِنَّ اللَّهَ لَا يَهْدِي مَنْ هُوَ كَاذِبٌ كَفَّارٌ (3) لَّوْ أَرَادَ اللَّهُ أَن يَتَّخِذَ وَلَدًا لَّاصْطَفَىٰ مِمَّا يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ ۚ سُبْحَانَهُ ۖ هُوَ اللَّهُ الْوَاحِدُ الْقَهَّارُ (4)} صدق الله العظيم [الزمر].
Alalh Ta3ala Asema:{Hakika Dini Safi ni ya Mwenyezi Mungu tu. Na wale wanao wafanya wenginewe kuwa ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutujongeza tu kumkaribia Mwenyezi Mungu - Hakika Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo kafiri (3) Lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba. Subhanahu, Ametakasika na hayo! Yeye ni Mwenyezi Mungu Mmoja, Mtenda atakalo (4)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur].


Na Miongoni mwa waislamu wanao waomba waja wa Allah waliokurubishwa baada kufa kwao ili wawaombeleze wao kwa Mola Mlezi wao, Na Aksema Allah Ta3ala:
{وَالَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ لَا يَخْلُقُونَ شَيْئًا وَهُمْ يُخْلَقُونَ (20) أَمْوَاتٌ غَيْرُ أَحْيَاءٍ ۖ وَمَا يَشْعُرُونَ أَيَّانَ يُبْعَثُونَ (21) إِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۚ فَالَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِالْآخِرَةِ قُلُوبُهُم مُّنكِرَةٌ وَهُم مُّسْتَكْبِرُونَ (22) لَا جَرَمَ أَنَّ اللَّهَ يَعْلَمُ مَا يُسِرُّونَ وَمَا يُعْلِنُونَ ۚ إِنَّهُ لَا يُحِبُّ الْمُسْتَكْبِرِينَ (23) وَإِذَا قِيلَ لَهُم مَّاذَا أَنزَلَ رَبُّكُمْ ۙ قَالُوا أَسَاطِيرُ الْأَوَّلِينَ (24) لِيَحْمِلُوا أَوْزَارَهُمْ كَامِلَةً يَوْمَ الْقِيَامَةِ ۙ وَمِنْ أَوْزَارِ الَّذِينَ يُضِلُّونَهُم بِغَيْرِ عِلْمٍ ۗ أَلَا سَاءَ مَا يَزِرُونَ (25) قَدْ مَكَرَ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ فَأَتَى اللَّهُ بُنْيَانَهُم مِّنَ الْقَوَاعِدِ فَخَرَّ عَلَيْهِمُ السَّقْفُ مِن فَوْقِهِمْ وَأَتَاهُمُ الْعَذَابُ مِنْ حَيْثُ لَا يَشْعُرُونَ (26)} صدق الله العظيم [النحل].
Allah Ta3ala Asema:{Na wale wanao waomba wasio kuwa Mwenyezi Mungu hawaumbi kitu,bali wao wameumbwa (20) Ni wafu si wahai, na wala hawajui watafufuliwa lini (21) Mungu wenu ni Mungu Mmoja. Lakini wasio iamini Akhera nyoyo zao zinakataa, nao wanajivuna (22) Hapana shaka kuwa hakika Mwenyezi Mungu anayajua wanayo yaficha na wanayo yatangaza. Kwa hakika Yeye hawapendi wanao jivuna (23) Na wanapo ambiwa: Kateremsha nini Mola wenu Mlezi? Husema: Hadithi za kubuni za watu wa kale (24) Ili wabebe mizigo yao kwa ukamilifu Siku ya Kiyama, na sehemu ya mizigo ya wale wanao wapoteza bila ya kujua. Angalia, ni maovu mno hayo wanayo yabeba (25) Walipanga vitimbi walio kuwa kabla yao, Mwenyezi Mungu akayasukua majengo yao kwenye misingi, dari zikawaporomokea juu yao, na adhabu ikawajia kutoka wasipo kujua (26)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahli].




Na Tunawakumbusha washirikina katika waislamu kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِن تَدْعُوهُمْ لَا يَسْمَعُوا دُعَاءَكُمْ وَلَوْ سَمِعُوا مَا اسْتَجَابُوا لَكُمْ ۖ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكْفُرُونَ بِشِرْكِكُمْ ۚ وَلَا يُنَبِّئُكَ مِثْلُ خَبِيرٍ (14)} صدق الله العظيم [فاطر]
Allah Ta3ala Asema:{Mkiwaomba hawasikii maombi yenu; na hata wakisikia hawakujibuni. Na Siku ya Kiyama watakataa ushirikina wenu. Na hapana atakaye kupa khabari vilivyo kama Yeye Mwenye khabari (14)} Sadaqa Allah Al3adhim [Fatir],
Kwa Mana Hakika Wao Wamekufuru Kwa Dua Yenu Kwao Pasi Na Allah. Kusadikisha Kauli Ya Allah:
{وَإِذَا رَأَى الَّذِينَ أَشْرَكُوا شُرَكَاءَهُمْ قَالُوا رَبَّنَا هَٰؤُلَاءِ شُرَكَاؤُنَا الَّذِينَ كُنَّا نَدْعُو مِن دُونِكَ ۖ فَأَلْقَوْا إِلَيْهِمُ الْقَوْلَ إِنَّكُمْ لَكَاذِبُونَ (86)} صدق الله العظيم [النحل].


Allah Ta3ala Asema:{Na walio shirikisha watakapo waona hao walio washirikisha na Mwenyezi Mungu, watasema: Mola wetu Mlezi! Hawa ndio washirikishwa wetu ambao tulikuwa tukiwaomba badala yako. Ndipo wale watakapo watupia kauli:Hakika nyinyi ni waongo (86)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl].




Kwakua wao hawasiki maombi yao kwao pasi na Allah. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{مَا خَلَقْنَا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَا إِلَّا بِالْحَقِّ وَأَجَلٍ مُّسَمًّى ۚ وَالَّذِينَ كَفَرُوا عَمَّا أُنذِرُوا مُعْرِضُونَ (3) قُلْ أَرَأَيْتُم مَّا تَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ أَرُونِي مَاذَا خَلَقُوا مِنَ الْأَرْضِ أَمْ لَهُمْ شِرْكٌ فِي السَّمَاوَاتِ ۖ ائْتُونِي بِكِتَابٍ مِّن قَبْلِ هَٰذَا أَوْ أَثَارَةٍ مِّنْ عِلْمٍ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ (4) وَمَنْ أَضَلُّ مِمَّن يَدْعُو مِن دُونِ اللَّهِ مَن لَّا يَسْتَجِيبُ لَهُ إِلَىٰ يَوْمِ الْقِيَامَةِ وَهُمْ عَن دُعَائِهِمْ غَافِلُونَ (5)} صدق الله العظيم [الأحقاف].
Allah Ta3ala Asema:{Hatukuziumba mbingu na ardhi wala yaliyomo baina yake ila kwa haki na kwa muda maalumu. Na walio kufuru wanayapuuza yale wanayo onywa (3) Je! Mwawaona wale mnao waomba badala ya Mwenyezi Mungu? Nionyesheni wameumba nini katika ardhi; au hao wanayo shirika katika mbingu? Nileteeni Kitabu kilicho kuwa kabla ya hiki, au alama yoyote ya ilimu, ikiwa mnasema kweli (4) Na nani mpotofu mkubwa kuliko hao wanao waomba, badala ya Mwenyezi Mungu, ambao hawatawaitikia mpaka Siku ya Kiyama, na wala hawatambui maombi yao (5)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahqaf].


Kwakua “As’habu Alquburi” Waliomo Makaburini Ambao Munawaomba Pasi Na Allah Hawasiki Dua Yenu; Bali wao kwa dua yenu hawanahabari, Kusadikisha kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَيَوْمَ نَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا ثُمَّ نَقُولُ لِلَّذِينَ أَشْرَكُوا مَكَانَكُمْ أَنتُمْ وَشُرَكَاؤُكُمْ ۚ فَزَيَّلْنَا بَيْنَهُمْ ۖ وَقَالَ شُرَكَاؤُهُم مَّا كُنتُمْ إِيَّانَا تَعْبُدُونَ (28) فَكَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ إِن كُنَّا عَنْ عِبَادَتِكُمْ لَغَافِلِينَ (29) هُنَالِكَ تَبْلُو كُلُّ نَفْسٍ مَّا أَسْلَفَتْ ۚ وَرُدُّوا إِلَى اللَّهِ مَوْلَاهُمُ الْحَقِّ ۖ وَضَلَّ عَنْهُم مَّا كَانُوا يَفْتَرُونَ (30) قُلْ مَن يَرْزُقُكُم مِّنَ السَّمَاءِ وَالْأَرْضِ أَمَّن يَمْلِكُ السَّمْعَ وَالْأَبْصَارَ وَمَن يُخْرِجُ الْحَيَّ مِنَ الْمَيِّتِ وَيُخْرِجُ الْمَيِّتَ مِنَ الْحَيِّ وَمَن يُدَبِّرُ الْأَمْرَ ۚ فَسَيَقُولُونَ اللَّهُ ۚ فَقُلْ أَفَلَا تَتَّقُونَ (31) فَذَٰلِكُمُ اللَّهُ رَبُّكُمُ الْحَقُّ ۖ فَمَاذَا بَعْدَ الْحَقِّ إِلَّا الضَّلَالُ ۖ فَأَنَّىٰ تُصْرَفُونَ (32) كَذَٰلِكَ حَقَّتْ كَلِمَتُ رَبِّكَ عَلَى الَّذِينَ فَسَقُوا أَنَّهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ (33)} صدق الله العظيم [يونس].


Allah Ta3ala Asema:{Na siku tutakapo wakusanya wote, kisha tutawaambia walio shirikisha:Simameni mahali penu nyinyi na wale mlio wafanya washirika. Kisha tutawatenga baina yao. Na hao walio washirikisha watasema: Nyinyi hamkuwa mkituabudu sisi (28) Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni shahidi baina yetu na nyinyi. Hakika sisi tulikuwa hatuna khabari ya ibada yenu (29) Huko kila mtu atayajua aliyo yatanguliza. Na watarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, Mola wao wa Haki, na yote waliyo kuwa wakiyazua yatawapotea (30) Sema: Ni nani anaye kuruzukuni kutoka mbinguni na kwenye ardhi? Au ni nani anaye miliki kusikia na kuona? Na nani amtoaye hai kutoka maiti, na akamtoa maiti kutoka aliye hai? Na nani anaye yadabiri mambo yote? Watasema:Allah, Mwenyezi Mungu. Basi sema: Je! Hamchi (31) Basi huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu wa haki. Na kipo kitu gani baada ya haki, isipokuwa upotovu tu? Basi huwaje mkageuzwa (32) Ndio kama hivyo kauli ya Mola wako Mlezi itakavyo wathibitikia wale walio potoka, ya kwamba hawatoamini (33)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus].
Hivi hamuoni kwamba wao wamekufuru kwa shirki yenu kwa kuwaomba wao pasi na Allah kwamba wawaombeleze nyinyi ama wawahifadhi kutokana na shari katika dunia na akhera?
Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِن تَدْعُوهُمْ لَا يَسْمَعُوا دُعَاءَكُمْ وَلَوْ سَمِعُوا مَا اسْتَجَابُوا لَكُمْ ۖ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكْفُرُونَ بِشِرْكِكُمْ ۚ وَلَا يُنَبِّئُكَ مِثْلُ خَبِيرٍ (14)} صدق الله العظيم [فاطر].
Allah Ta3ala Asema:{Mkiwaomba hawasikii maombi yenu; na hata wakisikia hawakujibuni. Na Siku ya Kiyama watakataa ushirikina wenu. Na hapana atakaye kupa khabari vilivyo kama Yeye Mwenye khabari (14)} Sadaqa Allah Al3adhim [Fatir].


Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَاتَّخَذُوا مِن دُونِ اللَّهِ آلِهَةً لِّيَكُونُوا لَهُمْ عِزًّا (81) كَلَّا ۚ سَيَكْفُرُونَ بِعِبَادَتِهِمْ وَيَكُونُونَ عَلَيْهِمْ ضِدًّا (82)} صدق الله العظيم [مريم].
Allah Ta3ala Asema:{Na wamechukua miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu ili ati iwape nguvu (81) Sivyo kabisa! Wataikataa hiyo ibada yao, na watakuwa ndio dhidi yao (82)}Sadaqa Allah Al3adhim [Maryam],
Na Ama Wale ambao wanfanya kwao masanamu kwa sura za waja wa Allah walio kurubishwa haswa wale waliokua wanawajua basi baada kufa kwao kwa muda, Na Haraka Wanafanya Masanamu Kwa Sura Zao mpka Pindi wakiwaona siku ya kufufuliwa Ya watu wote wanasema:
{رَبَّنَا هَـٰؤُلَاءِ شُرَكَاؤُنَا الَّذِينَ كُنَّا نَدْعُو مِن دُونِكَ} [النحل:86]
Allah Ta3ala Asema{Mola wetu Mlezi! Hawa ndio washirikishwa wetu ambao tulikuwa tukiwaomba badala yako} [Alnahl:86].


Basi Angalieni Walivo warudishia jibu juu yao, Akasema Allah Ta3ala:
{وَإِذَا رَأَى الَّذِينَ أَشْرَكُوا شُرَكَاءَهُمْ قَالُوا رَبَّنَا هَٰؤُلَاءِ شُرَكَاؤُنَا الَّذِينَ كُنَّا نَدْعُو مِن دُونِكَ ۖ فَأَلْقَوْا إِلَيْهِمُ الْقَوْلَ إِنَّكُمْ لَكَاذِبُونَ (86)} صدق الله العظيم [النحل]
Allah Ta3ala Asema:{Na walio shirikisha watakapo waona hao walio washirikisha na Mwenyezi Mungu, watasema: Mola wetu Mlezi! Hawa ndio washirikishwa wetu ambao tulikuwa tukiwaomba badala yako. Ndipo wale watakapo watupia kauli:Hakika nyinyi ni waongo (86)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl].


Basi lakini imebainika kwa watu wote kwamba hakika hajatuma Allah Mtume kwa kaumu yake ili awambie hakika mimi ni mombelezi wenu mbele ya mikono ya Mola Mlezi wenu; Bali wanawaonya kwamba hakika hawana wao pasi na Allah rafiki wala Nabi Ni Mombelezi kwao mbele ya Mikono Ya Mola Mlezi wao, Basi hio ni ukumbusho ya Mitume Wa Allah Wote Ulinganizi Ni Moja. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ وَمَا يَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَقُولُ أَأَنتُمْ أَضْلَلْتُمْ عِبَادِي هَٰؤُلَاءِ أَمْ هُمْ ضَلُّوا السَّبِيلَ (17) قَالُوا سُبْحَانَكَ مَا كَانَ يَنبَغِي لَنَا أَن نَّتَّخِذَ مِن دُونِكَ مِنْ أَوْلِيَاءَ وَلَٰكِن مَّتَّعْتَهُمْ وَآبَاءَهُمْ حَتَّىٰ نَسُوا الذِّكْرَ وَكَانُوا قَوْمًا بُورًا (18) فَقَدْ كَذَّبُوكُم بِمَا تَقُولُونَ فَمَا تَسْتَطِيعُونَ صَرْفًا وَلَا نَصْرًا ۚ وَمَن يَظْلِم مِّنكُمْ نُذِقْهُ عَذَابًا كَبِيرًا (19)} صدق الله العظيم [الفرقان].
Allah Ta3ala Asema:{Na siku atakapo wakusanya wao na hao wanao waabudu, na akasema: Je! Ni nyinyi mlio wapoteza waja wangu hawa, au wao wenyewe walipotea njia (17) Watasema: Subhanak, Umetakasika na upungufu! Haikutupasia sisi kuchukulia walinzi badala yako, lakini Wewe uliwastarehesha wao na baba zao hata wakasahau kukumbuka, na wakawa watu walio angamia (18) Basi walikukanusheni kwa mliyo yasema. Kwa hivyo hamwezi kujiondolea wala kujisaidia. Na atakaye dhulumu miongoni mwenu tutamwonjesha adhabu kubwa (19)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Furqan].


Na kadhalika nyinyi enyi ma3ashara ya waislamu Ma Nasara hakika mumemshirikisha Allah Mola Mlezi Wangu Na Mola Mlezi Wenu; Bali Nawalingania kwa ulinganizi ya wote ma Nabi Na Mitume Na Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani, Basi ulinganizi wetu kwa watu wote ni ulinganizi moja peke kwamba mwabuduni Allah Mola Mlezi Wangu Na Mola Mlezi Wenu Pekyake Hana Mshirika na Yeye. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَا أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ مِن رَّسُولٍ إِلَّا نُوحِي إِلَيْهِ أَنَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا أَنَا فَاعْبُدُونِ (25) وَقَالُوا اتَّخَذَ الرَّحْمَٰنُ وَلَدًا ۗ سُبْحَانَهُ ۚ بَلْ عِبَادٌ مُّكْرَمُونَ (26) لَا يَسْبِقُونَهُ بِالْقَوْلِ وَهُم بِأَمْرِهِ يَعْمَلُونَ (27)} صدق الله العظيم [الأنبياء].
Allah Ta3ala Asema:{Na hatukumtuma kabla yako Mtume yeyote ila tulimfunulia ya kwamba hapana mungu isipo kuwa Mimi. Basi niabuduni Mimi tu (25) Na wanasema: Arrahman, Mwingi wa Rehema, ana mwana! Subhanahu, Ametakasika na hayo! Bali hao (wanao waita wana) ni watumwa walio tukuzwa (26) Hawamtangulii kwa neno, nao wanafanya amri zake (27)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbia].


Na Basi Angalieni Ulinganizi wa mja Wa Allah Na Mtume Wake Al’masi7h Isa ibnu Maryam Swala Allahu Aleyhi Wa Ala Umihi Wa Usalim Tasliman. Na Aksema Allah Ta3ala:
{لَقَدْ كَفَرَ الَّذِينَ قَالُوا إِنَّ اللَّهَ هُوَ الْمَسِيحُ ابْنُ مَرْيَمَ ۖ وَقَالَ الْمَسِيحُ يَا بَنِي إِسْرَائِيلَ اعْبُدُوا اللَّهَ رَبِّي وَرَبَّكُمْ ۖ إِنَّهُ مَن يُشْرِكْ بِاللَّهِ فَقَدْ حَرَّمَ اللَّهُ عَلَيْهِ الْجَنَّةَ وَمَأْوَاهُ النَّارُ ۖ وَمَا لِلظَّالِمِينَ مِنْ أَنصَارٍ (72) لَّقَدْ كَفَرَ الَّذِينَ قَالُوا إِنَّ اللَّهَ ثَالِثُ ثَلَاثَةٍ ۘ وَمَا مِنْ إِلَٰهٍ إِلَّا إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۚ وَإِن لَّمْ يَنتَهُوا عَمَّا يَقُولُونَ لَيَمَسَّنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا مِنْهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ (73) أَفَلَا يَتُوبُونَ إِلَى اللَّهِ وَيَسْتَغْفِرُونَهُ ۚ وَاللَّهُ غَفُورٌ رَّحِيمٌ (74) مَّا الْمَسِيحُ ابْنُ مَرْيَمَ إِلَّا رَسُولٌ قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلِهِ الرُّسُلُ وَأُمُّهُ صِدِّيقَةٌ ۖ كَانَا يَأْكُلَانِ الطَّعَامَ ۗ انظُرْ كَيْفَ نُبَيِّنُ لَهُمُ الْآيَاتِ ثُمَّ انظُرْ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ (75) قُلْ أَتَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّهِ مَا لَا يَمْلِكُ لَكُمْ ضَرًّا وَلَا نَفْعًا ۚ وَاللَّهُ هُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ (76) قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَا تَغْلُوا فِي دِينِكُمْ غَيْرَ الْحَقِّ وَلَا تَتَّبِعُوا أَهْوَاءَ قَوْمٍ قَدْ ضَلُّوا مِن قَبْلُ وَأَضَلُّوا كَثِيرًا وَضَلُّوا عَن سَوَاءِ السَّبِيلِ (77) لُعِنَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن بَنِي إِسْرَائِيلَ عَلَىٰ لِسَانِ دَاوُودَ وَعِيسَى ابْنِ مَرْيَمَ ۚ ذَٰلِكَ بِمَا عَصَوا وَّكَانُوا يَعْتَدُونَ (78) كَانُوا لَا يَتَنَاهَوْنَ عَن مُّنكَرٍ فَعَلُوهُ ۚ لَبِئْسَ مَا كَانُوا يَفْعَلُونَ (79) تَرَىٰ كَثِيرًا مِّنْهُمْ يَتَوَلَّوْنَ الَّذِينَ كَفَرُوا ۚ لَبِئْسَ مَا قَدَّمَتْ لَهُمْ أَنفُسُهُمْ أَن سَخِطَ اللَّهُ عَلَيْهِمْ وَفِي الْعَذَابِ هُمْ خَالِدُونَ (80) وَلَوْ كَانُوا يُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَالنَّبِيِّ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْهِ مَا اتَّخَذُوهُمْ أَوْلِيَاءَ وَلَٰكِنَّ كَثِيرًا مِّنْهُمْ فَاسِقُونَ (81) ۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ (82) وَإِذَا سَمِعُوا مَا أُنزِلَ إِلَى الرَّسُولِ تَرَىٰ أَعْيُنَهُمْ تَفِيضُ مِنَ الدَّمْعِ مِمَّا عَرَفُوا مِنَ الْحَقِّ ۖ يَقُولُونَ رَبَّنَا آمَنَّا فَاكْتُبْنَا مَعَ الشَّاهِدِينَ (83)} صدق الله العظيم [المائدة].




Allah Ta3ala Asema:{Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu! Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru (72) Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru (73) Je! Hawatubu kwa Mwenyezi Mungu na wakamwomba msamaha? Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu (74) Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia Aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa (75) Sema: Je! Mnawaabudu, badala ya Mwenyezi Mungu, wale ambao hawawezi kukudhuruni wala kukufaeni? Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia, Mwenye kujua (76) Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu bila ya haki. Wala msifuate matamanio ya watu walio kwisha potea tangu zamani, na wakawapoteza wengi, na wenyewe wakapotea njia iliyo sawa (77) Walilaaniwa walio kufuru miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka (78) Walikuwa hawakatazani maovu waliyo kuwa wakiyafanya. Hakika ni maovu yalioje mambo waliyo kuwa wakiyafanya (79) Utawaona wengi wao wanafanya urafiki na walio kufuru. Hakika ni maovu yaliyo tangulizwa na nafsi zao hata Mwenyezi Mungu amewakasirikia, nao watadumu katika adhabu (80) Na lau wangeli kuwa wanamuamini Mwenyezi Mungu, na huyu Nabii, na yaliyo teremshwa kwake, wasingeli wafanya hao marafiki. Lakini wengi katika wao ni wapotofu (81) Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi (82) NA WANAPO SIKIA yaliyo teremshwa kwa Mtume utaona macho yao yanachururika machozi kwa sababu ya Haki waliyo itambua. Wanasema: Mola wetu Mlezi! Tumeamini. Basi tuandike pamoja na wanao shuhudia (83)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].


Na labda anataka moja katika ma nasara Kusema:” Ewe Nasser Muhammad Al’Yamani, Hutubainishi Sisi tahadharisho kwa manasara katika kauli yake Allah Ta3al:
{قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَا تَغْلُوا فِي دِينِكُمْ غَيْرَ الْحَقِّ وَلَا تَتَّبِعُوا أَهْوَاءَ قَوْمٍ قَدْ ضَلُّوا مِن قَبْلُ وَأَضَلُّوا كَثِيرًا وَضَلُّوا
عَن سَوَاءِ السَّبِيلِ (77)}صدق الله العظيم؟".
Allah Ta3ala Asema:{Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu bila ya haki. Wala msifuate matamanio ya watu walio kwisha potea tangu zamani, na wakawapoteza wengi, na wenyewe wakapotea njia iliyo sawa (77)} Sadaqa Allah Al3adhim?”,
Na alafu anarudisha jibu kwa ma nasara Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhamamd Al’Yamani Na nasema: Hawo ni manasara dhahiri ya jambo na wanaficha ukafiri na wao ni katika ma aduwi wakubwa wa Allah na ma aduwi wa Mtume wake Al’Masi7h Isa Mwana Wa Maryam, Kama mfano wa pembe ya shetani donald tramp rafiki wa karibu wa shetani iblisi ambae ametangaza vita dhidi ya dini ya Allah al islam na Al’Quran Al3adhim Na anataka kuzima Nur ya Allah Al’Quran Al3adhim, Wala sio kwa kupotea kwake bali kwakua yeye anajua na wote marafiki wake katika mashetani binadamu kwamba Al’Quran yenye ukumbusho ndio haki kutoka kwa Mola Mlezi Wao, Lakini wao kwa haki ni wenye kuchukia! Na Akasema Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ (7) وَالَّذِينَ كَفَرُوا فَتَعْسًا لَّهُمْ وَأَضَلَّ أَعْمَالَهُمْ (8) ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ كَرِهُوا مَا أَنزَلَ اللَّهُ فَأَحْبَطَ أَعْمَالَهُمْ (9) ۞ أَفَلَمْ يَسِيرُوا فِي الْأَرْضِ فَيَنظُرُوا كَيْفَ كَانَ عَاقِبَةُ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ ۚ دَمَّرَ اللَّهُ عَلَيْهِمْ ۖ وَلِلْكَافِرِينَ أَمْثَالُهَا (10) ذَٰلِكَ بِأَنَّ اللَّهَ مَوْلَى الَّذِينَ آمَنُوا وَأَنَّ الْكَافِرِينَ لَا مَوْلَىٰ لَهُمْ (11)} صدق الله العظيم [محمد].
Allah Ta3ala Asema:{Enyi mlio amini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu (7) Na walio kufuru, basi kwao ni maangamizo, na atavipoteza vitendo vyao (8) Hayo ni kwa sababu waliyachukia aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, basi akaviangusha vitendo vyao (9) Kwani hawakutembea katika ardhi wakaona ulikuwaje mwisho wa walio kuwa kabla yao? Mwenyezi Mungu aliwaangamiza, na kwa makafiri hawa itakuwa mfano wa hayo (10) Hayo ni kwa sababu Mwenyezi Mungu ni Mlinzi wa walio amini. Na makafiri hawana mlinzi (11)} Sadaqa Allah Al3adhim [Muhammad].


Hao kaumu wamechukia ulinganizi kwa kufwata Ridhwan Radhi Za Allah basi amivipoteza vitendo vao. Kusadikisha kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَهَلْ عَسَيْتُمْ إِن تَوَلَّيْتُمْ أَن تُفْسِدُوا فِي الْأَرْضِ وَتُقَطِّعُوا أَرْحَامَكُمْ (22) أُولَٰئِكَ الَّذِينَ لَعَنَهُمُ اللَّهُ فَأَصَمَّهُمْ وَأَعْمَىٰ أَبْصَارَهُمْ (23) أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ الْقُرْآنَ أَمْ عَلَىٰ قُلُوبٍ أَقْفَالُهَا (24) إِنَّ الَّذِينَ ارْتَدُّوا عَلَىٰ أَدْبَارِهِم مِّن بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمُ الْهُدَى ۙ الشَّيْطَانُ سَوَّلَ لَهُمْ وَأَمْلَىٰ لَهُمْ (25) ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ قَالُوا لِلَّذِينَ كَرِهُوا مَا نَزَّلَ اللَّهُ سَنُطِيعُكُمْ فِي بَعْضِ الْأَمْرِ ۖ وَاللَّهُ يَعْلَمُ إِسْرَارَهُمْ (26) فَكَيْفَ إِذَا تَوَفَّتْهُمُ الْمَلَائِكَةُ يَضْرِبُونَ وُجُوهَهُمْ وَأَدْبَارَهُمْ (27) ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمُ اتَّبَعُوا مَا أَسْخَطَ اللَّهَ وَكَرِهُوا رِضْوَانَهُ فَأَحْبَطَ أَعْمَالَهُمْ (28) أَمْ حَسِبَ الَّذِينَ فِي قُلُوبِهِم مَّرَضٌ أَن لَّن يُخْرِجَ اللَّهُ أَضْغَانَهُمْ (29)} صدق الله العظيم [محمد].
Allah Ta3ala Asema:{Basi yanayo tarajiwa kwenu mkitawala ndio mfisidi katika nchi na mwatupe jamaa zenu (22) Hao ndio Mwenyezi Mungu alio walaani, na akawatia uziwi, na akawapofoa macho yao (23) Je! Hawaizingatii hii Qur'ani? Au kwenye nyoyo (zao) zipo kufuli (24) Kwa hakika wanao rudi nyuma baada ya kwisha wabainikia uwongofu, Shetani huyo amewashawishi na amewaghuri (25) Hayo ni kwa sababu waliwaambia walio chukia aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu: Tutakut'iini katika baadhi ya mambo. Na Mwenyezi Mungu anajua siri zao (26) Basi itakuwaje Malaika watakapo wafisha wakawa wanawapiga nyuso zao na migongo yao (27) Hayo ni kwa sababu wao waliyafuata yaliyo mchukiza Mwenyezi Mungu na wakachukia yanayo mridhisha, basi akaviangusha vitendo vyao (28) Je! Wenye maradhi nyoyoni mwao wanadhani kwamba Mwenyezi Mungu hatazidhihirisha chuki zao (29)} Sadaqa Allah Al3adhim [Muhammad].


Na Akasema Allah Ta3ala:{
{فَقُولَا لَهُ قَوْلًا لَّيِّنًا لَّعَلَّهُ يَتَذَكَّرُ أَوْ يَخْشَىٰ (44)} صدق الله العظيم [طه]
Allah Ta3ala Asema:{Na mwambieni yeye kauli laini huwenda akakumbuka ama akaogopa (44)} Sadaqa Allah Al3adhim [Twaha], Na hi ni wasia Wa Allah kwa Musa Na Mduguyake Kwamba waseme kwa firaun wa misri ambae amedai u’ungu na pamoja ya hayo Amesema Allah Ta3ala:
{فَقُولَا لَهُ قَوْلًا لَّيِّنًا لَّعَلَّهُ يَتَذَكَّرُ أَوْ يَخْشَىٰ} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:{Na mwambieni yeye kauli laini huwenda akakumbuka ama akaogopa (44)} Sadaqa Allah Al3adhim!
Na Lakini mwenye Ukuu wake wa kifalme Muhammad ibnu Suleiman ni mwislamu basi vipi hatutomwambia yeye kauli laini huwenda akakumbuka ama akaogopa?


Na labda anataka mwenye uku wake wa kifalme Muhammad ibnu Suleman kutaka kusema:” Allah ndio mwenye kutegemewa Ewe Nasser Muhamamd Al’Yamani, Basi tufundishe kwa yale alio kufundisha Allah Basi haitotuchukua utukufu kwa Dhambi, Eee hivi si utubainishie nani huyo “Qarn ashetan” Pembe ya shetani?” Na Alfu Anrudisha jibu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Na Nasema: Alaa Hakika Qarni ya shetani ni Donald Tramp ambae alikutana na viongozi wa waislamu kwenu katika najid kwenye mji mku Riadh akatoka kutoka najid kulekea Tel Aviv alafu akarudi amerika atangaze Al’Quds Tukufu Ni Mjii Mkuu Wa Kiyahudi Ya Milele, Na mukamtii kwa badhi ya mambo! Na ikabainika kwenu kwamba amewadanganya na wote viongozi wa waislamu, Basi Wallahi Thuma Wallahi Thuma Wallahi Hakika yeye Donald Tramp hataki ardhi ya falastin peke; Bali anataka bada ya hapo kubadilisha mashariki ya kati mpya ndio ateke zote inchi za mashariki ya kati na ufalme wa kiyarabu Saudia miongoni mwao na zote mataifa ya mashariki ya kati ili itimu kupatikane Taifa la kiyahudi kuu, Na Lana ya Allah Juu Ya Wanaosema Urongo, Basi siwapi Fatwa ispokua ni kwa haki mbali na urongo na kuhada kama anavo fanya Donald Tramp ambae ni myahudi ambae ameungana na Tahran serkali ya iran ya kisiyasa chini ya jambo ili itimu kupatikane kupanuka Ushawishi wa kifursi chini ya jina ushawishi wa kishia wa kidini na wao wako mbali umbali mno na dini ya Allah Al islam, Pamoja na kuhishimu kwangu Raia Wa Ki irani Ma Farisi ambao ni waislamu, Ispokua Nakusudia Serekali Ya Kisiyasa ya iran wale ambao wametangaza vita juu ya yemen kwa njia ya chanel Almayadin, basi hio takaza ni mawafikiano wametafikiana na amerika na urusi kwakua takaza ya iran ni kueneza vita va mgawanyiko za kidini baina ya warabu ma shia na ma sunni ili kuwapiga kwa mikono yao badhi yao juu ya badhi chini ya jina vita dhidi ya ugaidi, Na Mara inakua amerika pamoja na hawo na mara inakua pamoja na hawa; Siyasa ya kiyahudi kiamerika ya kishetani ameichora Shetani Rafiki wa mayahudi hatua bada hatua ramani ya njia, Pamoja Ya kua sudia na zote ma taifa za mashariki ya kati na iran na turkia na wote ma taifa ya warabu na waislamu ni katika plani zao ya kisahiyuni na anataka kuziteka zote taifa za kiarabu na iran na zote taifa za kislamu na zote mataifa za kinasara wanao chukia siyasa za Tramp za kiuadui dhidi ya uwislamu na waislamu.


Na Labda Anataka Mwenye uku wake wa ufalme Muhammad ibnu Suleiman kutaka kusema:” Ewe Nasser MuhammD Al’Yamani, Hivi hutuzidishi ufafanuzi kwenye kauli yako kuhusu chanel ya Al’Mayadin kua ni tangazo la vita juu ya yemen?”. Na Alafu anarudisha jibu Al’Imam Al’Mahdi kwa zote Inchi za ghuba na nasema: lakini ni vita va habari katika kituo cha almayadin ni kwajili wavute kuwavuta mataifa za ghuba ili wabomoe Raia wa yemen na mundo wa serekali na wa mundi wa chini, Na Abdulmalik Alhwuthi Na Wote Baki Ya Ma raia wa kiarabu vipofu wa macho, Na hivo hivo Saudia na zote inchi za ghuba na masunni vipofu wa kuona, Hivi hamuoni haya enyi ma3ashara ya Warabu ma sunni na mashia wale amabao wanadai kwba ni waislamu mumwage damu zenu badhi yenu juu ya badhi nadonald tramp anataka kutangaza Alquds tukufu mjii mkuu wa kiyahudi wa milele ikubali kikao cha umoja wa mataifa ama ikatae, Wala hajali kwa ukelele na fujo la raia wa kislamu walio dhufishwa wala hajali ukanushaji wa mataifa za kislamu kitu?? Na ujuwe kwamba wao wana wadanganya na wadanganya Serekali ya iran al islamia, Na Ujuwe nyinyi na iran mumeuza dini yenu kwa dunia yenu, Ama nyinyi ni kwajili kubaki kwa viti venu va kutawala na ama serekali ya iran basi ni tama kwajili kupanua kueneza ufarsi chinj ya jina kueneza ushia! Na nawabashiria ma shia na ma sunni kwa adhabu ya mbinu ikiwa wata’asi amri ya Allah na Khalifa wake Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani ila mutubu kwa Allah kutubia wote wafalme na ma amiri na maraisi wa waislamu ndio waweke mikono yao kwa mkono wa mwanamume mzuri Ardughan Raisi Wa Turkia uturuki kutangaza kuwa tayari ki anga na kibahari na ki bara kutetea kuhusu msikiti wa Al’aqsa Na Raia Wa Falastin na kutetea baki ya mataifa yote ya waislamu, Ndio muwe mkono moja dhidi ya aduwi wa Allah na aduwi wenu Donald tramp qarni ya shetani ambae ametangaza vita dhidi ya dini ya Allah al islam na waislamu na sehemu zao takatifu na anataka kuteketeza Al’Quran Katika Zote Mataifa Za Binadu na Anataka kuzima nur ya Allah ! Na haihat haihat ewe qarni ya shetani donald tramp na utaenda kujuwa kudra ya Allah mwepesi wa kufanya hisabu na mwenye shadidi wa kuadhibu Ambae ameghadhibika kwa kitabu chake, Lakini ispokua tunataka kuwaokoa waislamu walio potea na ma nasara walio potea ktukokana na adhabu ya Allah ambao iko karibu.


Na ewe mwenye uku wake wa ufalme Muhammad ibnu Suleiman Na Muhammad ibnu Rashid Al Maktum Na zote baki za mataifa za ghuba na yemen na zote taifa za kislamu, Lakini hamuna khiari kwenu, Hakika Mimi ni Khalifa wa Allah juu yenu nawagiza kuwa tayari kwajili kutoka katika njia ya Allah ili kutetea kuhusu Nyumba ya Allah tukufu Alquds alsharif na raia wake katika waislamu na ma nasara mujitete nafsi zenu na mataifa yenu na munayo kwenu ahdi kutoka kwa khalifa wa Allah ambao sio ya urongo kwamba Khalifa Wa Allah atawazidisha kwa idhni ya Allah utukufu juu ya utukufu wenu kwa yule atakae itikia mwito kati yenu wa Ulinganizi wa Khalifa Wa Allah Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani kabla kumakinishwa kwa adhabu chungu, Na nakariri na nasema kabla ya kumakinishwa kwaadhabu chungu kutoka Kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu.


Na Namshuhudisha Allah kwamba kua hamuna khiari kwenu katika jambo aidha mutii amri ya Khalifa Wa Allah juu yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Basi ndio mutangaze kuwa tayari kutoka ili kutetea waislamu na sehemu zao takatifu, na ama awadhibu Allah adhabu chungu ndio angamize aduwi wa Allah na aduwi wenu na abadilishe kwenye uongozi kaumu badali yenu alafu hawawi kama nyinyi, Wala sio hio fatwa ni kutoka kwa nafsi yangu; Bali mutaipata kwenye Muhakam ilio wazi mana yake Kitabi Cha Allah Al’Quran Al3adhim kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَا لَكُمْ إِذَا قِيلَ لَكُمُ انفِرُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ اثَّاقَلْتُمْ إِلَى الْأَرْضِ ۚ أَرَضِيتُم بِالْحَيَاةِ الدُّنْيَا مِنَ الْآخِرَةِ ۚ فَمَا مَتَاعُ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا فِي الْآخِرَةِ إِلَّا قَلِيلٌ (38) إِلَّا تَنفِرُوا يُعَذِّبْكُمْ عَذَابًا أَلِيمًا وَيَسْتَبْدِلْ قَوْمًا غَيْرَكُمْ وَلَا تَضُرُّوهُ شَيْئًا ۗ وَاللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ (39)} صدق الله العظيم [التوبة].
Allah Ta3ala Asema:{Enyi mlio amini! Mna nini mnapo ambiwa: Nendeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu, mnajitia uzito katika ardhi? Je, mmeridhia maisha ya dunia kuliko ya Akhera? Lakini starehe za maisha ya dunia kulinganisha na ya Akhera ni chache (38) Kama hamwendi atakuadhibuni adhabu chungu, na atawaleta watu wengine, wala nyinyi hamtamdhuru chochote. Na Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu (39)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba].


Kwahivo Basi hamuna khiyari kwenu ama mutoke kutekeleza amri ya Allah awu awa’adhibu adhabu chungu alafu abadilishe kaumu badala yenu kwenye uongozi alafu hawawi kama nyinyi, Basi musikhalifu amri ya Allah na Khalifa Wake na muingie Katika Uwislamu Kikamilifu kwa yale baina yenu, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْرِي نَفْسَهُ ابْتِغَاءَ مَرْضَاتِ اللَّهِ ۗ وَاللَّهُ رَءُوفٌ بِالْعِبَادِ (207) يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا ادْخُلُوا فِي السِّلْمِ كَافَّةً وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَانِ ۚ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ (208) فَإِن زَلَلْتُم مِّن بَعْدِ مَا جَاءَتْكُمُ الْبَيِّنَاتُ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ (209)} صدق الله العظيم [البقرة]
Allah Ta3ala Asema:{Na katika watu yupo ambaye huiuza nafsi yake kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja wake (207) Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi (208) Na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima (209)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].


Allahuma nimebalighisha Allahuma shuhudia, Na Tosha Kwa Allah Kua Shahidi.


Na enyi Ma3ashara Ya “Al’Mulqiati Dhikran” Waenezaji Wa Ukumbusho Al’Anssar Al’Sabiqina Al’Akhyar, Imekuwa wakati ni mfupi sana sana basi balighisheni Bayana yangu hi kwa Ibnu Suleiman Na Rohan wa Iran Na Mwanamume mzuri Ardoghan Na Al shekh Muhammad ibnu Rashid Almaktum Na Wote Ma Amiri Wa Waislamu Warabu Na Wa Ajemi, Basi musiwe na unyonge wla kuskitika na awathibitishe Allah juu ya njia ilio nyoka, Na alie kua anamwabudu Kiongozi Ali Abdallah Swaleh akageuka juu ya mgongo wake kwa sababu ya uvumi wa kuliwa Ali Abdallah Swaleh basi namwambia Yeye: Basi mtafute katika barabara za Sanna ili umwabudu hakika yeye yuko hajakamatwa huru wazi.


Na Nasema ewe ambae ni kiongozi Ali Abdallah Swaleh: Hakika wewe umeweza kuwadanganya mahawuthiyin mwanzo wa jambo kwa uwerevu wako na wao wamedangaya ulimwengu mzima wakajishirikisha katika urongo mkubwa katiak tarehe ya kibinadamu kwa kutangaza kuliwa Afash alkhafash.


Na Ama Alimbrator dikteta Abdulmalik Alhawuthi Basi Namwambia Yeye: Taratibu Taratibu ewe Manamume, Basi Bado vita inazali kumewaka juu yako na chama chako angani na bara na baharini, Na ilikua kheri kwako lau ungetangaza kutoa kwako bey3a yako Kwa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Na Kukanusha Uwingi Wa Madhehebu Katika Dini Ya Allah na Uwendoshe mkono wako kutokana na kuwapa mkono serekali ya iran ya ki siyasa amabyo inatangaza juu yenu vita va kihabari katika kituo cha Almayadin, Ispokua hiyo ili ni kuzidisha vita va ghuba dhidi ya yemen na dhidi ya raia wa kiarabu kila pahali.


Na Ama kuhusu ibnu Suleiman basi namwambia Yeye: Toa Mkono Wako kwa Qarni ya shetani donald tramp aduwi wako na familia yako Al’suud Na aduwi wa raia wa sudia, Na wala hatokutekelezea yale alio kuahidi kwakua yeye ni katika ma3shar ya mayahudi wale ambao wanageuka kwa Ahdi ya Allah baada kuwathikisha na wanakata yale alio agiza Allah nayo kua afikishe na wanafisidi katika ardhi; Bali Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Ndio Atakae Kukutekelezea Ahdi alio Kuahidi Allah Na Mfano Wako ikiwa mutashukurh Na Mukatii Amri Ya Allah Na Khalifa Wake Katika Kauli Ya Allah Ta3ala:


{وَإِذْ تَأَذَّنَ رَبُّكُمْ لَئِن شَكَرْتُمْ لَأَزِيدَنَّكُمْ ۖ وَلَئِن كَفَرْتُمْ إِنَّ عَذَابِي لَشَدِيدٌ (7)} صدق الله العظيم [إبراهيم].
Allah Ta3ala Asema:{Na alipo tangaza Mola wenu Mlezi: Mkishukuru nitakuzidishieni; na mkikufuru, basi adhabu yangu ni kali (7)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ibrahim].


Na Namshuhudisha Allah Na Tosha Allah Kua Shahidi kwamba Atakae Twii Amri Ya Khalifa Wa Allah Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Basi Nambashiria kwa utukufu Juu ya utukufu Wake na ufalme kwa ufalme wake iwe sawa ni katika viongozi wa kiarabu ama ni katika viongozi wa kiajemi, Na Natangaza Kumpa Mkono ki’moyo ndani inje Kwa Serekali Ya Korea Kazkazini Na Kwa wote Viongozi wa kikafiri Na Manasara Wale Ambao hawapigi vita Waislamu katika dini yao na wanachukia siyasa za donald tramp za kiuadui kwa uwislamu na Al’Quran Al3adhim, Na Nambashiria Kwa Adhabu ya siku ya moshi ewe mwenye shari katika vinao tembea qarni ya shetani donald tramp, Hakika Ya Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani kwa Qarni Ya Shetani Ni Katika Wanao Kuchukia Na Nampenda Kila Mwislamu Na Kafiri ambae anamchukia qarni ya shetani donald tramp na hivo ni kua Allah hajakataza waislamu kuwa na urafiki na Kuwa Na Upendo Na Makafiri wale amabao sio maaduwi wa Allah na mtume wake wala hawendi mbio ili wazime Nur ya Allah wla hawakatazi ulinganizi wa kumwabudu Allah Pekeyake Hana Mshirika Na yeye katiak ulimwengu, Basi Ametuamuru Allah kuwa Na Urafiki na Tuwafanyie wema Na Uwadilifu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{لَّا يَنْهَاكُمُ اللَّهُ عَنِ الَّذِينَ لَمْ يُقَاتِلُوكُمْ فِي الدِّينِ وَلَمْ يُخْرِجُوكُم مِّن دِيَارِكُمْ أَن تَبَرُّوهُمْ وَتُقْسِطُوا إِلَيْهِمْ ۚ إِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ الْمُقْسِطِينَ (8) إِنَّمَا يَنْهَاكُمُ اللَّهُ عَنِ الَّذِينَ قَاتَلُوكُمْ فِي الدِّينِ وَأَخْرَجُوكُم مِّن دِيَارِكُمْ وَظَاهَرُوا عَلَىٰ إِخْرَاجِكُمْ أَن تَوَلَّوْهُمْ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُمْ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الظَّالِمُونَ (9)} صدق الله العظيم [الممتحنة].
Allah Ta3ala Asema:{Mwenyezi Mungu hakukatazini kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita, wala hawakukutoeni makwenu. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao uadilifu (8) Hakika Mwenyezi Mungu anakukatazeni kufanya urafiki na wale walio kupigeni vita, na wakakutoeni makwenu, na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu. Na wanao wafanya hao marafiki basi hao ndio madhaalimu (9)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almumtahina].




Na Labda Anataka aduwi Mkuu Wa Allah Katika Ulimwengu Kusema:” Hivi Huogopi Kwamba Tukufanyie mbinu ewe Nasser Muhammad Al’Yamani Unae Jighuri?”.
Na Alafu Anarudisha Jibu juu Yao Khalifa Wa Allah Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Na Nasema: Nimiwachia kwa Allah Al’Wahid Al’Qahar enyi ma3ashara ya wakanushji kwa ukubusho nyote mashetani wa kibinadamu na wao wanajua kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi Wao, Na Natagaza Chngamoto kwenu nyote kwa Alalh Al’Wahid Al’Qahar, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَذَرْنِي وَمَن يُكَذِّبُ بِهَٰذَا الْحَدِيثِ ۖ سَنَسْتَدْرِجُهُم مِّنْ حَيْثُ لَا يَعْلَمُونَ (44) وَأُمْلِي لَهُمْ ۚ إِنَّ كَيْدِي مَتِينٌ (45)} صدق الله العظيم [القلم]
Allah Ta3ala Asema:{Basi niache na wanao kadhibisha maneno haya! Tutawavutia kidogo kidogo kwa mahali wasipo pajua (44) Na ninawapururia muhula; hakika hila zangu ni imara (45)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqalam];
Bali Allah Mbinu Yake Ni haraka zaidi kuliko Nyinyi Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَا أَمْرُنَا إِلَّا وَاحِدَةٌ كَلَمْحٍ بِالْبَصَرِ (50) وَلَقَدْ أَهْلَكْنَا أَشْيَاعَكُمْ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ (51)} صدق الله العظيم [القمر].
Allah Ta3ala Asema:{Na Haikua Amri Yetu ispokua Moja Kama kufumba jicho (50) Na Hakika tumewangamiza makundi yenu na jee kunae anakubuka (51)} Sadaqa Allah Al3adhim. [Al’Qamar]
Na Atamdhihirisha Allah Khalifa Wake na Mja Wake Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani Juu Ya Mataifa Ya Binadamu yote katika usiku na wao ni wanyonge na mutaenda kujuwa, Na Nani mkweli kuliku Allah hadithi yake?
Basi Kiasi Gani Ni Mewanasihi Lakini Hamupendi Wanao Towa Nasaha!
Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhamamd Al’Yamani.


خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
____________


Kifurushi Cha Bayana
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=33520